NJIA 4 ZA KUKU KUTAGA SANA KIPINDI CHA BARIDI/kilimo na mifugo israel

  Рет қаралды 27,388

Bwana Shamba

Bwana Shamba

4 жыл бұрын

kwenye video hii nimeelezea njia 4 unazoweza kutumia ili kuzuia kuku wako kupunguza utagaji kipindi cha baridi

Пікірлер: 92
@user-jr2hs3hh5f
@user-jr2hs3hh5f 2 ай бұрын
Hongera sana kwa mafundisho mazuri yenye kuimarisha uchumi
@georgemelkiad6820
@georgemelkiad6820 4 жыл бұрын
Bwana shamba asante kwa masomo mazury. Nlikuwa naomba utufahamishe formula nzuri ya kutengeneza chakula cha kuku kuanzia starter, grower na layers mash kwa kuku chotara au kienyeji
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Asante Sana Kwa swali zuri nitaandaa kipindi kitakacho elezea hayo pia nataka nikutane na mtaalam wa huku Israel ili niwapatie mambo mazuri Zaid.
@johnalphonce8600
@johnalphonce8600 4 жыл бұрын
George Melkiad mim pia nahitaj hio formul
@hoseatv9256
@hoseatv9256 4 жыл бұрын
Hata mm nina kuku wa miezi 3
@pauljoseph8374
@pauljoseph8374 2 жыл бұрын
@@hoseatv9256 mimi pia nahitaji hiyo formula
@neemamwambene3963
@neemamwambene3963 4 жыл бұрын
Bwana shamba Abas,hongera sana kwa kazi nzuri Naomba no yako
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
+972 552 726 444 ntafute kupitia whatsap, pia ni kwa ajili ya ushauri na maswali kuhusu ufugaji tu
@emmanueleddiemwamakula3398
@emmanueleddiemwamakula3398 10 күн бұрын
Mwanga ni kitu muhimu sana ukiondoa chakula bora
@astonishmbwambo185
@astonishmbwambo185 4 жыл бұрын
Masomo mazuri Sana kaka yamenifungua
@momumofarms
@momumofarms 4 жыл бұрын
Kazi nzuri ndugu yangu, hongera sana aisee
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Asante Sana ndugu yangu
@sandacksai250
@sandacksai250 2 жыл бұрын
@@bwanashamba7497 Kuku wang anaonekana kuwa kama ana baridi na hata kula hali tatizo ni nn , na tiba yake ni ipi naomba msaada
@manaselutungulu6200
@manaselutungulu6200 4 жыл бұрын
Bwanashamb aaasant sanaa kwa elim yako . LKN mm Ninaomb kujua namna ya kutengnez chakla cha kuku ngaz zoot 03 .vifaranga .wanaokua na .wanaotaga.
@elibarikishukya-lf3sk
@elibarikishukya-lf3sk Ай бұрын
Good
@fakijukalo3217
@fakijukalo3217 4 жыл бұрын
Kama we unapeleka mbele kuangalia emb sema tu gonga like hapa
@josephjrm9795
@josephjrm9795 Жыл бұрын
Nimelipenda somo lako Bwana shamba
@ModestGeorgeRenge-hf6bd
@ModestGeorgeRenge-hf6bd Жыл бұрын
Bwana shamba uko vizuri, sasa naomba kujua mchanganyo wa chakula cha kuku kulingana na makundi husika
@lutagatejumanne6254
@lutagatejumanne6254 4 жыл бұрын
Inakuaje bro m na swali liko nje ya mada kidogo etii kama nataka nkanunue vfaranga broiler uzito gm ngap kwa kifaranga kimoja 1 na nitegeneze banda kubwa kiasigani kwa vfaranga 200 naomba mchanganuo Ahsante
@yungtzafricanby3524
@yungtzafricanby3524 4 жыл бұрын
Asante kwa kunipa elimu
@davydany9648
@davydany9648 4 жыл бұрын
Nitarudia tena na tena kaka nenda moja kwa moja kwenye mada,alafu jiandae vya kutosha kabla ya kuwasirisha mada,kuepuka makosa yasiyo ya lazima,but keep it IPO bro
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Nimekuelewa Sana Kaka ila hii video ni ya muda kidogo kabla hukanipa ushauri ila kuanzia sasa na kuendelea utaona mabadiliko Thanks sana
@davydany9648
@davydany9648 4 жыл бұрын
Kila LA her mdogo wng mafanikio yetu yapo ktk juhud zetu baada ya kupewa baraka na mungu ktk hilo tunalolifanyia juhudi
@lwitikomwakasamila6784
@lwitikomwakasamila6784 4 жыл бұрын
nimeipenda na kujifunza sana
@eliaskarisha5907
@eliaskarisha5907 3 жыл бұрын
Shukrani sana
@sadikisadiki360
@sadikisadiki360 4 жыл бұрын
Good job
@fridahjohn5723
@fridahjohn5723 4 жыл бұрын
Good job ,,mzee mpana na team Israel wote,,,
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Thanks sana
@gabrielmayo3148
@gabrielmayo3148 3 жыл бұрын
Asantee sana
@gabrielmayo3148
@gabrielmayo3148 3 жыл бұрын
Samahani nilikuwa b aomba kujua chokaa zakuchanganya kwenye chakula Cha kuku niipi nainapatikana wapi
@afrieagle8314
@afrieagle8314 Жыл бұрын
New subscriber ✔️ masomo yako n mazur sana cio mchoyo wa maarifa ✔️Naomba uandae video ya vipimo vya chakula kwa kuku chotara tafadhar
@hosianamollel316
@hosianamollel316 2 жыл бұрын
Mimi niko Arusha, naanza ufugaji wa kuku wa mayai ya kisasa yaani layers. Naomba kuongezewa elimu juu ya hili kuanzia ujenzi wa banda mpaka kuanza kuweka kuku. Nitaanza na kuku 500
@makamejumanne4313
@makamejumanne4313 4 жыл бұрын
Habari bwana shamba, naomba kujua inasemekana kuku akinenepa sana anapunguza utagaji au kutotaga kabisa na akipungua uzito au kukonda sana ni tatizo kwenye utagaji!! Je nitajuaje uzito/unene sahihi kwa kupata utagaji mzuri?? Ahsante
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Asante kwa swali zuri kiujumla ni kweli kuku atakiwi kuwa na uzito mkubwa kupitiliza lakini pia asiwe na uzito mdogo na vyote hivi vina endeshwa na kiasi cha chakula unachowapatia kuku anaetaga vizuri kwa wastani awe na 1.5kg ila sasa inaweza ikabadilika kulingana na aina ya kuku
@makamejumanne4313
@makamejumanne4313 4 жыл бұрын
@@bwanashamba7497 ok, thanx...
@elibarikishukya-lf3sk
@elibarikishukya-lf3sk Ай бұрын
Kuku kuingiliana kwenye kuatamia ,je utafanyaje
@jumannejumaa7732
@jumannejumaa7732 4 жыл бұрын
Tumeelewa
@fadifadifadi9776
@fadifadifadi9776 4 жыл бұрын
Kipindi kipo mkao ukumbuke na maswali yetu wengine
@basiopolio3303
@basiopolio3303 4 жыл бұрын
Jamaa anawaza msosi Tu Hahahahaha
@dastanikiondo4187
@dastanikiondo4187 3 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana kaka unatuelimisha mengi kuhusu ufuga.ji
@botorewere1664
@botorewere1664 4 жыл бұрын
nice
@frankbella196
@frankbella196 4 жыл бұрын
Tunakuelewa na tunauzuria vipindi
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Thanks sana
@sadifata2160
@sadifata2160 4 жыл бұрын
Bwana shamba tuambie kifaranga cha bata kinaitwaje
@zainamnzava5357
@zainamnzava5357 3 жыл бұрын
Asante
@hisexcellencyhon.dandabeni84
@hisexcellencyhon.dandabeni84 4 жыл бұрын
safi
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Asante Sana mheshimiwa
@bigirimanatresor-tm3fm
@bigirimanatresor-tm3fm Жыл бұрын
Sawasawa
@user-nd1ym9hb9n
@user-nd1ym9hb9n 6 ай бұрын
Kuku Anataga kwa miaka mingapi ili tuseme kuku amezeeka na hatagi Tena?
@hamidajilo5792
@hamidajilo5792 4 жыл бұрын
Bwana shamba has a farm........ Ia ia ooooooooo
@mchmwal...z.a.ndelwa7838
@mchmwal...z.a.ndelwa7838 4 жыл бұрын
Barikiwa mana kuku zangu zimesimama zilikuwa ndo zimeanza kutaga sasa zimesimama gafula
@mustaphsimba4513
@mustaphsimba4513 4 жыл бұрын
Je mlonge una weza kusaga ktk blenda na juice iyo VP km ukiweka ktk fliji itafaa kuendelea ku2mika
@majaliwamaingu2825
@majaliwamaingu2825 4 жыл бұрын
Je, chakula cha Black soldier fly larvae aka Mafindo mfindo yafaa kwa ina ipi ya kuku.
@zilpahinyula2418
@zilpahinyula2418 4 жыл бұрын
Asante sana ila namba yako sijaiona kuna kitu nataka unifafanulie kuhusu ufigaji
@hamiloyusufu1982
@hamiloyusufu1982 4 жыл бұрын
Menejaaa
@jacksonmangula3578
@jacksonmangula3578 4 жыл бұрын
Kama ni tatizo la baridi unasemaje iwapo nitaweka joto ndani ya chumba?
@mohamedhaji2614
@mohamedhaji2614 2 жыл бұрын
Kwa nini kuku anapumua kwa shida Sana . Hili Ni tatizo gani. na nini nifanye
@zaidimakuka4882
@zaidimakuka4882 4 жыл бұрын
Ebwana nipo iringa Nina ng'ombe wa maziwa lakin Kila siku anapungua shida nn
@jumakilindi6732
@jumakilindi6732 4 жыл бұрын
Tunaomba elimu ya Hydroponic
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Sawasawa nalifanyia kaz
@marymangwela7737
@marymangwela7737 2 жыл бұрын
Kuku wangu wanataga mayai madogo
@sameersaid5058
@sameersaid5058 4 жыл бұрын
Kama kukuza vifaranga ningumu nini ufanye baada ya hao vifaranga kukototolewa, plz nisaidie kwa hili
@emmanuelmkongwa1108
@emmanuelmkongwa1108 2 жыл бұрын
kuku kuonana xana mpka kulana XHIDA ni nini??
@elly6014
@elly6014 4 жыл бұрын
Keep it up Broo
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
One love
@othumanilema3829
@othumanilema3829 11 ай бұрын
Tufanye nn ili kuku atotoe mayai yot
@nicolemariehubertine5249
@nicolemariehubertine5249 Жыл бұрын
Nina kuku wa mayai, naweza kuwatoa nje?
@emmanuelmkongwa1108
@emmanuelmkongwa1108 2 жыл бұрын
Kama kuku hawatagi VIZUR nafanyaje???
@issamgangaissa5905
@issamgangaissa5905 3 жыл бұрын
Je kuku wa mayai lazima apewe majani
@salimumroki1529
@salimumroki1529 3 жыл бұрын
Naomb namb Zak tu
@clarakilonzo9178
@clarakilonzo9178 4 жыл бұрын
Je kama kuku wapo kwenye kejesi
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
samahani clara kejesi sijaelewa unamaanisha nini ili nikujibu vizuri
@rechomwasile8533
@rechomwasile8533 2 жыл бұрын
Asanteeeeeeeeeee kwa elimu nzuri bwana shambaa, mm naomba namba yako ya watsap
@hassanally446
@hassanally446 4 жыл бұрын
Kwanini kuku mda mwingine anapenda kulala juani na kujimwagia michanga mwilini?
@petromikaeli3214
@petromikaeli3214 2 жыл бұрын
Anapata vitamin akiwa Juan
@zawadimlelwa4373
@zawadimlelwa4373 4 жыл бұрын
Hao kuku weupe wanapatikana wapi
@gynambena8779
@gynambena8779 4 жыл бұрын
Mayai yakilowa maji na kuku akahatamia anaweza kutonoa?
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
hapana
@halimamwambe9799
@halimamwambe9799 4 жыл бұрын
Je kuku uwa anapata magonjwa wangap na ni yap
@nicholasslegaray4658
@nicholasslegaray4658 4 жыл бұрын
Kwann video zako ukirudisha nyuma haikubali?
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
litakua tatizo la kimtandao kwenye simu yako
@nicholasslegaray4658
@nicholasslegaray4658 4 жыл бұрын
@@bwanashamba7497 zingine zinakubali kiongozi eb jaribu kutafiti maana inatusaidia kurudia na kurudia mafundisho yako,ahsante sana
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
Usjali ndugu yangu ngoja nichunguze tujue shida
@hellenomar2177
@hellenomar2177 4 жыл бұрын
.habari bwana shamba, mimi nna kuku watano ,shida moja wakitamia mayai karibu kutotoa wanakula mayai je je nifanyeje, niko arusha
@bwanashamba7497
@bwanashamba7497 4 жыл бұрын
asante kwa swali zuri sasa hapa kuna njia mbili waweza zitumia kufanya, ya kwanza unaweza ukachukua yai moja ukalitoboa kisha weka kitu kichungu wakila hilo yai wataacha kula mayai tena ila pia unaweza ukawakata midomo yaan debeaking
@astonishmbwambo185
@astonishmbwambo185 4 жыл бұрын
Masomo mazuri Sana kaka yamenifungua
@dakahuop1255
@dakahuop1255 4 жыл бұрын
Good
@Sifa_film_tv72
@Sifa_film_tv72 4 жыл бұрын
Ni dawa gani nzuri inayoweza kumaliza tatizo LA mafua na kuvimba macho?
@gummeomaggan
@gummeomaggan 4 жыл бұрын
HI.Nimefulahi kwa musada wako tafazari Nlikuwa naomba utufahamishe formula nzuri ya kutengeneza chakula cha kuku kuanzia starter, grower na layers mash kwa kuku 0046706778915
@khamisali1524
@khamisali1524 3 жыл бұрын
Habari bwana shamba tunaskuru kutupatia talimu na cc mimi kukuwangu aina ya leas wako na mizi mitano lakini mpaka leo hawaanza kutaga tatizo ni kitu gani
@khamisali1524
@khamisali1524 3 жыл бұрын
Khamis ali nipo pemba zanzibar
MBINU 3 KUZUIA MAGONJWA YA KUKU/kilimo na mifugo israel
8:22
Bwana Shamba
Рет қаралды 40 М.
The Continuation of LV 99 Clover.
14:01
Chasemmg1386
Рет қаралды 15 М.
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 49 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 87 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 9 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 22 МЛН
ACHA MAMBO 3 KUFANIKIWA KWENYE UFUGAJI
5:44
Bwana Shamba
Рет қаралды 3,1 М.
KUWA NA TABIA 3 ILI KUONGEZA UTAGAJI WA KUKU WAKO
5:39
Bwana Shamba
Рет қаралды 15 М.
UFUGAJI WA KUKU KWA KUTUMIA VICHANJA (LOCAL CAGES )
4:24
MKULIMA SMART TV
Рет қаралды 1 М.
PATA FAIDA ZAIDI UNAPOFUGA KUKU WA MAYAI KWA KUTUMIA ECONOMY CAGE.
5:10
SABABU (7) KWA NINI KUKU WAKO HAWATAGI MAYAI VIZURI
13:43
Sauli channel
Рет қаралды 366
MITI 10 BORA  AMBAYO NI TIBA KWA KUKU
8:19
AGALUS TV
Рет қаралды 9 М.
SHAMBANI: UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
24:48
TBConline
Рет қаралды 179 М.
MAKOSA WANAYOFANYA WAFUGAJI WA KUKU/KILIMO NA MIFUGO ISRAEL
15:54
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 49 МЛН