Unagana nasi tunapokudadavulia "maajabu" ya Mlima Rungwe kwa marefu na mapana. Zifahamu mbivu na mbichi za kupanda Mlima huu uliokivutio cha kipekee.
Пікірлер: 4
@davidmwaikokoba29743 ай бұрын
Hongereni kwa kukwea Mlima wetu Rungwe. Ushauri kwa msimuliaji Hutoi takwimu za muda yangu mlipotika saa alfajiri. Na anapoelezea kuhusu matuta camera yako ilipsawa kutaonesha badala ya kumwenesha mtoa taarifa.
@Aminmwansile-we8vn3 ай бұрын
Lakini hAutamgazwi inatangazwa tuu Kilimanjaro. Mlima wa tatu Tanzania et haujulikani
@amanijampion3045 Жыл бұрын
Ko binti kazidiwa na mzee Fungo?
@BusokeloTV Жыл бұрын
Weeeee Mzee Masao Fungo Hana mfanowe. Yeye huweza kupanda Mlima huo mara mbili kwa siku. Fitness yake sio ya kiwango hiki kaka