LIVE : : NDOTO NA TAFSIRI ZAKE PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 73,936

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

3 жыл бұрын

HUDUMA YA REALITY OF CHRIST MINISTRY (ROC) IPO SINZA MORI DAR ES SALAAM INAONGOZWA NA MTUMISHI WA MUNGU SUNBELLA KYANDO
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZfaq: kzfaq.info/love/67L...
#Realityofchrist# #SunbellaKyando#

Пікірлер: 172
@BrianMunyasa
@BrianMunyasa 3 ай бұрын
Am emily from kenya ni neno zuri pastor ubarikiwe
@magrethmukaja4776
@magrethmukaja4776 4 күн бұрын
Mimi Sina fedha wala dhahabu,natolea maombi na shukrani muda wa saa moja Kwa siku tisa Kwa YESU .
@georginakanje8879
@georginakanje8879 7 ай бұрын
Shaloom mimi nnaota ndoto narudi shule iwe nmevaa sare ya shule ya msingi au sare ya shule ya sekondari nlizomalza huwa inajirud jirudia sielewi tafsiri yake
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu 2 жыл бұрын
Nakupata vizuri kabisa mtumishi. Niko marekani . Davies kutoka kenya
@magrethmukaja4776
@magrethmukaja4776 4 күн бұрын
Huduma istawi sana na kuleta Utukufu na ukombozi Kwa wengi.
@annemyombo8089
@annemyombo8089 2 жыл бұрын
Mtumishi Bwana Yesu asifiwe . Mtumishi ktk ndoto nilimuona rafiki yangu kazini ambaye amepandishwa cheo kizuri Nov mwaka jana ,akiwa ananiletea viatu vipya akanikanidhi
@user-gv3si2mv3l
@user-gv3si2mv3l Жыл бұрын
Viatu n mamlaka, yoshua naambiwa kila ziingiapo nyayo za miguu zenu nimewapa kumiliki NA pia ni uinjilisti ila kulingana nawe cheo utapandishwa ko ingia maombi y kumshukuru bwana
@agneskadzo1726
@agneskadzo1726 2 жыл бұрын
Watching from lamu Kenya,niliota nmeingia Kwa duka ya chakula ya mifugo aina ya kuku,gafla ndege aina ya kuku wakaanza kunizunguka wakichana vazi langu nyuzi sikuwa na nafasi ya kutoka nikaitisha msaada na gafla Tena Mzee katokezea kakata zile nyuzi walizokua wanachana na kumaliza akawa amenikwamilia
@ruthmahene9733
@ruthmahene9733 Жыл бұрын
Asante mtumishi neno limenisaidia sana si hili tu bali yote kwangu naona yananipa kitu kipya Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
@winfridamrema796
@winfridamrema796 2 жыл бұрын
Mimi niliota nimeenda kusali kanisa analoongoza mchungaji au mmiliki wakike kanisa hilo lipo mbali na makazi ya watu, nilitoka eneo la ibada na ndugu yangu kuelekea bustani kuchuma machungwa lakini yalikua ni machanga, alitokea huyo mama akatufokea ikimaanisha turudi ibadani , maombi yalianza nikatoka na kukimbia nikihisi hawamuamini Mungu wa kweli, mimi na ndugu yangu tulikimbizwa sana na vijana wakiume WAWILI, Ad kuingia kanisa fulani lililokuwepo mbali na eneo la ibada hyo , nilisali sana na kuwaombea na kukemea hawakutudhuru. Mtumishi, naomba nisaidie tafsiri ya ndoto hiyo. Asante.
@happynesskapela1153
@happynesskapela1153 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
@highonebalo8289
@highonebalo8289 3 жыл бұрын
Niko Arusha. Nina shahuku sana uanze kufundisha tu mwalimu. Maana huwa nakuelewaga na napata mwendo sana nikikusikiliza. Karibu tcha wangu.
@regalistrrlyimo8827
@regalistrrlyimo8827 3 жыл бұрын
Nimekuelewa Mtumishi na nimejifunza mambo mengi sana.Ubarikiwe sana Mtumishi
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 жыл бұрын
Asante mpakwa mafuta Masomo yananifunguwa sana Najifunza na kupokea barikiwa sana mtumishi wa MUNGU ALIYEHAI,
@veronikaaugustino2258
@veronikaaugustino2258 3 жыл бұрын
Kutoka Tbr baba Namwambia MUNGU Asante kwa Neema hii ya maarifa haya
@annandossi1022
@annandossi1022 3 жыл бұрын
Nawapata nikiwa ujerumani 🙏🏾 Asante sana Mtumishi 🙏🏾
@sulleadiana4504
@sulleadiana4504 2 жыл бұрын
Amen mchungaji Mimi niliota Mzee ambaye simjui akiwa ananikatalia ananipenda na ukweli hakuna mahusiano yanayodumu na nimekuwa nikimlilia mungu ,,arejeshe uhusiano wangu ambao sielewi shida ilitokea wapi
@josephthine5036
@josephthine5036 3 жыл бұрын
Joseph Thine, from Nairobi, Kenya. Watching.
@bildadlema2547
@bildadlema2547 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi,nakufatilia kwa karibu nimebarikiwa sana
@yohanajulias142
@yohanajulias142 2 жыл бұрын
Aminaaaaaaaaa sanaaa servant of God barikiwaaaa mnooooo nimebarikiwaa
@winniesainet8635
@winniesainet8635 3 жыл бұрын
Amen.....mi niliota vichwa viwili vya Bonge la masimba wakiunguluma mawinguni
@marygeorge3459
@marygeorge3459 2 жыл бұрын
Nakuelewa mtumishi sunbella. Mary from Kenya
@bonheurmungalambuyu8015
@bonheurmungalambuyu8015 Жыл бұрын
Asante mutumishi mkuu ninakua Niki vutwa sana kwa mafundisho Yako kila Siku n'a kila muda
@salamamapendo6461
@salamamapendo6461 2 жыл бұрын
Salama mapendo kutoka American nakuelewa sana Baba yangu
@rashilohenterprises1452
@rashilohenterprises1452 2 жыл бұрын
shalom thanks for the details on the dreams translation niko Kenya Mombasa mariakani
@jacksonkahindi1294
@jacksonkahindi1294 2 жыл бұрын
Amen nakutazama kutoka Mombasa Kenya
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@mercyfaidajumaa9793
@mercyfaidajumaa9793 2 жыл бұрын
Asante sana mtumishi
@zakiaabdulrahman3013
@zakiaabdulrahman3013 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi niapata funzo
@peninahgetau1362
@peninahgetau1362 2 жыл бұрын
shalom watching from Mombasa Kenya
@elishasoka6692
@elishasoka6692 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa afya njema na upako zaidi ili tuyafaidi Yale yote Aliyoweka ndani yako Mchungaji Wangu.
@mariamfrank9795
@mariamfrank9795 2 жыл бұрын
Unanibariki sana mtumishi
@elizabethrabanus3990
@elizabethrabanus3990 3 жыл бұрын
Nakuelewa sanaaa Mtumishi wa Mungu, barikiwaaa sanaaa
@mariethakitaly7754
@mariethakitaly7754 3 жыл бұрын
MARIETHA KITALY nawapata nikiwa mwenge
@mankamassawe5605
@mankamassawe5605 2 жыл бұрын
Shaloo baba ,je mtu akikuotea Sana uko katikati ya watu walokufa manake nn baba
@user-gv3si2mv3l
@user-gv3si2mv3l Жыл бұрын
Roho za mauti zinakuandama au familiar spirits au spiritual husbands au imitating spirits
@annstersianganga6772
@annstersianganga6772 2 жыл бұрын
Amen Amen nawapata kutoka Kenya
@loycegodson7754
@loycegodson7754 Жыл бұрын
Tupo pamoja mtumishi...
@angellawrence1844
@angellawrence1844 2 жыл бұрын
Angel Lawrence kutoka Nairobi,God enlarge you Man of God
@paschalmeela8530
@paschalmeela8530 Жыл бұрын
Mwalimu Mungu akuinue nashiba
@stellamulenga7532
@stellamulenga7532 2 жыл бұрын
Nakuelewa vizuri sanaa mchungaji
@elizabethrabanus3990
@elizabethrabanus3990 3 жыл бұрын
Nipo Lindi,,Nakuelewa Mtumishi hata Kama ilishapita nimejifunza vitu vingii
@rahabumwangoka6803
@rahabumwangoka6803 3 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mimi nimeota nimezungukwa na nguo chafu nyingi na imejiludia mala Tatu Mungu nisaidie kuiekewa
@neemashuma4302
@neemashuma4302 3 жыл бұрын
Mara 3 ni hakika. Kaa magotini,
@user-gv3si2mv3l
@user-gv3si2mv3l Жыл бұрын
Karama yko haipo vzuri unafaa kuingia ktk toba
@elizabethstephen15
@elizabethstephen15 2 жыл бұрын
Elizabeth from London Manchester
@mamelithaemmanuel2976
@mamelithaemmanuel2976 2 жыл бұрын
Mamelitha Emanuel kutoka finland Ninakupata vizuri
@JackKamundia-wh4hd
@JackKamundia-wh4hd Жыл бұрын
Asante mtumishi
@evetaswai9387
@evetaswai9387 2 жыл бұрын
Nakuelewa sana
@antoniaemmanuel6754
@antoniaemmanuel6754 2 жыл бұрын
Asante nimepata majibu ya ndoto yangu hata kama sijaisema hapa.
@patriciashao372
@patriciashao372 2 жыл бұрын
Nakuelewa sana baba
@sophiamasawe4309
@sophiamasawe4309 Жыл бұрын
Nakuelewa sana mwalimu
@rebeccajacob1795
@rebeccajacob1795 2 жыл бұрын
Asante mtumishi Kwa mafundisho mazuli yananitoa sehem moja kwenda nyingine
@mercyfaidajumaa9793
@mercyfaidajumaa9793 2 жыл бұрын
Asante mungu 🙏🙏🥰
@paulinecharo5408
@paulinecharo5408 3 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe,mm nimekua nikiota nikiosha choo kichafu sana naimekua ikijirudia siku nyengine niliota nikiwa na dadangu nikiwa naosha hicho choo dada akaniambia wachana nimeomba tayar then ikaja scene hapo kwenye choo nikatoa mkungu wa ndizi uliokuwa umeiva sehemu, hii sehemu ya chini ndizi kadhaa zikawa hazijaiva
@user-gv3si2mv3l
@user-gv3si2mv3l Жыл бұрын
Kutosha kitu ni utakaso ulipoona ndizi za kuiva bwana anakuambia kuna uponyaji NA life pia green means life john 10 :10 the thief comes to steal kill and destroy but i come so that you may have life thus the emiralds
@gracemwakabonga5029
@gracemwakabonga5029 Жыл бұрын
Nakuelewa sana. Ila wakati mwimgine sikumbuki vyote
@epimakntalindwa7241
@epimakntalindwa7241 3 жыл бұрын
nakupata sana Pastor niko rwanda
@janembalinga7074
@janembalinga7074 3 жыл бұрын
Shalom mm naota sana naombea vilema na wanapona wanakuwa wazima
@user-gv3si2mv3l
@user-gv3si2mv3l Жыл бұрын
Bwana nakuambia huduma yko n ya deliverence
@phabianmathew9484
@phabianmathew9484 3 жыл бұрын
Nipo mwanza nakupata Sana mtumish
@jacqulinekasondera5326
@jacqulinekasondera5326 2 жыл бұрын
Nimeota naenda chooni kunisaidia, nikaingia mlango was kwanza sikuona tundu LA choose na ukuta mmoja ulikuwa umeanguka, chumba cha pili hakukuwa na tundu pia Ila kulikuwa na nyayo za watoto chumba cha tatu kilikuwa kumefungu nikawasha taa haikuwaka, nilivyojaribu kuvuta mlango ulitoboka na kwenye tundu hilo kilitokea kitu kilefu kama nyoka kilochofunikwa na nguo chafu kisha kikanikata shavu LA kushoto kisha kisha nikabana kichwa na mkono was kulia huku nikikemea na huku nasikia sumu inasambaa mwilini nikiwa napamba gafla nikashituka usingizini.
@happinessmtani7621
@happinessmtani7621 2 жыл бұрын
Naendelea kujifunza hapa maana mimi ni mmoja wa ndoto nyingi,always I need translation,nipo 🇴🇲 Omani nafuatilia
@kokwendaselestin291
@kokwendaselestin291 2 жыл бұрын
Celina kokwenda niko Dodoma
@angelkanoga2175
@angelkanoga2175 2 жыл бұрын
Yan uwa nakaa natazama hii video kuangalia prophecy yangu najua iko siku itatimia tu
@gregorynyamas1234
@gregorynyamas1234 2 жыл бұрын
Gregory Penn, kutoka, Naivasha kenya 🇰🇪
@estherulikaye3268
@estherulikaye3268 3 жыл бұрын
Nakuelewa san
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu 2 жыл бұрын
Nakuelewa
@miraclemoses2327
@miraclemoses2327 2 жыл бұрын
Ameni mtumishi
@joycekariuki46
@joycekariuki46 2 жыл бұрын
Mm huwa naota Sana Sana vitu zinatokea pia naota nikiwa shule primary but kulingana na vile nimefuatilia masomo ya mtumishi nimejua niko na shida
@user-hb2hr5vb6v
@user-hb2hr5vb6v 10 ай бұрын
samahani baba naomba kuuliza nimeeota nilikua jikon hafu mvua na na upepo mkali vikavum na mwishowe kuta za jiko zikaniangukia
@graciasmasila5838
@graciasmasila5838 3 жыл бұрын
Amen, hello mimi niliota mchana eti nina jaa nilipo fika kwenye kimbanda kununua chakula nilikuwa na jiona nipo sawa nina hela, muuzaji alipo kuja aliniambia bei ya juu kiasi kwamba pesa zangu zote hazingeweza tosha kununua chakula, muuzaji akaniambia basi wacha nikupe mahindi bila maharagwe kulingana na pesa yako, na alipokuwa hakinipakulia ndoto ilipotea nika situka nakuammka, na kawaida yangu mimi kuota nikikimbizwa na ng'ombe sehemu tofauti, ama nikifanya mapezi na watu tafauti ata wazimu na wanawake pia na wanyama 😪😪😪🙏please nisaindia nakusiii😪😪
@josegashiko3111
@josegashiko3111 2 жыл бұрын
God be with may God rescue your soul from evil family members.Ukiona ng'ombe huyo ni mwanamke wa familia yako.
@gloriapraise3313
@gloriapraise3313 2 жыл бұрын
@@josegashiko3111 ngombe haisimamii mwanadamu.... A woman can't b a cow in a dream... Rem cows were used to carry the ark of the covenant of in the Bible n after that God strike them dead... Cows r nt a good spirit and or dimandion in the spiritual world realm
@gloriapraise3313
@gloriapraise3313 2 жыл бұрын
2. Uko na njaa ya kiroho... U have to soak urself in the word of God so that blessings can b poured on. U.... Ndo unaona uko na njaa Tena unaenda the wrong plc Kibandani!!!.... N either way kanisa ambalo bado haliwezi hudumia watu bila pesa.... Ama mtumishi ambaye fr them to serve u lazima umpe hela
@Frankjuma254
@Frankjuma254 2 жыл бұрын
Mungu akuonekanie
@graciasmasila5838
@graciasmasila5838 3 жыл бұрын
Niko saudia jeddah natoka Kenya
@zabibuhassan9792
@zabibuhassan9792 2 жыл бұрын
Nashukuru Mtumishi nakuelewa sana mafundisho yako yananivusha sana. Mmi nikiota ndoto huwa zinatokea hazichukui hata muda!! Na nikimuota juma kapata tatizo inakuwa ni juma huyo huyo. Haibadiliki na nikiomba hakitokei ila nikipuunzia maombi kinatokea. Nimekuwa nikionyeshwa vitu vya watu hata naogopa. Chochote kinachotaka kutokea kiwe kizuri au kibaya ni lazima niote na kinakuja vile vile. Wakati mwingine nikiwa ofisini hata nimepumzika kidogo mchana, naweza ota jambo fulani ninafanyika huko nje, mara nikishuta nikitoka nje nakuta kinafanyika hivyo hivyo.
@user-gv3si2mv3l
@user-gv3si2mv3l Жыл бұрын
You are called sis
@janetjanet8669
@janetjanet8669 2 жыл бұрын
Nampata kutoka katar bas naomba mafundisho kitu siku🙏🙏🇰🇪
@dadaagnes4483
@dadaagnes4483 2 жыл бұрын
Japo ni kipindi kilichopita lkn bado nafatilia. Nakupata vuzuri mtumishi wangu nikiwa Iraq
@mankamassawe5605
@mankamassawe5605 2 жыл бұрын
Baba mm manka nimetuma ndoto yangu mapema Sana hujaisoma babangu
@rusiwadonatrusi3603
@rusiwadonatrusi3603 2 жыл бұрын
Sijui nilikuwa wapi siku zote hizi mchungaji ubarikiwe sana hata nimechelewa commenti
@magrethmukaja4776
@magrethmukaja4776 4 күн бұрын
Kweli
@annmutuma2519
@annmutuma2519 2 жыл бұрын
Mimi ni Ann gakii from Mombasa, niliota napigana na paka wakubwa sana weusi na mara nyingine naota ngombe wako kwa nyumba yangu wakikula takataka kwenye dustbin
@user-gv3si2mv3l
@user-gv3si2mv3l Жыл бұрын
Ng'ombe tribal spirits from your fathers side, spiritual husbands but according to your dreams it symbolises wealth
@evamiraji2379
@evamiraji2379 2 жыл бұрын
Naelewa sana Mchungaji, Mungu akubariki sana..
@zakiaabdulrahman3013
@zakiaabdulrahman3013 3 жыл бұрын
Nimeelewa
@rosemrutu9069
@rosemrutu9069 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana mchungaji,ubarikiwe sana, ila kwebye ndoto ya Yusufu unawezaje jujua kuwa miakavsaba na sio miezi au siku saba?
@winfridamrema796
@winfridamrema796 2 жыл бұрын
Nakuelewa mtumishi
@erickmuhanga8062
@erickmuhanga8062 3 жыл бұрын
Nakupata Nikiwa Oman
@jerehjeremy007
@jerehjeremy007 Жыл бұрын
Kuna channel gani ya TV naweza kufuatilia mafudisho yko, hunibariki na kunielimisha Jeremiah from 🇰🇪
@trisherantony
@trisherantony Жыл бұрын
Nimeota kuwa naenda shule Mimi na wa kaka sita ila mmoja wapo alikuwa mkaka mzuri sana ya mno na nilikuwa nipo kwenye mahusiano ya shule, sasa wakati wa breakfast tulienda kupata vitafunwa na juice, baada ya hapo siku iliisha ikafika usiku sasa kwenye ndoto nilikuwa naona kwamba nimepanga kwenye apartment, ilivyofika usiku nikaenda bafuni kuoga nikamaliza ila wakati naenda kulala nikaenda sehemu ya kunawiya mikono nikalala hapo ila puwa yangu ikawa ipo kwenye bomba na maji yanatililika
@revocatusngomele4905
@revocatusngomele4905 2 жыл бұрын
Amen
@happinessngogo1999
@happinessngogo1999 2 жыл бұрын
AMEN
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 Жыл бұрын
Amen 🙏
@rukiasalum7628
@rukiasalum7628 Жыл бұрын
Usiku wa leo nimehamia nyumba ila nikatoka sokoni nilipo rudi nikipotee nipokuwa naitafuta nyumba nikakutana na mdogo wangu ila amekufa miaka mitatu iliyo pita anasema dada twende ila mie nikakataa akaingia kwenye nyumba moja wakaanza kumbaka nikawa najitahijdi.kusaidia.ila.sikuweza
@peninahgetau1362
@peninahgetau1362 2 жыл бұрын
Nakuelewa sana mchungaji na nina jifunza mengi,
@perpetuaidafa4698
@perpetuaidafa4698 3 жыл бұрын
perpetua michael.Niliota kulikua na magari mawili ya kijeshi,na mimi nilikua mmoja wapo niliyopanda katika gari moja wapo,nilipofika sehemu nilishuka,na gafila gari langu nililokua nimepanda mwanzo likaniacha,ghafla wakatokea watu waliokua wananifahamu wakawa wananishanga kuwa mimi nimwanajeshi
@user-gv3si2mv3l
@user-gv3si2mv3l Жыл бұрын
Ndoto yko ina tafsiri mbili, we are soldgers of the Lord Gari kukuacha spirit of delay
@saidisuhuzwa9959
@saidisuhuzwa9959 2 жыл бұрын
nawapata nikiwa kigoma tanzania
@veronikaaugustino2258
@veronikaaugustino2258 3 жыл бұрын
Nimekuelewa baba kwa maarifa
@dorahmajura7409
@dorahmajura7409 3 жыл бұрын
Nipo Zanzibar baba
@paulopaulopeter8307
@paulopaulopeter8307 Жыл бұрын
Pastor kila ndoto nikiota naota pesa, kiasi ni sh. M1 kwann hakibadiliki???
@teknosparck9386
@teknosparck9386 2 жыл бұрын
Natoka Kenya nairobi
@Reborn_WC
@Reborn_WC Жыл бұрын
Baba mimi juzi naliota ndoto nikiwa sehemu kama yenye watu wengi,sehemu hiyo ilikuwa kama darasa ila watu walio nzunguka ni watu wazima wote tulikuwa tumekaa lakin glafla wale watu walitoka nje nakuanza kunyolewa nywele wakitumia visu vyembamba kama visu vyaku fanyia operation, pia wakati wakiwa wananyolewa wa kichwani mwao kulionekana msitali mwanzo wa utosi baada ya hilo naliona mmoja wa wale wanyozi akimyoa mmoja pembeni nakumtoboa kitu kama jipu nikamuuliza mbona unamtoboa ivyo wakati ajakuomba hakusema kitu lakini wakati anamtoboa alitoa kitu kama kiumbe kama umbo la paka na chenye rangi nyeupe harafu akambeba hicho kiumbe nakuondoka nacho miminilishangaasana
@nasiantamary1739
@nasiantamary1739 3 жыл бұрын
Nairobi
@janemwakanyamale6170
@janemwakanyamale6170 Жыл бұрын
Ninawapata kutoka malawi lilongwe naitwa Jane mwakanyamale nabarikiwa sana
@catherinekiondo955
@catherinekiondo955 2 жыл бұрын
Baba kuna mtu aliniambia ameota tupo nae tumeenda sehemu inamlima kunawatu wengi kwenyehuo mlima Ila tukakuta kumefungwa ...tukaendelea kwenye mlimamwingine hatukufika baba hii inamaana gani??
@pendoremunge9087
@pendoremunge9087 3 жыл бұрын
UPENDO Niko Arusha nimebarikiwa sana baba
@magrethmukaja4776
@magrethmukaja4776 4 күн бұрын
Nipo Spain nimekubariki napata kufahamu mambo
@magdalenajohn6564
@magdalenajohn6564 3 жыл бұрын
Naomba namba ya mtumishi
@winfridamrema796
@winfridamrema796 2 жыл бұрын
Mtumishi umezungumzia idadi au namba, naomba tusaidie namba 2 inamaanisha nini kulingana na ndoto yangu niliyoelezea hapo na kimbizwa na watu 2.
@innocentmwangosi3399
@innocentmwangosi3399 3 жыл бұрын
Napenda sana mafundisho yako nipo Dodoma
@thelesiakabadi2155
@thelesiakabadi2155 2 жыл бұрын
Nakupata mtumishi
@tedynyenza8953
@tedynyenza8953 Жыл бұрын
Nakuelewa haswa
@levismachaka9859
@levismachaka9859 2 жыл бұрын
nakupata kabisa
MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (I) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
48:01
Reality of Christ Church
Рет қаралды 24 М.
THAWABU TATIZONI - PATOR SUNBELLA KYANDO
56:39
Reality of Christ Church
Рет қаралды 53
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 156 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 121 МЛН
ROHO ZINAZOZUIA ONGEZEKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:12:39
Reality of Christ Church
Рет қаралды 24 М.
NDOTO KATIKA UHALISIA (ROHO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
55:12
Reality of Christ Church
Рет қаралды 3,3 М.
NAVUKA   PASTOR JOHN SEMBATWA MWANZA
1:24:51
Reality of Christ Mwanza
Рет қаралды 517
MADHARA YA KUOTA UNAKULA CHAKULA NDOTONI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
24:41
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 13 М.
ROHO MTAKATIFU (SEHEMU YA TATU) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:30:38
Reality of Christ Church
Рет қаралды 33 М.
MADHARA YA KUFUNUA NDOTO AU MIPANGO YAKO KABLA YA WAKATI SEH.( A)
30:44
WENGI HAWAFAHAMU KUHUSU JINI MAHABA ,PASTOR SUNBELLA KYANDO
25:36
Reality of Christ Church
Рет қаралды 55 М.
MAKRISTO WA UONGO NA MANABII WA UONGO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
25:13
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 8 М.
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 853 М.
ROHO MTAKATIFU  II (FAIDA ZA KUNENA KWA LUGHA) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:12:07
Reality of Christ Church
Рет қаралды 47 М.