KUZA BIASHARA YAKO YA UFUGAJI KWA KUFUNYA HAYA....

  Рет қаралды 269

Frida Homestead

Frida Homestead

Жыл бұрын

Je unatunza kumbukumbu zako za uzalishaji ?unatunza kumbukumbu za mauzo ya bidhaa yako ? je umeshawahi kufanya tathimini ya kujua maendeleo ya biashara yako kwa kuangalia ukuaji wake ili ikusaidie kupanga malengo kwa ajili ya kesho yako? Unatakiwa kuwa na mfumo wa kutunza rekodi za biashara yako. kama mfugaji ni jukumu lako kujiwekea desturi ya kutunza kumbukumbu zote katika biashara yako kwa faida yako ya sasa na ya baadae.Hutakiwi kusubiri hadi kuwa na kiwanda au biashara kubwa ndio uanze kutunza hizo rekodi, ila unatakiwa kujijengea nidhamu hiyo kuanzia ukiwa mdogo mpaka utakapo kuwa na uzalishaji mkubwa, hii iyakusaidia kujenga mfumo ambao utakuwa rahisi kufuatwa na wafanyakazi wako.

Пікірлер: 2
@benjaminkiso1033
@benjaminkiso1033 Жыл бұрын
🤝
@neemalasway1290
@neemalasway1290 Жыл бұрын
Ahasante kwa elimu lakini naomba elimu ya aina ya kuku wakufuga kwa ajil ya mayai na nyama plzy plzy
Mgogoro wa uongozi wa UDA
13:15
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 4,1 М.
FAIDA YA KUFUGA KUKU KWA KUWAACHIA  WAJITAFUTIE CHAKULA
11:21
Frida Homestead
Рет қаралды 672
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 84 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 45 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA WAKATI WA KUJENGA BANDA LA KUKU
13:32
Frida Homestead
Рет қаралды 1,2 М.
Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Ufugaji wa Kuku
13:53
Frida Homestead
Рет қаралды 1,2 М.
AINA MBALIMBALI ZA MAEMBE YAFAAYO KWA BIASHARA
6:17
Frida Homestead
Рет қаралды 659
Stephen Kasolo Singing the last song for Mercy 💔😭 During candle lighting
6:58
JIFUNZE MBINU MBALIMBALI ZA KUPUNGUZA GHARAMA YA CHAKULA CHA KUKU
11:36
AINA MBALIMBALI ZA MBOLEA NA MATUMIZI YAKE KWA AJILI YA KUOTESHEA MAZAO
10:10
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UFUGAJI WA MBUZI
11:14
Frida Homestead
Рет қаралды 1,6 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 84 МЛН