MAAJABU YA PADRE MTEMBEA PEKU/AKIRI KUTAKA KUWEKA MABOMU KWENYE OFISI ZA SERIKALI, HISTORIA:PART 1

  Рет қаралды 88,746

Breez Online Tv

Breez Online Tv

3 жыл бұрын

Hutojuta Kufuatilia Historia ya Padre Rikardo Mkurugenzi wa Alpha Seconday Iliyoko Morogoro Nchini Tanzania Aliwai kutamani kuweka MABOMU Kwenye Majengo ya Serikali ili ayalipue/Amekuwa Maarufu zaidi kutokana na hali yake ya kutovaa Viatu,hatumii simu na wala Asikilizi Radio Licha ya Ukweli kwamba ni Mkurugenzi wa Kituo cha Matangazo cha Radio Ukweli iliyoko Mkoani Morogoro.
Ana Mambo Mengi sana ambayo Utafurahi kuyafahamu na Hakika Utajifunza pia.
Muendelezo wa Story hii Unapatikana Kupitia #BreezOnlineTv

Пікірлер: 136
@cyrilkessy3032
@cyrilkessy3032 Ай бұрын
GOD BLESS YOU FR.RICARDO 🎉🎉
@chrysopaluku1791
@chrysopaluku1791 3 жыл бұрын
Nashukuru sana Padre, unaongea vema Kiswahili.
@pauloptatmosha8115
@pauloptatmosha8115 2 ай бұрын
Huyu Padre kwa hakika ni mkombozi wa elimu kwa mkoa wetu
@MfaumeIbrahim
@MfaumeIbrahim Ай бұрын
Pole ukweli hujaupata,,mungu akuonyeshe ukweli
@deogratiusmtilu1384
@deogratiusmtilu1384 3 жыл бұрын
Ubarikiwe fr Ricardo Mungu awe nawe daima katika utume wako
@emilianamnenuka1199
@emilianamnenuka1199 3 жыл бұрын
Nakukumbuka sana baba ulitwambia wakat tunaingia kwenye necta tutafauru na ikawa kwl mungu akusamehe mapungufu ulio nayo kama binadam ila mungu akutunze
@Deonfnyoni
@Deonfnyoni 3 жыл бұрын
Hongera sana baba roho wa Mungu akurinde akusimamie akuongoze ktk utume wako
@georgeagelleard249
@georgeagelleard249 3 жыл бұрын
Wanamoro wanamuelewa vizuri tyu, Tunakuomba Mwenyezi Mungu mpe maisha marefu
@tapfumaneyidube6518
@tapfumaneyidube6518 3 жыл бұрын
His kiswahili is very fluent. God bless you Padre
@marvelmukonesi7918
@marvelmukonesi7918 3 жыл бұрын
He's More fluent than even me lol
@mwajumathomas1594
@mwajumathomas1594 2 жыл бұрын
Kiukweli recardo.nimsaadakwetu tunamshukuru sanamunguazidikumuwekamiaka
@annamagembe2513
@annamagembe2513 3 жыл бұрын
Mungu aendelee kukusimamia katika maisha yako ya kitume
@renataraymond1545
@renataraymond1545 Жыл бұрын
Namshukuru alikua anakuja Kilakala kusoma misa
@kaytv9081
@kaytv9081 3 жыл бұрын
Kaniinua sana mzee wa watu na Mungu ambariki sana.
@ambroschristian4172
@ambroschristian4172 3 жыл бұрын
Yuko sahihi sana nimemuelewa vizuri kabisa
@asteriapalapala1738
@asteriapalapala1738 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu, najivunia pia, kuwa Na watumishi kama Hawa, barikiwa sana Baba
@sylvesterfrancis2523
@sylvesterfrancis2523 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana padri umesaidia wengi
@siskomwambungu4272
@siskomwambungu4272 3 жыл бұрын
Hongera kwa utume baba padre
@petergirago9029
@petergirago9029 3 жыл бұрын
Daaah nmependa Sana hii
@witnessmtono5461
@witnessmtono5461 Жыл бұрын
Ahsante kwa historia zuri inafundisha
@user-gw6ir4gy4r
@user-gw6ir4gy4r 6 ай бұрын
Mungu akubariki Padre
@clementmikiko5064
@clementmikiko5064 3 жыл бұрын
Ubarikiwe saana Fr Riccardo
@angerithamyonga3203
@angerithamyonga3203 3 жыл бұрын
Yaani ni mkomboz wa elimu wana moro tunajivunia yeye,ni Mtume wa MUNGU kamtuma kwetu,ee MUNGU mpe MAISHA marefu bado tunamuhitaji SAAANAA fr Riccardo Maria
@tedyjoseph5178
@tedyjoseph5178 3 жыл бұрын
Mm sishangai maana Padre wa Francisco uwa wanajinyima sana.
@neemabernad4329
@neemabernad4329 2 жыл бұрын
Nikweli
@alfredmgomberi6666
@alfredmgomberi6666 3 жыл бұрын
Nilisoma Alfa jemc nanenane morogoro kwenye shule yake kiukweli father pekupeku yuko vizuri sana na ana roho nzuri sana huyu mzee,nakumbuka alishawahi nirudishia pesa yangu ya tahadhari pindi nilipo maliza shule,mungu akulinde padre wangu
@antoniambogolo3628
@antoniambogolo3628 3 жыл бұрын
Balikiwa Sana mm mungu akupe maisha malefu sana
@hedengasahy6102
@hedengasahy6102 3 жыл бұрын
mungu amlinde
@benadethaclement7596
@benadethaclement7596 3 жыл бұрын
Mungu ambarik
@elizabethmuthoki3798
@elizabethmuthoki3798 3 жыл бұрын
Hongera sana Fr
@sharonjoseph9382
@sharonjoseph9382 3 жыл бұрын
Umeongea ukweli nimekupenda mungu akupe wito
@emmamahengo8213
@emmamahengo8213 3 жыл бұрын
He's so cheerful
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 3 жыл бұрын
Namkumbuka Sana maana ni mwalimu wangu wa divinity pia alinirudishia pesa ya tahadhali baada ya kumaliza form 6 2011 Ubarikiwe Sana father Ricardo malia
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 3 жыл бұрын
Mbona Kama maskini sana
@geraldlaurent7465
@geraldlaurent7465 3 жыл бұрын
Hata Mimi kanifundisha Divinity Mungu amtie nguvu
@peresydaud4780
@peresydaud4780 3 жыл бұрын
@@michaelsamson9663 0ppppppp
@angelraymondkid7864
@angelraymondkid7864 3 жыл бұрын
Yan huyo hata kama ukifika katika shule yake jana afu ukaenda kinyume na sheria za shule hiyo hanaga masihara unarudishiwa ada yako anapigia mahesabu tu uliingia sangap gharama za chakula ulichokula then chenchi yako unarudishiwa ukatafute shule nyingine..yuko vizur sana
@geprony
@geprony 3 жыл бұрын
Fr Ricardo namkumbuka Sana alikuwa anakuja seminarini kwetu Mafinga, alikuwa analipia waseminarini school fees anatokea familia tajiri Sana huko Italy.
@francisngiliule5565
@francisngiliule5565 3 жыл бұрын
Historian yake no 2
@julianangondo9530
@julianangondo9530 2 жыл бұрын
Be blessed fr.ricardo..I enjoyed alot at alfagems seco..2018
@khadijakulemwa3386
@khadijakulemwa3386 3 жыл бұрын
Jamn nimepamiss hapo shulen mung ambariki huy baba anaga shida aise kama nirudu tena
@polkalipimavazi1792
@polkalipimavazi1792 3 жыл бұрын
inaitwaje hiyo shule
@julianacellestine801
@julianacellestine801 3 жыл бұрын
samahani "mungu"huyu ni mashetani au miungu. 'Mungu, wa herufi kubwa ndo Mungu muumbaji aliyeumba mbingu na nchi clip ya kwanza nimekosea. Kila la heri
@philomenamakonge227
@philomenamakonge227 3 жыл бұрын
Jifunze kitu Gwajima umekaa kubishana na mdee
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@augustusmachumi9338
@augustusmachumi9338 3 жыл бұрын
Huyu mwamba anasalisha kanisa kuu Morogoro. Yuko vizuri sana
@adammwambuluma6894
@adammwambuluma6894 3 жыл бұрын
Hahahaha. Ety huyu mwambaaa
@nikitalucas2323
@nikitalucas2323 3 жыл бұрын
Mungu akubariki padre
@richardchaula1860
@richardchaula1860 3 жыл бұрын
Huyu Fr.ameongoza misa Juma pili.
@gracechalagwa9745
@gracechalagwa9745 3 жыл бұрын
Tunaomba muendelezo wake
@danilobabajr6584
@danilobabajr6584 3 жыл бұрын
Daaaa sio poa mzungu pekupeku shule yake iko poa sana yani
@beatricebinde4999
@beatricebinde4999 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Fr.
@JonathanNicolaus-nx9sx
@JonathanNicolaus-nx9sx Жыл бұрын
God may keep to av joy and happ all thii time
@christnewanza4389
@christnewanza4389 3 жыл бұрын
Mungu akuliede
@josephinebiringanine7113
@josephinebiringanine7113 2 жыл бұрын
Love him 🙏❤️
@jesuscousin1912
@jesuscousin1912 3 жыл бұрын
Tulio soma alfa tulike hapaa
@tresorsamson9200
@tresorsamson9200 3 жыл бұрын
Asanteeeee
@carolinamuchi5980
@carolinamuchi5980 3 жыл бұрын
Amen
@cheicheisportswear7802
@cheicheisportswear7802 3 жыл бұрын
Niliwahi kuwa naye wakati nikiwa mtera maeneo ya Magungu na kastam niliwahi kwenda naye itemagwe kufungua kanisa kule nimekumbuka mbali sana Tulikuwa na jamaa mmoja alikuwa anaitwa Kikoti
@sarafinafranci8481
@sarafinafranci8481 3 жыл бұрын
Amina.
@dianamwacha6517
@dianamwacha6517 3 жыл бұрын
Mungu hua nasema na sisi tuombe neema ya kusikiliza sauti ya Mungu.St Patric morogoro huyu padri hua anahudumu pale
@mwinjillstnyemonyaombo7878
@mwinjillstnyemonyaombo7878 3 жыл бұрын
Amina
@maidamatinya348
@maidamatinya348 3 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutumia baba padri
@magrethcolestine2880
@magrethcolestine2880 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana kwakweli huyu padre aliitwa na mungu mapema kabla hajazaliwa tuendelee kumwombea
@jesuittemba663
@jesuittemba663 3 жыл бұрын
Kali
@rashidrashidi6106
@rashidrashidi6106 3 жыл бұрын
Nampata huyo yupo Moro yuko vizur
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Ufukara na umaskini zaidi maisha ya sala zaidi......
@brayanpaul3447
@brayanpaul3447 3 жыл бұрын
Tumsifu YESU kristu Nina wito wakuw padre naomba kuji unga na shirika alilo uyu padre please
@faridaessa7844
@faridaessa7844 3 жыл бұрын
Milele Amina
@salomewambui6493
@salomewambui6493 3 жыл бұрын
Approach the priest and he will direct you
@brayanpaul3447
@brayanpaul3447 3 жыл бұрын
Kama ni kuwa karibia Nisha wakaribia San ma father weng but ime kuw ngumu 😶
@salomewambui6493
@salomewambui6493 3 жыл бұрын
@@brayanpaul3447 Tafuta mapadre wengine, unaweza pia kuwa Brother mfrasiscano kama upadre umeshindikana, look for a shilika la Mabrunda, ask any priest to show you where those Brothers live.
@elipendokibirit6897
@elipendokibirit6897 3 жыл бұрын
Hautaweza were oa tuuuu
@priskilamajengo8683
@priskilamajengo8683 3 жыл бұрын
Nimemkumbuka Father nimesoma Alfa dahaa nakushukuru kwa maadilii
@valentinajoseph2430
@valentinajoseph2430 3 жыл бұрын
Duhhh
@rosemarywanjiru9117
@rosemarywanjiru9117 3 жыл бұрын
Huyu ni mtumishi wa Gesu Chirst na hkujipenda na fushi yake mwenyeweila alipenda Injili ya Christ Mungu a mbariki na miaka nyingi
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Unashindwa kiswahili na Italian.
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@chalaamour691
@chalaamour691 3 жыл бұрын
Masikini mzee wa watu
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 3 жыл бұрын
Kwa sababu ya historia ya padre .. nimeangalia ads mpaka mwisho
@breezonlinetv
@breezonlinetv 3 жыл бұрын
🤪🤪🔥💯 Asante kwa Mchango wako mkubwa
@wilonjabikey8274
@wilonjabikey8274 3 жыл бұрын
Awa wazungu wamandevu mandevu asilimia kubwa wanakuwaga na akili nyingi sana.
@breezonlinetv
@breezonlinetv 3 жыл бұрын
😜😜
@marymnyanyi9221
@marymnyanyi9221 3 жыл бұрын
Part 2 ln inanivutia kuisikia Huu ni wito kwelikweli
@breezonlinetv
@breezonlinetv 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/mtGVl8-TnrbehWw.html
@simonmodest4021
@simonmodest4021 2 жыл бұрын
Simon modest
@bestcakes7098
@bestcakes7098 3 жыл бұрын
Naomba no za mawasiliano namna ya kujiunga na shule yao
@masumbukosendwa3216
@masumbukosendwa3216 3 жыл бұрын
Bressed man! Amina
@chidreahmedgele2326
@chidreahmedgele2326 3 жыл бұрын
Huyu ni ndugu yake mrisho mpoto kutembea oeku
@robertrerarevocatus3455
@robertrerarevocatus3455 3 жыл бұрын
Amina
@catherinemhagama7505
@catherinemhagama7505 3 жыл бұрын
Niliwahi kumuona maeneo ya shekilango dar
@philomenamakonge227
@philomenamakonge227 3 жыл бұрын
Gwajima Unamchokoza Mungu baba. Msikilize huyu halafu wewe uone unachotafuta hasa ni nini.
@marianasangu9841
@marianasangu9841 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@joycenganyule3231
@joycenganyule3231 3 жыл бұрын
Kila mtu na kiwango chake cha kuelewa
@stellamuyenjwamboyi7559
@stellamuyenjwamboyi7559 3 жыл бұрын
Mjue sana Mungu ,ili uwe na amani wamjuao Mungu wao ni majasiri Kama simba
@carolinamuchi5980
@carolinamuchi5980 3 жыл бұрын
Duhh
@dafrosamsonge2007
@dafrosamsonge2007 2 жыл бұрын
Nice Mtumishi wa bwana
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 3 жыл бұрын
Huyu ndio mtumishi wa Mungi ss,wengine ni feki tu
@chalesmyamba2908
@chalesmyamba2908 3 жыл бұрын
Nikukubli pdr unaongea vizur sana
@mmungambutoloonga821
@mmungambutoloonga821 3 жыл бұрын
Nc
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Mtindo wa kufikiri
@user-zc1xq8xk1i
@user-zc1xq8xk1i 4 ай бұрын
Mkora mwingine huyu hapa
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
WA bongo walivyo wambea. Unakutana na mzungu kama huyu una anza pepepepepe mkijua harlequin kiswahili
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 2 жыл бұрын
Uchebe unashinda wa Osama huyu ni mwislamu Sunn wal jamaat 🇹🇿
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 3 жыл бұрын
Anajipa adhabu kwa kosa la kuua.Kwenye biblia ukiwaza kuuwa,ni kama umeshauwa tayari..Mtume Petro na Yuda Eskarioti walifanya haya na zaidi.Yuda inasemekana alishindwa kuishi alijinyonga(Hadith)
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Na mbona mnaitwa Yuda
@friminmosha6164
@friminmosha6164 Жыл бұрын
Padre huyu ni mfano Wa kuigwa kukomaza imani Bill imani huwezi kutembea pekupeku.
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Huyu anakunywaje chai au supu
@breezonlinetv
@breezonlinetv 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/mtGVl8-TnrbehWw.html
@marymfugwa847
@marymfugwa847 3 жыл бұрын
Anaitwa father pekupeku nilipo mkuta shuleni kwake sikuamini namna anavyo ishi hasa mazingira yake.
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 3 жыл бұрын
Anashule uyo mzee
@agnesgervas8070
@agnesgervas8070 3 жыл бұрын
Yeah unaweza uciamon kwakuckia ila ukiona kwa macho utaamin
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 3 жыл бұрын
Uko moro
@marymfugwa847
@marymfugwa847 3 жыл бұрын
@@michaelsamson9663 ndy
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 3 жыл бұрын
Una tumia jina gan insta
@julianacellestine801
@julianacellestine801 3 жыл бұрын
Mungu huanza kwa herufi kubwa. Ukianza na herufi ndogo mfano 'Mungu ' ni umungu yaani mashetani. Lkn ukianza na herufi kubwa ndiye muumbaji wa mbingu na nchi yaani 'Mungu '. Lkn samahani kama kama nimeeakosea.
@marvelmukonesi7918
@marvelmukonesi7918 3 жыл бұрын
Nimekwama hapo kwa 'falsafa ya ujamaa' can someone translate it for me please 😁
@sefaniakalinga3456
@sefaniakalinga3456 3 жыл бұрын
It means socialisim
@marvelmukonesi7918
@marvelmukonesi7918 3 жыл бұрын
@@sefaniakalinga3456 thanks
@brayanpaul3447
@brayanpaul3447 3 жыл бұрын
Please najisikia kuish maish ya uyu father
@johnkyomo8966
@johnkyomo8966 3 жыл бұрын
Ongera fr
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Unafikiri nikirahisi rahisi wacha muheuko
@mecktildatushabe7898
@mecktildatushabe7898 3 жыл бұрын
Hutaweza nakwambia
@christnewanza4389
@christnewanza4389 3 жыл бұрын
Unakaa chalible
@fungafungatv448
@fungafungatv448 3 жыл бұрын
Nilisoma kwake yuko poa sana
@dullahmudy2255
@dullahmudy2255 3 жыл бұрын
Nilipofika Moro pande za nanenane niliona wafuasi wamevaa kama ivyo na wako peku nadhan huyu ndio padre wao au sio jamaani
@williamkajala599
@williamkajala599 3 жыл бұрын
Ukosahihi kabisa,
@marykalist2891
@marykalist2891 3 жыл бұрын
Uko sawa
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 13 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 9 МЛН
Padre Dkt Kamugisha: Tawala Uso wako/ Nyakati 2 za kufunga mdomo
31:34
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 13 МЛН