No video

🔴

  Рет қаралды 71,768

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#Live: LEMA AHUTUBIA ARUSHA, AFICHUA SIRI KUONDOKA TANZANIA, AMPA MAKAVU MBOWE HADHARANI....
(LIVE HII IMEKUJIA KWA HISANI ya THE CHANZO == • 🔴LIVE: MKUTANO WA CHAD... )
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha na mkoani Kilimanjaro, wamejitokeza kwa wingi kumpokea Godbless Lema, mbunge wa zamani wa Arusha ambaye anarejea nchini leo akitokea Canada.
Lema alikuwa nchini Canada uhamishoni tangu baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2020 kwa kile alichodai kuwa ni kuhofia usalama wake.
(LIVE HII IMEKUJIA KWA HISANI ya THE CHANZO == • 🔴LIVE: MKUTANO WA CHAD... )
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 739 750 910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 130
@christophermotta3704
@christophermotta3704 Жыл бұрын
God protect you always Lema. Viva new Tanzania🤝
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
2015 nilikua chadema 2016 nikarudi CCM mpaka magufuli alipo fariki sasa ivi bado sina chama maneno hua nimazuli mno ila vitendo ss ndio shida ya wanasiasa ila magufuli hakua mwanasiasa
@katibampya8442
@katibampya8442 Жыл бұрын
Ww ni bendera fata upepo, yani ulirudi ccm kwasababu ya mtu "makufuli" na sio kuwa na system itakayojenga msimamo wa namna ya kuendesha nchi, hata akija kichaa nchi isimame
@matumokimatumoki6424
@matumokimatumoki6424 Жыл бұрын
Dawa ni kutokua na chama chochote hawa wanafiki mm nimesema sintapiga kura tena..labda atokee rais mwingine mwenye falsafa za JPM na sizani kama atatokea...
@Solomonkarurek
@Solomonkarurek 4 ай бұрын
Tujaribu mwaka wa25 kwa upinzan kam watatuletea mabadiliko
@Solomonkarurek
@Solomonkarurek 4 ай бұрын
​@@matumokimatumoki6424nibora uchague kiongoz ili ilibahatisha iwe chaguo lako kuliko uache na mwingine aache mpak mbaya apite
@runtownruntown2968
@runtownruntown2968 Жыл бұрын
Chadema in blood 🩸
@user-mw9md1iq1n
@user-mw9md1iq1n 4 ай бұрын
Hongera sana lema
@SimuliziZaOscar
@SimuliziZaOscar Жыл бұрын
Chadema in blood
@bernadettekiwelu
@bernadettekiwelu Жыл бұрын
Chadema jujujujuju saidiiiii Chama changu jamani niko afrika kusini ila tuko pamoja
@manassentinginya1466
@manassentinginya1466 Жыл бұрын
6uyhbhyhygbhhyyhhygy7yyyyu6JH6hhyyy6jygyyiyhyh7jyuiyjmyh6yhh7ynihjyyyygghhyhyhyyhyummymhymyyyyhy6u8go6uhyj7yygyyyy7yhuyyyyiyuy767gt66u6
@manassentinginya1466
@manassentinginya1466 Жыл бұрын
Yiyy6iyy7yuyyyhnighnyvu6yyhyygyyjyuuyjy6yyhyyyyyyy07y
@manassentinginya1466
@manassentinginya1466 Жыл бұрын
Y6y6yyugyyjyyyhyuhuyyhhyyyyym79o67
@manassentinginya1466
@manassentinginya1466 Жыл бұрын
Jiyuyjjnyynyiyjyoyyhy6nhhjj66yo6yyyy
@luhizomkombozi5763
@luhizomkombozi5763 Жыл бұрын
Yooote umekwenda sawa!! Ila nina kusihi achana na NABII MKUU GEOIRDAVIE!! Tena mwombe msamaha!
@user-fw8wm2xd8x
@user-fw8wm2xd8x 5 ай бұрын
Asntn sna mbowe hongera kuleta chama ktk sura hi
@lekumolukumay6832
@lekumolukumay6832 Жыл бұрын
Mh mbona hii hatarii
@andersonalfred1408
@andersonalfred1408 Жыл бұрын
Huyo Pf. Mungu ambariki sana jamani!!
@user-cp1pu4ev8h
@user-cp1pu4ev8h 4 ай бұрын
Chadema Kama mngekuwa siries n'a Tanganyika mngeshaichukua nchi hii lakini mnacheza karata 3tatu n'a ccm hebu badilikeni
@husseinhassani8580
@husseinhassani8580 Жыл бұрын
Sana lema
@nkwabimasanja7496
@nkwabimasanja7496 Жыл бұрын
Kalbuu mwambaaa
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 Жыл бұрын
Chademaaaaaa
@lucaskapaya6917
@lucaskapaya6917 Жыл бұрын
Great thinker
@yusuphjuma-tz8ks
@yusuphjuma-tz8ks Жыл бұрын
Lemaaa uko kwenye siasa Dini za ninii halafu umenyoa panki
@joycemosha1898
@joycemosha1898 6 ай бұрын
Jamhuri ya muungano Africa duniani kote wabariki wote wanaongozwa na kusaga mahindi ya makande ya muungano africans wanachama wamechoka uongozi wa kunguni na chawa chama cha zama kimechoka kiachiye wake arudishe ndege yetu kuwapa arab hatuwataki tutawaliwe kwa elekezwa
@purumukamango5013
@purumukamango5013 Жыл бұрын
Tunatakiwa kupata, Katiba mpwa,
@loner_wolf
@loner_wolf 5 ай бұрын
Sasa kama hulipi kodi uchaachaje kukimbia ? Mngese kweli huyu mzee .......eti Roma mkatoliki , who is roma mkatoliki for us ...? Hawanaga point hawa wachumia tumbo
@josephswai6725
@josephswai6725 Жыл бұрын
Mungu tujalie Amani katika nchi yetu
@peninamethusselahmaduhu995
@peninamethusselahmaduhu995 Жыл бұрын
Ukweli tupu sema baba semaaaa
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Жыл бұрын
​@@peninamethusselahmaduhu995 aseme nini upupu tu
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 6 ай бұрын
Chadema niwahuni wamehujum serikali kwaku honga watumishi walioko kwenye bod yasukari na mgao
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Dahhh ni huzuni sanaaa
@user-wp2sn4xv8i
@user-wp2sn4xv8i 6 ай бұрын
Dah natamani kuwepo kwenye maandamano hayo maisha magumu sana raisi Samia inchi imemshinda hii
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 6 ай бұрын
Mmmmh mateso makubwa sana Lema umepitia 😭😭😭 CcM Mungu yuko macho
@sadothaudax4744
@sadothaudax4744 Жыл бұрын
MUNGU YUPO HAI DAIMA. Matatizo sio tatizo , matatizo ni harama ya mkato, sio nukuta. Endelea mbele, soma Biblia kutoka 14:-15. "Faith" the STORM is OVER now. For the love of God.
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 Жыл бұрын
Huyu mzee ana acha kupeleka matatizo yake kwa wanao husika anapeleka chadema. Huyu ni tatizo pia
@lilianhermenegild7175
@lilianhermenegild7175 Жыл бұрын
Kumbe bodaboda sio ajira, kumbe bodaboda ni UMASIKINI🥺
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
kwanini niumaskini boss
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Ulikuwa hujui
@Great1994
@Great1994 Жыл бұрын
nikweli, nani ataacha mshahara wa 1m akaendesha boda
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Jiulize ukiendesha bodaboda kwa siku unapata shilingi ngapi?kutwa unavaa koti usipate naimonia .Alafu upewe kazi ambayo utapata hiyo pesa je utachukua ipi ?kazi inauhakika bodaboda ni ya kuotea wateja kwa siku .Naomba jiulize
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
@@Great1994 ukitaka kujua faida ya kilimo kamuurize mkulima mwenyew ukitaka kujua faida boda boda waurize boda boda wenyew me kuna mwanangu boda boda nirimuita afanye kaz sem mshahala 450000 kwa mwezi alikataa akasema ndogo
@tanzanitetv
@tanzanitetv Жыл бұрын
Wewe mpumbavu umelipwa pesa uongelee Magufuli asiyekusikia,milioni 600 ulizopewa na watu wazuri hawafi mbona huwambii wenzako na maelekezo umeambiwa umzungumzie hayati Magufuli badala ya kuzungumzia walio hai ,jinga kabisa ww,maridhiano ndio yanakupa pesa kutoka kwa watu wazuri hawafi
@neveledickson3323
@neveledickson3323 Жыл бұрын
Acha ushamba ww hamna jipya CCM tumekaa nanyi miaka 60
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 Жыл бұрын
CHAWA wewe
@neveledickson3323
@neveledickson3323 Жыл бұрын
CCM kufeni tu
@counter_narrative
@counter_narrative Жыл бұрын
Magufuli ni taka taka. Afrika hatuwezi shangilia madikteta kama Magufuli. Magufuli akufe kabisa na asiwahi fufuka
@elizabethjohn6812
@elizabethjohn6812 4 ай бұрын
Lema mbona kama unachangantikiwa? Hakuna sera😊
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Nakupenda chadema🙏🙏
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Nabii hakimbii
@suleabdullah2247
@suleabdullah2247 Жыл бұрын
Wajingā ndio waliwao,mmeitwa nyie wajinga darasa la 7,mmeitwa wenye laana boda,meitwa wakimbiza upepo,mmeitwa maskini. Ndugu zangu maisha haya mnayoambiw y ulaya hayakuja kama njozi wasemazo!wazungu walitoa Jason,na walikufa mmpaka kupata walichonacho leo. Tuchapeni kazi tuacheni porojo
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
wachache hawamkubali JPM kwamanufaa yao ila weng nikiwamo namm utawara wa magufuli ndio utawara sahihi unaojali watu wote sio mtu mmoja mmoja
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Жыл бұрын
Laana itakua juu yako kumdhalilisha Mungu
@enocknanyaro6706
@enocknanyaro6706 Жыл бұрын
Unapoeleza jambo Kwa wananchi eleza namna ya kutatua na sio porojo kwani unataka mwananchi wa kawaida afanye nn ili kutatua mwenyewe?Hapo watu wanatafuta ugali Tu. Kwanini unahusisha Mungu makanisa na utawala au Hali nchi? Unamaanisha watumishi waliopo ni wauni hawamaanishi katika huduma zao wote? Je wewe unajitadhiminije kuwa sahihi kuliko Wengne? Huo ni wizi wa kisiasa na wa maneno.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 6 ай бұрын
Chadema wahujum sukari
@teophilletus8969
@teophilletus8969 Жыл бұрын
Bs tu ila ukwel ccm inaenda kufa utabir wa shekh yahay unaend kutimia ila kwa maendeleo ya nchi sikupenda mkimbie nchi nlitaka mfe kabs mbwa ninyi kwakua hakun maendeleo ya nchi bila udcteta
@user-wp2sn4xv8i
@user-wp2sn4xv8i 6 ай бұрын
Dah pole sana mwana alakati lema wajinga ccm walitaka kukutoa uwai wako
@joelynassarynassary7257
@joelynassarynassary7257 Жыл бұрын
The Rock
@fundiazamdstvstartimes6556
@fundiazamdstvstartimes6556 Жыл бұрын
Kwahyo
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx 6 ай бұрын
Tanzania hakuna upungufu wa sukari au mgao.
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 6 ай бұрын
Mbowe kiongozi bora kuwahi kutokea duniani,, huyu Mutu Mungu yu nyuma yake yaani ni kama Madiba vile
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 Жыл бұрын
Huyo JPK alisha kufa kitambo. Mungu alimpiga nae risasi.
@matumokimatumoki6424
@matumokimatumoki6424 Жыл бұрын
Kwani naww hutakufa?chungeni sana ndimi zenu...
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 4 ай бұрын
Wajinga kabisa ninyi wadanganyeni wajinga pumbavu kabisa ninyi hamna lolote mambwa tu ninyi
@barakajackson5907
@barakajackson5907 Жыл бұрын
Amna kitu apo
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 Жыл бұрын
Kumbe umeonae hamna kitu kabisaa
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 Жыл бұрын
CHAWA wewe
@MAFUNDISHO1
@MAFUNDISHO1 Жыл бұрын
Dunia inaongozwa na propaganda, na propaganda ndo zinafanya Dunia iwe hivi ilivyo. Ninachojua Mungu aonaye sirini ndiye mhukumu wa haki. Umeeleza mengi na tuhuma nzito. Itoshe tu kusema nyakati zinakuja ambapo Kila lililosemwa sirini litakuwa wazi. Ila Kwa Sasa Magufuli apumzike kwa amani na wewe karibu Tanzania.
@salehehassan3665
@salehehassan3665 Жыл бұрын
Maneno ya Lema kwa bodaboda, siyo kama tunayoyasikia huko kwenye social media. Tumia muda kumsikiliza Lema kwa kituo na utajua hakuongea vibaya juu ya bodaboda kama tunavyoaminishwa.
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 Жыл бұрын
Huyu ni tapeli anasema tusiwe waoga wakati yeye amewaacha watoto wake na mke wake kanada, labuda amudanganye mwakajoka sio wananchi wanaakili
@georgemadevu4475
@georgemadevu4475 4 ай бұрын
anazingua huyu jombaa anataka kutukaanga wakati yeye ameweka familia yake mbali kikinukana yeye anasepa anatuachia kichapo. kwa hilo mi sipo kama vp nipeni nauli yangu kabisa ama paspot yangu
@honestmsigwa920
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
Kweli kabisa umasikini haupangwi na mungu kwa tz umasikini unapangwa na ccm na serikari yao.
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 4 ай бұрын
Kama utaki kufanya kazi unategemea Chama ndio kikupe hela.😂😂never. Vitabu vya Mwenyezi Mungu vimenena asiefanya kazi na asile.
@matumokimatumoki6424
@matumokimatumoki6424 Жыл бұрын
Alafu katiba mpya sio ya chadema mkae mkijua nyie manyumbu katiba mpya ni ya wananchi...
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 6 ай бұрын
Hawa ni manyumbu kweli!!!
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Жыл бұрын
Lema watukane watukane ili wajuwe wewe umetoka Canada ni majuu baba la baba aisee baba langu
@kephaernest4995
@kephaernest4995 Жыл бұрын
Sitosema kuwa. Lema nimakini sana but tunaitaji katiba mpiya ndiyo watanzania tuliyokuwa wengi tunaitaji
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 Жыл бұрын
@@kephaernest4995 Katiba mpya itapatikana usiwe na wasi wasi hakuna shida mkuu
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Rest in peace Magufuli siamini kama ulihusika na tuhuma hizi
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Becouse your too blind to see
@davidnikundiwe4431
@davidnikundiwe4431 Жыл бұрын
Nice
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Lema umelewa baridi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Sasa tutakula Risasi tu??si bora tuendeshe bodaboda
@georgemadevu4475
@georgemadevu4475 4 ай бұрын
eti tufanye kazi viqandani hivyo viqanda viko wapi na huko kiwandani utapewa bei gani oya jombaaa niache nipambane na boda yangu
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 4 ай бұрын
Wahunitu
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Mbowe ni mramba asali mzuri huku akiendelea kuwadanganya watu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Akifungua hata viwanda 10 tu bssi nchi mmeishika Chadema
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Жыл бұрын
Wnasiasa waaflika nizilo kbsa huwakuti hatasikumoja waongelee kubolesha miundombini muhmu yataifa au kulinda asilimalizataifa kupmbananaufsadi lushwa aka wao ningonjelatu oodemoklasia ookatbampya yaani mambomadogo ndomuhimukwao
@christophermotta3704
@christophermotta3704 Жыл бұрын
Sikilizeni UKWELI mtupu. Tunapigwa na baridi hapa mpaka tumekuwa weupe🙆🏿‍♂️
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Mmm lema hakuna kitu
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Жыл бұрын
Hizi ni Bangi za Dunia
@lekumolukumay6832
@lekumolukumay6832 Жыл бұрын
Acha tu watu waanze kusema ukweli.Wa serikali ya awamuu ya tano maana mengi.yamefanyika
@user-nf7vq6dt3z
@user-nf7vq6dt3z 4 ай бұрын
Ushavuta bangi lema
@edsonoisso4271
@edsonoisso4271 Жыл бұрын
Kaz ipo hii nchi ni ngumu sana.
@elizabethjohn6812
@elizabethjohn6812 4 ай бұрын
Mnaleta na wakenya? Nyie watuuuuuuu
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 Жыл бұрын
Ameacha mke na watoto, ati anakuja kuwa nani Tanzania 😂😂😂
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Muondokane na boda boda haha
@rehemageorge9506
@rehemageorge9506 Жыл бұрын
Mzee wa losheni🤣🤣🤣🤣
@samwelmollel5934
@samwelmollel5934 4 ай бұрын
Katiba ndio dawa sahihi.
@ErickSamky
@ErickSamky 6 ай бұрын
😂😂😂
@charssamwel1015
@charssamwel1015 Жыл бұрын
Ss lema unaongea nn hapo....Tatzo lenu hamnaga hoja...mara lisu ..mara magufuli. Hhhhh
@JstvTanzania
@JstvTanzania Жыл бұрын
Lema huwezi fika kokote utateketea kama karatas unajiita nabii, itakua nabii hewa wewe
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Utateketea wewe
@beatricembuya6403
@beatricembuya6403 Жыл бұрын
Amen 🙏
@vincentvenance321
@vincentvenance321 Жыл бұрын
Mkanimali but Hanna kitu
@lekumolukumay6832
@lekumolukumay6832 Жыл бұрын
Hotuba nzito.sana hii
@kigomampyatv9209
@kigomampyatv9209 Жыл бұрын
kijana kumbe hajui kuongea au ana Tatizo la Kiakili
@lekumolukumay6832
@lekumolukumay6832 Жыл бұрын
@@kigomampyatv9209 hajui.kuongea kivipi ???
@charssamwel1015
@charssamwel1015 Жыл бұрын
Uzito wake nn ss....upuuzi mtupu hapo....Mkutano mzima n magufuli tuuuuuu
@opportunities2767
@opportunities2767 Жыл бұрын
Nuear tena
@shedracelia1267
@shedracelia1267 Жыл бұрын
Siasa za ovyoo kabisa ati mgeni rasimn Ni wajakoyaa 🤣🤣🤣
@frankmbijima399
@frankmbijima399 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@margaretmbongo3440
@margaretmbongo3440 Жыл бұрын
Hàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@margaretmbongo3440
@margaretmbongo3440 Жыл бұрын
Yale yale hakuna jipya
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 31 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 15 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 31 МЛН