KUWA NA TABIA 3 ILI KUONGEZA UTAGAJI WA KUKU WAKO

  Рет қаралды 15,857

Bwana Shamba

Bwana Shamba

4 жыл бұрын

Katika video hii nimeelezea tabia tatu ambazo kama mfugaji unahitaji kuwa nazo ili kuongeza utagaji wa kuku wako
kama tunavyojua wafugaji wengi wakiona kuku hawatagi huwa wanakimbilia kwenye chakula na magonjwa lakini ukweli ni kwamba kuku wanaweza wasiumwe na wakapewa chakula kizuri na bado utagaji ukawa chini.
Hivyo nitoe wito kwa wafugaji wa kuku kwamba wakati mwingine ni wewe mwenyewe ndo unasababisha kuku wako wasitage hivyo ni vyema kujirekebisha
kama umependa kipindi usiache kulike pia weka comment yako hapo utuambie kama kuna tabia nyingine za kuacha tuzidi kujifunza
kwa mawasiliano zaidi nitafute kupitia
Email; abasiawazi075@gmail.com
Instagram;
/ abasi_alfani
whatsap
+972 552 726 444
Asante.

Пікірлер: 51
@shebbyelphonce8514
@shebbyelphonce8514 3 жыл бұрын
Bwana shamba hongera sana unajua kamanda
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 4 жыл бұрын
Asante sana bwana shamba
@anithafredrick6339
@anithafredrick6339 4 жыл бұрын
Safi sana Bwana shamba ni kweli kabisa.
@sadifata2160
@sadifata2160 4 жыл бұрын
Sawa bana
@rogersmadeni4815
@rogersmadeni4815 Жыл бұрын
Leo nimejifunza kitu, Safi Sana bwana Shanna
@tatujuma3936
@tatujuma3936 3 жыл бұрын
Salute broo
@jumannejumaa7732
@jumannejumaa7732 4 жыл бұрын
Hii ni Kali aisee
@majububarnabas220
@majububarnabas220 4 жыл бұрын
Sawa
@sadikisadiki360
@sadikisadiki360 4 жыл бұрын
Nimependa hiii
@jocety4426
@jocety4426 4 жыл бұрын
Asante bwana shamba, nimekuelewa Sana🙏🙏
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Karibu sana
@hamisimpombo6426
@hamisimpombo6426 3 жыл бұрын
asante kwa darasa
@gagasima9506
@gagasima9506 4 жыл бұрын
Kwelii kaka
@petrombwelwa451
@petrombwelwa451 3 жыл бұрын
Bro hapo tabia ya kwanza maelekezo hayajitoshelezi kabisa ongezea mkuu itakuwa poa. Halafu upole na utaratibu kuna tofauti kubwa sana.
@hamiloyusufu1982
@hamiloyusufu1982 4 жыл бұрын
💪💪
@akidasalim3859
@akidasalim3859 4 жыл бұрын
Asante
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
shukran
@fadifadifadi9776
@fadifadifadi9776 4 жыл бұрын
🙏🙏
@daniganyi6343
@daniganyi6343 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@ShukuruJulliasi-gj1pw
@ShukuruJulliasi-gj1pw 5 ай бұрын
Og og
@fraternitesecondaire7073
@fraternitesecondaire7073 11 ай бұрын
Sf San bro
@makilimoabasi4043
@makilimoabasi4043 4 жыл бұрын
Nimependa sana maelezo yako nimejifunza kitu
@hamisahanip1553
@hamisahanip1553 4 жыл бұрын
💪💪💪
@shebbyelphonce8514
@shebbyelphonce8514 3 жыл бұрын
Bwana shammba unajua nimekukubali
@elly6014
@elly6014 4 жыл бұрын
Safìii boss
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Ndio mkuu bakubal
@reginaldmsofe2437
@reginaldmsofe2437 3 жыл бұрын
lahashaa
@dlumala
@dlumala 2 жыл бұрын
Abas naomba uniunganishe na fundi wa Banda later kuku mie mapishi tegeta wazo
@readafu4684
@readafu4684 4 жыл бұрын
Binafs nimeelewa
@fakijukalo3217
@fakijukalo3217 4 жыл бұрын
Nimependa kipindi
@zaharamakota7434
@zaharamakota7434 2 жыл бұрын
Jamani nani anakata midomo ya Kuku kila siku😂😂😂😂😂😂
@hamidajilo5792
@hamidajilo5792 4 жыл бұрын
Mi wangu asilimia 84🤗🤗
@leedsoldat4189
@leedsoldat4189 2 жыл бұрын
Umefanikiwaje ndugu?
@leedsoldat4189
@leedsoldat4189 2 жыл бұрын
Hongera sn
@petermaniche1009
@petermaniche1009 3 жыл бұрын
Mbona kwa kuku wa kienyeji hesabu inashuka sana?....
@brightsakafu7835
@brightsakafu7835 4 жыл бұрын
Naomba kujua dawa ipi nzuri kwa kuuwa utitiri bandani, au nifanye nini kuzuia utitiri. #bwanashamba
@abubakarmzee3374
@abubakarmzee3374 4 жыл бұрын
Hahahahahaha wewe so bwana shamba wewe ni Muhasibu wa mamlaka ya mapatp T R A
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
😃😃😃😃 duuh
@abubakarmzee3374
@abubakarmzee3374 4 жыл бұрын
Maana iko siku kwa esabu izo utakuja kutupa kaz wafugaji kuja kuesabu hadi manyoya ya kuku
@marioedward4125
@marioedward4125 Жыл бұрын
Hapo kwenye kua mpole sasa
@zubedadahalgould8809
@zubedadahalgould8809 4 жыл бұрын
Jee ikiwa mfanya kazi wa kuku anapenda kupiga music huko bandani anapofanya usafi au kuwapa asubuhi chakula jee inakuwaje
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Kama ndo tabia ya kila siku kuku wanazoea lakin ni muhim na ni Bora zaid kukitulia
@tuilakunywa7776
@tuilakunywa7776 4 жыл бұрын
Mi kwangu imekuja 70
@dakahuop1255
@dakahuop1255 4 жыл бұрын
Pia usafi wahitajika
@bilnjr7966
@bilnjr7966 2 жыл бұрын
kuku kwa kawaida hutaga mda gani mchan au usiku
@nariyamaria966
@nariyamaria966 2 жыл бұрын
Ila mimi wangu wananiletea hasara sipati faida
@agnesmartin9311
@agnesmartin9311 2 жыл бұрын
38 napata mayai matano kwa kuku 13 nifanyaje
@memochep9637
@memochep9637 3 жыл бұрын
Wapi whatsapp kutoka kenya
@fanihama5031
@fanihama5031 4 жыл бұрын
Aisee mi hata 60 haifiki😔
@basiopolio3303
@basiopolio3303 4 жыл бұрын
Bwana shamba
@user-ss4lx5en7z
@user-ss4lx5en7z 7 ай бұрын
Nitumie no ya Whatsapp
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 43 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 7 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 6 МЛН
IJUE CHANJO YA TATU MOJA
11:38
farmers centre
Рет қаралды 10 М.
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
SABABU ZA KUKU  KUACHA KUTAGA
5:50
AGALUS TV
Рет қаралды 7 М.
MBINU 3 KUZUIA MAGONJWA YA KUKU/kilimo na mifugo israel
8:22
Bwana Shamba
Рет қаралды 41 М.
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 43 МЛН