KUMEKUCHA :MH MOHD MTAMBWE AMTIBUA WAZIRI AMFOKEA KWA HASIRA HILI NI BARAZA TUKUFU USIZUNGUMZE VITU

  Рет қаралды 4,075

Tifu Tv

Tifu Tv

Ай бұрын

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Пікірлер: 22
@user-sc4ql5kf9v
@user-sc4ql5kf9v Ай бұрын
Nzuri
@zahiribrahim8319
@zahiribrahim8319 Ай бұрын
Kweli hili baraza la wawakilishi ni sehemu nzuri dunia nzima hakuna kama utafuatilia vizuri kwa makini! 😮 lazima utachanganikiwa tu hahaha 😂 na njaa utatuliaaa ! Na utatafuta bakuli la urojo na juisi ya mua! 🎉 Zanzibar, Tanzania 🇹🇿 ♥️
@abdallaali8173
@abdallaali8173 Ай бұрын
Kumbuka tu mheshimiwa kuwa kuna sehemu hawajawahi kuona lami kwny barabara zao kwa muda usiopungua miaka hamsini ikiwemo Msuka na Makangale . Na umeme haujawahi kaa siku tatu bila kukatika mara 10 au zaidi,peleleza utaona.
@nassorseif7907
@nassorseif7907 Ай бұрын
Miaka 60 bado inchi inajengwa tu hata mupewe miaka 10000 hamna kitu jazeni matumbo musubiri presha mufe
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Ай бұрын
pole sana
@alimau7939
@alimau7939 Ай бұрын
Hayo ni maendeleo au ni huduma za jamii
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk Ай бұрын
Tupikie nini gesi njaa kali
@BinshakbuHemed-gb2zi
@BinshakbuHemed-gb2zi Ай бұрын
Huyu. Wazir. Au. Wazera. Walewaimbaji
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 Ай бұрын
Baraza limekua sehem ya kampeni, jibuni hoja mnazoletewa acheni kupiga kampeni na na kutoka mapovu, Uchawa hautotufikisha mbali
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk Ай бұрын
Miaka 60 bado barabara tu
@AnnoyedChickens-eg5pb
@AnnoyedChickens-eg5pb Ай бұрын
Jamaa yangu hujatembea nn maendeleo yapi tembea wacha kujificha donge ukija mjini unaona umefika
@attaysaid2224
@attaysaid2224 Ай бұрын
Acheni ujinga c nguvu ya mtu Bali ni nguvu ya wananchi
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Huyu kweli anatoka Donge!Karne hii unazungumzia maendeleo ya umeme na Maji?😂😂😂
@user-qz2cs5wm5u
@user-qz2cs5wm5u Ай бұрын
Kumbeunajitetea kwakua nimkabiziwa
@saidabdala4980
@saidabdala4980 Ай бұрын
Wasenge . Wakumbavu
@AnnoyedChickens-eg5pb
@AnnoyedChickens-eg5pb Ай бұрын
Ww CCM tafuta pombe unywe baba Yako alikuwepo wapi
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Ай бұрын
Jamaa mbona kipovu kinakutoka, nenda kasikilize bajet ya Singapore hautasikia jina la Rais ww unajipendekeza utaondoka huna msaada wowote ni mzigo tu. Yote unayosema ni huduma muhimu zinatakiwa ziwepo kwa kila eneo.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Al jununu fununu!Kwa Hali hii tutafika kweli?
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Hawa Mawaziti wote wa Unguja wakijibu madusli ya Wawakilishi wa Pemba lazima waingize chuki sijuwi kwanini?yasni ni ubaguzi juu ya ubaguzi!wanakwepa hoja na badsla yake wanaleta porojo!
@salimalrumhy7575
@salimalrumhy7575 Ай бұрын
Kila Waziri akisimama na kumtomtaja rais atleast mara 5 kwa hesabu, Basi anaulizwa vp wewe kulikoni😂
@Pemba680
@Pemba680 Ай бұрын
Mjinga sana uyu jamaa Anavyoongea tu unapata picha safi kbsa kuthibitisha kuwa ni mjinga
@alirashid3239
@alirashid3239 Ай бұрын
Mjinga mkubw ww
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 59 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 29 МЛН
MBUNGE KHATIB AICHANACHANA BAKWATA, AULIZA MASWALI MATATU MAZITO
11:07
Mwananchi Digital
Рет қаралды 167 М.
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 59 МЛН