Mimi naitua hamisi issura sumail,kutokea msumbiji mazambique,ni ivi kama chama ameamua kuachana na clabu ya simbasc bola mumuache asiasumbue bure akawatia asala uo kama mchezo tu,endeleyeni kutafuta vifaa vyengini maisha yaendelee watu tufalai msimu hujao..
@RamadhaniKivugo-hi2wn7 күн бұрын
Kaka Mimi namtabiri mchezaji ni azizikii. Mtuakimwaga mboga
@user-lf2co2cj2x6 күн бұрын
Kwa chama nimeumia sana
@isakanandamule7 күн бұрын
Ni wawap?
@LowassaMollel-ft3vf6 күн бұрын
Aloo chama kuondoka inauma kwakweli Simba hawana akili mchezaji nzuri wanaacha wanaenda kuleta wachezaji feki Sana kwaiyo Mambo na Simba inatuumiza kwakweli