tunakuomba kila la heri kwa mwenyezi Mungu mchungaji
@arodiaisdory48042 жыл бұрын
Amina
@user-zk4xn4rq1i6 ай бұрын
Amen, ,mchungaji nimebarikiwa kupitia mafundisho yako
@lampardozar5663 Жыл бұрын
Kwakweli baba
@mamasmartcollection70632 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@user-fj2bx4te1l11 ай бұрын
Ameni
@jovinijosephati6793 Жыл бұрын
Yani ww mchungaji ungefungua kanisa mwanza uje utulomboe ananja
@patriciasanga98482 жыл бұрын
Hananja,hananja Mungu amsaidie.
@groveyagroya12802 жыл бұрын
Ameen
@MajaliwaKapolo2 ай бұрын
Mchungaji wa maana kabisa
@jamesmasome359 Жыл бұрын
Nimekukubali bure....
@LUDOVICKCHARUBIMBA-cd3nq5 ай бұрын
😊
@elizabethgodfreytondo3052 Жыл бұрын
Tunakuombea mchungaji kwa jinsi ulivyojitoa kwa vijana siyo kazi ndogo kuwaokoa vijana hasa wanatumia madawa ya kulevya.
@user-vo4tk1ne1r6 ай бұрын
Tunaomba mchungaji arudie adiko
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
Hekima za mchungaji Hananja ni kipawa cha kipekee na maalumu kwa Watumishi na Kanisa la leo. Ukimsikiliza ni zaidi ya Topic za chuo kikuu cha Theolojia.
@maghanighanichali9519 Жыл бұрын
Bro Sasa unaanza kutoka nje ya mstari.Ongelea malezi na mafunzo yaliyo sahihii hao wachawi na mashehe achana nao.wanatuvurugia maombi
@patriciasanga98482 жыл бұрын
Amina!
@egidimassawe7182 Жыл бұрын
Andante Baba mahubiri Hadi raha
@egidimassawe7182 Жыл бұрын
Asante Baba kwa mahubiri mazuri Hadi Raha
@egidimassawe7182 Жыл бұрын
Amina
@elisaambise95022 жыл бұрын
Amen. Barikiwa Mchungaji wetu.
@fraciahmugo8600 Жыл бұрын
Iikkk
@fraciahmugo8600 Жыл бұрын
1kkoo
@fraciahmugo8600 Жыл бұрын
Ójjkio
@fraciahmugo8600 Жыл бұрын
Kkoo
@fraciahmugo8600 Жыл бұрын
Kmmk
@JonaisJonas-we6th10 ай бұрын
ubarikiwe sana mchungaji kwa mahubiri yako mazuri
@boniphacesululu54282 жыл бұрын
Your always inspired me my pastor, may the Lord bless you abundantly
@deusmayala7637 Жыл бұрын
wiub😂❤dubus 7fvhfbu😂hug 7
@deusmayala7637 Жыл бұрын
uh7u0 is u❤uls8jk
@deusmayala7637 Жыл бұрын
how
@deusmayala7637 Жыл бұрын
syrup ignore v
@deusmayala7637 Жыл бұрын
was 6was 0gcg0uggggt😊
@janechacky38102 жыл бұрын
Asante baba
@alimambabazi366610 ай бұрын
😂😅🤣😂
@aningtonjaxon47032 жыл бұрын
Inamaana alishameza biblia nzima kichwan
@anithasemwano82762 жыл бұрын
Ndio hivyo hahaaaaa!!!
@roseyohana3500 Жыл бұрын
Mchungaji balikiwa magubili yako yananibariki dana mungu akupe maisha marefu ili tubalikiwe kupitia mafundisho yako
@samsonhamery3809 Жыл бұрын
Amehifadhi Biblia kifuani mwake na katika nafsi yake. Huu ndio utatatibu wa kuinusuru Biblia endapo siku moja ikitokea zikachomwa Moto zote na mpinga Kristo. Kwa kuwa shetani amebuni njia ya mtego watu wengi hata wachungaji wanahifadhi biblia katika simu, na computerb zao (soft copy,) wanaiona kama njia nzuri na ya kileo lakini hawajui waweza kuwa mtego wa mpinga Kristo.Maana Kuwa kuna siku inakuja ambayo mpinga Kristo atazipiga virus Mifumo yote ya mikongo ya hifadhi ya kumbukumbu Duniani na hapo itatokea kiu na njaa ya neno la Mungu watu watatamani wapate hata kipande cha ukurasa mmoja wa hard copy (karatasi) lakini wapi hawatapata.Wenzetu waislamu hilo wamelojua mapema wanafundisha waumini wao kuhifadhi koruani yao vifuani mwao Tena wanafanya na mashindano ya kitaifa na kamataifa sisi tunapuuzia ili ile siku ijapo wasilikose Neno la Mungu wao. Biblia inasema Wana wa ulimwengu huu Wana hekima kuliko Wana wa Ufalme.
@gilliardgodfriend5745 Жыл бұрын
Mda ulokaa kuwaza hilo ungemsikiliza kwa makini ingeweza kukusaidia kutoka ulipo kwenda kwingine