KUUFATA MWEZI WA SAUDIA BORA KUIFATA JAMAICA //SHEIKH IZUDIN

  Рет қаралды 93,531

arkas online tv

arkas online tv

4 ай бұрын

USISAHAU KU SUBSCRIBE

Пікірлер: 579
@hassanboru
@hassanboru 4 ай бұрын
Allahu Akbar ☝️ HasbunAllah wa nemal wakil ☝️ mola awape ma ndugu wetu Palestine amani ya Allah 🤲 JaskAllah kheiran ndugu yangu Bora tufate kwingne Saudi sai his against Islam FREE FREE PALESTINE ☝️ Mimi mungu akinijalia In shaa Allah nitafaa iskafi ya Palestine wanishiki
@mohamedS-yd9wh
@mohamedS-yd9wh 4 ай бұрын
Sheikh Izudin Allah akuhifadhi wape ukweli masheikh na viongozi wa Saudia ni laana kubwa wanayofanya
@bagalucha
@bagalucha 3 ай бұрын
Allah anakuona na uchochezi wako na upotoshaji.
@athmanchimerah3379
@athmanchimerah3379 3 ай бұрын
Kama waabudu waarabu utapinga
@ndarochibingu
@ndarochibingu 3 ай бұрын
​@@athmanchimerah3379 Ushasema uyu hawajui mm nko uku
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
Amechochea au anaongea ukweli? Fuatilia yanayoendelea hivi sasa huko saudia ndugu yangu
@salimdzuya5480
@salimdzuya5480 3 ай бұрын
Anaongea ukweli sana tena,ingia KZfaq msome mfalme wa saudia anaitwa Mohammed bin salman,alafu urudi tena hapa.SPIKA ZA MISKITINI ZINATAKA KUEKWA ZILE ZA SOUND PROOF ETI ADHAN ZINAKELELE,ALIKATAZA WAISLAMU KUFTURU MISIKITINI RAMADAN HII,WASNII WAKINA SHAKIRA WANAPIGA SHOW KAMA KAWA,BOXING MATCHES ZOTE SIKU IZI ZINAFANYIKA SAUDIA NA WATU WANAVAA NUSU UCHI.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Tembea ujue
@lalijimmylalijimmy1857
@lalijimmylalijimmy1857 4 ай бұрын
Wewe peke yako Sheikh Ezudeen unaozumgumza uwazi na ukweli...Allah atuhifaidhie akupe umri wa baraka..Shukran
@Khalidniya380
@Khalidniya380 4 ай бұрын
Nakuelewa Sheikh kwa hayo unayoyasema Saudia wamekua na muenendo mbaya ila Mwezi ukionekana ni kufunga tu ALLAH ndie mjuzi mimi leo nimefunga na Allah ndie atakaenilipa kwa swaum sio hao wasaudi
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 4 ай бұрын
Kweli ndugu yangu ktk Imani kufunga ni Imani ya mtu lkn mtume ameweka utaratibu na suna juu ya kufunga.mtume amesema atakae funga siku inayo tiliwashaka ni sawa mtu huyo amekufuru yalioteremshwa Kwa Abu kasim ambae ni yy mtume.hadithi hiyo ni murtafaq.ni hadithi imepokelewa na imamu wawili.kisha mtume amesema Tena fanya usilo na shaka nalo ulilo na shaka nalo liache.
@mohamedabdallah2212
@mohamedabdallah2212 4 ай бұрын
Hao ni maneno %100 on point Sheaikh 😮
@zeitunMohammed
@zeitunMohammed 4 ай бұрын
Yani unafunga mwezi haujaonekana popote Kisha wataka kulipwa na mungu?alafu ajabu jumamosi alfajiri kila moja aliona mwezi haukupotea alafu jumq pili Tena ikaandama Ajabu ya dunia
@LuqmanAndrew-nu9rx
@LuqmanAndrew-nu9rx 4 ай бұрын
Mashallah Allah akupe umry mrefu wenye manufaa Sheikh wetu, na atujaalie sote mwisho mwema Inshallah ❤❤🙏
@ibrahimmusa9518
@ibrahimmusa9518 4 ай бұрын
Sheikh huu ni mpotovu kabisa
@user-ji2nf3tk8b
@user-ji2nf3tk8b 3 ай бұрын
MashaAllah kama Sheikh Yussuf Ali swabu masjid nurein❤❤
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
​@@ibrahimmusa9518 sheikh kaongea kwa hoja imekuuma unaanza kumkosea heshima we kama unaona kakosea weka point yako usiongee pumba kwenye comment za watu kwa nukuu zako sheikh kannena😂
@halimaali1157
@halimaali1157 4 ай бұрын
Allah ikrimuka ya Ustadh
@user-ws6ev5lg4c
@user-ws6ev5lg4c 4 ай бұрын
Mungu akubariki inshallah ukweli mtupa
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 4 ай бұрын
Bora sheikh uwazindue Hawa wanaowafuata suudia
@user-xr2rp2vx4g
@user-xr2rp2vx4g 4 ай бұрын
Wafuata mwezi unaoandama popote si lazima Suudia tu
@MaryamAhmed-qt5ey
@MaryamAhmed-qt5ey 4 ай бұрын
​@@user-xr2rp2vx4g asante kipenzi
@LINAUWARHAMAD
@LINAUWARHAMAD 3 ай бұрын
​@@user-xr2rp2vx4g alaf mbn haujaindama saudia tuu lkn tunaambiwa umeindama saudia jmny
@mahmoudmchiu5369
@mahmoudmchiu5369 3 ай бұрын
jielewe Mwezi Unafuatwa popote Utaandama Sio Suudia tu
@MaryamAhmed-qt5ey
@MaryamAhmed-qt5ey 4 ай бұрын
Kikubwa ni kuombeana khairat Anaejua ni Allah peke ake Yaa Rabby tuongeze ktk njia ilionyoooka na uctujaalie tukawa miongoni mwa watakaotufarakanika😢
@amisafaraji5796
@amisafaraji5796 3 ай бұрын
Allahumma aamin 🤲
@bagalucha
@bagalucha 3 ай бұрын
Tatizo propaganda za maadui wa Uislamu kuichukia Saudia,na kuzidisha mambo,zaidi ya namna ukweli ulivyo,takribani asilimia 90 yanayozushwa kuhusu saudia ni uwongo,uhalisia unapokwenda huko,ni tofauti na ukweli wenyewe,tunawaambia hawa wazabizabina,ambao hutumia dini ndio maslahi yao ya maisha katika huu ulimwengu,kwa kuchafua dini ya Allah Subhana wataala,na wengine wanaochangia kwa kuchochea wasiyoyajua,basi wajuwe,Jalla Jallalu yupo,mwenye kuyajua tusiyoyajua,na kila mmoja atabeba alilolichangia kulipotosha,ushabiki wa kuropokwa na wamelishwa ya uchochezi ya wapotoshaji na maadui wa Allah,alama zao za unafiki,Allah Atazihukumu, tahadhari mengi yanayosemwa hayana ukweli.
@alihirbo3875
@alihirbo3875 3 ай бұрын
Poleni kwa siyasa duni wacheni siyasa na dini ya Allah
@bakaribakari6444
@bakaribakari6444 3 ай бұрын
Sasa kati ya huyu na saudia wakina nani wamechanganya siasa na dini?
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Fuatilia ujue
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 ай бұрын
Asa ukweli pia hutaki khaa😅😅
@mustayoo
@mustayoo 4 ай бұрын
Hayo yao hayatuhusu.Allah atawahukumu kwa yao ila sisi mwezi ukionekana tutafunga
@kazuhan_thobes
@kazuhan_thobes 4 ай бұрын
ukionekana wapi sasa unafunga
@hussenmzaganya1081
@hussenmzaganya1081 4 ай бұрын
mfano ukionekana kenya tunafunga.
@user-ui8ul3jy3n
@user-ui8ul3jy3n 4 ай бұрын
Pamoja sana mbona tu naenda kuhiji huko
@HemedSerious
@HemedSerious 4 ай бұрын
Wew mwehu kweli ndugu mm nimekuita mwehu km hujui kwann njoo nitakuelewesha
@abubakarbwika8397
@abubakarbwika8397 4 ай бұрын
​@@user-ui8ul3jy3n sasa wataka watu wakahiji wapi ??!! 😂😂😂
@lukmanabdi2015
@lukmanabdi2015 4 ай бұрын
Hata kenya kuna mashoga na watu hutembea uchi kila leo mpk unaona tabu kutoka ukiwa una swaum sasa kemeeni ya hapa kwetu kwanza hata nyinyi mashekh munaendeshwa na makafiri tu...
@athmanchimerah3379
@athmanchimerah3379 3 ай бұрын
Utukufu wa Saudi n sawa n Kenya? Kitovu Cha Muhammad s.a.w kipo Saudi n mahali pakufananisha n Kenya?
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
​@@athmanchimerah3379 yan huyu jamaa na wenzake woote point zao ni pumba hizi hizi na wala hutawaweza hawa😅
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Sio wote
@user-gr3kq5vc5u
@user-gr3kq5vc5u 3 ай бұрын
Masha'Allah
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 4 ай бұрын
Naam afadhar umesema sheikh barakallahu fiikiii .Serikari ya saudia n mtihan mzito san
@almarwazyahaythamy4905
@almarwazyahaythamy4905 4 ай бұрын
Iyo serikali ya kwenu ndo inamtihan nwrpes au
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
​​@@almarwazyahaythamy4905 usifananishe Kenya au Tanzania na alipozaliwa mtume muhammad(s.a.w).sehem ambayo kuna chimbuko lake hata serikali ilikua ikifata nyayo zake kwa kipindi hicho😢. Anayoyasema sheikh ni ukwel unaouma ila haupingiki
@user-yu9gy6dg3g
@user-yu9gy6dg3g 4 ай бұрын
mtapoteza mda🕰⏱⏲ wenu bure makhurafi wakubwa ebu tuacheni saudia bwaana tunamambo yetu👏🏻🤲🏻
@LuluLillies-vv2rl
@LuluLillies-vv2rl 4 ай бұрын
Waambie ukweli 🎉🎉🎉🎉
@omarsakawa2070
@omarsakawa2070 3 ай бұрын
Mbona limekuudhi habib,kwani ni maneno ya yongo?
@user-ek3zk4bx5j
@user-ek3zk4bx5j 3 ай бұрын
Kafiri ww
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
Kwaiyo kumbe kuna siasa kwny uislam? Pinga hoja za sheikh kwa hoja zako unazoziamini kama wewe ni kidume kweli😅
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Ukweli unauma pole
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 ай бұрын
Acheni uwongo na mcheni Allah kwa maneno yenu kuhusu SAUDIA ARABIA
@ndarochibingu
@ndarochibingu 3 ай бұрын
Wanafnya sna Aya yte ww unawlamba sna
@husseinhassan263
@husseinhassan263 3 ай бұрын
hayo maneno yote ni kweli kabisa
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
Huo ni ujahil uliopitiliza ndugu yangu nenda kaatilie kws umakini yanayoendelea saudia kisha urudi ufute comment yako. Uislam sio ubishi😢
@AhmadSalim-dm4uk
@AhmadSalim-dm4uk 3 ай бұрын
Shekhe suudia uijuayo ww sio hii ya Leo . ni juz tuyh hapa limefunguliwa Duka lakuuza tembo shekhe msiba mzito
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 3 ай бұрын
King wa Saudia si muislam yule ni zionist ana support Israel bali ya hapo anapiga na kuua nduguze Yemen..Sasa uislam unasemaje kuhusu hilo...Yule kijana pale saudia haamini kabisa kwenye Uislam na pia si Muislam asiwapumbaze na vazi lile..
@user-gr3kq5vc5u
@user-gr3kq5vc5u 3 ай бұрын
Sheikh pia zungumzia mazuri ya Saudia. Masha'Allah
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p 3 ай бұрын
عن زيد بن ثابت رضي الله عنهما قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: "إنها -أي المدينة- طيبة تنفي الذنوب، كما تنفي النار خبث الفضة".
@mohamedjackson5593
@mohamedjackson5593 3 ай бұрын
Tatizo siasa imeingia kwenye Dini..nchi za kiislamu zina uadui kiasi cha kwamba hawawezi kubal kufuata mwezi wa mwingine
@user-do3fo8ei4c
@user-do3fo8ei4c 3 ай бұрын
Sheikh kaongea kweli kabisa
@user-bk2de8ov6c
@user-bk2de8ov6c 4 ай бұрын
Bismillah subhanallah
@shamzone388
@shamzone388 4 ай бұрын
Sisi wa oman ni karibu sana na suudia kwa ndege na gari lakini hatufuati suudiatwaangalia mwezi kama tulivyo amrishwa na allah
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 ай бұрын
Huo ni upumbavu wenu wa ushabiki wa madhehebu yaani baina ya inchi zenu mbili mwezi ukiandama kati yenu hamfuati mwingine?
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 4 ай бұрын
​@@selemankishema5780we ndo mpuuz soma dini we acha mihemuko
@johnlobuin4212
@johnlobuin4212 4 ай бұрын
Matusi nayo unatoa wapi?
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 4 ай бұрын
​@@selemankishema5780upuuzi wako
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 4 ай бұрын
​@@johnlobuin4212mjingaa kuna la kutukana hapa
@adilmansur4177
@adilmansur4177 4 ай бұрын
Mtaichukia sana saudia... Kinachowauma zaidi nyinyi watu wa bida'ah ni kuwa hamuezi ata siku moja kufanya upuuzi wenu ndani ya haramain... Ingekuwa huo upuzi mnaoufanya ni ibada kweli basi Allah angewafungulia kuzifanya ndani ya ardhi tukufu.. lakini kwa kuwa ni bida'ah na shirki tupu ndio maana Allah akajaalia kuzihifadhi haramain kupitia ulamaa na viongozi wa sunnah... Alhamdulillah
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 4 ай бұрын
Nikweri
@abiabi9353
@abiabi9353 4 ай бұрын
Kweli sisi hatuwezi kufanya lolote lakini mabwana zenu makafiri wakimarekani hufanya watakalo.Hapo ndo utathibitisha ujahili wa mawahabi
@adilmansur4177
@adilmansur4177 4 ай бұрын
@@abiabi9353 hao wazungu ndio mnaowaangalia kwenye tv zenu nyumbani usiku na mchana.. mwavaa kama wao mwaongea kama wao mwanyoa kama wao.. mnafanya maulidi kama wao.. mnazusha katika uislamu kama wao walivyozusha katika dini yao... Lakini kwenu ni halali kufanya hivyo.. tujirekebishe mm na wewe kabla ya kuwaangalia watu wengine... Heri hizi pombe waislamu wote walosoma na ambao hawajasoma wajua ni haraam.. ata anaelewa ukimuuliza atakubali ni haraam... Lakini mambo mnayoyafanya nyinyi ni mbaya zaidi kwani mpaka mtu awe na ilmu ndio ajue kuwa ni makosa makubwa.. mnawapoteza wengi ambao hawana ilmu.. Hauezi kumdanganya mtu yeyote kuwa pombe ni dini lakini waeza kuwadanganya wengi kuwa maulidi ni dini
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 4 ай бұрын
Bora makafiri kuliko waabudu makaburi nyny masufi
@abiabi9353
@abiabi9353 4 ай бұрын
@@abdulhalim5950 makafiri wapi wakati nyinyi pia ni makafiri.kwa hadith sahihi ya mtume mpenzi yeyote wa mnafiki ibn taymiyah na yeye pia ni mnafiki na kafiri
@Allybinamour
@Allybinamour 4 ай бұрын
mashallah,umeeleweka sheika. kwa hio hata hija ni bora watu tufuate jamaica tusende tena saudia.
@Mummy-ri5fk
@Mummy-ri5fk 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 mtihan huu
@user-co1wz9tz4n
@user-co1wz9tz4n 4 ай бұрын
Sawa
@user-co1wz9tz4n
@user-co1wz9tz4n 4 ай бұрын
Sawa
@ahz6907
@ahz6907 4 ай бұрын
Hujamwelewa sheikh!😅
@wadantz123
@wadantz123 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@kimeajuma3267
@kimeajuma3267 4 ай бұрын
Mimi nimekuelewa Sana, Mmarekani ndio anaongoza Saudia
@zuberihamza-pd3cm
@zuberihamza-pd3cm 3 ай бұрын
SUALA LA KUWA NA ELIMU HALIFANANI NA SUALA LA KUWA NA UFAHAMU, ALLAH TUNAMUOMBA ATUHIFADHI TUWE WENYE KUKATAZA MABAYA NA KUAMRISHA MEMA NA SI KUTANGAZA MABAYA YA WATU PASI NA KUANGALIA MEMA YAO.
@faimstech
@faimstech 4 ай бұрын
Very True
@rama_kajenza.
@rama_kajenza. 3 ай бұрын
Messenger of Allah, (ﷺ), said, "The worst person is someone who is two-faced. He is the person who comes to one group of people with one face and another group of people with another face."
@watchenyoyyourday2669
@watchenyoyyourday2669 4 ай бұрын
Kesho Ramadan
@lukmanabdi2015
@lukmanabdi2015 4 ай бұрын
Mashekh ya saiv kila shekh anajua yeye kuliko mwenzake wakati sote waislamu mtume wet mmoja na muongozo wetu quran
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
Weweee nenda katafte ilm acha kuongea pumba mtoto wa kiislam
@muhammadnassibu7706
@muhammadnassibu7706 4 ай бұрын
Hayo maneno unayozungumza sheikh izudin ujue utaulizwa mbele ya Allah nakukumbusha tuh
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 4 ай бұрын
Ataulizw wkt anazungumz ukweli, saudia Arabia kil kit wanaamua wanasiasa sio viongoz w dini, n hiy clip y hiy sheikh ipo ifuatilia mm niliiona kavaa scaf sheikh kawekwa ndan yaani ni narufuku kuzungumz masuala y Palestinia sharia kali utachukuliwa, itafute clip y sheikh mkuu wa makkah Sheikh Sudais anavoongea juu y Palestina nd utajua, saudia Arabia ni hovyo saiv sio kwamb hmn viongoz w dini ila wamebanw mnoo
@alishally6197
@alishally6197 4 ай бұрын
Cc bos tuko suudya twayaona sio yuwazua
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 4 ай бұрын
Kwan Kuna la uongo Kaseya hapo ww ndio uzinduke
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 4 ай бұрын
Hamtak kuambiwa ukwl saudia so nchi inayoendeshwa na sheria za kiislam nizakikafir
@mohamedrashid7864
@mohamedrashid7864 4 ай бұрын
Kaongea ukweli shekh izuddin ila mawahabi hawapendi kusikia haya
@user-iz2dw8rp2i
@user-iz2dw8rp2i 4 ай бұрын
Mashaallah bora ufungue watu masikio.ni sawa na kujipendekeza na mtu asie kuja kufata ya kwako ht iweje
@iddimohamed254
@iddimohamed254 4 ай бұрын
Mbona hijja mnaenda acheni ubishoo tunawajua watu wa twarika kwa kupoteza watu..
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 4 ай бұрын
Kama Mwenyezi Mungu angetuwekea Hijja sehemu mbili basi tungeenda sehemu nyingine kuliko kwenda Saudia​@@iddimohamed254
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
​@@iddimohamed254sasa tuende america ndipo ilipokua alkaaba au?. Pointless wallah
@iddimohamed254
@iddimohamed254 3 ай бұрын
@@ringsnflashestv8067 we fuata vile unataka ,,laa ikraa fi ddin....
@user-pp7ur5uf6z
@user-pp7ur5uf6z 4 ай бұрын
Sheikh mche Allah ! Kila suidia ilivo mbaya lakn kufadhilisha Jamaica kuliko suudia sio sawa shekh.ebu yarudi maneno yako.
@leilamsafiri8320
@leilamsafiri8320 4 ай бұрын
Kwani Jamaica imeumbwa na nani?
@ismyhugo8639
@ismyhugo8639 4 ай бұрын
​@@leilamsafiri8320lakini sio nchi ya kislam
@leilamsafiri8320
@leilamsafiri8320 4 ай бұрын
@@ismyhugo8639 Uislamu si nchi ni mtu au watu na Imani zao kama sisi hivi.
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
Ndugu yangu saudia imezid kufru yaaan wanayoaanya sasa ni kuudhalilisha uislam,upotoshaji na hata kumdhalilisha mtume wetu(s.a.w) kwaiyo sheikh ameongea ukwel bora ufate unaowajua wahuni kuliko wale wanaojificha ficha ila ni dhshir zaid ya wahuni
@leilamsafiri8320
@leilamsafiri8320 3 ай бұрын
@@ismyhugo8639 UISLAMU ni watu si nchi
@imamumohamedmalina6995
@imamumohamedmalina6995 4 ай бұрын
Jazaak LLAHU khairan 🙏
@bakarhamadhassan4484
@bakarhamadhassan4484 4 ай бұрын
SHEIKH Umesema kweli . Kwa wale ambao wameshakwenda hijja wanavyoteswa kuingia mckitini na maaskar . Chini nafasi zipo wanalazimisha waumini wapande ngazi wakaswali juu na maaskari hao wanaweza kuondosha mswala au kukusukuma ukiwa tayari umesha hirimia swala. Kwakweli uislam wa saudia mtihani tayari wanafungua kumbi za starehe . Kwa 7bu SHEIKH amesema ukweli endelea.kumtukan nakumdharau
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 ай бұрын
Na ukiwa na irizi askari nimeskia wanakutimua,hilo ujaskia?
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
​@@hafidhwajina6718kwaito unapitisha hoja iyo kuhalalisha maovu yao? Yale masanamu wanayotaka kuyajenga saivi je? Si kama hiyo hirizi tu
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 3 ай бұрын
@@ringsnflashestv8067 sisi hatuchukui dini kwa viongozi wa dora ya saudia,wanavyuoni wa soudia si viongozi wa nchi,
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p 3 ай бұрын
فقال مخاطباً مكة: (واللَّه إنَّك لخيرُ أرض اللَّه، وأحبُّ أرض اللَّه إلى اللَّه، ولولا أنِّي أُخرجت منك ما خرجتُ)
@bensonamusavi-hy4yt
@bensonamusavi-hy4yt 4 ай бұрын
Allah akurehemu
@adilsaleh3867
@adilsaleh3867 4 ай бұрын
Kenya pia kadhi apangiwa cha kusema. Dini si team kushabikia kama mpira. اللهم أرنا الحق حقا وارزقنا اتباعه
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
Kwaiyo kenya na saudia ni sawa?😅😂😂😂
@user-bg2yc4kw9k
@user-bg2yc4kw9k 4 ай бұрын
Subhanallah
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 4 ай бұрын
Subhaanallhah..
@prettynayally2177
@prettynayally2177 4 ай бұрын
Ingekuwa makkah inawez Hamsha tugeihamisha Africa 😊
@azizayassin3623
@azizayassin3623 4 ай бұрын
😢😢😢😢kwa kwali
@mohammedsiga7202
@mohammedsiga7202 4 ай бұрын
Wa makka waliukataa uislamu.. waa Africa ndio tuliukubali mwanzo .. Alhamdulillah ❤️
@ismaelmwinyi921
@ismaelmwinyi921 4 ай бұрын
Africa yenyewe inaendeshwa na wazungu,viongozi wa nchi za Africa wanafuata matakwa ya wazungu,nchi hazijitegemei zenyewe,we unafikiri Raisi wa nchi yeyote ya kiafrica akienda kinyume na wao atabaki madarakani?
@WaridiTambi
@WaridiTambi 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-ts1kz1lw9p
@user-ts1kz1lw9p 3 ай бұрын
إن الله تعالى قيّض لها ملائكة يحرسونها، فلا يستطيع الدجال إليها سبيلا؛ بل يلقي إليها بإخوانه من الكفار، والمنافقين، كما أن من لوازم دعاء النبي صلى الله عليه وسلم بالصحة ورفع الوباء ألا ينزل بها الطاعون، كما أخبر بذلك المعصوم صلى الله عليه وسلم. (البر، 1997، ص 158
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 ай бұрын
Naam sheikh wangu yani umeongea facts Saudia imepoteza mwelekeo kabisa hata mm sipo pamoja nao hata robo
@user-bz1rc1yk3y
@user-bz1rc1yk3y 4 ай бұрын
Ed nimeelewa vizur
@mamuomar5749
@mamuomar5749 4 ай бұрын
Sai hata hairusiwi kutowa sadaka msikitini ukishikwa watowa sadaka msikitini watiwa ndani SubhanAllah
@najimnagy6020
@najimnagy6020 3 ай бұрын
Safi sana ustadh.
@KassimEdrisa-dd7zh
@KassimEdrisa-dd7zh 12 күн бұрын
Wewe ni shekh hamnazo
@saddamzy
@saddamzy 3 ай бұрын
Saudia ardhi ya TAWHEED .Ndo uislamu umezaliwa pale.sasa wazungumzaji kama hawa wakuhamasisha ndo suluhisho? Anavomaanisha chemchemi yetu ya dini iwe Jamaica.Subhanallah
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 4 ай бұрын
Amin
@mwanakombokalamu7009
@mwanakombokalamu7009 4 ай бұрын
Ni kweli kabsaa sheikh hata sai marufuku kula iftar misikitini huu mwezi wa Ramadhan
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 3 ай бұрын
Shekhe upo sawa saudia dini imeyumba sana. Wamebaki na ufalme wao tu
@musasaid7917
@musasaid7917 4 ай бұрын
Karibuni sasa utaskia wanafuata Saudia ni dhambi kufuturi mskitini, kuwaombea wapalestina kwenye qunuti na pia kuswali kwa speaker. Hayo hayako mbali.
@ChiringaLwambi-mi7bz
@ChiringaLwambi-mi7bz 4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ndio anae jua ushindi wa wapalestine wakati dakika na sekunde Insha Allah
@husseinally6699
@husseinally6699 4 ай бұрын
Kweli kabisa saudi asaiv imeharibika sanaaa tena sana ikiwemo na zanzibar yetu , ila hapo kwenye kufunga mimi nafunga mwezi ukithibiti kuandama popote hata ukiandama mabwe pande
@MuhamedYussuf
@MuhamedYussuf 4 ай бұрын
Mashallah
@user-yu9gy6dg3g
@user-yu9gy6dg3g 4 ай бұрын
nchi yangu hiyo saudia 😎🤓✌🏻
@user-fk6mt5ib6g
@user-fk6mt5ib6g 3 ай бұрын
Kumbe we msaudia? Ebu tuone pass yako.
@user-yu9gy6dg3g
@user-yu9gy6dg3g 3 ай бұрын
ni nchi ya kila muislamu @@user-fk6mt5ib6g
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@mrok284
@mrok284 3 ай бұрын
Masha Allah
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 4 ай бұрын
Mimi Niliwambia hao Wasaudia Arabia walisha tekwa na mayahudi na marekani, Alafu hao viongozi Wa nchi hio ni Mawahabi. Alafu huku kwetu ndio waislam wanao ongoza kuradi waislam wengine, Kwanini hawawaradi mawahabi wenzao wa Saudia?
@DawoudMohamed386
@DawoudMohamed386 4 ай бұрын
Naomba Nikuulize Swali ndugu yangu. (1) Saudia imekukosea Nini? (2) wewe Nchi Yako uliyopo Kiongozi ni Muislamu? (3) Saudia ni Nchi kama Nchi nyengine, na Ni Nchi ya Kiislamu, na kupatikana Makosa ndani yake Lazima Kwa Sababu wanaoiendesha ni Wanadamu sio Malaika...Mbona Lawama zote mnazipeleka Saudia?
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 4 ай бұрын
@@DawoudMohamed386 Kuhusu swali lako la kwanza Saudi Arabia wamenikosea nini, Kwanza elewa mimi similiki nchi, Pili elewa nchi ya Saudia ili ionekane kunikosea kwanza Umesema mwenyewe ni nchi ya kiislam sasa makosa yanaanzia hapo nchi ya kiislam kutofuata misingi na sheria za kiislam, Saivi viongozi Wa dini wa Saudia hawana mamlaka yoyote zaidi ya kutii sheria na amri za kifalme na sio Quran. Hapo ndipo makosa yao yalipo na kwakitendo hicho hata Allah hapendi na hivyo mimi ninani niungane nao? Siwezi.
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 4 ай бұрын
@@DawoudMohamed386 Kuhusu swali lako la pili, Jee nchi Niliyopo kiongozi ni mwislam? Jibu ndio ni mwislam tena anaitwa Samia Suluhu Hassan, Au ulimanisha kiongozi wa dini? Kama ni kiongozi wa dini yupo anaitwa shekh ABBAKAR ZUBERY. Kama hukuwa na maana hii rudia kuuliza swali vizuri.
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 4 ай бұрын
@@DawoudMohamed386 Swali lako la tatu unasema kwanini lawama zote tunazipeleka Saudia? Wakati na yenyewe ni nchi Kama nchi zingine na unaongozwa na wanadamu Sio malaika. Majibu ni kwamba ili nchi iwe ya kiislam Shariti kwanza itimize hukumu zote za kiislam na ifuate misingi yote Quran na uislam sahihi kwa ujumla wake.
@thuweinmassoud9062
@thuweinmassoud9062 4 ай бұрын
​@@DawoudMohamed386 Hhh kama imekuuma mfuate dm lakini ukweli umesha semwa
@shabanramadhan7632
@shabanramadhan7632 4 ай бұрын
Kuna umuhimu wa kuikomboa Tena makka
@joycelinelyimo-fenske8745
@joycelinelyimo-fenske8745 4 ай бұрын
Huyu kapikwa na Wazungu. Saudi Arabia amemfungia mafuta Mmarekani. Sasa Mmarekani aliyekuwa rafiki yake hapo zamani za kale ndio anamfunua Uchida na kumsingizia ili Waislamu wote Duniani wawachukie haswa kwa mfalme na mabinfalme. Huyu ni kibaraka pia...! Ushindwe katika jina la YESU.
@user-fk6mt5ib6g
@user-fk6mt5ib6g 3 ай бұрын
Pambana kujikomboa kama mwafrika, wasaudia sio nduguzenu Wala hawakukubali hata kidogo.
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 4 ай бұрын
BASI HIVYO WAFUNGE WAO KATIKA MAJUMBA YAO..KUIKOSEA DINI NI KUMKOSEA ALLAH
@jamalalnadhir4058
@jamalalnadhir4058 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@simakhsimai3579
@simakhsimai3579 4 ай бұрын
😢 allahu akbar
@mohammadswaleh6900
@mohammadswaleh6900 4 ай бұрын
Mufti kwenu lamu Mashkhe wenu wakubwa wanajulikana kwa uchafu Mbona mwayanyamazia?Au kwasababu ni Family zenu munawastiri Kuweni na inswaf na dini. Shida mwasubiri pesa za KZfaq za hao hao makafiri SubhanaAllah
@user-wz4iz9xv8t
@user-wz4iz9xv8t 4 ай бұрын
Ww shekh muogope mung ww sisi sote tuna muomba mungu tuu acha kuwakejer waisilaam wezako
@omarsakawa2070
@omarsakawa2070 3 ай бұрын
Kwani lipi limekukera?
@bagalucha
@bagalucha 3 ай бұрын
Tatizo wengi ya hawa washihiri/wayemen wanaochikia saudia,ujuaji na ushindani Ndo khalaka zao,ndio maana ujuaji wao haweshi kupigana vita wenyewe kwa wenyewe,nchi wameitia ufukara kwa ujuaji wao,mashia/houthi nia wao,masufiya waabudu mawalii Ndo wao,almradi hawa watu mtihani mtupu wa ujuaji,wasiokuwa nao,ama kwa kusema huwawezi na utoaji makosa,Allah keshaijalia Kaaba ipo Makka Saudia,sasa mnataka hilo Kaaba liondoshwe liende wapi,kazi asubuhi na jioni kupotosha tu,elimu hamna,ama ujuaji mnao
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 4 ай бұрын
Innalillah wainna illahi rajuon waislam tumekuwa yatima
@ShirazOmmy-nx2kk
@ShirazOmmy-nx2kk 3 ай бұрын
We kasome Kwanzaa
@iddimasero6567
@iddimasero6567 3 ай бұрын
Tufuate maneno mwenyezi mungu na mtume
@gasperjohnson3388
@gasperjohnson3388 3 ай бұрын
Mungu haongei kilaza wewe😂
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
​@@gasperjohnson3388kwa fikra na imani yako lakini kwa imani yetu maneno yake ni Qur-an😊
@ismailmohamed41
@ismailmohamed41 3 ай бұрын
MZUSHI MSANII CHIZIDINI UMEFEDHEHEKA NA URONGO NA UCHIZI WAKO. ALLAH NDIYE ATAKAE KULIPA KWA UOVU NA UPUMBAVU.
@batwalasiraji1729
@batwalasiraji1729 4 ай бұрын
Shekh pole sana rudi shuleni labda kuna kitu ulisahau kusoma
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 3 ай бұрын
Sehemu kama kuna tawheed hakuna mtu ataiharibu dini ya mwenyezimgu mohd bin seleman ata akafanya mbinu gani kuiharibu dini ya mwenyezimgu dini itakua palepale lakini ikiwa bidaa dini itaenda maji.
@gamarmahsan8254
@gamarmahsan8254 3 ай бұрын
Allahu Akbaar jambo la kuskitisha
@abdusalamrugami3520
@abdusalamrugami3520 4 ай бұрын
Allah atuhifadhi na matendo ya sudia
@khadijaabdalla8652
@khadijaabdalla8652 3 ай бұрын
❤❤
@ppandenassoro6666
@ppandenassoro6666 3 ай бұрын
Ukowapi uwiano wa Saudia na Jamaica .Allah akuongoze ni hasadi ya watu waovu kuwasemea masheikh wa Saudia wakati wenyewe wapo .Ulamaa wanafanya duruusu na wanatoa Fatawa mbalimbali
@furahangumbao
@furahangumbao 4 ай бұрын
Kweli
@user-fq3zu9pc4b
@user-fq3zu9pc4b 4 ай бұрын
Anachozungumza Sheikh Ni sahihi...na kiukweli Saudia imeharibiwa Sanaa na Utawala wa kifalme ...Lakin hoja ya Mwezi sio kweli hua unaandama Saudia tu...Nchi nyingi tu huonekana
@mohamedalawy6172
@mohamedalawy6172 3 ай бұрын
Tatizo hapa Kenya , mwezi unakubalika ukionekana sehemu fulani , lakini ukionekana maeneo mengine haukubaliki .
@user-yq8jf1ue7o
@user-yq8jf1ue7o 4 ай бұрын
Sheikh izzu ddyn maashallah
@hemedihussein9208
@hemedihussein9208 4 ай бұрын
Nikweli kabisa
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 4 ай бұрын
Sheikh ww umeongea ukweli Kabisa sasa mtu akitaka kusikia ni sawa na wasipotaka wao na MUNGU wao
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 4 ай бұрын
Acheni kulalama kwani wakati Saudia haijaja badilika mlikuwa mnaifuwata kama kubadilika nijuzi tu miyaka yote mbona mlikuwa hamfuwati
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
Mskilize vizur shekhe punguza mihemko sawa
@zanzibar-hf7vh
@zanzibar-hf7vh 4 ай бұрын
takbiir
@ubamwamkoba3054
@ubamwamkoba3054 4 ай бұрын
Allahu Akbar
@irtshisekedikhamis5648
@irtshisekedikhamis5648 4 ай бұрын
Allahu Akbarullahu Akbar
@hamadiomari6839
@hamadiomari6839 4 ай бұрын
Allah Akbar
@babanusayba3600
@babanusayba3600 4 ай бұрын
هداك الله
@mastermacheni932
@mastermacheni932 4 ай бұрын
Kumbe wajuwa hatufati soudia tunafunga mwezi ukionekana duniani kote
@abdalla003
@abdalla003 3 ай бұрын
Huyu shekhe anatumia hekma kuhalalisha yasiyofaa,ni km hajui kuna tofauti ya UISLAM na MUISLAM 1)Wanayoyafanya saudia km makosa isiwe sababu ya kukosa kufata Quran na Sunah maana hata ww unafata sheria za Kenya ambazo nyingi ni za kikafiri 2) Mwezi hata ukionekana sehemu zingine huwa hamufati ila lawama linasukumwa kua 'mwezi ni wa saudia' 3) Anasema Saudia ilikua kitambo kwa maana ilikua katika mwelekeo wa sawa Je hiyo zamani mlikua mnafata wakiwaambia kuhusu mwandamo wa mwezi??? Ni bora uendelee na mawaidha yako ya zinaa hiyo sekta ndio uko active sana huku kwengine mmmh ata siamini na iyo elimu unaeza bwabwaja hivo...
@abdulykahera4273
@abdulykahera4273 4 ай бұрын
Hawa masufi kazi yao kubwa nikuiponda saudia sisi wengine tushajua nijuhudi zamashia kuidondosha suna
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 4 ай бұрын
piga kelele lakin saudia itabaki kua dola ya kiislam na dola ya tawhiid...
@hassanboru
@hassanboru 4 ай бұрын
Dola ya kiislamu na Kila kitu Iko against Islam awasaidie ndugu wetu Palestine tuwe na Taqwa zamani lakini sio sai
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 3 ай бұрын
@@hassanboru iko against na kipi? we hufikirii kama saudia ikianza kuingia vitani nini kitawatokea? au unadhan kukurupuk ndo soln? acheni kuituhumu saudia na ni makosa kusema saidia na jamaica bora Jamaica!! huko ni kukosa kujua thaman ya uislam lkn nendeni huko jamaica mkale mirungi
@abdinoormohameddido4950
@abdinoormohameddido4950 4 ай бұрын
Si sawa sheikh unavyosema ila ni kupotosha,,,bado hajj na umrah utaenda huko saudia
@abdab8466
@abdab8466 4 ай бұрын
Hajasema makosa saudia kulikua na Halloween,hata Kenya nchi ya kikristo pia hatujasherehekea halloween
@abdab8466
@abdab8466 4 ай бұрын
Mambo yanayofanyika saudia hayapendezi kama kiigizo chema kwa waislamu
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 4 ай бұрын
Saudi Arabia hamna kitu walishasaini mkataba na mayahudi kutokuiunga mkono Palestine muda mwingi sna kwa hiyo ndio maana hawataki mambo yeyote kuhusu Palestine mtihani mkubwa
@mharamimntoro4939
@mharamimntoro4939 4 ай бұрын
Ww unausingizi kajisaidie ulale Maana hujui unachokisem
@FeisalDoctor-tn9vd
@FeisalDoctor-tn9vd 4 ай бұрын
​@@mharamimntoro4939tuambie ww icho unchokijua kiseme
@salahhddindasuvic6447
@salahhddindasuvic6447 4 ай бұрын
Dah
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 4 ай бұрын
Yaanni saudia ina kiongozi anaipeleka atakavyo. Masheikh hawana la kusema. Mtihani. Ni kweli ni bora kufuata jamaika hawana lao jambo.
@msamgunda7684
@msamgunda7684 4 ай бұрын
Lengo kuu ni kuutawanya umma wa kiislaam.lengo linatimia sasa.
@joycelinelyimo-fenske8745
@joycelinelyimo-fenske8745 4 ай бұрын
Ndio. Na ndio wameingia pale kitovuni. Western. Ni weupe tu lakini ni Evils 😈.
@joycelinelyimo-fenske8745
@joycelinelyimo-fenske8745 4 ай бұрын
Mimi ni mkristo. Lakini dini ya Kiislamu ndio iliyokita kutoka mawaidha ya hapo zamani za kale. Sasa wazungu hawa walioiandika biblia haswa kwa upande wa Agano jipya ndio wako sambamba na shetani.
@asiahamis7893
@asiahamis7893 4 ай бұрын
​@@joycelinelyimo-fenske8745unaonaje rafik yang ukasilimu ukawa muislam ❤
@sheikhhassanahmad8465
@sheikhhassanahmad8465 4 ай бұрын
Hiyo Zamani simulikua mukiupinga huo uislamu Saudia,sasa mwatambia afadhali Zamani ilikua ikiendeshwa kislamu
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 4 ай бұрын
Na kila mtu anapenda aishi suudia ndio maana wanazuia njia yoyote ya kuingia kiholela holela ili uingie lazima uwe na tiketi ya hoteli unayofikia ili ukimaliza siku zako uondoke,ila nyie masufi hamyajui hayo kazi kuipondatu suudia.
@makendemakende
@makendemakende 3 ай бұрын
Safari hii HAJJ na UMRAH tutaangalia JAMAICA 🇯🇲 , tusisahau kupitia mskiti wa bob Marley
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
Kwa hilo jina lako hata comment section haikuhusu . Hivi kumbe wewe ukienda hijja unstakiwa uifate saudia na sio alkaaba kwa sharia za Allah? 😅
@laylayl5166
@laylayl5166 4 ай бұрын
MashaAllah mungu akulipe kheri nyingi nyingi
@user-ym3yy4oz1c
@user-ym3yy4oz1c 4 ай бұрын
We shehe mnafiki
@MOHAMEDYUSUPH-oq1th
@MOHAMEDYUSUPH-oq1th 3 ай бұрын
Haraamu kumuita muislamu mwenzio mnafiki c vizuri
@ringsnflashestv8067
@ringsnflashestv8067 3 ай бұрын
​Tena Sio muislam wa kawaida tu yaan ameita mnaafik aalim sheikh mkubwa tu east Africa 😢 dah ​@@MOHAMEDYUSUPH-oq1th
@LuluLillies-vv2rl
@LuluLillies-vv2rl 4 ай бұрын
Saudia is the holy place that why we follow as sunnis
@alwyjahdhamy8094
@alwyjahdhamy8094 4 ай бұрын
He its holy but the leaders are making us to question their Islamic movements. Especially on moon sighting
@KassimEdrisa-dd7zh
@KassimEdrisa-dd7zh 12 күн бұрын
Hatuwezi kuiacha haki na kuwafuata Masufi wa dini mseto
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 40 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 54 МЛН
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,7 МЛН
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 85 М.
NAMNA YAKUJITOA KWENYE MATATIZO NIHIVII.
20:35
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 13 М.
FAMILIA YA MZEE KICHECHE (Ep 09)
20:30
kicheche
Рет қаралды 326 М.
NINI HUKUMU YA MTU ANAEISHI NA KIMADA
8:47
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 22 М.
Поймал редкий кадр🤨
0:22
FERMACHI
Рет қаралды 2,4 МЛН
БЕЛКА ПЕРЕПУТАЛА ТАРЕЛКИ #юмор #cat #топ #cats
0:13
Слепой перехитрил свою жену😳
1:00
Kino_sh
Рет қаралды 10 МЛН
Такие сладости мама точно разрешит
0:22
Даша Боровик
Рет қаралды 4,6 МЛН
Поймал редкий кадр🤨
0:22
FERMACHI
Рет қаралды 2,4 МЛН
ТГК: ЛОГОВО FRIENDS #россия #чатрулетка
0:21
АлексДан
Рет қаралды 6 МЛН