No video

Lissu AVUJISHA siri MSIGWA Kuhamia CCM Alihongwa PESA

  Рет қаралды 15,529

SUPER TAMUTAMU

SUPER TAMUTAMU

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c Ай бұрын
Lisu anasema ukwel bhana kwani kinachosababisha nchi kutokua na haki ya mambo mengi ikiwemo uchaguzi si hua pesa ,kwani mnaokataa mnaokataa Nini, au na nyie ndio wale wale mnaopenda kuhongwa ,maana lisu anazungmza yanayoendelea na yanayoonekana na ndio sehem ya sera ,kwan hata ukizungumza sera na ikiwa hujaanza vitu vinavyoalibu sera ambavyo ndio hongo za pesa siunakua kama hujafanya kitu, kwahio lisu yupo sahihi, sema inabidi muelewe msikimbilie kuona eti Hana sera
@jumashimba9620
@jumashimba9620 Ай бұрын
Wewe ni mpinzani wa kweli
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Jamani huyu Lissu hana sera zaidi ya kuwalaumu wenzake siku zote yeye ni malaika.mbomoaji mkubwa mwenye makazi nchi mbili Ubeljiji na Tanzania.Tena analipwa kila mwezi hela za ukimbizi euro.Katumwa na wasenge wenzake Huyu alishatumimbia Lisu anajenga hotel huko Iringa.kapewa mamilioni na wasenge wake kuja kutudanganya.Tusitegemee msaadantoka kwa.Lissu au chagadema. Tueleze sera zako
@abdullahalsharji9428
@abdullahalsharji9428 Ай бұрын
@@gracekagoma3231 lissu Anatamani kubomowa tanzaniya na wala Sio kujenga na ni mtu fitna kuweni makini watanzaniya
@anangisyekibona9006
@anangisyekibona9006 Ай бұрын
Mtu mwenye ufahamu hawezi kuwa rafiki na wazungu ukategemea cha maana kwake hili ni kudanganya wanyonge
@AthumanDauda
@AthumanDauda Ай бұрын
Ebu muelewe naujue chama tawara SK zote hutuona wtz tuko wajinga je kipnd Cha jpm ungeliona kuuzwa Kwa bandar misitu vitu muhimu Kwa binadamu namanisha vyakura nauri zipo juu wajasiliamali wapo hohahe je huoni ujinga umaskin maradhi ndo ushind Kwa watawara amkeni
@abdullahalsharji9428
@abdullahalsharji9428 Ай бұрын
@@AthumanDauda wewe unatamani utawala aina gani NA nani awatawale
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 Ай бұрын
Danganyaneniii hamkosagi tuhumu,mshashindwaa.rushwa na ubaguzi na kung'ang'ania uongozi ndio kitakachowamaliza
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Suleimanabdilah kama una patatu yako huko ujue ni haramu tu hiyo,mmelaanika wote na safari hii mnaingia mtegoni wenyewe kwasababu rushwa,ufisadi,na riba ni lana vinapofusha! Wema wanapigania haki,wew unapigania uongo wa sheitwaan!
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 Ай бұрын
kweli mh lissu ulitutetea zbar tunakushukuru ila kwa haya ya sasa ni tatizo la katiba yetu ya muungano si mama samia pigania katiba mpya roll mode wangu
@BIGCHENDREADLOCKS
@BIGCHENDREADLOCKS Ай бұрын
Uyo samia ndo hataki
@amirabdallah2827
@amirabdallah2827 Ай бұрын
Kwa kweli Lissu hana sera zaidi ya chuki na ubaguzi tuu, ambapo havitaleta mustakbal mzuri kwa taifa au wananchi wa Tanzania!
@user-zg5sg1bc9b
@user-zg5sg1bc9b Ай бұрын
These are very prophetic words!! He said these and really we see it happening!!
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Hajafikia levo yenu msaliti huy o
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Hajafikia levo yenu msiba ye. Apiteazunguke nchi mzima ila mwenge wa chadema anakujua wala hajawakomoa pigeni kazi wanachama bado tunawaamini sana sana wala msitishwe habari zimfikie msigwa na genge lake
@angelsulle7177
@angelsulle7177 Ай бұрын
Kwa Iringa mmechemsha .Msigwa anasababu na atakuwa waziri acha ahongweee we mbona ulinyamazishwa kwenda Ngorongoro???
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 Ай бұрын
Sasa Abdul na Mama yake wameingiaje hapo jamani 😂😂😂😂 umeidhiwa Sara 😂😂
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 Ай бұрын
Ameishiwa maneno huyu hamaa
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Huyu lissu ni mjinga fulani baada ya lisasi 16. Hana lolote la kutujenga c😢.tena ni mbaguzi ile mbaya😢
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Ай бұрын
Mjìnga wewe na aliyekuwa rises. Ila MunguBaba AmewaIbisha
@eddyeddy1337
@eddyeddy1337 Ай бұрын
Lisu anazingua mbaguzi
@AthumanDauda
@AthumanDauda Ай бұрын
Lissu amesema ukweli mtupu pesa zipo zinatembea kuibomoa chadema nabaada ya uchaguz wakanda ya nyasa kunamtu maarufu ndan ya chama Cha chadema ataenda ccm aitapita mwez atapokerewa naviongoz wakubwa wa ccm ndo habar iliopo chin ya meza
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 Ай бұрын
WEWE LISSU ULIVYOTOKA CCM UKAHONGWA PESA NA REGINALD MENGI UKAINGIA CHADEMA MBONA HATUKUSEMA0, SUBIR ANGUKO NA LA CHADEMA MMEKWISHA
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 Ай бұрын
Ulishuhudia? Kwanini watu mnakuwa wepesi wa kuwatuhumu hawa viongozi? Ukiambiwa thibitisha unaweza?
@simpsonisoe8994
@simpsonisoe8994 6 күн бұрын
Tibitisha madai yako ambayo mimi naona ni huongo
@amirabdallah2827
@amirabdallah2827 Ай бұрын
Lissu mshukuru sana Mwenyezi Mungu kumuondoa Magufuli duniani, vinginevyo Tanzania hiyo ungeliisikia radioni tu! Lakini sasa hivi mdomo mrefuuuuuu!!
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 Ай бұрын
😂
@abdullahalsharji9428
@abdullahalsharji9428 Ай бұрын
Lissu an chuki ya nafsi
@lupakisyoassa1579
@lupakisyoassa1579 Ай бұрын
Ukombozi ni sasa
@alinabhan952
@alinabhan952 Ай бұрын
Wewe mzee kilima una chuki. Wewe ni adui wa Tanzania
@FortinathaMvikule-cm1im
@FortinathaMvikule-cm1im Ай бұрын
Hujui unachoongea
@alinabhan952
@alinabhan952 Ай бұрын
Nani huyo Mr LISSU anakichaa Mzee Hana analosema upuzi kila siku BANDARI /WANYAMA WA PORI/ SERENGETI. TOTAL NONSENSE. TODAY DUBAI PORTE ARE CONTROLLING NEARLY 15 International ports around the world. They very experience company with multi billion dollars and at the end of day nearly 70/80 Tanzanians will be employed by this DUBAI Ports
@alinabhan952
@alinabhan952 Ай бұрын
I mean 70/80% of Tanzania will be employed by this company
@alinabhan952
@alinabhan952 Ай бұрын
Mr Lisu the issue of the BANDARI .MAPORI.NA MASAI is on your dirty mouth please speak something sensible to assist your people and development of your country instead of putting FITINA and talking nonsense on the beloved Mama SAMIA who have done a lot during her short stay in her rule. Please for Allah speak sensible instead of talking the same issue in every meeting of your. Please resign and leave the matter to sensible people.
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@alinabhan952
@alinabhan952 Ай бұрын
Mr Lissu you are interference in the issue of Zanzibar totally is totally nonsense it is not going to solve any of the problems you are speaking . Wewe tafadhali uzungumze mambo ya maendeleo unayoona ni sawa sio kukosoa na kukosea serekali daima. Your points are all CHUKI NA CHUKI NA FITINA kuvuruga wa Tanzania. Shame on you
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Ай бұрын
Ujinga wenu nani awahonge chadema .Kwahiyo hata wewe umehongwa .Msingwa amewakimbia wajinga kabisa na Sacco's yenu. Ujinga wako mama hana shida na mtoto wake ninyi wepesi kabisa kama jani la mti
What Should Leaders Learn from History?
28:33
World Governments Summit
Рет қаралды 340 М.
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 4 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 25 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 10 МЛН
Comfortable 🤣 #comedy #funny
00:34
Micky Makeover
Рет қаралды 16 МЛН
Peter Msigwa Ashusha Tuhuma Nzito CHADEMA | Adai Kuhujumiwa
28:55
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 4 МЛН