#live

  Рет қаралды 11,203

PROMOVER TV

PROMOVER TV

11 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 38
@MatildaMakawia
@MatildaMakawia 3 ай бұрын
Yesu atukuzwe aliyekuokoa mafundisho haya ni ya muhimu sana kwa awaye yeyote anayetaka kumwona Yesu. Bwana akubariki akuongezee siku za kuishi Mimi binafsi ninapona naamini na wengine pia. Bwana Yesu akulinde mtumishi
@EvaMpagala
@EvaMpagala 2 ай бұрын
Amen ! Mtumishi wa Mungu !
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 9 ай бұрын
Mungu wetu ni mwema hata akamtoa mwana wake wa pekee kwa njia ya msalaba ili sisi tupate kupona.Nampenda Yesu
@user-tl5wb4tk1e
@user-tl5wb4tk1e 3 ай бұрын
Nime gain something in jesus name be blessed pastor
@user-iw1yq3op8f
@user-iw1yq3op8f 7 ай бұрын
Ameen pastor ninamutaka yesu na nguvu zake
@raelnangila3006
@raelnangila3006 10 ай бұрын
Mungu akulinde muchungaji
@tabithaibrahim8493
@tabithaibrahim8493 10 ай бұрын
Utukufu kwa Bwana ,Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa ufunguo huu nimekuja huru.
@yalalaambobe9528
@yalalaambobe9528 6 ай бұрын
Mungu awabariki Mtumishi
@tabithaibrahim8493
@tabithaibrahim8493 10 ай бұрын
Mtumishi uishi maisha marefu yenye baraka tele,na amani ya BWANA YESU iwe pamoja nawe.
@faithe4063
@faithe4063 10 ай бұрын
Heri nikufe masikini, lakini nina Yesu ndani mwangu
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 10 ай бұрын
Asante Yesu kwa mambo makuu ulioyafunua kwetu kupitia mchungaji wako
@jojinakuya3411
@jojinakuya3411 10 ай бұрын
Mungu akubariki na azidi kukuinua katika uduma yake..Nina amani n furaha kumjua huyu yesu
@aivanalexander
@aivanalexander 10 ай бұрын
Nabarikiwa sana BABA NASHUKURU SANA tuko pamoja lazima nihubili injili
@joycemisana3103
@joycemisana3103 10 ай бұрын
Amen amen Mungu azidi kuwabariki promover pamoja na mch Amiel
@Tumu-zr2ez
@Tumu-zr2ez 9 ай бұрын
Our God is faithful 🙏
@Majison-qm2sv
@Majison-qm2sv 2 ай бұрын
Eeeee if i was at this service i would have been funguliwa
@apostlerebeccamunguaniinul7073
@apostlerebeccamunguaniinul7073 10 ай бұрын
Asante kabisa kwa mafundisho Mungu aku zidishiye nguvu
@user-re4iu4vu3b
@user-re4iu4vu3b 10 ай бұрын
Thanks pastor for your messages am free in Jesus name
@tabithaibrahim8493
@tabithaibrahim8493 10 ай бұрын
Hakika Mungu yu pamoja nawe,nimefunguliwa!!!
@bettynjoki5247
@bettynjoki5247 10 ай бұрын
God bless u man of God 🙏🙏🙏
@furahaabdallah7657
@furahaabdallah7657 10 ай бұрын
Amen
@raelnangila3006
@raelnangila3006 10 ай бұрын
Ameni
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 10 ай бұрын
Uko sawa
@bazurimwemdi9060
@bazurimwemdi9060 10 ай бұрын
Amena
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 10 ай бұрын
AMEN
@JaneUrio
@JaneUrio 2 ай бұрын
Mtumishi naomba namba yako
@josephkabayakataya-ut8jt
@josephkabayakataya-ut8jt 10 ай бұрын
Sasa baba mtumishi tufanye-je kabla sija shambuliwa???
@winfridalazaro296
@winfridalazaro296 Ай бұрын
Nisaidie namba plz
@melisakatu8668
@melisakatu8668 10 ай бұрын
Mutmishi uwa unanifungua akili mpaka ñaona mii sifai injili yako ndo injili munguakumbe ngufu mtimish
@PatricisAmani-ip4pm
@PatricisAmani-ip4pm 10 ай бұрын
Tumepoteza mshirika ghafla tulikuwa name mzima akatuaga akaenda recruitment akazimia na hakuamuka tena mpk sai
@dadaz4653
@dadaz4653 10 ай бұрын
Ukija dar nahitaji hicho kitabu
@etoabwe3451
@etoabwe3451 10 ай бұрын
Bwana awe nanyi kwa safari zenu zote na awazidishie nguvu,uwezo na mamlaka yote yaMungu na azidi kuwafunika na damu yake
@bettynjoki5247
@bettynjoki5247 10 ай бұрын
How can I get the number of paster
@PCharlzy-rr2iv
@PCharlzy-rr2iv 10 ай бұрын
Pastor tumezoea ile sauti yetu ya kiswahili sanifu na kisukuma na kina athanasius na rafudhi ya Kenya naona unaibeba, wakat huko mitandaon tunagombana nao wanatudharau hatujui kizungu tujivunie kiswahil chetu Mchungaji piga chini iyo rafudhi ya Kenya
@user-tg6ls3ol1r
@user-tg6ls3ol1r 10 ай бұрын
We unasikiliza neno la mungu au lafudhi
@aivanalexander
@aivanalexander 10 ай бұрын
Jamani tufanye Nini sasa mbona hivi vyote vimelishika kanisa letu what's can we do please assist us
@CaptainLufumbe
@CaptainLufumbe 10 ай бұрын
Ama kanisa
@MosesWakristo-ko5ze
@MosesWakristo-ko5ze 10 ай бұрын
Amen
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 36 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 17 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 14 МЛН
JE! UNAPOOKOKA UNAWEZA KUTEMBEA KATIKA LAANA..... PASTOR  KATEKELA
31:05
THAMANI YA WOKOVU; MWINJILISTI AMIEL KATAKELA.
31:51
NY TV
Рет қаралды 9 М.