#lovestory #comedy #love Hii filamu inatukumbusha kuwa katika utafutaji hakikisha unapata mali kwa njia ya halali Maana ukipenda shortcuts Unaweza ikakugharimu MAISHA yako yote Jifunze kupitia hii movie ya #Penzilajininyoka
Пікірлер: 117
@FattyDapetty-tj9vr3 ай бұрын
Wow nmewahi Leo namimi nawapenda sana tunaomkubali baba Joan like apa ata10 ty💝💝💝
@gogoloveofficial56663 ай бұрын
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
@user-jj4id8vq2d3 ай бұрын
Baba joan atajuaje wakenya tupo weka likes 🎉🎉❤
@RosemaryWilbard3 ай бұрын
Mimi nimemuona poshyqeen wa harmonize 😊😊😊
@danielngengele10023 ай бұрын
From Kenya big up brothers, one love... ❤❤
@stephaniagondwe62183 ай бұрын
Haya mashert ya mganga jamani 😂😂😂
@jimmyActor-em4fn3 ай бұрын
Naipenda hio nzuri kabisa ❤❤❤
@user-iq5xs7si5k3 ай бұрын
Kanzi nzurii Ila mkee wa baba johani hajui kuigizw
@user-bt1vl8nu5n3 ай бұрын
Anavohema sasa
@youthmediatv13 ай бұрын
Baba Joena nimekuwa wakwanza,Joel hapa
@user-ei7pf2yt2x3 ай бұрын
Nendeni kwa Mungu mtapata utajiri wa milele alafu uyo mke awezi iyo part ninachoona kwake ni kuigiza sehemu ya wanaoweza kuchambana hapo hafai
@achila2543 ай бұрын
Ndouzuli from bungoma 🎉🎉🎉
@user-tc9mf9om2b3 ай бұрын
Nomaa snaaa
@judithpendo99853 ай бұрын
Mmetisha saaana walai🇸🇦🇰🇪💯❤️
@Emmyprinces3 ай бұрын
Kumbe majini yanavaa mawigi😊❤hii nimeipendaa,,,,,,huu ndio ukubwa✨
@benedictofwatanyuma29772 ай бұрын
hii ni moja ya series ambazo mimi binafsi nmeona ni idea mbovu...jaribu kuboresha idea...mashabiki tunahitaji kazi nzuri zaidi ya ile ya mwanzo
@benedictofwatanyuma29773 ай бұрын
pia jitahidi kupunguza baadhi ya maelezo yasiyo na maana mfano... kila wakati kuita 'dada', 'mke wangu'....n.k
@hus-keenwizer6793 ай бұрын
Story nzuri ila baadhi ya ma-actor wanaboesha sana...nimeshindwa kuiendeleza
@youthmediatv13 ай бұрын
Duh,hila lamapenzi sokoni duh
@aishaomar22873 ай бұрын
😂😂😂
@Ibrah_mwemela3 ай бұрын
1
@user-ic8mc3bd8l3 ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪❤❤❤❤😢😢😢
@beyoncesauda273 ай бұрын
Pamoja
@AngelMbaraka3 ай бұрын
Hao Majini nao hawawez kuplay kweny hiy part
@user-vq8jx5te7p3 ай бұрын
Kenya sawa na Tanzania ! Tuko pamoja baba joan(mr tomas). Kazi njema.
@Andreaediga3 ай бұрын
Baba joan aisee iiiiiih kali sana🎉🎉🎉🎉
@caroleangambe12393 ай бұрын
Wow good job baba joan next episode plz
@salumiddy77833 ай бұрын
Baba joan, mwalim tumaini ipo wap
@saumosoro97993 ай бұрын
Nimefka jaman penz la jini marfki wanafki waoga hawa tomas bure kabisa
@EmaDaher3 ай бұрын
Babajoan napenda sana movis zako❤❤❤❤❤ niko 🇱🇧 nice
@AsmaRamadhani-ok6iv3 ай бұрын
Kazi nzur natamn kuigiza nawe
@JohnBwija-xg5pf3 ай бұрын
Kazi nzuri sana ❤❤❤
@ashamohamed838Ай бұрын
Mganga anazinguwa kizungu kimeingilia na wap..mko na adithi tam ila wachezaji hawana ualisia nkirekebisha apo tu 🎉🎉