Justice delayed is justice denied big up our brothers from Tanzania.🇰🇪
@waukweelinikkon65555 жыл бұрын
Tunakupenda muheshimiwa,Maana police hawachelewi kumpigia cm Za vitisho
@theopistamganwa77525 жыл бұрын
Ally Happy Ulitumwa na Mungu kuokoa wanyonge. Mungu akutie nguvu kwa haya majukumu.
@miriam57355 жыл бұрын
Gonga like kama na ww una mama, maana nimewaza kama ni mama angu afande ungenibeba 😂😂
@kaidrisa27115 жыл бұрын
Mama kauwa kuidai polis da big up sana bama
@mkwipunda20365 жыл бұрын
Brother Nampenda kwa ufuatiliaji mzuri wa mambo ila namshauri ajitahidi kuwa mpole watuhumiwa wanapojieleza awaache huru wamalize kujieleza asiwakatizekatize
@mohdsalum38325 жыл бұрын
Serekali ya magufuli ni ya kutetea wanyonge
@mligombuma22875 жыл бұрын
Hakuna kitu kinanikeraa kama hao wabeba mabango yaani shida walizonazo na mabango waliyobeba ni vitu viwili tofautiii mmmmmmxiiiiiiuuu kazi kweelii kweelii
@josephchalatv8318 Жыл бұрын
Mungu akuweke hai mweshimiwa daaah hakika haki ya mnyonge haipotei wew ukiwepo 😂😂😂🙏
@nyakinyaki17025 жыл бұрын
mh happ nimependa sana msimamo wako endelea kupiga kazi
@shabanikidaba98565 жыл бұрын
Uko vzr Ally Happy njoo na singda uwanyosheeee
@lucygk58945 жыл бұрын
Ally hapi uko vizuri sana
@emmanuelthomas36575 жыл бұрын
Ok vizuri mheshimiwa hii ni hapa ni kazi hapa
@esabelfadhili84325 жыл бұрын
Ali happy yupo vizuri kwakwel
@kassimjuma87135 жыл бұрын
Kazi ya Askari ni kazi ya Laana. maana hata Yesu. walimuwa wao.
@alfredkillo60805 жыл бұрын
Ally happy u'r the strongest kamanda & God bless u pambana hufany kaz icyo na malipo MUNGU atakulipa
@radhiasalum71565 жыл бұрын
Rais kasema hakuna raiya wala polis akilosea mtu weka ndani😂😂
@princesinko40735 жыл бұрын
MLIPENI MAMA WA WATU
@vinozamhone11105 жыл бұрын
Kibarua miaka yote hiyo mmezoea kudhulumu watu tu
@mariamfaki11665 жыл бұрын
Alafu jamani kibarua miaka karibu miaka minane dhuluma sio nzuri