No video

🔴

  Рет қаралды 59,870

Habari Digital

Habari Digital

Күн бұрын

Mahojiano mbashara ya mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema, kwenye kipindi cha The Big Agenda cha Star Tv
..................
Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
Instagram, Twitter na Facebook

Пікірлер: 383
@AyubuTaifa
@AyubuTaifa Жыл бұрын
mi nakukubali sana kaka na nipo nyuma kuzifuata siasa zako, hongera saana kaka
@allysaidy1965
@allysaidy1965 Жыл бұрын
Mhe lema ... binafs nakkubal saan tena sana
@tunsumegideonmwamboneke9639
@tunsumegideonmwamboneke9639 Жыл бұрын
Good job mwandishi, penye ukwwlibpasemewe, magufulinkafanya mapinduzi makubwa mno ktk nchi hii, tegardless of his wickness, ukirimganisha na marais wotebwaliopita, alikuwa na nia, uzalendo na uchapakazi wa hali ya juu.
@user-js5zs7wh9p
@user-js5zs7wh9p Жыл бұрын
Kwaiyo wanaokufa ktk machimbo magari vita huko nchi zingene unakalia aisee nyanda big up Mr.
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 Жыл бұрын
Kama hao watu kama wanajali Wanyama basi wasile Nyama
@AmosSniper
@AmosSniper Жыл бұрын
Natamani kijana wangu akikuwa ajitambue kama alivyo Lema, na Mungu' akipenda awe Vile Lema alivyo
@adeliphinusgabone7431
@adeliphinusgabone7431 Жыл бұрын
Nyanda bado sana ukiwa unawahoji watu kama hawa ambao wanafuatilia mambo kila kukicha be organized and smart kwenye hii interview umepwaya kinoma Lema is very smart one hundred miles from you.
@ombenianton3611
@ombenianton3611 Жыл бұрын
Na nilichokiona Nyanda anataka kuonekana mjuzi zaidi wa siasa kuliko mwanasiasa mwenyewe
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
@@ombenianton3611 hata huyo unae muona mwana siasa ndio sio kabisaa 🤣🤣
@mussamsella8560
@mussamsella8560 Жыл бұрын
Ukiwa vyama mbadala raha sana,kazi yako kubwa ni kukosoa,kupinga na kuongelea dhana na vitu vya kusadikika tu.Lema yupo kwenye chama ambacho sasa hivi kina miaka 30 ila ukimuuliza kimefanya nini cha kujivunia au kimeacha alama gani hakujibu. Ni sawa kujiringanisha na wengine wanaofanya vizuri kuliko wewe ila ukianza kujibeza kisa wengine wapo vizuri manake unajiweka kwenye utumwa. Lema anajitahidi sana kuongelea dhana na vya kusadikika zaidi.
@ombenianton3611
@ombenianton3611 Жыл бұрын
Huyu muandishi wa habari ana mihemko, anahitaji kuongea zaidi ya mhojiwa. Apunguze interferences kwenye mazungumzo. "ARUDI DARASANI TENA"
@zuberimaulid8199
@zuberimaulid8199 Жыл бұрын
Big up brother Nyanda... Maswali yako yana logic sanaaaa
@charlesmaselle7687
@charlesmaselle7687 Жыл бұрын
Nyanda, mwandishi amekomaa sasa katika kazi yake, lema kipindi ulichokaa huko umepoteana, hii nchi huijui tena.
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 Жыл бұрын
Nyanda Asante Dana Kwa kumbana huyo kibaraka mwingine was freemason na shoga wa kanada
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 Жыл бұрын
Hawa watu wameshamezeshwa sumu ya Hela , hawawezi kuukana ushoga , aseme hapo kwenye media hapendi ushoga !!! atawalipa pesa zao alizokula na gharama zote alizokula , Nina shaka anaemchumba huk
@nyirefami19471947
@nyirefami19471947 Жыл бұрын
Ndugu Lema upeo wako wa ufahamu kisiasa na kimaendeleo ni shida kwa mtu wa kawaida kukuelewa.
@ombenianton3611
@ombenianton3611 Жыл бұрын
Kama nyanda na maCCM wengine
@athanasyohana8720
@athanasyohana8720 Жыл бұрын
Kuwehuka ni 1.kutokataa ushoga moja kwa moja 2.kufananisha maendeleo ya kanada na Tanzanzania wakati tamaduni na mifumo yetu inatakiwa ijengwe na sio kufananishwa.Hii ndio sabab unakumbili kusema boda boda sio kazi 3.Kutojenga vya kwetu na tamadudi zetu na uwezo wetu na rasilimali zetu.
@KATOPE1
@KATOPE1 Жыл бұрын
Nyanda uko vinzur sana yaan unajua kuhoji kiutalam. Very professional special kwenye point ya ushoga bdo hajajibu Lema kabisa
@juliusmsangi6849
@juliusmsangi6849 Жыл бұрын
Kama yuko vizuri kwa hayo maswali ya kijinga basi wanaomuunga mkono nao ni wajinga mara 2!
@KATOPE1
@KATOPE1 Жыл бұрын
@@juliusmsangi6849 kwako yakijinga maana ww si chadema ndio maana unmuona lema mungu mtu iyo ndio shida ya bongo kabanwa na maswali hapo hajatoboa kabisa bdo we need more explanation kutoka kwa lema
@Boaz22
@Boaz22 Жыл бұрын
Huyu mtangazaji ana akili kweli?? Hana elimu ya journalism?? Nini shida, mbona hafanyi mahojiano anabishana😢
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Hivi angekuwa anamhoji katibu mkuu wa CCM taifa angembishia ?? Huyu ni mamluki tu.
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 Жыл бұрын
😅😅😅
@karimmunis8302
@karimmunis8302 Жыл бұрын
Lema anatokwa na povu balaa ndo chadomo mlivyo
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Nyanda yuko kwenye mission fulani... alipangwa kumdhalilisha lema.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
amekutana na kisiki amebaki kubishana tu na uandishi wake uchwara.
@madukurumwanileles7909
@madukurumwanileles7909 Жыл бұрын
Kwa hiyo alitaka daraja lijengwe wapi! Au alitaka kifanyike Nini ambacho yeye ndo Angeona ndo kina faa ndo maendeleo?.
@ShukuruSanga-ou9cr
@ShukuruSanga-ou9cr Жыл бұрын
Lema Hana lolote kaenda kanada karudi na ushamba zamani dada zetu walikuw wakieda dar wakirudi wanauliza ikidunda Kila pepokili Yani mlima ule Bado upo
@EmmanuelMbise-zj5kr
@EmmanuelMbise-zj5kr Жыл бұрын
Mh. Lema wewe ni lulu ktk taifa letu, ila kuna viumbe wa lumumba wanaona kawaida tu, Lema akili nyingi sana salute kwako.
@zuberimaulid8199
@zuberimaulid8199 Жыл бұрын
Mjadala mzuri kwa maendeleo endelevu,.... Keep it up!
@mrishongwikwi6448
@mrishongwikwi6448 Жыл бұрын
Hili swali wakiwa Ubelgiji wanalijibu vizuri kabisa na kukubaliana nao ila wakirudi Tz wanajifanya kuwa na kigugumizi.
@josephinemaheke9255
@josephinemaheke9255 Жыл бұрын
Nimefuatilia mahojiano haya. Nimesikitishwa na uwezo mdogo sana wa huyu mwandishi wa habari wa kuhoji. Mwandishi anaonekana wazi hakujiandaa maswali ya kumhoji ndg. Lema. Sioni hata Notebook ya maswali hapo. Haulizi kwa mpangilio, matokeo yake anataka kuibua Ubishi. Hajui kipindi kinafuatiliwa na watu wengi duniani. Hajui. Nashukuru ndg. Lema aliligundua hilo la uwezo mdogo wa mwandishi wa kuhoji, hivyo, akawa anamwongoza; la sivyo, mahojiano hayo yangeharibika. Kwa jumla, mwandishi ameboa.
@pastor_mashimo
@pastor_mashimo Жыл бұрын
Huyo ndie mwandishi kiboko Tanzania
@ombenianton3611
@ombenianton3611 Жыл бұрын
@@pastor_mashimo kwa mlio kariri tu,
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
@@ombenianton3611 wewe uko wapi? ndio nyie mpo kazi mzumbwi huku mjifanya mpo America 🇺🇸 kwa mashoga 🤣🤣
@bitarawanjara4756
@bitarawanjara4756 Жыл бұрын
Uwezo mdogo wa mwandishi umeupima kwakutumia kigezo gani? Ulitaka aulize kitu gani ili uamini uwezo wake ni mkubwa?
@zuhurarashid9158
@zuhurarashid9158 Жыл бұрын
Lema, hamuogopi Mungu hawezi kutamka wazi kuwa ushoga haufai kama alivyotakiwa aseme wazi
@ikotilissu5380
@ikotilissu5380 Жыл бұрын
Tatizo lako ni Poor thinking capacity. Ukiambiwa anaamini katika Bible, je Bible inasemaje?? Imesema Mwanaume na mwanaume wataungana na kuwa mwili mmoja au mwanaume na mwanamke??
@ombenianton3611
@ombenianton3611 Жыл бұрын
@@ikotilissu5380 mpe elimu huyu nadhni ka-scip tu ndani hajasikiliza chochhote
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
anawaogopa kuwakera wazungu mashoga wanao wapa hela
@ezeedi871
@ezeedi871 Жыл бұрын
@@ikotilissu5380 hilo siyo jibu kaka umeulizwa na majibu umepewa mawili ndiyo au hapana so yeye ilibid ajibu unafaa au haufai shortly yaan.
@focusmasunga1584
@focusmasunga1584 Жыл бұрын
Tupe Kaz bas kama unayo mbona unapiga kelele tu watu tunaendesha maisha yetu tuache bana
@fjafrica62
@fjafrica62 Жыл бұрын
Lema wewe ni noma, mwandishi anakuchanganya, Nyanda jirekebishe na maswari yako,
@bahariahd6299
@bahariahd6299 Жыл бұрын
LEMA UNATUMIA NGUVU SANA KUJIELEZA ILA MWANDISHI HODARI
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
unafilwa ccm
@loner_wolf
@loner_wolf Жыл бұрын
Mbona Nyanda anauliza maswali tactical sana..... Huyu Lema kama anabwabwaja tu..... Hajui kama watu wanajenga na kula kwa kazi hiyo hiyo.......
@issashunda444
@issashunda444 Жыл бұрын
Huyu kijana mtangazaji anamaswali ya kiufundi sana . Na Lema kukaa kwake Canada Miaka miwili tu anadhani anaijuwa sana Canada au western life . Biashara ya boda boda ipo pia karibu Nchi nyingi za asia
@user-js5zs7wh9p
@user-js5zs7wh9p Жыл бұрын
Lema huna hoja ulizo kuja nazo zaidi ya polojo na kuja kupanga jinsi ya kufarakanisha watu ktk nchi so tujiandae kuhusu ushoga na ndoa za jinsia Moja
@Abuu180
@Abuu180 Жыл бұрын
Nyanda na waandish wengine wa habar inatakiwa musafir mujifunze dunia jinsi watu wanavoishi nje, tatizo la Nyanda ni exposure pia hana analytical reasoning anahoji ku-impress makada na watawala, anataka ku-comparr homeless ya Bongo na homeless ya US....Nyanda unazingua sana bro
@anthonygikuri
@anthonygikuri Жыл бұрын
Nimecheka...... Dah tumeishiwa hoja zenye tija.
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 Жыл бұрын
Huyu ndiye mwandishi safi,hoji maswali mpaka mtu anapata kigugumizi😂😊😊
@adeliphinusgabone7431
@adeliphinusgabone7431 Жыл бұрын
Wewe nawe ndio walewale,Dunia ya leo ilipo na matatizo ambayo nchi inayo ukianza sifia waandishi wa kaliba ya nyanda tutakuona ni kijana mjinga na ambaye hufuatilii mambo kabisa hakuna maswali ya kiuamdishi hapo yaliyoulizwa alichokifanya nyanda ni kuwakilisha mawazo ya boss wake(mwenyekiti ccm Kanda ya Victoria) tu no journalism ethics in terms of questioning amekuwa utafikiri anaugomvi na Lema wakati yeye ndio kamualika kwenye kipindi kwa nini akuaandaa vitu vya msingi vya kuhoji kwa maslai mapana ya nchi,acha ushabiki wa kishamba.
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
@@adeliphinusgabone7431 wewe unafuatilia nn zaidi ya ushoga huna lolote 🤣🤣
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru Жыл бұрын
@@shinipapaya846 mbona Adeliphinus hajatukana wala hajashabikia ushoga si utumie ustaarabu tu
@gaspercharles4242
@gaspercharles4242 Жыл бұрын
Tanzania malithiano yanini malidhiano yanawezakuwa kwamajirani zetu hapo tunashangaa kutengeneza viini macho vya kuharalisha naupotoshaji kwawatanzania tuamini kuwa awamu yatano eti haikustahili kuwepo tanzania.
@keiferuz4869
@keiferuz4869 Жыл бұрын
Vp lema wazungu wanaoana wanaume kwa wanaume VP wewe unaona iko sawa
@josephlugala3182
@josephlugala3182 Жыл бұрын
Kuwahoji Wana chadema ni ngumu sana sijui kwani?
@mwana4599
@mwana4599 Жыл бұрын
Nimesoma comment nineelewa WaTZ hawana exposure at all. Huyo Lema huko amepewa equal rights kama wenyeji big no. Huko nje
@loner_wolf
@loner_wolf Жыл бұрын
Hiyo Takwimu ya Lema ya uongo....
@okitalanta5665
@okitalanta5665 Жыл бұрын
dah ungekua unajifunza kwa kina Millard,sky etc unaboa sana unamuhoji mtu swali afu humuach ajib vizur unamkatisha hujatisha
@officialkinghimself2637
@officialkinghimself2637 Жыл бұрын
Goddess lema ni baba wa siasa Tanzania anae pinga ni mpumbavu
@juliusmsangi6849
@juliusmsangi6849 Жыл бұрын
Mwandishi kilaza! Sikiliza hoja uielewe na usibishane na mtoa maelezo! Problems cannot be solved by the same level of thinking (Nyandas level) that created them!
@kyaro5945
@kyaro5945 Жыл бұрын
mindset of poor thinking among ministers is a major issue. Cement bag prices goes up because is likely only area of revenue income gvt seen to be just only avenue to chose.
@massawetrdmassawe2119
@massawetrdmassawe2119 Жыл бұрын
Go rwanda they are better by far compare to our Tanzania,,can be a good advice
@philbertmyinga6344
@philbertmyinga6344 Жыл бұрын
Rwanda sawa na wilaya ya mufindi usilinganishe kabisa
@dolomentfrance418
@dolomentfrance418 Жыл бұрын
Nyanda uko vizr ila Lema anajibu upuuz
@nurumvungi2210
@nurumvungi2210 Жыл бұрын
Hivi kwanini watangazaji wa sa hara media mnapenda kuingilia mnayehoji kabla hajamaliza kujibu? Hii shida sio ya nyanda tu hata odemba pia ipo... Ila Wana maswali mazuri sana...shida Yao hawatoi muda mtu kujibu.
@georgembise7234
@georgembise7234 Жыл бұрын
Hongera nyanda uzoefu wako nimkubwa sana sana ,uyo lema ni limbuken elimu yake ni ndogo alafu kwenda ulaya anaona niraisi kulinganisha maisha ya ulaya na yawa africa uyo ana akili za kuku,tumekaa ulaya miaka therathin kwanza ajitambui kabisa!!
@mshikamanojames7610
@mshikamanojames7610 Жыл бұрын
Jinga sana wewe
@ombenianton3611
@ombenianton3611 Жыл бұрын
Kweli mjinga ni mjinga tu. Kwahyo serikali ikiamua kuanzisha hizo mega investments inashindwa nn ku-empower watu wa chini??? Tena watu wa kaskazini sio wapumbavu kwa kiwango chako. Maana jina lako linaonyesha kuwa wewe ni mmeru ndani ya jamii za wachagga
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
@@ombenianton3611 chagga kwetu ni kitanda cha miti 🤣🤣
@eugenejr.8844
@eugenejr.8844 Жыл бұрын
Nchi inahitaji fikra tofauti. Huyu jamaa Sielewi anataka nini. Ni kweli mapungufu yapo ila , Haiwezekani usione CHANYA kwenye Kila KITU.
@bethkonga7944
@bethkonga7944 Жыл бұрын
Kwani madeleva wa maloli Wana insualence na wanaendesha ucku kucha vip kuhusu machimbo ya madini unajua watu wanakufa wangap na nikazi za hatar viwanda vyenyewe vinanamadhara sana kwawafanyakaz wake mbona we unaona hiyo ndio Kaz altenative
@amibeamibe7261
@amibeamibe7261 Жыл бұрын
MWANDISHI NA MTANGAZAJI WEWE , AISEE UONGEZEWE MSHAHARA MAANA UNAJUA KUHOJI MAMBO YA KISIASA, UCHUMI NA MAENDELEO
@kbbongotv
@kbbongotv Жыл бұрын
Huju anae hoji ni wazi kapagwa ampanikishe lema ili aharibu kipindi kwa kujibu vibaya , anakela sana hata utulivu ni kama anakisasi
@kennedykassian5269
@kennedykassian5269 Жыл бұрын
Sikuwahi kujua nyanda ana uwezo mdogo ivi mahojiano yamekua ni mabishano ,imeniboa ki ukweli
@josephlugala3182
@josephlugala3182 Жыл бұрын
Kumbe lema wewe wa ovyo sana kudadeki zako
@yamungumbarikiwamwakipesil401
@yamungumbarikiwamwakipesil401 Жыл бұрын
Huyo LEMA bila Shaka ni shoga anawatetea shoga wenzio, hawezi jificha nyuma ya biblia wakati biblia inasema wauawe maana wafanya chukizo mbele zq Mungu, MAMBO YA WALAWI 20:13, NA 18:22
@augustinejohn1835
@augustinejohn1835 Жыл бұрын
Hamna jambo imeisha iyooo. Vitu vya mbegu za Arusha
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 Жыл бұрын
lema una historia za zamani hayo wanyama wanajua jinsi yakujamiana lakini wazungu wako wako kinyume
@mussamsella8560
@mussamsella8560 Жыл бұрын
Kiukweli hata yeye kufutiwa makosa na Mh Rais imekua sahihi ila inatoauti gani kipindi kile Mh rais kuendelea na Makonda japo ilionekana hana sifa
@abuialmarjibi979
@abuialmarjibi979 Жыл бұрын
Hawa jamaa kila kitu ni kukosoa hata kama zuri wao ni baya na hii ndio maana halisi ya upinzani
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 Жыл бұрын
Well done mwandishi
@othmanmapunda2310
@othmanmapunda2310 Жыл бұрын
Malaya wa Canada huyu mpenda ushoga
@bahariahd6299
@bahariahd6299 Жыл бұрын
LEMA JAMAA KAKUCHANGANYA SANA
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Жыл бұрын
sukuma gang mnafilwa
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
anajiona anaakili lakini. copy paste tuu hana lake jambo
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Huyo Hana akili! Watu walimwelewa Sana JPM hao akina Lema c wahuni tu?
@esuthoby7865
@esuthoby7865 Жыл бұрын
Wewe acha ushamba,hata nchi zilizoendelea zilikata miti kwao na ktk chi za kiafrika .sasa baada ya kukata kwa muda mrefu ndo sasa wanaanza kuweka solar.
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 Жыл бұрын
Yaani lema unaota ndoto za mchana kabisa cdm haiwezi chukua nchi lopolopo hiyo na kashifa hizo lakini mama hapa ndo atajua hawa watu siyo rafiki ni wanafiki wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa hasa huyu jamaa mama uwe mvumilivu sana maneno yao yanauthi sana
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 Жыл бұрын
Swala la heka kumi kumi ilo mm mwenyewe naliona alijakaa serious sanaaa
@rommelmauma8081
@rommelmauma8081 Жыл бұрын
Lema, ulikuwa Kanada. Je, serikali ya federo ya Kanada haihujumu *haki za wanadamu* wazawa wa Kanada?
@yonathanimachinga3435
@yonathanimachinga3435 Жыл бұрын
Si kweli , hakuna watu wamekufa karatu na pikipiki
@peterjohnson167
@peterjohnson167 Жыл бұрын
Walio omba maridhiano sio CCM maridhiano uliomba na CHADEMA na video zipo zitashuhudia..... Maridhiano ni ombi la Chadema na Rais wa awamu ya6 akawakubalia...... LEMA usipinde na kusema CCM ndio alihitisha maridhiano no.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Niliangalia kipindi hiki kwenye runinga nikajua kwamba huyu mtangazaji alikuwa na jambo lake. Sidhani kama angekuwa anamhoji Katibu Mkuu CCM angethubutu kuingilia majibu na kubisha anachoambiwa. Hapo kapoteza sifa na kavurunda !!
@prospertarimo6657
@prospertarimo6657 Жыл бұрын
Lima unahojiwa namjina
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru Жыл бұрын
Mwandishi asiyesikiliza
@kbbongotv
@kbbongotv Жыл бұрын
Mtangazaji kama huyu anapiga kelele tu hana point kama lema angemjua vzur huyu mtu anamshushia heshima asinge kwenda kuhojiwa
@rwenenahomechannel1634
@rwenenahomechannel1634 Жыл бұрын
Waafrika akili zenu ziko kaangioni pale Washington Marekani. Acheni uongo hamna jipya, hasa hawa wanaojipa jina lao Opposition.
@bossmolellsisiya4101
@bossmolellsisiya4101 Жыл бұрын
Lema amejua haya yote baafa ya kuishi ulaya??
@hassanyusuph4526
@hassanyusuph4526 Жыл бұрын
Huyu mtangazaji hajui kuuliza maswali anabishana na mtuu ambae anamuuliza maswali tunakushauri uende shule ukasome
@isackkivuyo1980
@isackkivuyo1980 Жыл бұрын
Nyanda is the best than machinga wa nyanya
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 Жыл бұрын
kwenda kanada mwaka ameona watanzania wote sikitu ndio maana anona miundo mbinu ya TZ ilitakiwa iwepo toka miaka ya sitini.ninakuuliza pembe za ndovu zilizobebwa na watumwa kwenda kwa makoloni tulikuwa tunalipwa Tzs ngapi na watumwa waliokwenda huko tulilipwa bei ngani acha kuwa msariti wa nchi yako ebu tuambie gharama za ndege.kutoka narobi hadi kanada ni Tsh?kodi yanyumba TZS?Kama hujui ulibadirisha jinsia au
@PhilipoMwita-ge2oj
@PhilipoMwita-ge2oj 5 ай бұрын
Ukweli jamaa wewe lema unatuangusha Wana chadema
@esuthoby7865
@esuthoby7865 Жыл бұрын
Lema sijajua kuwa huna akili kiasi hichi.yaani aibu uliwezaje kuwa mbunge.
@onelovetz7935
@onelovetz7935 Жыл бұрын
Nyanda uko vizuri wengine ukiwatazama kwa macho utajiuliza mbona Kama hakai vizuri lema matakoni Kuna nini
@salmanmagwe222
@salmanmagwe222 Жыл бұрын
Kuwasifu Wazungu kwa ubinadamu ni makosa sana, Je waliokuja Afrika kutuibia na kutufanya watumwa si ni hao unaowasifu?Wazungu sio watu wema kabisa
@AlexJohnasi-wz6bn
@AlexJohnasi-wz6bn Жыл бұрын
Nyanda uko pw sana ila awa jaama siasa imewashinda wamezoea kulelewa nje
@muhundaramadhani5057
@muhundaramadhani5057 Жыл бұрын
M. Mungu anusuru Hali hii
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 Жыл бұрын
Ni miradi mikubwa ukilinganisha na kupiga kelele kwa wapinzani
@bethkonga7944
@bethkonga7944 Жыл бұрын
Kwanza unafananisha Manisha y a marekan iliyopata uhulu miaka 1700 inakarne nying uchumi unapanda kwa hatua
@peterjohnson167
@peterjohnson167 Жыл бұрын
Kitabu cha Walawi 20:13- Mathayo 7:1-
@Brandsonce-qs2yt
@Brandsonce-qs2yt Жыл бұрын
Ndugu huyu Mr Lema anaoyoongea kuhusu wazungu wanavyotuchkulia ni kweri kabisa hata mimi nayaona sana huku Ulaya. Na kwa uchunguzi wangu ni kwamba Sisi wa Afrika hatuwasamini wa Afrika wenzetu kiubinadamu. Ndiyo maana hawa watu wa huku wakiyaona hawayaelewi na ndiyomaana wanatuchukuliya hivyo. Wa Afrika tuamuke na tuweke misingi ya kiubinadam na siyo kiunyama.
@godblessmbowe1514
@godblessmbowe1514 Жыл бұрын
Mwandishi uwezo mdogo sanaa anaprove failure,poor question...
@gaspercharles4242
@gaspercharles4242 Жыл бұрын
Hivi huyo Lema anajuakuwa nchi zamagharibi zimejengwa na nchizingine ikiwemo na Tanzania ? nahadi sasa tunachapwa kulikokawaida halafujamaa anawashangiliakama hamunazo hivi.
@allysaidy1965
@allysaidy1965 Жыл бұрын
Mh lema nakkubal saan isipokuw hapo qa MZEE MAGUFULI UNACHEMKAA... RAIA TUNAMKUBAL MZEEEE BABA JPM... qang mm ndy rais pekeee alotokea alokuw mzalendo katika taifa hili.....
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 Жыл бұрын
Huyo nyanda huwa ni pinguwani. Mwandishi wa hovyo star tv.
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 Жыл бұрын
Tatizo letu wa Africa tunaongea mno ila tukichukua madaraka tunasahau Kila Kitu na Wizi ndo unakua Kipao mbele bila kusahau Uzembe
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 Жыл бұрын
Yale ndiyo malengo yao si kujisahau
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 Жыл бұрын
Kuhusu bwawa la mwl nyerere anatakiwa akasikilize hotuba ya Jpm atajifunza huyo kibaraka wa wazungu
@augustinejohn1835
@augustinejohn1835 Жыл бұрын
Lema, Tafadhali acha siasa
@AminiMoshi-cn9wi
@AminiMoshi-cn9wi Жыл бұрын
Waambie ukweli
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Жыл бұрын
Mwandishi huyu amekuja kubiahana hajakuja kutafuta habari kwa lema. Mfano wake wa kwamba marekani kuna masikini sawa na bongo ni jibu la swali lake la chadema wanatafuta nn ikiwa serikali wamejenga miundombinu. Yaani marekani kuwa na watu homeless hawashangai maendeleo waliyonayo na hawatawaliwi kipumbavu kama bongo. Yaani miaka 60 chama kimoja alafu mnasifia madaraja ambayo yalipaswa yawepo tangu enzi za mkapa au mwinyi.
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Alafu sio mara moja namfuatilia uyo muandishi hajui kuhoji maswali kbs kazi kuuliza yake ndo hivyo hovyo kbs
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 Жыл бұрын
Kwa Mara ya kwanza Leo nimedhihirisha wazi upinzani wakiingia madarakani watafanya nini kuhusu ushoga,pumbavu,Tena pumbavu sana
@jumannenditi196
@jumannenditi196 Жыл бұрын
Mtangazaji usipoteze muda wako kwa huyo lema juu ya swali hilo hawezi kusema wazi kua ushoga ni dhambi hali yakua watoto wake wamepata hifadhi ndani ya mataifa ambayo ushoga ni haki hivyo akipinga wazi wazi watatolewa mkuku huko ndio maana kakukwepa kabisa kulijibu swali hilo kwa uwazi. bali ushoga ni chukizo mbele za mungu.
@nathanielkaaya9127
@nathanielkaaya9127 Жыл бұрын
Lema is naive anahitaji elimu zaidi kuhusu ujenzi wa uchumi.Analinganisha first world na nchi za third world!
@winnieminyalla9430
@winnieminyalla9430 Жыл бұрын
Nyanda unapouliza swali tulia usikilize jibu unamkatiza katiza mtu hd inakuwa kama unamshambulia mtu.
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Chadema hasemi ushoga
@karimmveyange280
@karimmveyange280 Жыл бұрын
Alianza Rais JPM Kuibadilisha nchi kwa mtazamo wa viwanda vipya na kufufua vya zamani ili baadae ajira ipatikane kwa vijana- mkapiga mayowe enyi wanafiki. leo unaongelea ajira? Hmna kitu vchwani mwenu
@baysadam235
@baysadam235 Жыл бұрын
From Moz🇲🇿🇲🇿 Nakukubari sanaa Mr godbless ww ni mtu muhimu snaaa kwetu
@jeremiatitus4414
@jeremiatitus4414 Жыл бұрын
Lema awe mkwel moyoni ana kitu Cha kwel hataki kusema ,( yaan tz bado wapigaji wapo na wanajiandaa wengine,Mungu tusaidie
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Bora uludi nyumbani kuliko kuokota makopo jalalani kwenye nchi ya watu @bay 🤣🤣
@bahariahd6299
@bahariahd6299 Жыл бұрын
NYANDA UNAWEPESI SANA WA KIFIKIRI NA KUULIZA MASWALI MUHIMU MPAKA LEMA ANATETEMEKA HONGERA MUANDISHI
@fundi99general16
@fundi99general16 Жыл бұрын
Kiongozi,au,mtu,yoyote,haswa,mwanasiasa,anaetoka,ktk,nchi,za,umoja,wa,NATO,hawezi,pinga,ushoga.hawatufai.
Lema awachana Bodaboda 'mnadanyanywa kuitwa maofisa Usafirishaji'
10:52
Mwananchi Digital
Рет қаралды 9 М.
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 34 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 73 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 15 МЛН
Tundu Lissu ndani ya #Dakika45.
1:05:06
ITV Tanzania
Рет қаралды 311 М.
TAARIFA ZA MSEMAJI || CHUMA KUCHIMBWA TANZANIA
10:49
NDC TV
Рет қаралды 212
Godbless Lema VS Waziri Simbachawene bungeni leo
9:52
Millard Ayo
Рет қаралды 1,3 МЛН
Shangwe lalipuka Rais SAMIA alivyomuita vizuri Rais RUTO Kenya leo
8:04
LEMA ALIAMSHA DUDE BUNGENI MATIBABU YA LISSU, MWENYEKITI AMTAKA AKAE
4:05
Mwananchi Digital
Рет қаралды 167 М.
Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka
15:51
Global TV Online
Рет қаралды 575 М.
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 34 МЛН