LUHAGA MPINA AFANYIWA UKATILI ZAIDI YA MAUAJI.. SAUTI YA UTU IMEKUFA BUNGENI, WATANZANIA TUMEKWISHA

  Рет қаралды 9,706

Mwl. Mussa Paul

Mwl. Mussa Paul

Күн бұрын

Пікірлер: 90
@FestoFelician-vc6gb
@FestoFelician-vc6gb Ай бұрын
Baba yangu Luhaga Mpina ubarikiwe Sana Sana na Mungu kwa kuwa na moyo wa utu, SPIKA WA BUNGE NI SHETANI HANA HURUMA NI MNYAMA KABISA, ILA HATADUMU MILELE
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Ай бұрын
Acha tabia mbaya,ushoga ni hatari sana kwa afya yako. Tafuta kazi nyingine ya kufanya
@JosephAkida
@JosephAkida Ай бұрын
Minasema hii nchi hii Ukisema tu haki haki jua kifo kinakuzunguka, ila heri ufe ukiwa unapigania haki usione kiubunge kicheo chochote kama nikitu cha kudumu
@JosephAkida
@JosephAkida Ай бұрын
Hawa wabunge ni makatili kuliko MPINA usiache utu achana na wachumia tumbo hao muda wa wasio haki uko ukingoni sana kuliko tunavyoweza kusema
@hellenmanyere-vp2qs
@hellenmanyere-vp2qs Ай бұрын
Kweli kabisa unachosema ni kweli kabisa na ni haki
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 Ай бұрын
Mpina piga kazi kaka kwani Mungu ataonyesha kheri yako ya dhati sikuzijazo 💪🏽🙏🏼
@user-fm3ew9tu9y
@user-fm3ew9tu9y Ай бұрын
Ee Bwana Yesu Kristo Naomba umlinde huyu mbunge Luhanga JoelSon Mpina ,maadui zake wapotee Kwa Njia 7
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Wanafiki bungeni ni wengi. Hawataki wabunge wenye akiri zawo. Wanataka wabunge wenye kukubali kila kitu, wabunge wasio elewa chochote ni kula fedha kodi za watanzania.
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 Ай бұрын
Mungu akupe nguvu mpina maadui zako watashindwa kwauwezo wamungu
@ObediHaruna
@ObediHaruna Ай бұрын
Ila hii nchi inaangamia😢😢 Kweli kabisa bunge linaamua kumkatili Mpina wakati nchi nzima tunajua hana hatia, eeh Mungu tunaombaa ikiwezekana umuondoe Tulia Ackson duniani, anatunyanyasa mno wananchi
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 Ай бұрын
MH mpina huu ni wakati wa kumtukuza mungu tunakupenda bora uwe hai Baba tunakuombea wanapoteza sukari wauze wenyewe na kutudhurumu kwa kujikinga na vyeo vyao
@wokovummilla5034
@wokovummilla5034 Ай бұрын
Kweli baba daa kuna mashetani bungeni, spika kwani yeye ni malaika asisemwee
@lucylyuki4852
@lucylyuki4852 Ай бұрын
Tunaomba Mpina arudi bungeni mapema ,huyu ana uchungu na sisi watanzania
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa Ай бұрын
Ahhhh....hawa jamaa ni makatili hatari sana
@hellenmanyere-vp2qs
@hellenmanyere-vp2qs Ай бұрын
Ila hii Nchi jamani mbona UNYAMA NDIO FASHENI, WALAANIWE MILELE
@josephclementkisendi6726
@josephclementkisendi6726 Ай бұрын
Kwakweli watanzania kazi 2nayo hatuna wabunge wenye matazamio yakuliinua taifali bali wanalididimiza, mpina upo sawa 2po pamoja ❤
@hellenmanyere-vp2qs
@hellenmanyere-vp2qs Ай бұрын
Hata iweje uovu hautasimama milele
@INUMBUMWANDU
@INUMBUMWANDU Ай бұрын
Safi kaka mbungewangu tuliokuajili nisisi namungu ndio aliekuweka hapo wachana nao
@GossesMwambene-eg8lo
@GossesMwambene-eg8lo Ай бұрын
Haki ya kweli bunge limejaa machawa mungu alisaidie bunge hill muwe na utu ,muongoze taifa kwa haki acheni unafiki,
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 Ай бұрын
Hivi huyo mbunge mpumbavu ni wa jimbo gani mpina nchi nzima tunamuona mtetezi wetu
@NipaDavid-vi6ky
@NipaDavid-vi6ky Ай бұрын
Ninakuunga mkono kuwa Mpina ajiuzulu kwasababu giza na nuru hazichangamani.Mpina yuko kwenye Nuru ila hawa wengine Giza. Mpina nenda chama kingine tutakupereka tu Bungeni. Kataa uchawa
@JoshuaMoses-hx3bd
@JoshuaMoses-hx3bd Ай бұрын
RAIS SAMIA NA TULIA NAJUA MNATAKA KUMUUA MPINA, SASA MSIFIKIRI SIE WAJINGA TUNAJUA MPANGO WENU
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
MPINA usisikitike sana. Waovu wananguvu na ushirikiano kutetea uovu wao unapomgusa muovu mwanzao. Sisi raia tunaona yote yanayoendelea mtandaoni. Maana TBC hawayasemi wamebanwa
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 Ай бұрын
Mpina achana na watu kama hao wapo wengi wa hivyo ila Mungu atakupigania tu wote tunajua unaonewa sana ila kaa kimya.
@FestoFelician-vc6gb
@FestoFelician-vc6gb Ай бұрын
Hapana Ndugu yangu Mpina asikae kimya maana kukaa kimya ndio kukubaliana na dhuluma
@nurubujimu175
@nurubujimu175 Ай бұрын
Mpina oyee sema usiogope
@franciscoivo1591
@franciscoivo1591 Ай бұрын
Huwa wanawaza kweli Hawa watu
@hellenmanyere-vp2qs
@hellenmanyere-vp2qs Ай бұрын
Na sio tu hawamtaki bungeni hawa pia ni wauaji wanatafuta hata wakiweza wamuue Mpina
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Huyo ba b a mwenye kitambi ni hatari😢 waliomchagua poleni sana Tz tuna demokrasia .
@PhiniasIsrael
@PhiniasIsrael Ай бұрын
Hakuna jambo lililostiri ambalo halitafunuliwa, hakuna neno lililofichwa ambalo halitawekwa wazi
@NipaDavid-vi6ky
@NipaDavid-vi6ky Ай бұрын
Wew unakula pesa zetu bure bungeni Mpina yuko haki kwanza hurudi jimboni kwako
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 Ай бұрын
Ubora wa bun🎉ge haupo mpina yupo sahi kabisa .. na mbunge anae sifia kila wakati anamdanganya raisi na serikari yake
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Amani haichungiki bila ya haki. Nchi nyingi za kiafrika zinakosa amani kwaajiri ya dhuluma za wengi. Wabunge wa Tanzania badała ya kutetea haki ya waliowachaguwa wanatetea interests za wachache wanao wadhulumu wengi. Usiposema ndiyo bungeni unakuwa Aduwi na wanakushutumu kuwa adui wa chama na serikali. Demokrasia gani hii? Mbunge ana haki ya kutetea wananchi na sio kuiunga mkono serikali na sifa nyingi kwa Rais bila ya kuwajali wananchi. Tanzania ni masikini kwa wizi na ufisadi wa watu wachache kujilimbikizia mali za watanzania. Hawakamatwi, wala kusemwa. Ukiwasema bungeni yanakupata yaliyompata Mpina.
@justinekubilungokolo5703
@justinekubilungokolo5703 Ай бұрын
Sina hakika kama kuna uhuru wa kutoa maoni au mawazo mbele ya watu, wabunge mbona kama hawapendani na ni wa chama kimoja, wapinzani waseme nini sasa
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Watanzania hawawajuwi wasomali kwa magendo. Waulizeni wakenya. Walilishwa sukali ya viwanda isiyofaa kwa binaadamu.
@user-uf7dp5hn8p
@user-uf7dp5hn8p Ай бұрын
Mpina hatujaona kosa lake, ndugu zangu wabunge muungeni mkuno tunatekasana
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im Ай бұрын
Hatuna wabunge. Mpina hakutukana serikali. Mpina anatetea mali za watanzania. Wabunge wengi wako bungeni kwa kutetea mafisadi, ndiyo maana watanzania wengi wanateseka ingawaje Tanzania ni tajiri. Wanaiba, hawajamatwi, wala hawafungwi. Jęła zetu zimejaa masikini, wanaodanganya na kutowa tenda ya sukari kwenye kinyume cha sheria ndiyo wanaoigiwa makofi. Mpina ukweli utakuweka huru. Speaker ATA lipa kama alivyolipa Ndungai. Chroni dhamana. MPINA HANA KOSA
@INUMBUMWANDU
@INUMBUMWANDU Ай бұрын
Wanamkabili kwakusema ukweri mwanadamu hataki mtu mkweri hunahtia mm mwanaichi wako tindabuligi
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 Ай бұрын
Mh.Mpina, Mungu awe pamoja nawe, Na akupe kuwa kiongozi wa juu zaidi, ili hawa wanaorindana waaibike,
@ShaibuHamisi
@ShaibuHamisi Ай бұрын
Anaepinga mawazo na hekima za mpina anamtetea bashe spika tulia ajitathimini
@Abdallasued
@Abdallasued Ай бұрын
Hawa wabunge ndio wanaopiga pesa na bashe hao sasa mpina kosa lake nini hupumbavu tu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Mpina wewe ni mzalendo.Udumu.kuwa mtetezi .Baba huyo mwenye kitambi aache bunge😢
@mtengaepmck4285
@mtengaepmck4285 Ай бұрын
Yani huyo mbunge alochangia Nguruwe kabisa, stupid Mp
@mtengaepmck4285
@mtengaepmck4285 Ай бұрын
Huyo ni mbunge mjinga hajawahi kutokea nchini jitu zima halafu janaume limevaa suruali?????
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo Ай бұрын
Ndiyo wabunge haooooo
@HabibuSalumu-iv5wl
@HabibuSalumu-iv5wl Ай бұрын
Alipima samaki za wavuvi alikuwa anatetea wananchi Alikuwa kiongozi je hakukiuka utaratibu yeye aliambiwa apeleke ushahidi wake,kwanza hakufukuzwa amesimamishwa vikao kuminatano,hayo maneno yametokea wapi
@INUMBUMWANDU
@INUMBUMWANDU Ай бұрын
Mpina hao niwafisadi hawataki kushauliwa naukweri hawautaki
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Ай бұрын
CCM UKIWA MKWELI HUTAKIWI
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Kanda ya ziwa tunao viongozi hazina wenye akili nzuri.
@johakhimu.mgembe.3297
@johakhimu.mgembe.3297 Ай бұрын
Wabunge hawa wa Wapi?wasiokuwa na upendo kwa Watanzania waliowatuma
@MeshackKaboja
@MeshackKaboja Ай бұрын
Hili kubwa jinga bunge lawapi
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Ай бұрын
Hivi wewe ni mbunge kweli Mpina ajiuzuru kwa lipi Wewe ndo unapaswa kujiuzuru Ametukana Serikali jwa lipi hivi mbunge huyu anaongea anachokijua kweli hivi sipika ametukanwa mbina mbunge unashangaza Mpina simamia
@gabrieltheodory4090
@gabrieltheodory4090 Ай бұрын
Eti Mpina ajiuzulu, Mzalendo, Mtetezi wa Umma kweli? .kuna Wabunge wa kupangwa Kama Nyanya, Wanamwattack Mpina Kweli? Tuko na Wewe Mh. Mpina
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Ай бұрын
SWALI KWAKO UNAYECHANGIA HOJA BUNGENI MPINA AMEHOJIWA NA KAMATI TAYARI AU BADO?KAMA HAJAHOJIWA NA KAMATI NA MMETOA HUKUMU HAMUONI KAMA NI CHUKI BINAFSI
@user-ot9zb6eg7f
@user-ot9zb6eg7f Ай бұрын
Wabunge kama awa uwa mashoga kibaya kipi apa alichokifanya mpina bunge LA wajinga Tanzania
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw Ай бұрын
Unasema nin nawe mwizi wew
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 Ай бұрын
Mpina ameitukana serikali muda gani? Wabunge kuweni waungwana viongozi
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw Ай бұрын
Ovyoo
@LawrenceLubango-ck6eb
@LawrenceLubango-ck6eb Ай бұрын
bunge la kuteuliwa kazi yake nikupiga makofi hata uozo
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 Ай бұрын
Wabunge Wadhulumaji tutawajua kupitia Suala la Mipana kutokupewa Haki Bungeni. Nabunge lituambie Suala la Sukari la Waziri Mbashe kuaagiza Sukari nje ya nchi kinyume na Sheria. Limeshughulikiwaje na Bunge.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Uyu mbunge alichaguliwa na nani au ndo wale wabila kupingwa. Jitu zima linaongea pumba kabisa
@ShannyBrowntz
@ShannyBrowntz Ай бұрын
Ukistajabu ya Musa??
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 Ай бұрын
Heeeee hamuoni aibu yaani dampo la wanyang,anyi acheni uchawa mnamdharirisha mama wewe baba wewe mmmhhh tonge tonge tonge mmmhhh tetea ugali
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 Ай бұрын
Yakishalambishwa asali ni kuropoka tu hayawezi kututetea maana hayajachaguliwa na wananchiiii
@user-pl4ju8du7j
@user-pl4ju8du7j Ай бұрын
Kweli hili bwege ni libunge la wananchi wa Tz hatar sana aisee arafu jinga kama hili ni vivu la kusoma vifunga mwili mkubwa akili ndogo
@PendoUrassa-xm7ru
@PendoUrassa-xm7ru Ай бұрын
Watu haawana ata hoja
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Ай бұрын
Mpina wewe umechaguliwa na wananchi Si wabunge
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 Ай бұрын
Wanafiki wakubwa nyie wabunge vilaza
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 Ай бұрын
Kumnyanyasa Mpina mashetani wanaomfanyia hivyo jiandaeni Mungu atawapiga laana ya vizazi vyenu mtapata ukoma kizazi na kizazi kwa kuipinga na kukataa haki.
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 Ай бұрын
Yaani walitaka ampelekee spika ili wafiche maovu yao hayo ni manyangau tu hovyooo
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Ай бұрын
Tatizo la mpina kwenda kwenye vyombo vya habari huku amepeleka ushsidi kwa spika .Acha kumtetea mbunge badala ya kumshauri alikosea kusema na vyombo vya habari .
@UAMSHOTV
@UAMSHOTV Ай бұрын
Wewe umebeba roho ya uuaji, una UNYAMA ULIOKITHIRI KABISA, hata hivyo NAMSHUKURU Mungu aliweka kifo angalau wote tutaondoka duniani linga ulingavyo, chumu Dunia uwezavyo
@hellenmanyere-vp2qs
@hellenmanyere-vp2qs Ай бұрын
Clemence Mkondya wewe SIO MTU, NAMUOMBA MUNGU AIKUMBUKE DHARAU YAKO HII JUU YA UTU WA MTU, NAOMBA IKIWEZEKANA MWAKA huu USIISHE AKUCHUKUE TU UENDE KWA BABA YAKO SHETANI
@FrankBalemba
@FrankBalemba Ай бұрын
Huna utu kabisa, yaani una roho ya MNYAMA kabisa, Mungu akukumbuke Kwa haya yote
@ImoriCharles
@ImoriCharles Ай бұрын
ONA kenge nyingine hii imeshiba tozo, pumbavu
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 Ай бұрын
Pumbavu sana wewe kenge kazi kujaza tumbo
@user-ey8zi1es4p
@user-ey8zi1es4p Ай бұрын
Amedharau nani?
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Ай бұрын
Wewe ni mnafiki mkubwa una kosa kura Mwaka huu
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi Ай бұрын
Wewe ndo unampigia kura pekee ? Sisi wasukuma tutampigia na tutalinda kura tuone
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Ай бұрын
Msukuma kwanza kusoma kingereza ajuwi yeye Kila kitu ndiyo wanamcheka Sana Bungeni
@JoshuaMoses-hx3bd
@JoshuaMoses-hx3bd Ай бұрын
Huyo mbunge ni Malaya mwenzao, pumbavu kabisa
@philemonnestory4239
@philemonnestory4239 Ай бұрын
Mkundu wewe
@lucylyuki4852
@lucylyuki4852 Ай бұрын
Mwenye uchungu na nchi hii arudidi bungeni kwa haraka
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 Ай бұрын
Mpina uko juu unajitambua baba Gombea urais utayatupilia mbali hayo mafisadi.
@RobartShello-qj4vr
@RobartShello-qj4vr Ай бұрын
We nimpumbavu hufai kuwa mubunge, unamtetea sipika kabla ya kutetea waliokupeleka huko, wabunge kamanyie hautakiwi kurud 2025
@hellenmanyere-vp2qs
@hellenmanyere-vp2qs Ай бұрын
Yaani huyu mbunge ni Hana utu kabisa
@gabrieltheodory4090
@gabrieltheodory4090 Ай бұрын
Huyu Mbunge Jinga kabisa
SELASINI AMLIPUA MWAMPOSA BUNGENI - "YULE ROHO MTAKA VITU, NI UTAPELI TU"
10:59
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 51 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 3,5 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 30 МЛН
Meet the Press full broadcast - Aug. 18
47:43
NBC News
Рет қаралды 100 М.
Mpina ataka wizara nzima ifukuzwe kazi kuanzia waziri hadi mfagiaji
9:06
Mwananchi Digital
Рет қаралды 13 М.
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 51 МЛН