MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA WAKATI WA KUJENGA BANDA LA KUKU

  Рет қаралды 1,273

Frida Homestead

Frida Homestead

2 жыл бұрын

Changamoto nyingi za ufugaji wa kuku huchangiwa na mabanda yasiyo na ubora, na hivyo huadhiri uzalishaji na kupelekea mfugaji kutofikia malengo yake aliyojiwekea. Katika video hii, nimeelezea kwa kina ni vitu gani muhimu mfugaji anapaswa azingatie wakati wa ujenzi wa band la kuku.

Пікірлер: 17
@domcityfarmingcenter7754
@domcityfarmingcenter7754 Жыл бұрын
Shukrani sana 🙏🙏🙏 elimu zako zinatujenga sana wafugaji
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 Жыл бұрын
🙏
@adamkhamis6339
@adamkhamis6339 2 жыл бұрын
Ninapenda kujifunza kiswahili
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 2 жыл бұрын
Karibu tazama video zangu zijazo na uzidi kujifunza kiswahili
@frolanyamete6438
@frolanyamete6438 2 жыл бұрын
Asante Sana Dr. Kwa kutuelimusha 🙏
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@alexwambura4220
@alexwambura4220 2 жыл бұрын
Doctor sisi wajasiriamali tunakupata vilivyo.
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 2 жыл бұрын
Asante sana waweito 🙏🙏🙏
@tugaraamos2546
@tugaraamos2546 2 жыл бұрын
We need to talk Msubhati
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 2 жыл бұрын
Karibu
@pasteurmardocheemwale2023
@pasteurmardocheemwale2023 2 жыл бұрын
Mama asante sana, lakini sisi tuko kongo atu sikie muzuri swahili , mu tu saidie vipimo ya kuku 100 na muna ya ku djenga banda kuku ayi ya sasso
@jovitus0067
@jovitus0067 2 жыл бұрын
Dada Asante Mimi nakuelewa
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@domcityfarmingcenter7754
@domcityfarmingcenter7754 Жыл бұрын
Dr Frida hilo banda Lina ukubwa gani upana na urefu..???
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 Жыл бұрын
14 meter rueful kwa 10meter upana
@domcityfarmingcenter7754
@domcityfarmingcenter7754 Жыл бұрын
@@fridahomestead6890 kwahyo hapo linachukua kuku wangapi wakubwa kwa ufugaji free range na ufugaji wa kukaa ndani tu
@fridahomestead6890
@fridahomestead6890 Жыл бұрын
500 kama wako hapo mda wote, kama ni free range mpka kuku 800
FAIDA YA KUFUGA KUKU KWA KUWAACHIA  WAJITAFUTIE CHAKULA
11:21
Frida Homestead
Рет қаралды 672
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UFUGAJI WA MBUZI
11:14
Frida Homestead
Рет қаралды 1,6 М.
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 29 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
AINA MBALIMBALI ZA MBOLEA NA MATUMIZI YAKE KWA AJILI YA KUOTESHEA MAZAO
10:10
Banda bora la kuku wa kienyeji 2021
0:15
Zanzibar kuku farm
Рет қаралды 13 М.
Mchanganyiko rahisi wa chakula cha kuku
2:11
Ongeza Maarifa
Рет қаралды 486
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
Kwa ujenzi bora wa mabanda ya kisasa karibu 0769140999
0:31
BANDA BORA UJENZI
Рет қаралды 10
PART 1: UTENGENEZAJI WA  CHAKULA CHA KUKU  WA MAYAI (CHICK STARTER)
14:41
AINA MBALIMBALI ZA MAEMBE YAFAAYO KWA BIASHARA
6:17
Frida Homestead
Рет қаралды 659
PART 3: JINSI YA KUTENGENEZA LAYERS MASH
8:48
Frida Homestead
Рет қаралды 2,1 М.
Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Ufugaji wa Kuku
13:53
Frida Homestead
Рет қаралды 1,2 М.
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН