KWANINI MUSA HAKUILISI NCHI YA AHADI ( OFFICIAL VIDEO)

  Рет қаралды 35,886

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

4 жыл бұрын

Пікірлер: 49
@hustlertv1694
@hustlertv1694 Жыл бұрын
Kutoka Kenya nafuatilia mahubiri yako sana
@edouardnsenga6793
@edouardnsenga6793 Жыл бұрын
AMEN pasta na barikiwasana Mungu awe nanyi daima
@lydiakayombol5406
@lydiakayombol5406 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu
@janethjane745
@janethjane745 4 жыл бұрын
Pastor nakusalimia katika jina la yesu... Pastor natamani sana kuonana na ww kuna jambo linanisumbua sana mawazo yangu karibia miaka 10....mimi ni msabato na najua msingi wa dini ila kwa sasa nina miaka km 12 sijawaii enda kanisani na nimebez sana kwenye mambo ya dunia lakni nilipoanza kukufutilia kwa KZfaq nimejifunza mengi sana....hasa somo lilopita linalosema mungu anapokuita..... pastor natamani sana kumrudia muumba wangu....nisaidie...maana kwa naamini msaada wangu iko kwako nimekuwa mlevi sana napenda staree ila nikiwa nyumbani nafungua KZfaq nakusikiliza na kufarijika sana ninaposikia maneno ya mungu
@princesssarah4905
@princesssarah4905 3 жыл бұрын
Je umempata Pastor?
@rwesimbibicharles8994
@rwesimbibicharles8994 2 жыл бұрын
Yote yawezekana kwa yoyote anaye amini
@flaicombilinyi2426
@flaicombilinyi2426 3 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana mchungaji Mmbaga nakuelewa sana father, Mungu azidi kukutumia kwa ajili ya WOKOVU wetu.
@petertimothy7882
@petertimothy7882 4 жыл бұрын
Ubarikiwe zaidi mchungaji. Nimebarikiwa sana na somo la sababu ya Musa kitoingia Kaanani na mengineyo unayofundisha kwa ujumla. Mungu wetu atukuzwe daima.
@maureenjovial6083
@maureenjovial6083 3 жыл бұрын
Amen nabarikiwa sana Mungu akubariki mchungaji
@adrianowiston9724
@adrianowiston9724 2 жыл бұрын
Niwa sawa kabisa ndg yangu usichoke sasa kama wengine ili mwisho wako uwe mzuri
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 Жыл бұрын
12:18 Wana lala sana hawa wanyama
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji neno la bwana na likawe wokovu ndani yetu amina
@princiadeborah5270
@princiadeborah5270 3 жыл бұрын
ubarikiwe sana mtumishi mbaga nimefuata mafundisho yako nikiwa nikiwa canada nikiwa ninaosha vyombo nimebarikiwa sana asante pastor
@selinasnampee4552
@selinasnampee4552 2 жыл бұрын
Sio kulisi ni kurithi
@annapendokusekwa3616
@annapendokusekwa3616 Жыл бұрын
Amen
@neemamaganga9774
@neemamaganga9774 Жыл бұрын
Amina.
@messagerkambale5830
@messagerkambale5830 Жыл бұрын
KkkKiekiekie 🙆
@odondodeta5702
@odondodeta5702 4 жыл бұрын
Amina mchungaji MMbaga, nabarikiwa sana kwa mahubiri zako. ninge penda sana kuongea nawe kwa njia ya kibinafsi. Ademba kutoka Kenya.
@alicesidi9601
@alicesidi9601 2 жыл бұрын
Amen 🙏 be blessed Pastor 🙌
@vestinajoram1196
@vestinajoram1196 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana pastor kwa mafundisho mazuri
@naomykenyera1814
@naomykenyera1814 3 жыл бұрын
Nimekuelewa sana pastor, sasa Mungu anisaidie
@cosmaskiria6779
@cosmaskiria6779 3 жыл бұрын
Mtumishi nabarikiwa sana MUNGU akuinue vilele vya kimataifa kwa utukufu wake
@angelicagulake3361
@angelicagulake3361 4 жыл бұрын
😂😂ukoo wa YESU asante Pr kwa kunisaidia namna ya kusali 😂😂😂
@peninadunda6348
@peninadunda6348 3 жыл бұрын
Amina
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@alicesidi9601
@alicesidi9601 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe Pastor
@marymwetafrancis9669
@marymwetafrancis9669 3 жыл бұрын
Mungu akulibde zaidi Pastor Mbaga
@mrtoxicx
@mrtoxicx 4 жыл бұрын
KWANINI MUSA HAKUILISI NCHI YA AHADI ( OFFICIAL VIDEO)
@mossesjoseph2202
@mossesjoseph2202 2 жыл бұрын
Barikiwa Pastor.
@reginaedward9020
@reginaedward9020 3 жыл бұрын
ubarikiwe mchungaji samahani mchungaji naomba ukujua kati ya ufufuo wa kwanza na wapili
@saphinacuthbet1343
@saphinacuthbet1343 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana.Barikiwa Pastor
@shaniachanceline2751
@shaniachanceline2751 4 жыл бұрын
Ameeeeen God bless you pastor 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💖💓🥰
@drchachaalfredmatoka2844
@drchachaalfredmatoka2844 3 жыл бұрын
Neno kuilisi lisomeke Kuirithi. be blessed pstor
@Pendomabula
@Pendomabula 3 жыл бұрын
Amina.nabarikiwa mno PR.
@rukundoclementine6472
@rukundoclementine6472 4 жыл бұрын
nimebarikiwa sana na somo hii
@janetkahada5206
@janetkahada5206 4 жыл бұрын
Ukweli amen amen ubarikiwa.
@abusanga347
@abusanga347 3 жыл бұрын
Amina mutumishi wamungu
@enockmbwana6139
@enockmbwana6139 3 жыл бұрын
Asante kwa Mibaraka ya pekee, BARIKIWA
@lameckmachumu7268
@lameckmachumu7268 3 жыл бұрын
Ahsante sana Pr unaifungua akili yangu
@jamesmedard5538
@jamesmedard5538 4 жыл бұрын
Aamen
@mabalozichoirtz1185
@mabalozichoirtz1185 3 жыл бұрын
Ameeeeeennnnnnn
@verdianajohn7634
@verdianajohn7634 4 жыл бұрын
Barikiwa sana hy maombi App kwenye Android tunaipate?
@reginaedward9020
@reginaedward9020 3 жыл бұрын
kujua kati ya ufufuo wa kwanza na pili
@ellenmbota1241
@ellenmbota1241 4 жыл бұрын
Amani wa moto hutangojea
@rebeccak2098
@rebeccak2098 3 жыл бұрын
Rekebisha title sio "kuilisi" bali ni "kuirithi" ndio kiswahili sanifu
@patrobahonsongo8754
@patrobahonsongo8754 3 жыл бұрын
Hello pastor Naomba namba ya simu yako
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
+255755932283
@barakajoseph1816
@barakajoseph1816 4 жыл бұрын
Amen
@loptgodfrey3817
@loptgodfrey3817 3 жыл бұрын
Mchungaji songa mbele mungu akupe moyo wakutumika wakati wowote
MGOGORO WA JINSIA MBILI | PR. DAVID MMBAGA
41:10
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 3 М.
KOSA HILI LIMELETA LAANA KWA WENGI (OFFICIAL VIDEO)
1:06:25
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 73 М.
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 39 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН
MACHO YA MWILINI NA MACHO YA ROHONI (OFFICIAL VIDEO)
53:10
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 23 М.
GIZA LINAPO TANDA DUNIA NZIMA (OFFICIAL VIDEO)
1:35:13
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 41 М.
BADILI FIKRA!! MAJIBU YA SHIDA ZAKO HAYA HAPA!!!!
39:28
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 152 М.
Usipuuze Maelekezo Ya Mungu (Official Video)
55:06
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 37 М.
HII NDIYO SIRI ILIYO WAINUA YAKOBO MUSA DAUDI NA SULEMANI SEH 1
30:28
HAPA NDIPO NUHU NA NMRODI WANAPISHANA
1:10:33
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 25 М.
VITA YA MIUNGU (ACHA MUNGU APIGANE MWENYEWE VITA HII)
1:00:19
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 78 М.
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН