LIVE: RC HAPI MPAKA USIKU AKISIKILIZA KERO ZA WANANCHI WAKE IRINGA

  Рет қаралды 80,772

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

a

Пікірлер: 83
@allyabeid4188
@allyabeid4188 5 жыл бұрын
Mbona unaroho nzuri mweshimiwa Kama urivyo uko wapi nikuone ata sura Kama unampenda Kama Mimi gonga like hapa
@jafarmlawa9082
@jafarmlawa9082 5 жыл бұрын
Tatzo nyie mabakwa nyie mna kela sana mna miliki maeneo makubwa na hamuendelezi majingaaaa sana
@nazarenajoseph2695
@nazarenajoseph2695 4 жыл бұрын
Hakika Magu ulimuona Ally Hapy mtetezi wa masikini anayejibu hata msg za masikini wakuu wote wazuri ila kupokea sim mtihani big up Mkuu wetu Mimi niko dar lakini nakufuatilia sana hongera.
@mariamm2724
@mariamm2724 4 жыл бұрын
Jembe Letu la iringa hilo pendaga sana wewe mheshimiwa, nipo ughaibun huku na sichokagi kuangalia mlikutana yako ,naahidi lazima nikirudi salama ni lazima tu nikutafute nikupe pongezi zako love so much.
@fatmakarata260
@fatmakarata260 5 жыл бұрын
I see you my brother CHEU am proud of you. Mungu azid kukuongoza
@almasymusa6736
@almasymusa6736 4 жыл бұрын
Nakukubali Hapi na yule wa tabora mungu awasimamie ktk utendaji wenu wa kazi
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 жыл бұрын
Na yule wa Arusha hawa watu wa 3 wananikoshaga sana
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 жыл бұрын
Na yule wa Arusha hawa watu wa 3 wananikoshaga sana
@mtanzaniamzalendo8288
@mtanzaniamzalendo8288 5 жыл бұрын
HAPI ni best RC Tanzania ni mtu Wa haki pamoja na JOHN MONGERA mungu hawatangulie muwe na afya njema siku zote
@klystry1234
@klystry1234 4 жыл бұрын
GEOFFREY CHIKAMBA kuna shule inaitwa Ali hapi dar
@shijamayala8127
@shijamayala8127 4 жыл бұрын
GEOFFREY CHIKAMBA john mongera mmmmh
@vumiliabakari6050
@vumiliabakari6050 3 жыл бұрын
Naomba namba yako mheshimiwa
@reemangoko2550
@reemangoko2550 4 жыл бұрын
Baba pole kwa kazi mpaka usiku
@elizabethcharles875
@elizabethcharles875 4 жыл бұрын
Hahaa Vijana mnakwama wap tafuten vya kwenu sio vya urithi
@davidmendrad4749
@davidmendrad4749 4 жыл бұрын
kweli hizi ni nyakati za mwisho kanisa linafanya utapeli
@reemangoko2550
@reemangoko2550 4 жыл бұрын
Baba LA kazi nakutazama vinzuri xasa
@severinifulgensi2686
@severinifulgensi2686 5 жыл бұрын
Nasikitika hadi kanisa linaingizwa kwenye zulma kweli mungu atakaa mahali hapoo?
@mossesjoromba400
@mossesjoromba400 5 жыл бұрын
Safi sana mkuu wa mkoa Iringa
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
tz sasa masikini happy happy
@lizynyeze7521
@lizynyeze7521 5 жыл бұрын
Uyoo mzee ni mjanja mjanja sana
@janesuma2193
@janesuma2193 5 жыл бұрын
mim ni mkristo nawaomba kkkt wampe uyo mzee kiwanja chake dhulma ni zambi
@venamlowe3556
@venamlowe3556 5 жыл бұрын
It is not fair wanaonea wanyonge, huyo mwingine hata mkuu wa moja anamjua you can tell he is lying.
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 4 жыл бұрын
Uyu aje dar mueshimiwa
@aybusaidi6719
@aybusaidi6719 4 жыл бұрын
Dar makonda Arusha gambo mosh ana mngwira tabora mwangili je pwani ninani ,? Tanga mbona kimya nako ni Nani chapeni kazi vijana munguyupo akubarikini sana
@rahmamashaallah2355
@rahmamashaallah2355 5 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa mzur jamani kama roh yake
@sijarikaseka3704
@sijarikaseka3704 5 жыл бұрын
nakukubari sana pamoja na Mkuu wa mkoa tabora
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 4 жыл бұрын
Hawa wachungaji vipi? Wanashindwa Kula na kipofu? Bora wangeongea vizuri tu na angewauzia kuliko kudhurumu
@mahamedismail601
@mahamedismail601 5 жыл бұрын
Huni mfano wakuigwa sio uwe kiongozii jina vitendo Ni muhim
@silverjoseph4577
@silverjoseph4577 5 жыл бұрын
Hapi Ana roho nzuri Kama sura yake very humble and smart
@mangegervas9651
@mangegervas9651 4 жыл бұрын
Gud saana Mkuu Wa mkoa Wa iringa
@mmbarcelona2384
@mmbarcelona2384 5 жыл бұрын
hilo la kanisa lime nivunja mbavu😆😆😆
@maufundi5037
@maufundi5037 5 жыл бұрын
Unatakiwa uwe mkuu wa mkoa dar es salaam
@venamlowe3556
@venamlowe3556 5 жыл бұрын
Njaa zinawasumbua, shame on you!! Tamaa tu za dunia hii tunayopita tu.
@venamlowe3556
@venamlowe3556 5 жыл бұрын
Hawa ndio wanaongea kiswahili kizuri. Sio wale wanasema kwa majina.
@datydioclea8403
@datydioclea8403 4 жыл бұрын
Makonda ivi huwa anamuona uyu Kaka jmn
@SuperKibwana
@SuperKibwana 5 жыл бұрын
Safi sana kwa kweli.
@salmaabdi5096
@salmaabdi5096 4 жыл бұрын
Safi sana kazinzuri sana
@fatoomfatoom5590
@fatoomfatoom5590 5 жыл бұрын
Ushukuru sisi wengine Mungu alituona hakutupa uongozi ningekupiga makofi ww mchungaji tapeli hlf unajiita mtumishi wa Mungu kudadeki
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 жыл бұрын
Kazi nzur mkuu
@sabinashabani9742
@sabinashabani9742 5 жыл бұрын
Sikuizi kunawazi kabisa
@fridajohn5122
@fridajohn5122 5 жыл бұрын
I have a crush on this guy 🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙊🙊🙊🙊
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 жыл бұрын
Hahaha ww km mm🙈
@venamlowe3556
@venamlowe3556 5 жыл бұрын
What has Matusi got to do with the land, si mumlete huyo mzee wa miaka 95? Malangali juu!!! Ndio maana mnawaonea kwa sababu ni watoto.
@melkizedekiwiliam5533
@melkizedekiwiliam5533 4 жыл бұрын
jaman huyo mkuu wa mkoa wa Iringa anafaa, ni kifaa, maan hachoki kusikiliza kero za watu, safiiiiiiiiii.
@ifruitx2096
@ifruitx2096 5 жыл бұрын
Huku kusoma wana soma ili watapeli watu badala ya kutafuta chake mtu wanasoma wakitapeli😁😁 bora wengine sisi 8leave's na tuna zetu za halali na maisha mazuri na mikebe barabarani
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 5 жыл бұрын
iFruit X20 😀😀😀😀👍👍👍👍
@naamohamed9964
@naamohamed9964 5 жыл бұрын
Kaz ipo hapo
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 4 жыл бұрын
Jamani hapi nakupendaga buree
@ifruitx2096
@ifruitx2096 5 жыл бұрын
Mic zinatuangusha leo bwana
@friedkinglyimo8207
@friedkinglyimo8207 5 жыл бұрын
Ni kwere huyu jamaa
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 5 жыл бұрын
Hebu igeni mfano huo wa mkuu wa mkoa wa iringa wakuu wa mikoa mingine vipi mbona hamuna ubunifu wa wakuu wa mkoa
@issasaid9751
@issasaid9751 5 жыл бұрын
Jamani naomba mnijuze meneja wa NMB na mwanasheria wake nn kmeendelea?
@prospermsanzi8815
@prospermsanzi8815 5 жыл бұрын
Yuko lockup
@wendelipwera7582
@wendelipwera7582 5 жыл бұрын
Wako ndani pamoja na Muhindi waoo
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 5 жыл бұрын
Safi sana wacha waisome number hasa hiyo gabachori
@huldanjiro7419
@huldanjiro7419 5 жыл бұрын
nakushukur Rc wa iringa kwa kz nzur,uko mbal nakupenda bur
@sabinashabani9742
@sabinashabani9742 5 жыл бұрын
Tena wanao kufanya wachungaji mi siwapendi kabisa
@zaidishabani5745
@zaidishabani5745 5 жыл бұрын
Huu niudini mbona kwawengine katatua hapo hapo
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 5 жыл бұрын
Kwa waislamu hawagi wakali kama wanavyo shutumu wachungaji au makanisa
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 5 жыл бұрын
huyu mzee ni tapeli ata maongez yake
@janesuma2193
@janesuma2193 5 жыл бұрын
mbona unakatakata
@a.856
@a.856 5 жыл бұрын
Bibi anazungunza kama ebitoke😅
@nancematata1329
@nancematata1329 5 жыл бұрын
Doa&Mum W hahaaa
@salmaoriginaloriginal6478
@salmaoriginaloriginal6478 5 жыл бұрын
😂😂
@venamlowe3556
@venamlowe3556 5 жыл бұрын
Mchungaji halafu muongo!! I am Christian but I am sorry, you love the world more than God, shame on you.
@venamlowe3556
@venamlowe3556 5 жыл бұрын
I don't believe him. Baba kubwa la mwaka sabini? Lol! Mnawaonea tu vijana wa watu. Si ukamchukue baba yao, toa pesa akaletwe muheshimiwa jamani msionee vijana. Defence mechanism mtu mkorofi utamjua tu, sasa mkuu wa mkoa ushahidi wake na yeye uko wapi?
@hasnasaif1075
@hasnasaif1075 5 жыл бұрын
Mkuu wamkoa angali huyu mzee anaonekana tapeli
@saidfundikila6555
@saidfundikila6555 5 жыл бұрын
Hasna Saif boya wewe hujuwi ulitendalo mzee anaushahid baba ake alimuazima mchungaji anakomaa lakanisa sasa hauwoni mchungaji nitapeli
@tatukachingwe2290
@tatukachingwe2290 5 жыл бұрын
Nipeni bc namba ya muheshimiwa happ ,mn ninaic km ninakelokelokelokelokelooooooo😂😂😂😂
@faridaadamu2776
@faridaadamu2776 4 жыл бұрын
Tatu Kachingwe 😂😂😂
@elizabethcharles875
@elizabethcharles875 4 жыл бұрын
Hahaaaaa
@zaidishabani5745
@zaidishabani5745 5 жыл бұрын
Hapa mkuu umeonesha uzaifu umeficha sauti Nakuto amli sahihi naushaidi upo hili nikosa mkuu naniubaguzi kesi zote umetoa amli ww nasio mapatano hili to kwel hawatakua radhi makafir namayahudi adi muwafate ampe eneo lake nasio kufanyiwa kz
@mtakamwasambili9660
@mtakamwasambili9660 5 жыл бұрын
Mtaka f mwasambili Nimekubali utendaji wa Rais wangu kichwa
@elizabethcharles875
@elizabethcharles875 4 жыл бұрын
Kaaaa mapepo ni watu
@sabinashabani9742
@sabinashabani9742 5 жыл бұрын
Hivi hawa bakwata ni watu gani? Jaman nisaindieni make kirakona hawa watu kilakona wanakesi??
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 жыл бұрын
Bakwata wanataka nchi iwe ni kiislamu.. sasa wasipoleta hodhi za ardhi watatusilimu vipi..?
@sabinashabani9742
@sabinashabani9742 5 жыл бұрын
@@josephgomalo41 mhuuuu haya makubwa kamando hivo
@fatumamilimo1936
@fatumamilimo1936 5 жыл бұрын
Yaani sina hamu nao baba yetu alipewa kiwanja mwaka 1998 Karibu na msikiti na babangu akaanza kujenga mpaka kamaliza ikawa Bado bati tu.. lakini alivyofariki fariki mwaka2018 wakatudhulumu wakidai ni mali ya msikiti loo sina hata hamu nao😂😂😂
@anifanyoni9036
@anifanyoni9036 5 жыл бұрын
@@josephgomalo41 acha uongo wewe alokuambia bakwata wanataka nchi iwe ya kiislamu muulize vizuri
@anifanyoni9036
@anifanyoni9036 5 жыл бұрын
Kesi ni kawaida sana sasa labda niulize tu aliemiliki kuanzia 1987 na 2007 yupi alitangulia na nani katapel mwenzie hapo
NDUGU WALIONUNIANA WARUDI KWAO NA MSHIKO WA RC ALLY HAPI
12:55
Millard Ayo
Рет қаралды 147 М.
LIVE: WANANCHI IRINGA WAKIFUNGUKA KERO ZAO MBELE YA RC HAPI
1:01:24
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 14 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 74 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 41 МЛН
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018
1:23:49
LIVE KUTOKA IRINGA: Mkutano wa RC Hapi na wananchi (MASWALI NA MAJIBU)
1:21:39
Dunia Yetu Leo | Agosti 01, 2024 | Asubuhi
7:38
DW Kiswahili
Рет қаралды 1 М.
PART 1-3 CHURCHILL SHOW S1E3
20:29
Churchill Television
Рет қаралды 265 М.
Kasheshe Mkoani Iringa, Mama anadai Jeshi la Polisi
10:39
Millard Ayo
Рет қаралды 193 М.
MCH MASANJA Anena Mazito Kwenye Msiba wa Mama Shigongo
43:52
Global TV Online
Рет қаралды 409 М.
Czn Burak vs Argenby Which sigma is better?
0:19
ARGEN
Рет қаралды 15 МЛН
Ах как прекрасно
0:17
Флюр Хафизов
Рет қаралды 25 МЛН
❗️XOTINI YOMON QURQIB KETTI 😱😱
0:18
HUSAN_SHORTS1
Рет қаралды 5 МЛН
Старший брат хотел ее защитить 😭🥺😱 #shorts
0:37
He Used All The Sauce On 1 Slice Of Pizza🤪😂
0:12
BorisKateFamily
Рет қаралды 39 МЛН