Mtu unakuta unapendwa vizurii kabisaa unaanza kula mashemejii😢😢😢ACHA NIENDELEE KUCHILL SINGLE
@joseeomary783117 күн бұрын
Nmependa iyo comeback ya Mary 😂😂😂😂
@jacqulinebagaya49862 ай бұрын
Jaman wale ambao tupo sambamba na kiredio tujuane kwakila tukio😂
@FatnaSangiwa2 ай бұрын
Tupo dear
@user-ej9of7ol6eАй бұрын
😂😂😂😂utaniua na kicheko
@AishaAlly-ji8gn2 күн бұрын
Huyo mdada jaman hana haya
@ukhtyrehemaabdy2830Күн бұрын
Hiv ule uchi wa Mwanaume unajua unaingia kwa Mwanamke tena Rafik Yako unawezaje kuingiza na kwako??? Weeeee Mungu tuepushe na hili janga la Uzinifu
@zainabthomas696014 күн бұрын
Hivi kiledio unamahusiano kweli😂😂😂
@getrudepaschal92009 күн бұрын
@veedollar shem wa taifa
@gasperrobert70362 ай бұрын
Kaka Kiredio Ahsante sana ,sisi tunafurahi matunda ya Juhudi zako
@emanueldanstan89042 ай бұрын
😂
@ZuwenaMohammed-fp4yv2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 apewe maua yakeee😂
@andersonzainabu2 ай бұрын
Hakuna cha marry picha linaanza et hello nipo na shan apa😂😂😂😂 ila wadada jmn 😢😢😢
@n3ylinah......2 ай бұрын
Yaaann. Marafiki km hawa washindweee kbs jmn. Yaan hapo ukickia kupangwa Ili uongee neutral bila malavidavi
@user-cp6xm8nz1eАй бұрын
Na ndomaan mi sinaga lafiki
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
Huyo dada MBABAISHAJI Ni MUONGO Mia Mia Malaya
@joycesulle1981Күн бұрын
Mm namshukuru rafki yangu hajawahi kunisaliti nampenda ananipenda i love you castlel lihgt
@bakermusa903312 күн бұрын
Kiredio nifanyie training wakikuua kazi isiishie hapo
@rashdahjuma27612 ай бұрын
Mapensiiiii 😂😂😂 kiredio tuko pamoja had watakapokuvunja kichwaa 😂😂😂😂😂
@witnessroby12232 ай бұрын
Huyu dada ni mmeru wallah😂😂.BFF aisee
@stellahwilliam857818 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@SelinaErick2 ай бұрын
Mungu aniepuxhie 2 swala la kumgombania bwana
@elizabethdamas-zp9xl2 ай бұрын
mi ndo mana sitakag mashost hahah pole dada sameeh songa mbele na maisha yko jipe furaha yko mwnyew jipende
@mgayamgaya2 ай бұрын
usipende
@ZuwenaMohammed-fp4yv2 ай бұрын
Kabisa mamy bora uendelee kuwa single 😂😂
@ZuwenaMohammed-fp4yv2 ай бұрын
Pole dada ang ila kiredio umenifanya nijifunze vingi sana
@ZuwenaMohammed-fp4yv2 ай бұрын
Pole kipenzi ila kama hajakuoa achana naye ata huyo shoga ako pia hakufai wanawake acheni tamaaa
@MaurineSemu2 ай бұрын
Nimshaur tu uyo dadaa amove on😂😂😂😂
@Linalina-mo8xg2 ай бұрын
Ukiona mpenzi anatoka mpka na rafiki ako ni hatari😢😂😢😂😢😂😂😂😂
@Tyughcdrbdt2 ай бұрын
Sanaaaa😢
@TreasureMagumba2 ай бұрын
A real man can't be stolen, dada atafute mwingine 😂😂
@winniefridamaiko27752 ай бұрын
Sana
@user-ir1cw9ev3v2 ай бұрын
Kweli kbs
@user-bi5no5jc1q2 ай бұрын
anahasira gan huyu kuma mawenge2 siatulie alifkiri yeye mtamu peke yakee😅😅😅
@GetrudeChengula3 күн бұрын
Hahahaha 😂😂 ila nyie wapana jamani had kuprint
@franciscakija17022 ай бұрын
Yaani mkiwa mnaleta hizi part 2 lazima nitabonyeza 😀😀😀😀 mapenzi raha jaman mkishare
@bushbabytz2 ай бұрын
Dah huyo dem mshenzi mno yaani bado anajitetea!? aloooh
@HellenJulius-ky7sx2 ай бұрын
Usilie na ww....Huna kitambaa kwan?😅😅😅
@reginamluviji9405Ай бұрын
MAMBO ya mapenzi m niliacha zaman kulia lia kisa jitu penda penda pumbafuuuu mapenzi n nyoooko
@Veronicahermanjohn1662 ай бұрын
Arusha tunasemaga wagumu, wajuba mbna na sasa analilia mapenz 😂😂😂😂
@dayana5513story2 ай бұрын
Vijana wengi mko kwenye mausiano lakin hamjui yanausiana nanini
@neemataigo17562 ай бұрын
Kwani mkiishi bila shoga kama mimi huwa mnapungukiwa nini 😏
@QbaBoy-ew7fc3 күн бұрын
Sinaga shoga mimi had nitazeeka
@Ibrahimmremi-rq6bs2 ай бұрын
Acha kutengeneza content kiredio so vizuri man 😂
@QbaBoy-ew7fc3 күн бұрын
Kichwa kama mlima. Amemchulia mwenzie mchuchuwake
@user-gn8ny8yw3u2 ай бұрын
Shan mzuri sana sijui Shem kwann hariziki😂
@DeboraNgura2 ай бұрын
Kalipenda Hilo komwe la sarah😢
@allymohazy45792 ай бұрын
@@DeboraNgura😂😅😊
@estermwakatundu302815 күн бұрын
Kapagawa na komwe la sara
@dorcasjonathan97932 ай бұрын
Tatizo watoto wangu wa siku hizi mmekuwa wa bei rahisi sana Yani mnazini mno mnatumika vibaya mno hiyo ni thambi ya uzinzi niaibu hujaolewa ushazin marakibao hata haya huna ndio mana hamuolewi
@user-se9xi3kp4f2 ай бұрын
Kabisa Yan Kuna vijana siku hizi wakikuona huna mpenzi wanakuona mshamba haujui kuenda na wakati aiseee😂
@abrahamalbert57116 күн бұрын
😂😂😂 nipeni ajira naona watenda kazi ni wachache jamani
@yuzzoamunisi12 күн бұрын
Wewe jamaa , baby nime miss nini jamani
@neemareuben3112 ай бұрын
Marafiki mbwaaa sanaaaaa ningemwasha ngum za pua hapo mbili tu
Wanaume shikamooooooo🙌🙌🙌🙌🙌🙌 sio kwa mateso haya mwatupatia hakiiiii🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@Bombwejr182 ай бұрын
Sitoongea chochote mpaka nimuone mwanangu Devi kwanza mnyama mkali kabisaaa 😂😂😂😂😂
@dorcasstarimo86292 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@johnmogella2 ай бұрын
Mtu wa maana kabisa 😅😅
@ernestkiluti59862 ай бұрын
😂😂😂
@NifferWagee-kz2sv2 ай бұрын
Kwenye chats Kuna sehem kasema mhm lla saraha akajibu nimefanya nn sasa merry katokea wapi tena
@msakadoobongeladada-uh3sk2 ай бұрын
nisaidie kushangaa na wewe
@siennacathy90122 ай бұрын
Kwani kwenye khmwambia mwanaume jina lazima umwambie jina lako halis?
@NifferWagee-kz2sv2 ай бұрын
@@siennacathy9012 kwann hajataja jina lingine akataja jina lake sarah
@joycekatinde2 ай бұрын
Unafaaa kuwa FBI
@roseykaji48695 күн бұрын
Ambao hatuna marafiki gonga likes hapa😅
@mohamedubwe8358Ай бұрын
Sara Andrew shangali daaah shemeji yangu huyu mtaani kwake kibaha mwanangu muuza chips ndo demu wake na anazingatia kila kitu iyo cm alokuwanayo apo mchizi kanunua Kwang ndo Kampa akaanzie maisha chuo 😢😢😢
@bonvivant37046 күн бұрын
Hee kazi ipo😅
@CatherineNgosso6 күн бұрын
Mapenzi tu kusoma aaaah 😂😂💔
@MaryAsantaelyАй бұрын
Mary hayupo shin uko na rafiki nyoka achana naye anaweza kukuuma zaidi
@natashadickson4958Ай бұрын
Yaan apo hakuna cha marry wala nn ametafita sababu mpuuz huyooo yaan siku zote adui wa mwanamke n mwanamke 😒
@user-yx7pk8iw6b2 ай бұрын
Kiredio uyo mwenzio ana support kimbea 🤣🤣
@user-ht8os7pz5g2 ай бұрын
Sara mpka aibu sio rafik wa kweli kabisa😂😂😂😂🙌
@swaibahhassan50562 ай бұрын
Yaan limemshukaa😂
@user-ir1cw9ev3v2 ай бұрын
Cy Sara tu wengi wao ni masnichi sana stk marafiki
@JacklineJohn-cw1bq2 ай бұрын
Tumwone David yukoje labda ni handsome 😂😂
@DativaMbowe4 күн бұрын
Nyiee naomba nimjue uyo David maana mme wangu anaitwa David
@IamDr.AliceAnthony.2 ай бұрын
Uyo Sarah mkabeni😂😂😂 ni muongooo😂😂😢😢
@josephineokama22002 ай бұрын
yaani natamani Mimi ndo nimrukie ningempasua hapo hapo .napata hasira
@HelenJoseph-ng1wy3 күн бұрын
Me nikajuwaga unaenjoy 😅😅😅😅😅😅
@fatmambeyela66972 ай бұрын
Alhamdulillah ushoga sinaga, tena ktk mahusiano yang
Eti Sarah anajifanya rafiki yake ndo alochart kwa simu yake lol
@doreenalexander64939 күн бұрын
Ctak kabisa kusikia mm habar za mashoga 🙌
@happyfania47292 ай бұрын
Yan me niwaone wananiricod nabado niendelee kukaa apo lamda cyo mimi natoka nduki
@Veronicahermanjohn1662 ай бұрын
Kale kadada chita kanaonekana kazoefu sanaaa na kanajiamin itakuwa Dav anakaelewa sanaa
@user-jr7jd6ye4x2 ай бұрын
Kiredio kabla hujaruka mwanza asee fany tufany challenge
@AishaHaji-jn7sg2 ай бұрын
Yaan Ndo mpaka u print 😂😂🤣🤣🤣
@trinahahans3737Ай бұрын
Muongo huyo ni yeye mwenyewe ndio bwana wake
@MdekeBakar4 күн бұрын
Koredio utawauw awa Mbo wanaumia kisa mapez
@clarampaki2 ай бұрын
Huyo ni mpenz tuu na hawana ata Pete ya uchumba 🤣🤣🤣 mapenz qbbke
@RozimereKaloli2 ай бұрын
Mapenz yatatuuwa bora niachane nayo niuze nyanya nikiuza nijengee nyumba oh nyumba😂😂😂😂😂😂
@sistertrashid248816 күн бұрын
Rafiki yako Malaya anatoka na mpenzi wako Kwanini apige aseme nipo na Sala eee kaunguza kamshitua yaani asije kuleta baby baby😂😂😂
@florencejames-jo1cz2 ай бұрын
Asa analia Nini 😂😂😂😂😂 me nacheka tu 😂😂😂😂😂
@devociltergoldwyne56512 ай бұрын
Sasa hata ukimpiga ndo itakuwa imesaidia nini 😮😮😮😮😮heee haya mwacheni apigane
@estermwakatundu302815 күн бұрын
Itampunguzia hasira
@giftswai34Ай бұрын
Unforgettable 😅
@QUEENNDOSS2 ай бұрын
Hhhhhhhahh aya bnaaa wanaweke so wakuaminika
@paulmafuru72832 ай бұрын
Et wakuletee soda mwayaa😂😂😂😂
@user-fc7vm5lk7u2 ай бұрын
Niyeye Huyo anajitetea Tu urafiki huu HT sio mzuri
@saheemally14112 ай бұрын
Mwanang devii tujuane hapa kwenye like😂😂😂
@user-um1wq3df7t2 ай бұрын
wakwanza mm apa kiredio nina jambo na ww aiseee😢😂❤
@Aishakhalifa-f6y4 күн бұрын
Atakam ndo uprint 😂
@Salum-jv3wf2 ай бұрын
Uhondo kam huu tunahupata hapa🤣🤣
@missenna86932 ай бұрын
Na ni mzur kweli😂
@MaryamShedrack2 ай бұрын
Muongo huyo alijua kabisa akiinuka utamshika😂
@user-ce1vh4rl5c2 ай бұрын
Watu wanalilia mbolo 😁😁😁😁wanaake tutafuteni pesa 🤣🤣🤣🤣🤣
@eviepretty26462 ай бұрын
😁😁😁😁😥ni msiba kwakwel iki kizaz kimetawaliw na ngono na utandawazi Yani licha ya kulilia mboo uaminif siku izi akunaga mabff walikuwag zamani sio sasa 💔