No video

#MadeinTanzania

  Рет қаралды 4,763

Xtreme Media

Xtreme Media

Күн бұрын

Hill Feeds wazalishaaji wa chakula cha mifugo kwa technolojia ya kisasa na viwango vya kimataifa kwa takribani miaka 20. Kiwanda hiki kilichopo Tanzania eneo la Mapinga kinaendeshwa kwa technolojia zaa kisasa. Hill Feeds wanazalisha takribani tani 1680 kwa wiki. Na kufanikiwa kuhudumia mikoa takribani nane kwa sasa, ambayo ni Dar -es - Salaam, Pwani, Tanga, Morogoro, Dodoma, Mtwara, Iringa na Zanzibar.
Location:
Mapinga Hill, Bagamoyo
Usikose kufuatilia Made in Tanzania Show katika Clouds TV
Kila Jumatano saa 2 na Nusu Usiku:
Kila Jumapili saa 1 Jioni (Marudio).
_______________________________________________________________________________
FOR PRODUCTION AND PROMOTION INQUIRY
T: +255 222 780 366
M: +255 782 094 628
P. O. Box 33775
Plot No. 26 - Block C
Mikocheni B, Dar es Salaam Tanzania
_______________________________________________________________________________
SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA INFOS ZAIDI!!!

Пікірлер: 17
@goodluckmasige5276
@goodluckmasige5276 4 жыл бұрын
Well done
@fahadabdallah3461
@fahadabdallah3461 4 жыл бұрын
Nice one 👍👍✅
@abrahammnzava841
@abrahammnzava841 4 жыл бұрын
Kiko wapi hiki kiwanda? ni vizuri kutaja location ili kama mtu anahitaji bidhaa anajua pakuwapata. All in all Kazi yako nzuri Sana
@xtreme-media
@xtreme-media 4 жыл бұрын
Asante sana. Location ni Mapinga Hill wilaya ya Bagamoyo. Tumeboresha katika description tumeweka location ili kuweka urahisi kwa wafuatiliaji wetu kufahamu.
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 4 жыл бұрын
@@xtreme-media niko Kilimanjaro wilaya ya Rombo nawezaje kuuza bidhaa zenu?
@xtreme-media
@xtreme-media 4 жыл бұрын
Hill Group wanapatikana Bagamoyo Mapinga, kwa mawasiliano zaidi unaweza kuongea na Mr. Kulindwa kupitia 0677061977
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 4 жыл бұрын
@@xtreme-media asante
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 4 жыл бұрын
Safi sana
@enelinampango1000
@enelinampango1000 4 жыл бұрын
Tanzania tunaweza safi sana
@daudhabona8897
@daudhabona8897 4 жыл бұрын
Tunahitaji mambo Kama haya. Hongera sanaa kaka
@shabanikulindwa6600
@shabanikulindwa6600 4 жыл бұрын
Imekaa poa sana.hongereni sana
@rajabmnyimwa3126
@rajabmnyimwa3126 4 жыл бұрын
Siku zote huwa nakukubali kaka kwa kutupa habari za kina kuhusu viwanda vyetu
@brendameteyer6377
@brendameteyer6377 4 жыл бұрын
Very nice and thanks for sharing
@TheMatata89
@TheMatata89 2 жыл бұрын
This was a good channel. I hope to see you back.
@user-ze8kh1hd1z
@user-ze8kh1hd1z 6 ай бұрын
Nitawapataje? Yaani ofisi zenu zipo wapi? Naomba contact zenu?
@user-ze8kh1hd1z
@user-ze8kh1hd1z 6 ай бұрын
Hili mimi nataka ku- supply chakula cha mifugo
@Yekesin
@Yekesin 3 жыл бұрын
Fix the audio quality... the content is super awesome and interesting but the audio quality is not good.
#MadeinTanzania Unga Maalum Unaoweza Kutengeneza Uji kwa Muda Mfupi
31:25
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 40 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 29 МЛН
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 28 МЛН
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Daily News Digital
Рет қаралды 10 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 383 М.
Hii nyumba haina kasoro
3:34
DALALI WA TAIFA
Рет қаралды 24 М.
MRADI WA KISASA WA KUKU WA MAYAI ZANZIBAR
7:40
Abou Burhan
Рет қаралды 9 М.
Mtoto Yohana Tumpongeze Rais Magufuli wimbo wake mpya akiimba Mito ya Baraka Church
8:31
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA GANZI, DALILI NA MATIBABU YAKE.
18:36
MUHIMBILI MLOGANZILA TV
Рет қаралды 104 М.
Made IN Tanzania- Nyerere Day Special
20:33
Xtreme Media
Рет қаралды 2,9 М.
What is Chicken Feed Made From??  |  MD F&H
5:37
Maryland Farm & Harvest
Рет қаралды 156 М.
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 40 МЛН