#LIVE

  Рет қаралды 2,299

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

18 күн бұрын

Ujumbe: Roho ya kujidharau
Andiko: Waamuzi 6:11-18
Pastor: Innocent Mashauri
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 20
@SelinaRaphael-dr5lg
@SelinaRaphael-dr5lg 16 күн бұрын
Bwana Yesu nipe moyo wa kujiamini katika huduma yangu nisimame kwa ujasiri wa kutangaza ukuu, sifa zako Roho Mtakatifu niongoze nitie nguvu amen
@MinzaMadilo-zf5yl
@MinzaMadilo-zf5yl 16 күн бұрын
Mungu nisaidie ondoa roho ya kijidharau maishani mwangu,ondoa roho ya kijidharau kwa kila mmoja ambaye namtaja kwenye maombi ya mfungo wa mwezi huu wa saba.Amen🙏🙏👐👐
@RahabkRuth
@RahabkRuth 16 күн бұрын
Eee Bwana Yesu naomba uniondolee moyo kujidharau unipe moyo wa kujiamini, nahitaji nione mkono wako.
@kanyamunezaclaudineclaudin9627
@kanyamunezaclaudineclaudin9627 16 күн бұрын
Bwana Yesu nisamehe na nisaidie kwa kujidharau kabisa. Mungu niguse unitie nguvu nisimame tena. Mungu ondoa roho ya kujidharau ndani yangu baba.
@NdindaJudy-fg1zc
@NdindaJudy-fg1zc 16 күн бұрын
Mungu nisaidie kuodoa roho ya kujidharau pamoja na familia yangu na uzao wangu
@Princesscareen
@Princesscareen 16 күн бұрын
Mungu nisaidie na Mimi maana najikuta nachoka sana katika maisha yangu ya kazi
@user-nd3gi5px5r
@user-nd3gi5px5r 15 күн бұрын
Mungu niondolee roho ta kujidharau kwajina la yesu
@user-yt4pd2fs4q
@user-yt4pd2fs4q 16 күн бұрын
Amen asante mungu nimwema naomba mungu aniongeze marfafa yakujua zaindi amen amen amen amen
@AikaKassa
@AikaKassa 12 күн бұрын
Mungu naomba rehema zako na Neema niweze kusimama kwako bwana
@SaraMpozi-nf1yk
@SaraMpozi-nf1yk 16 күн бұрын
Amina
@nyevukatana3657
@nyevukatana3657 16 күн бұрын
Nk hapa bwana nikumbuke roho wa mungu niongoze ni mim poster 🙏🙏
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg 16 күн бұрын
Mungu wangu nakuhitaji
@user-zg6ek5kk6z
@user-zg6ek5kk6z 15 күн бұрын
MUNGU wangu nisaidie nizidi kujiamini wala nisijidharau kwa kuwa niko nawewe.
@nicodemianarose5216
@nicodemianarose5216 16 күн бұрын
Ni kweli nimechoka kusubiri baba nimetamani sana niache kufagia vumbi ndani nataka na mimi nione mabadiliko uchumi ubadilike
@easterfraha5008
@easterfraha5008 16 күн бұрын
Amen 🙏🏽
@nicodemianarose5216
@nicodemianarose5216 16 күн бұрын
Roho Mtakatifu naomba unifundishe
@MarieMakiwa
@MarieMakiwa 16 күн бұрын
Roho mtakatifu unihone
@RichardHabonimana-kw3ve
@RichardHabonimana-kw3ve 16 күн бұрын
Bwana nipe nguvu mpya nimechoka
@easterfraha5008
@easterfraha5008 16 күн бұрын
Ee bwana ondoa roho y kujidharau iliyoko ndani yng
@paschaliamasagati4655
@paschaliamasagati4655 16 күн бұрын
Amina
#LIVE: ROHO INAYOFANYA KAZI USIKU WA MANANE // Monday 22,2024
1:27:19
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 1,8 М.
LIVE: MAOMBI YA KUKUMBUKWA NA MUNGU // ASUBUHI YAKO YAJA
53:58
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 22 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 104 МЛН
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,6 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 167 МЛН
#LIVE: KIPIMO CHA WOKOVU WAKO {Chakula kigumu} // Tuesday 02,2024
1:22:58
SOMA MISTARI HII YA BIBLIA,UANZE SIKU YAKO KWA USHINDI
13:18
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 7 М.
#LIVE: NYOKA NDOTONI // HATARI YA KUPOTEZA // Thursday 18,2024
1:22:48
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,8 М.
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 13 М.
NGUVU INAYOZUIA MAFANIKIO YAKO.
54:51
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 153 М.
LIVE: JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA VITA NYAKATI ZA USIKU
43:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 44 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 59 М.
Looks realistic #tiktok
00:22
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 104 МЛН