No video

#MadeinTanzania

  Рет қаралды 3,272

Xtreme Media

Xtreme Media

Күн бұрын

#JeWajua katika masalia ya michoro ya Kale kwenye mapango ya mawe yenye michoro inayokadiriwa kuwa na miaka zaidi ya 50,000 katika mapango ya mawe ya Kondoa mkoani Dodoma. Bado mpaka leo Tanzania ina utamaduni na sehemu kubwa ya kazi za sanaa zinazotumia mikono na ubunifu. Shughuli hizi zinaitengeneza sana kipato na kuleta faida kwa wabunifu.
Sanaa ni pana sana na kila kitu kinachohusu sanaa kinaingiza pesa ndefu, lakini umewahi kujiuliza sanaa ya uchoraji inaingizaje pesa na soko lake liko vipi? Pia ni kipaji tuu au na shule inahitajika? Fuatilia video hii kufahamu mengi kuhusiana na Sanaa ya Tanzania
Usikose kufuatilia Made in Tanzania Show katika Clouds TV
Kila Jumatano saa 2 na Nusu Usiku:
Kila Jumapili saa 1 Jioni (Marudio).
_______________________________________________________________________________
SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA INFOS ZAIDI!!!

Пікірлер: 17
@Tchafa505
@Tchafa505 3 жыл бұрын
I'm proud of Tanzania 💚💚
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
SAfi sana ndugu zetu. Tukipata soko ndani na nje ya Tanzania tutawaunganisha
@beeg_markfitness6706
@beeg_markfitness6706 3 жыл бұрын
The Paintings,graffitis,sculpting and drawings are all magnificent 🔥🔥🔥👍🏿
@dicksonmarko7926
@dicksonmarko7926 3 жыл бұрын
Very talented hawa jamaa
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 2 жыл бұрын
asante sana made in Tanzania.. nimependa hiyo kuchorachora hahaha.... Nadhani unaipaisha sanaa hii na kupitia kwenu punde itafahamika zaidi
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Tingatinga inafahamika sana nje ya Tanzania
@hassanjuma6510
@hassanjuma6510 Жыл бұрын
Hello samahani naitaji kujiunga n mimi kwamajina naitwa hassani
@suleimanAmur
@suleimanAmur Ай бұрын
habari naitwa sleimani natokea pemba napenda sana sanaa yauchoraji na mm nahitaji kujiunga
@suleimanAmur
@suleimanAmur Ай бұрын
habari
@kelvingeorge-k9j
@kelvingeorge-k9j 15 күн бұрын
naweza kupata wapi vifaa bora vya kuchorea mi npo geita
@hhabusinesspro
@hhabusinesspro 3 жыл бұрын
where is this Arts center?
@hassanjuma6510
@hassanjuma6510 Жыл бұрын
in kwale Msambweni
@kelvingeorge-k9j
@kelvingeorge-k9j 15 күн бұрын
sorry naweza kujifunza kuchora napenda naweza japo sijawahi kutumia rangi
@suleimanAmur
@suleimanAmur Ай бұрын
'
Uchoraji wa picha za visu
19:50
ITV Tanzania
Рет қаралды 644
Made IN Tanzania- Nyerere Day Special
20:33
Xtreme Media
Рет қаралды 2,9 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 160 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 51 МЛН
WAZIRI JAFO AWASHUKIA NDC KIMKAKATI ZAIDI
15:10
ViwandanaBiashara
Рет қаралды 372
#MadeinTanzania Unga Maalum Unaoweza Kutengeneza Uji kwa Muda Mfupi
31:25
Historia Fupi ya Kisiwa cha Pate, Lamu.
19:42
Stambuli wa Sh. Abdillahi Nassir
Рет қаралды 55 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН