WAZIRI VIKOSI MOTO WA KUOTEA MBALI NDANI YA BARAZA UCHAGUZI UNAKARIBIA ACHENI SIASA CHAFU

  Рет қаралды 7,779

Tifu Tv

Tifu Tv

Ай бұрын

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Пікірлер: 79
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Ай бұрын
Kupiga kura ni kitu kizuri sana lakini kuwe na haki bila ya kupendelea upande mmoja na aloshinda kweli basi apewe ushindi bila ya kuwauwa Wana Wanchi, inakuwa furaha kwenye Nchi kheri na baraka inazidi. Viongozi wa Zanzibar kuogopeni Mwenyezi Mungu. Kuchukuwa kitu siyo haki yako na kusherehekea na unajuwa haki haikutendeka hapo ni jukumu kubwa mnalibeba kwenye maisha yenu na vizazi vyenu.
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Ай бұрын
Hata kama hukulaumiwa au kuhukumiwa hapa duniani lakini kwa Mungu huna salama hata kidogo. Damu za waislamu hazitokuacha katu. Kwanza kazi za kutuliza ghasia na vurugu ni za polisi, elewa hilo, hao wanaokutuma hawatokusaidia kutu. Duniani tunapita tu.
@mchagagaspar6649
@mchagagaspar6649 Ай бұрын
WEWE WAZIRI ZUNGUMZIA HAKI ZA CHI JEE MNAYOHAKI KUA NYINYI NI NCHI KAMILI ,KUA MKWELI SIMAMIA HAKI DUNIA UTAIYACHA WEWE ...
@ramzsule7678
@ramzsule7678 Ай бұрын
Mbona Allah anatukanwa kila siku hujasema kitu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Ай бұрын
Ahhhh Zanzibar kuna problem kubwa sana sana nusu ya Wananchi hawana nidhamu. Kwa mfano mdogo tuu pale Forodhani ni pahala pa kustarehe Wananchi na Wageni wote wanopenda kwenda Sasa ndio imekuwa pahala pachafu kuna watu wanakula wanawacha sahani za karatasi na mataka kata kwenye sehemu za watu wanokaa na kila pahala tunaiyomba Serikali isimamiye sehemu kama hizi.
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz Ай бұрын
Hodari sana wa kusema sisi tunajua kuwa nyinyi ni wababe muna uchaguzi muna uchafuzi hapa Tanzania hakuna uchaguzi labda ufisadi uongo uuwaji na wizi wa kura tusubiri kuuliwa ndugu zetu Wapemba
@zahiribrahim8319
@zahiribrahim8319 Ай бұрын
I don't understand swahili language, it is a very nice language amazing 😅 because, let's me gives you an example 😉 when you speak whatever you say it's gives you an answer! For myself it's complicated 😂 that's funny! I don't get it lol 😂 can anyone translate this please 🙏 😭, Zanzibar beautiful Islands of Africa. 🎉 baba uko vizuri mitano tena Mwinyi na Mama Samia ❤ Shughuli si ndogo hii wanyooshe na mapemaaa! Isije ikatokea balaa hapa! 😮
@ZanzibarTrltrusttours
@ZanzibarTrltrusttours 18 күн бұрын
Maoni yangu Mimi ni kuwa:- Namuona muheshiwa aliyezungunza hapo anakasea kwamba anaugakika Rais wajawo WA Zanzibar na Tanzania ndo hawo aliwowataja kwasababu uchaguzi haijafika na wapigaji kura ni wengi kama hakutatokea uchafuzi Jana uke WA 2020 hawezi kuwa kwamba nani wananchi wengi watamcgaguwa. Isitoshe ikiwa mzungumzaji ni Muislamu na ni muumini WA kweli WA Allah anapoeleza MAELEZO yake mwisho,mwanzo au katikati aseme inshallah kwasababu yeye ni kiumbe hajuwi lini aliyemuumba atamuhitaji. Nawaombeni mufanye uchafuzi WA guru na WA haki mukifanya Ivo mtadumisha Amani ya milele. Nawatakieni mawajibiko mema
@AishaMohd-zh4ig
@AishaMohd-zh4ig Ай бұрын
Mzee umetisha
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 26 күн бұрын
Www wch kiburi ww mbwa dunia utaiwacha
@jombadulla
@jombadulla Ай бұрын
ahsante askar we uhamiaji
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 Ай бұрын
Mbona nyinyi ni wezi sasa
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 Ай бұрын
MUDA MFUPI WA UHAI, LAKINI UTAKUHARIMU SIKU YA MAUTI!
@smilevideocreatorsznz
@smilevideocreatorsznz Ай бұрын
Kuna vijana wa chama fulani ni wataalamu wa kutukana viongozi sijui itakuwaje😂😂😂😂
@AbdallaJuma-tx5ck
@AbdallaJuma-tx5ck Ай бұрын
Sasa maendeleo ni masoko.acheni mambo ya zamani.CCM.mmeishiwa
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk Ай бұрын
Ukiwa ameshinda Kwa njia ya Haki mbona hakuna shida
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm 25 күн бұрын
Mh wangu lazima uelewe bila ya haki hakuna amani
@user-gn8ls8ji5x
@user-gn8ls8ji5x Ай бұрын
Mnatoa namba mpigiwe kisha mna wapa wakezenu mna waambia waseme si waziri uliempigia
@user-jj1uj3my7b
@user-jj1uj3my7b Ай бұрын
Hamna lolo nyinyi ccm munaongopa uchaguzi
@aboudinternational1819
@aboudinternational1819 Ай бұрын
AMANI AMANI. Kuna Zanzibar upande mmoja kama mtoto yatima, na kuna wazazi upande mwengine wanakombana. Nini kitatokea, ni mtoto yatima kuachwa bila malezi
@axmedcali5097
@axmedcali5097 Ай бұрын
Tatizo lenu ccm ni kuiba kura tu kama kutakuwa hakuna wizi wa kura basi hakuna atakaye mtomads
@mubajoti743
@mubajoti743 Ай бұрын
Hamn lolote nyiny ni njaa tu zinawapeleksh ila mung yupo
@akaumbo9433
@akaumbo9433 Ай бұрын
Mnatakaa muendelee kuuwa watu tu,mnapenda sana amani ila hampendi sana haki
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm 25 күн бұрын
Kama kweli mnataka amani tendeni haki
@KhamisBakar-ge4sp
@KhamisBakar-ge4sp Ай бұрын
Ila CCM amani hawaitaki, Hawawezi kukaa madarakan mpaka wamwage damu. Uchaguzi wa 2015 hakupigwa mtu walipoona wameshindwa wakafuta Uchaguzi , kisha wakaanda Uchaguzi mpya huku wakileta Vifaru Nchi mzima kama kwamba hii Nchi ina vita ilhali Uchaguzi hule wameachiwa wafanye wao CCM tu, Inasikitisha Masoud kusema maneno hayo huku ukiwa unajuwa kuwa umekaa hapo kwa dhulma tu ya watu wa Ole😂😂😂😂
@MULPHATAMOUR-v1e
@MULPHATAMOUR-v1e Ай бұрын
Sikuzote Amani haipatikani bila ya haki
@amriyyahamad3946
@amriyyahamad3946 Ай бұрын
Sasa haki gani unaongea upuuzi mtupu mbona hio haki ya uchaguzi hamuapi vitambulisho kachaguliwa katiba ya ccm USITISHE WATU WAZANZIABAR YOTE SIO MAGENI KWAO YOTE YAMETOKEA KM UBAYA UBAYA TU TUPO TAYARI
@jombadulla
@jombadulla Ай бұрын
mim namjua huyu ni askar wa uhamiaji, lkn wengi hamumjui, nilikutana nae moja kat ya mkoa flani tz bara,nilienda kumrembelea akiwa amevaa uniform za uhamiaj, kwa hyo huyu ni askar asa,
@abdulkadirmbarouk5634
@abdulkadirmbarouk5634 Ай бұрын
Ila sasa ni kiongozi imara hata Dr mwinyi alikuwa waziri Wa ulinzi mpaka kawa raisi Mashllah
@Aisha-lj8bu
@Aisha-lj8bu Ай бұрын
Mmnaweza ila Allah anaweza zaidi yenu kazi yenu kuuwa nakuiba kura vidole tutavinyoosha Ila Allah atawanyoosheeni zaidi msipotenda haki
@user-gn8ls8ji5x
@user-gn8ls8ji5x Ай бұрын
Askari wa SMZ wana shida ham zitatui hauna mpango
@MuhammedSubeit
@MuhammedSubeit Ай бұрын
Sawa
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Ай бұрын
Huyo alosema Rais atakuwa Mwinyi Mhhhh ya kesho hatuyajuwi 😂😂😂😂 Magufuli alisema ndio kishafika Subhana Allah yuko wapi??? sidhani kama Dr. Hussein anakubali kuendelea kuwa Rais hapo Zanzibar ikiwa Wana Wanchi hawajamchaguwa achukuwe kwa kuiba kura na kuuwa watu Kama miaka yote, sijuwi ya Mungu mengi.
@alijumes3580
@alijumes3580 Ай бұрын
Aanze mwinyi kutekelezau uçtutishe
@rushydahmed9179
@rushydahmed9179 Ай бұрын
ammali ya viongozi wa ccm ni kutisha watu kwa kisingizo kuwa wameshika mpini, serikali inaongizwa kwa vitisho wee togwa?
@user-hj4zt1kw4i
@user-hj4zt1kw4i Ай бұрын
Kashajua harudi tena kuwa wazir na hata akihamishia vikos vyote Ole uwakilishi atausikia tu. Mwache abwabwaje. Kwanza hatukuichagua Ccm,tuliichagua Act na kama tuliichagua Ccm niambie kura zilihesabiwa kituo gani. Na kama ni rais wa wote mbona hatuoni akitoa haki kwa wote? Rais wa wote anathubutu vipi kusema nikitoa kazi nileteeni walionichagua. Waliokuchagua ni nani ? Ilivyokuwa mna vyombo vyenye mabunduki uweni na mkifika kwa mungu pia ilivyokuwa mna mabunduki wakati wa kudomewa kesi zenu nae pia muuweni.
@Aisha-lj8bu
@Aisha-lj8bu Ай бұрын
Msenge huyo hayomadaraka unayojivunia nenda nayo ukajivunie mbele ya Allah nendeni tu mkauwe maana mmeshazowea kuuwa mafala Nyinyi hata kama hamtakiwi mnalazimsha mtakiwe hata kama hampendwi mnalazimsha upendo wakati Nyinyi hamna upendo maisha mbovu sana mnajali matumbo yenu tu
@KhamisBakar-ge4sp
@KhamisBakar-ge4sp Ай бұрын
Hii Nchi sio yako wala babako , Huawezi kukaa madarakan kwa njia za haramu kisha ukatarajia Nchi iwe na Aman, hilo sahau.😂😂😂
@user-mm9qr7em8k
@user-mm9qr7em8k Ай бұрын
Masuud tuuwe bwana weka mikakati mizuri yakutuua lkn tu kumbuka ww km kweli nimtu waole bc niamini pia unajua naww utakufa napesa unazozitafuta utaziaacha.
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 Ай бұрын
Massoud si mtu wa Ole
@MuhammedSubeit
@MuhammedSubeit Ай бұрын
Ndy
@MohammedabdallahHaji-qt7qh
@MohammedabdallahHaji-qt7qh Ай бұрын
tupo tayr kwalolote muhanga tushajitowa
@mahmoudally6044
@mahmoudally6044 Ай бұрын
Anatengeneza ajira yake2025 mbona haongelei upande wa pili au wao tu ndio wenye haki
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Ай бұрын
Mkuu umeeleweka mkuu asie kuelewa analake
@HumoudSalim-ct1tz
@HumoudSalim-ct1tz Ай бұрын
Basi msipige kura wahinganyinyi
@HumoudSalim-ct1tz
@HumoudSalim-ct1tz Ай бұрын
Lakini mnavyouwa lakini amini usiamini nanyinyi mtakufa
@HumoudSalim-ct1tz
@HumoudSalim-ct1tz Ай бұрын
Nyinyi niwauwaji jiandaeni kuouwa
@suleiman6552
@suleiman6552 Ай бұрын
Asa mbona unapiga promo
@hassanmakame4382
@hassanmakame4382 Ай бұрын
Ww mbwa pitia hizi coment uone km hamkubaliki ila mnatumia mabavu,hakuna alecoment kkusuport
@MuhamadikhatibMalili
@MuhamadikhatibMalili Ай бұрын
Kazi yenu pumba tu humo
@jombadulla
@jombadulla Ай бұрын
kupitia mafunzo ya mazur tu ya jeshi
@musr931
@musr931 Ай бұрын
Watu wa Jimbo la Ole hata hawajuwi kama wewe ni Mwakilishi wao 😂😂😂
@yasserahmed9420
@yasserahmed9420 Ай бұрын
😂😂😂😂
@yasserahmed9420
@yasserahmed9420 Ай бұрын
Wakwanza mimi ndio kwanza leo najuwa
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Ай бұрын
Wacha kampeni ndani ya baraza.
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 Ай бұрын
Ajenda ya nchi hii ni kukubali kuendelea kuwa vitimbakwiri wa tanganyika kwa kushibisha matumbo yenu, MMEKUWA MAVUNJA JUNGU !!!
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Ай бұрын
Hao tanganyika nao washaanza kutotaka huo muungano haswaa wananchi ni suala la muda tu
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Ай бұрын
Ila ushirikishwaji katika jamii ni muhimu sana, na ndio maana katika project mradi wowote unahitaji ushirikishwaji.
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Ай бұрын
Mh. nilikuwa nakuamini sana ila umepoteza mvuto, akiondoka Dr. HUSSEIN Mwinyi haupati nafasi tena ya uongozi. Labda ubadilike wapende ndugu zako usijipendekeze, kuwa kama sura yako ilivyo unaonekana mtu nzuri walaakin..
@user-hj4zt1kw4i
@user-hj4zt1kw4i Ай бұрын
Kama ni Rais wa wote mbona mnatubaguwa ? Vitambulisho vya mzanzibar mbona hamvitowi? Kazi mbona hamtowi hadi uwe na kadi ya ccm? Halafu unachoongea hukijui,unatukanwa na ccm mwenzako halafu umekaa tu humo huthubutu kusema chochote.
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 Ай бұрын
Wananchi sio wewe peke yako
@user-jj1uj3my7b
@user-jj1uj3my7b Ай бұрын
Wachauongo wewe hakukaa kwamujibu wakatuba wacha usengewewe
@Aisha-lj8bu
@Aisha-lj8bu Ай бұрын
Mkihisi mnatukanwa mjjwe kama nanyinyi mnatukanwa tena ndio Nyinyi ndio magwiji wakubwa
@amriyyahamad3946
@amriyyahamad3946 Ай бұрын
Huyu jamaa mpuuzi kupitiliza uchaguzi ccm hawauwezi na haitotokea wauweze
@NoufelSalim
@NoufelSalim Ай бұрын
Dhulma ndo yenu.km unaweza Fanya tuu ,kazi yenu ni kuongea upuuzi mtu mzima.
@user-jh5ne9mw4w
@user-jh5ne9mw4w Ай бұрын
Na Wala uchaguzi c ubabe Ili mkabaki madarakani 😅😅😅😅😅😅
@HalimaYuffuf
@HalimaYuffuf Ай бұрын
Kwanza futeni uchaguzi kufanyika cku mbili kama nyinyi c wanafiki
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Ай бұрын
Ni njia ya kuiba kura
@yasserahmed9420
@yasserahmed9420 Ай бұрын
Kampeni zimeanza ndani ya baraza naonaaa😂😂😂😂
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 Ай бұрын
KWELI INAUMA, FANYENI UADILIFU ILI MSISEMEE VIBAYA, WAPENI WAZNZ HAKI YAO YA VITAMBULISHO KWA WAKATI BILA UCHAMA ,MSIOGOPE KUWENI WAKWELI
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 Ай бұрын
Mwenye dhamana ya ulizi anasema kua raisi atakua ni Mwinyi, basi hakuna haja kwenda kwenye uchaguzi.. baraza sio sehemu ya kampeni
@AbdallahSalim-is3db
@AbdallahSalim-is3db Ай бұрын
Kumbe kuuwa watu pia ni katika utukufu ?
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Ай бұрын
KAMA KARUME HUKO HAI KUSINGEKUWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI @AbdallahSalim-is3db. Sio Siri tena kuuwa Waislam wa Zanzibar ni Catholic Crusade Movement (CCM) kwa Ukombozi wa Chama Cha Makanisa (CCM) na Nyerere awe Mtakatifu ni Mapinduzi Matukufu✝️
@adamyussuf1678
@adamyussuf1678 Ай бұрын
Mwinyi kaletwa wazanzibari chungu nzima hatukumchagua sisi tulikuwa na mtu wetu naye ni marehemu Maalim SEIF tuuu
@user-oj8bk5xn8n
@user-oj8bk5xn8n Ай бұрын
Ccm ndio wauaji mshajipanga kuua watu kwasababu ccm hawahishimu mtu
@adamyussuf1678
@adamyussuf1678 Ай бұрын
CCM munauogopa uchaguzi sababu munajua hamshimdiiiii muhidiiiiii
@mohammedlaabry5799
@mohammedlaabry5799 Ай бұрын
Pumbavu huyu wacha tuone kma hawatatumia mgavu na mauwaji na yeye wizara yake ndio itakayo fanya mauwaji na unyanyasaji
@mohamedjuma1331
@mohamedjuma1331 Ай бұрын
Acha kutisha watu wewe kagombanie jimbo huko kwenu ole ushinde
@ZanzibarTrltrusttours
@ZanzibarTrltrusttours 18 күн бұрын
Maoni yangu Mimi ni kuwa:- Namuona muheshiwa aliyezungunza hapo anakasea kwamba anaugakika Rais wajawo WA Zanzibar na Tanzania ndo hawo aliwowataja kwasababu uchaguzi haijafika na wapigaji kura ni wengi kama hakutatokea uchafuzi Jana uke WA 2020 hawezi kuwa kwamba nani wananchi wengi watamcgaguwa. Isitoshe ikiwa mzungumzaji ni Muislamu na ni muumini WA kweli WA Allah anapoeleza MAELEZO yake mwisho,mwanzo au katikati aseme inshallah kwasababu yeye ni kiumbe hajuwi lini aliyemuumba atamuhitaji. Nawaombeni mufanye uchafuzi WA guru na WA haki mukifanya Ivo mtadumisha Amani ya milele. Nawatakieni mawajibiko mema
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 109 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 72 МЛН
"HATUTAKUBALI UANGUSHE RUTO,WEWE NI MUONGO SANA!" MP KAMKET SLAMS DP GACHAGUA
4:04
KIJANA ALIYELAWITIWA NA WATU 60 ZANZIBAR ATOA USHUHUDA (Episode 02)
15:46
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 80 М.
HII NDIO NYUMBA INAYOTILIWA MASHAKA CHUINI ZANZIBAR
8:52
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 217 М.
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН