LIVE KUTOKA IRINGA: Mkutano wa RC Hapi na wananchi (MASWALI NA MAJIBU)

  Рет қаралды 105,699

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

a

Пікірлер: 159
@nasrayahya2885
@nasrayahya2885 2 жыл бұрын
Kiukweli mweshimiwa Hapi mungu akulinde akupe hekima na busara ktk kazi zako uko vizuri sana naamini utafika mbali
@jumannemaginga1217
@jumannemaginga1217 5 жыл бұрын
I like this kind of leadership Rc for real you are doing very well PLEASE KEEP IT UP!!!! I WILL MEET YOU SOON FOR CITIZEN'S ISSUES''
@rochhelmond7925
@rochhelmond7925 5 жыл бұрын
good job may God Bless this RC he stands right
@ezekiamliwa7659
@ezekiamliwa7659 5 жыл бұрын
Sinaneno juu yako Mheshimiawa nimekupenda bureee karibu Iringa yetuuu.
@henrymsigwa5950
@henrymsigwa5950 5 жыл бұрын
Nakukubali Ally Hapi mkuu wa mkoa wangu.god bless you
@aizohimself8537
@aizohimself8537 5 жыл бұрын
Kazi nzuri mkuu wa mkoa kaka Ally Hapi kwa kuzungumza na wananchi na kutatua kero kuliko kukaa oficn tyuuu na kula kiyoyozi
@mwitamnanka3264
@mwitamnanka3264 5 жыл бұрын
hongera sana kiongoz watu kama ninyi ndo mnaotakiwa kwenye hii nchi tumechezewa kweli kweli, na viongoz wapo tu kwenye maeneo yao ya kazi
@mparemusa9787
@mparemusa9787 4 жыл бұрын
Napenda sana viongozi Kama wewe ambao wako stlet kwa wananchi ,kwaiyo mheshimiwa we endelea kupiga kazi kiukweli unasimama kwenye nafasi ambayo mungu amekuweka kwakutenda haki kwa wananchi wanyonge hata ivyo hata raisi wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania magufuri anapenda sana viongozi wanaofanya kazi Kama wewe !
@majidsuleiman4935
@majidsuleiman4935 Жыл бұрын
Mheshimiwa viongzi wenzio Kaa nao meza 1 usiwaadhirishe Kwa maneno
@sengendotwaha9333
@sengendotwaha9333 4 жыл бұрын
Thanks for good governance
@abuudharishahidy3074
@abuudharishahidy3074 5 жыл бұрын
Mkuu Allah Akulinde na Akupe makazi mema poeponi
@ConfusedBirdNest-np2vn
@ConfusedBirdNest-np2vn 5 ай бұрын
Hongera MH Rc Tunataka Viongozi kama wewe
@lucymsuya7735
@lucymsuya7735 5 жыл бұрын
Mkuu WA Mkoa WA Iringa Ali Hapi nakupa hongera kwA kazi nzuri unayo ifanya Wewe ni pacha wake na rais wetu magufuli naona mungu amekushusha kutoka mbinguni tunge pata wakuu wa mikoa kumi kama wewe hakika taifa letu lingekuwa na maendeleo mpaka lingelemewa asanteeeeeeeeee!
@petermabula54
@petermabula54 5 жыл бұрын
MWESHIMIWA UMETISHA SANA SAF SANA
@elifansiakwesso6104
@elifansiakwesso6104 4 жыл бұрын
Hongera sana Rc Happy kazi nzuri sana.
@salmaabuubakar9323
@salmaabuubakar9323 5 жыл бұрын
Mweshimiwa Ally natama uhamie singida ukawaweke sawa hapo hospitality ya mkoa nihatari
@ramadhanichaulembo1329
@ramadhanichaulembo1329 5 жыл бұрын
kwakweli ali hapi wewe ni kiongozi mimi nimetamani unavo tatua kelo huyo mganga ana hujumu serekali ishikiwe adui wa sera
@jamilakizya7792
@jamilakizya7792 3 жыл бұрын
Mafisadi wataanza majungu piga kazi kaka nimekupenda wawo kazi yao kutetea maovu mungu atakusimamia tekeleza majukum yako mungu atakutetea
@bahatiboniphace2613
@bahatiboniphace2613 5 жыл бұрын
tupate wapi mtu kama huyu ambae Mungu anakaa ndani yake mh.happy Yale unayoyatetea Mungu atakufikisha mbali
@AlexisAjwantos
@AlexisAjwantos 3 ай бұрын
Nakuitaga mokozi wa wanainchi nakupenda
@relaxchinese4103
@relaxchinese4103 5 жыл бұрын
Masha Allah nime mpenda bule huyu hapy
@fadhumoyusuf7092
@fadhumoyusuf7092 4 жыл бұрын
Allah amlinde na fitina
@muriithipaul8559
@muriithipaul8559 4 жыл бұрын
Your good in your leadership
@sarahlydia2635
@sarahlydia2635 4 жыл бұрын
Just love your hard work
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 5 жыл бұрын
Jamani nimempenda mheshimiwa hapi tenda haki baba ,
@mparemusa9787
@mparemusa9787 4 жыл бұрын
Katika vitu ambavyo huwa navipenda kuviona kwa viongozi wengi nikuona wanapenda kutenda haki na kuwatetea wananchi wanyonge Kuna wimbi kubwa sana la viongozi wananyonyaji wanaowakandamiza wananchi kwaiyo mheshimiwa endelea kuwanyoosha hao na mungu wa mbinguni atakulinda kwa Kula Vita itakayoinuka kwako mheshimiwa RC HAPI
@joycechaula5332
@joycechaula5332 4 жыл бұрын
Mheshimiwa Fanya kazi tusaidie wana Iringa tunanyanyaswa sana naviongozi wa ngazi zachini .Nakuomba utembelee nakijiji cha ilamba kilolo ukasikilize kero zawanchi
@abelbaraka263
@abelbaraka263 4 жыл бұрын
Kwa nini nyie wana TV munaona mubana sauti sometimes nayie wawatumbue
@josephsimiyu5211
@josephsimiyu5211 5 жыл бұрын
Happi kweli ninapendezwa na uongozi wako wa busara.
@maryshativa9776
@maryshativa9776 5 жыл бұрын
Hakika nimekukubali sana wewe ni kiongozi wa mfano
@abuudharishahidy3074
@abuudharishahidy3074 5 жыл бұрын
Hivii ndioi haki inavyofatiliwa safi sana mkuu inafurahisha na kuzunisha hawa wanyonge kuwaona pamoja sana
@AlexisAjwantos
@AlexisAjwantos 3 ай бұрын
Mwamba unafaa ku simamiya dunia hasa Africa
@jumasongoro2766
@jumasongoro2766 4 жыл бұрын
Hawa ndowanafaaa kuongoza mikoa Yaan mh rais angekuwa na wakuu wa mikoa kumi kama huyuuuuu ally hapi nchi ingenyoooka hongera xna mh mkuu wa mkao kwakaz Nzur unayoifanya Njooo kigoma bhna
@nazarenajoseph2695
@nazarenajoseph2695 4 жыл бұрын
Hongera baba
@geriadsuku5865
@geriadsuku5865 5 жыл бұрын
Ally hapi ukosawa broooo wanyooosheee hao wamezoea kubebana bebana
@busnaoman9981
@busnaoman9981 4 жыл бұрын
Piga kazi mkondoa wangu 🔥🔥🔥💪💪💪💪
@davidchengula8244
@davidchengula8244 5 жыл бұрын
kweli Mh Ally Happy nimtendaji mzuri anatatua migogoro yawatu asante mkuu kwamoyo huo
@munaahmed8499
@munaahmed8499 5 жыл бұрын
Huyo mama alouliwa mwanae nimelia mpk bc jmn dah
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 Ай бұрын
Hapa pekee ni Makonda very personality
@yasinihiyana4296
@yasinihiyana4296 5 жыл бұрын
mkuu wa mkoa Iringa, Dar, Mwanza hongereni sana mnafanya kaži
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
MAGUFULI IIIIII WEEEEE MUNGU WANGUUU KWANINI HASWAAA HREEEE MUNGUU MAMBOOO YSMERUDIA ENZIII YA 47 JAMANI
@munakassim3521
@munakassim3521 5 жыл бұрын
Piga kaka mdogo wangu watu wanaonewa sana
@muriithipaul8559
@muriithipaul8559 4 жыл бұрын
Ally hapi mtetezi wwanyonge mungu akupe nguvu akulinde,akuepushe nayote mabaya uzidi kutetea haki,,Kwa wwanyonge,,nakumaliza uonevu!
@josephnchunga6554
@josephnchunga6554 5 жыл бұрын
hongera kwa kuendelea kuwapunguzia kero wanainchi vizuri sana
@jumannemaginga1217
@jumannemaginga1217 5 жыл бұрын
PLEASE RC YOUR CONTACTS ARE VERY IMPORTANT PLEASE PUT THEM OPEN!!!
@sarahlydia2635
@sarahlydia2635 4 жыл бұрын
Kazi tuu 😘😘😘
@jumakassim2601
@jumakassim2601 5 жыл бұрын
Mh.Hapi unatosha MKUU kz njema
@elifansiakwesso6104
@elifansiakwesso6104 4 жыл бұрын
Big up Rc happy, uongozi unao acha alama.
@mashallahoman6355
@mashallahoman6355 5 жыл бұрын
Allah awajaliye nyote viogozi munao tatua kero zakularirishua
@emmanuelfrancis9144
@emmanuelfrancis9144 4 жыл бұрын
Nakufutilia sana mkuu unatenda haki mungu akulinde
@allykazoa7065
@allykazoa7065 5 жыл бұрын
wewe ally happy ni kiongozi shupavu wasaidie watu wanyonge mungu atakusaidia
@aizohimself8537
@aizohimself8537 5 жыл бұрын
Nakukubali na uwe mfano wa kuigwa kwa wakuu wa mikoa mingine, na MUNGU atakupa ulinz wa kutosha ili uendelee kuifanya kazi yako vema
@mtengulerashid7868
@mtengulerashid7868 5 жыл бұрын
hawa chadema hawanahuruma na wananchi wasipewe uongozi ktk nchi hii
@sanyamwita1853
@sanyamwita1853 5 жыл бұрын
Hivi Tanzania kuna mikoa mitatu jaman na wakuu wa mikoa watatu nn??? Mikoa mingine mbona mmelala shtuken usingizin mpige kaz
@julianamilimo7666
@julianamilimo7666 5 жыл бұрын
Sanya Mwita kabisa
@chrispinelwoga4182
@chrispinelwoga4182 5 жыл бұрын
Hii ndo Iringa mpya
@yunususekininga9159
@yunususekininga9159 5 жыл бұрын
asante ally hapi waonyeshe kaz
@khamissalum9285
@khamissalum9285 5 жыл бұрын
Nasikitika.kuapta.cheo.chamkuu.wamkoa ww.unapaswa.kua.raisi.eti.kakayangu.niko.pamoja.naweww
@justinrugambwa9524
@justinrugambwa9524 3 жыл бұрын
Mimi sio mu Tanzania ira nafatifia kazi nzuri za watanzania ka Wewe ba ma Rehemu uril kutengeneza kwakweri unatenda kazi nzuri mungu akubariki sana
@priscadaniel7
@priscadaniel7 3 жыл бұрын
Mkuu Nakuja unipe kazi
@txsoundsrecord3663
@txsoundsrecord3663 5 ай бұрын
Tunaomba raisi samia ampeleke hap awe mkuu wamkoa katavi
@richardfranco4718
@richardfranco4718 5 ай бұрын
Mkubwa mkao filings hapi naomba nikupgie niongee na wew
@rainnahmlundi1266
@rainnahmlundi1266 5 жыл бұрын
Hii nimeipenda kama hujamfanyia kazi mwananchi shidazake ofs papo kwa papo
@marijanimohamed7619
@marijanimohamed7619 5 жыл бұрын
Safi. Kaka nakuoendaga una chana tu ukweli.
@zefamange7281
@zefamange7281 5 жыл бұрын
HAPI NI MKUU WA MKOA WA UKWELI, ANAFIT AWAMU YA TANO
@marymabubakar1646
@marymabubakar1646 4 жыл бұрын
Ni,kizuti,zaidi,ally,happy,ni,,mwanashetia
@josephmateru8892
@josephmateru8892 5 жыл бұрын
Jaman Watanzania Wenzangu Kuna Viongozi Wanania Njema Lakin tatizo Ni njiagan Wanatumia Kutatua Matatizo
@samsonmwaipwisi313
@samsonmwaipwisi313 5 жыл бұрын
Joseph Materu duu
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Alafu mijitu ilio litaya tokea 47 wanamapesa mpaka nnje za nchi na bado wataka vyeo hiii sheria kama sio Zuonevuuu huo acheni bwana. Mnapendelea sana zambiiiii mnooo aibuu sana
@saidiselemani7786
@saidiselemani7786 4 жыл бұрын
Kinamama wambeyaaa kicheko gani hichooooo au nunamtamani mkuuuuuuuuu
@henrychacha7883
@henrychacha7883 5 жыл бұрын
Tanzania tunahitaji MA RC kama Hapi,;Makonda na Mongela. Nchi imeoza.
@user-zh2tc1ly8h
@user-zh2tc1ly8h 5 ай бұрын
Jembe la kaz
@mukhusinrwekaza4536
@mukhusinrwekaza4536 5 жыл бұрын
Wakuu wa mikoa mingine Mko wapi ? Mbona nyie Mko kimya tunaitaji tujifunze kupitia mifano Kama hii. Kila mkuu wa mkoa akfanya kazi Itaonekana. Tumechelewa jamani, wanyooshe mkuu wa mkoa tushachoka khaaa, Walikuw wamezoea
@ufahamumelekizedeki2139
@ufahamumelekizedeki2139 5 жыл бұрын
Mukhusin Rwekaza
@shujaially6545
@shujaially6545 5 жыл бұрын
Saluti baba unakomesha
@edwardbusweru663
@edwardbusweru663 5 жыл бұрын
Ally Hapi anafaa kuongoza kwani hataki dhuruma ,karibu mwanza tunakupenda saana
@munaahmed8499
@munaahmed8499 5 жыл бұрын
Ally Happy ufanye juu chin uje ugombee mkoa wa Tanga wilaya lushoto kuna matatizo mno wananchi wanafia njia hospital hamna barabara hakuna pesa za kodi kila dayle zinatozwa
@mtengulerashid7868
@mtengulerashid7868 5 жыл бұрын
inawezekana we we goston tokauzaliwe.hujatembea.maana.naona unapost chenga toka hapaulipo.tembea.uone
@jubilatesamweli2874
@jubilatesamweli2874 5 жыл бұрын
Lakini kweli kuna watu wananyanyasa wenzao sababu ya vihela vyao,nchi hii ilikuwa imefika mbali na kuirudisha ni ngumu kweli kweli maana wazalendo wa kweli ni wachache sana nchi hii!!
@denniskiango6901
@denniskiango6901 5 жыл бұрын
Kweli kaka
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 5 жыл бұрын
Hivi inagoma kwenye simu yngu tu au make sielew
@peteramini6126
@peteramini6126 5 жыл бұрын
Chris kuna tofaut gan ya mkuu wa wilaya na DC
@jeysenbenedict
@jeysenbenedict 5 жыл бұрын
District commissioner (DC) ni mkuu WA wilaya kwa kingereza... Lkn haina utofauti....ni lugha tu apo mzee
@user-ev6bq9gf1f
@user-ev6bq9gf1f 5 ай бұрын
Nyoosha mbuzi ao😊
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
Jamani yoteee hayooo naniii kafanyaa nyie watuuu mnapeana vyeo nyie tuuuu,.
@peterpain5594
@peterpain5594 5 жыл бұрын
Sauti inakatakata mbona
@jacobmakono389
@jacobmakono389 5 жыл бұрын
Tanga,kigoma,Singida,katavi,Ruvuma,Lindi,Mtwara,Pwani nk wakuu wa mikoa mko wapi!!!!??
@johnothman8154
@johnothman8154 5 жыл бұрын
Mwakahuu tutaona mengi
@mohamedomarhasan5377
@mohamedomarhasan5377 5 жыл бұрын
John Othman Ali Hapi endelea kuwasaidia wanyonge hii nchi mahakamani hakuna haki naona ajabu sana Mkuu wa mkoa anafanya kazi ya hakimu nchi imevurugwa sana Hapi ni mtu mmoja tu anashughulikia mkoa mmoja wa Iringa je mambo mengine mikoani atashughulikia Nani nchi yenyewe kubwa wanyanyasaji wengi wasio na huruma wanataka mtu afe kwa ulafi wao
@ramsokhamis9262
@ramsokhamis9262 5 жыл бұрын
Bibiii amenifuraishaa katishaa saaanaaa .....👏eeetiii aaahhhhh elfu 10 ndo utajenganyumba jamaniii... 😅😅
@perpetuakessy3603
@perpetuakessy3603 4 жыл бұрын
Kuna baadhi ya mikoa wko peponi wengine tuko jehanamu Hongeren Iringa
@perpetuakessy3603
@perpetuakessy3603 4 жыл бұрын
Ally Hapi tunaomba uwape wakuu wa mikoa mingi mbinu zk kwn mikoa mingine ni shida Hongera Ally Hapi Jembe toka Iringa
@mohgamhooga1270
@mohgamhooga1270 4 жыл бұрын
Millard ayo naww some time naww unadoda,,,ss ndio nn hapa ulichotuletea ubadhilifu tu wa mb zang najutaa
@mahmadougronkjaer8316
@mahmadougronkjaer8316 5 жыл бұрын
kwa wale wanaoijua kihesa weka comment yako ueleze kihesa ipi unaijua.. mi naanza kihesa mafifi, kihesa ngome, iringa girls
@josephsanduli.5216
@josephsanduli.5216 5 жыл бұрын
Tunaomba uende na iringa V kule mlowa watu tunapigwa hela na serikali yetu
@omarjuma9309
@omarjuma9309 5 жыл бұрын
Ukisema ukweli kwa binadamu unakuwa mubaya. Usiogope alihapi , yesu mwenyewe alitenda miujiza watu waliona kwa macho, lkn aliteswa nakutundikwa msalabani, imekuwa wewe,? Piga kazi binadamu hawana wema.
@ishaqanahodah664
@ishaqanahodah664 5 жыл бұрын
wanyooshe mpk waelewe mkuu na wakuu wengn wanatakiwa kujifunza kupitia kwako mkuu
@omisangabatony9510
@omisangabatony9510 5 жыл бұрын
Mungu wangu bariki viongozi wetu Tanzania
@AlexisAjwantos
@AlexisAjwantos 3 ай бұрын
Rc mokozi
@sarahwanjala6601
@sarahwanjala6601 5 жыл бұрын
MKweli hatakiwi kabisa lakini sema baba
@jumasongoro2766
@jumasongoro2766 4 жыл бұрын
Yaan mkuu unatisha xna
@cvanocharles6001
@cvanocharles6001 5 жыл бұрын
Mh Mkuu wa mkoa Piga kaziiii
@freemankalalu3531
@freemankalalu3531 5 жыл бұрын
Yaani JPM hakukosea mtetezi wa maskini kama mm
@ashamganga6636
@ashamganga6636 5 жыл бұрын
Jmn hivi hii sauti ni sim yangu au had kwenu
@bimaisarankamia4153
@bimaisarankamia4153 5 жыл бұрын
Sauti my mitambo ya milady.inazingua sjui kwa nn
@brysonmgaya8531
@brysonmgaya8531 5 жыл бұрын
Kwa wote man
@klystry1234
@klystry1234 4 жыл бұрын
Asha Mganga kote
@mugbilmerey3959
@mugbilmerey3959 5 жыл бұрын
W.nchi kwa njia hii,wakuu wa mikoa wengine waige mfano wa mh.hapi na makonda,watenge ktk wiki angalau cku moja kuckiliza kero za watu.
@mugbilmerey3959
@mugbilmerey3959 5 жыл бұрын
Mh.mkuu wa mkoa wa moro,kwa heshima fuata nyayo za wakuu hawa.tuna kero za ardhi manispaa yako haki haitekelezwi miaka 4 mtu unaidai manispaa.
@khatibumwalimu591
@khatibumwalimu591 5 жыл бұрын
Msigwa unaona kazi hiyo inayofanyika? Wewe unataka kitu gani? Agawe pesa au awajengee? Wewe umelanika 2020 ludi kanisani
@francisibrahim2206
@francisibrahim2206 5 жыл бұрын
Khatibu Mwalimu Hahahahaaa, mwambie kabisa aanze kukarabati kanisa lake mapema!
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 5 жыл бұрын
Mchakamchaka
@rainnahmlundi1266
@rainnahmlundi1266 5 жыл бұрын
Good
@saidsalmin1248
@saidsalmin1248 5 жыл бұрын
Alli hapi wanyooshe
@gastorymsaki5689
@gastorymsaki5689 5 жыл бұрын
Mi hata sielewi kabisaa. Hii c kazii tenaa.
@mapenzi_tz1511
@mapenzi_tz1511 5 жыл бұрын
Yaani uonevu kw mzee km huyo Alafu,, Wavuta bangi wa Chadema wanasema sio Haki kuwatumbua ni Haki Gani ipo kw Mungu kumuonea mama km huyo Hadi mtoto kafa Daaaaaah!! Chadema Mungu Anawaona MBUNGE kazi yake kuongea Bangi tu
@akilikarama3331
@akilikarama3331 5 жыл бұрын
safi sana mkuu unatiniza neno lacheo ni dhamana sasa unatimix
@martiasngatunga5420
@martiasngatunga5420 5 жыл бұрын
we we.ally.safi.ilinga.utunyeshe.mpaka.tukuelewe.
@marijanimohamed7619
@marijanimohamed7619 5 жыл бұрын
Unawajibika kaka. Mwache yule mbunge anaekusema vibaya nimjinga tu mzarau wewe piga. Kazi
@samsonmwaipwisi313
@samsonmwaipwisi313 5 жыл бұрын
Duu kazi ip ali hapi
@vivianchawe7561
@vivianchawe7561 5 жыл бұрын
Hapi oyeeeee
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 5 жыл бұрын
wakuu wa mikoa wengine wamalala tuu hasa huko tanga
@hamiskhalfan4732
@hamiskhalfan4732 5 жыл бұрын
Tanga pamerogwa
@fredinandnjarita3781
@fredinandnjarita3781 4 жыл бұрын
nimekukubali mheshimiwa
@samsonmwaipwisi313
@samsonmwaipwisi313 5 жыл бұрын
Cha ajabu wote wanaoshtaki ni wanachama wa ccm hivi duu
@mohamedgilala8423
@mohamedgilala8423 5 жыл бұрын
Kuma wewe
@samsonmwaipwisi313
@samsonmwaipwisi313 5 жыл бұрын
Mohamed Gilala Akili huna humu matusi hayaruhusi sawa jiulize ulitokea wapi sawa busara ni nzuri brother
@samsonmwaipwisi313
@samsonmwaipwisi313 5 жыл бұрын
Mohamed Gilala hapa haruhusu matusi brother
@josphinekasheto282
@josphinekasheto282 4 жыл бұрын
Mohamed hilo tusi ndiko ulikotokea
RC HAPI 'amtumbua' Daktari Hadharani "una matatizo nilishakwambia"
22:48
Global TV Online
Рет қаралды 727 М.
LIVE KUTOKA IRINGA: RC HAPI AKISIKILIZA KERO ZA WANANCHI WAKE
1:20:04
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 33 МЛН
Mzee Anena MAZITO kwa RC HAPI kwa Kubomolewa NYUMBA
53:22
Global TV Online
Рет қаралды 81 М.
MENGI KIBARABARA AZUA NOMA IRINGA/ MWANAMKE ANA WANAUME WATATU
12:29
NDUGU WALIONUNIANA WARUDI KWAO NA MSHIKO WA RC ALLY HAPI
12:55
Millard Ayo
Рет қаралды 147 М.
BIBI AIBIWA LAKI TATU NA NUSU ''AMTAJA MJUKUU NA MTOTO WAKE''
20:10
MAMA BILA UWOGA ATOA KARATASI MBELE RC HAPI ''WATU HOI''
11:10
Millard Ayo
Рет қаралды 139 М.
❗️XOTINI YOMON QURQIB KETTI 😱😱
0:18
HUSAN_SHORTS1
Рет қаралды 5 МЛН
❗️XOTINI YOMON QURQIB KETTI 😱😱
0:18
HUSAN_SHORTS1
Рет қаралды 5 МЛН