#MadeinTanzania

  Рет қаралды 2,928

Xtreme Media

Xtreme Media

Күн бұрын

Show imefanyika katika kiwanda cha Starpeco cha Jijini, DSM ambacho kinajishughulisha na uzalishaji wa lami baridi.
Kiwanda kipo Kipawa, Jijini DSM na kimeanza uzalishaji wa bidhaa za Lami tangu mwaka 2006 ambapo kimekua kikizalisha rami kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa barabara mbalimbali Nchini.
Ni kiwanda pekee Nchini na miongoni mwa vichache katika ukanda wa Africa Mashariki na kati.

Пікірлер: 15
@cryptospace532
@cryptospace532 3 жыл бұрын
I'm so proud of my country Tanzania!!! Mungu ibariki Tanzania siku zote.🙏🙏🙏
@kubwalao5049
@kubwalao5049 3 жыл бұрын
Safi sana Tanzania tunaelekea vizuri
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Safi sana mkuu. Tanzania mdogo mdogo tunasonga mbele
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 3 жыл бұрын
Kaz nzuri
@Tino_Official_tz
@Tino_Official_tz 3 жыл бұрын
🍁Tuko vizuri nafikiri ni wakati wa kutumia hizi hasa kwa barabara za pembezoni mwa mji na vijijini. Nafikiri hii hata bajeti yake ni chini kuliko Lami moto🍁
@hyprotz2170
@hyprotz2170 3 жыл бұрын
Good job starpeco and made in Tanzania media
@jeremyson7729
@jeremyson7729 3 жыл бұрын
nakubali tuko pazuri
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Big up
@HumanBeing-pj4hm
@HumanBeing-pj4hm 3 жыл бұрын
Mbadala wa paving ushapatikana
@chidiomari.65
@chidiomari.65 3 жыл бұрын
Wooh
@HJ-wf2vi
@HJ-wf2vi 3 жыл бұрын
Tanzania inasonga mbele na hapa kazi tu
@joycekingu1530
@joycekingu1530 3 жыл бұрын
Barbara as vitongojini hakuna vumbi tena.
@Soshow255
@Soshow255 3 жыл бұрын
Kabisaa
@roddybob6871
@roddybob6871 2 жыл бұрын
Mii nauliza Tulichogundua kipya Tanzania ktk upande wa Lami ni nini?......maa hivyo viwatklifu vinatoka nnje......lami inatoka nnje...kokoto ndiyo zina patikana Tanzania......ukweli swali kubwa uimara ipo je?
@mechanicaldesignbrain
@mechanicaldesignbrain 3 жыл бұрын
Naangalia mpaka mwisho hapa
#MadeinTanzania Unga Maalum Unaoweza Kutengeneza Uji kwa Muda Mfupi
31:25
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 43 МЛН
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 85 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,1 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 43 МЛН
Made IN Tanzania- Nyerere Day Special
20:33
Xtreme Media
Рет қаралды 2,9 М.
TIZAMA ujenzi wa Ghorofa kuanzia msingi mpaka hatua ya mwisho
6:07
Sedec Builders Ltd
Рет қаралды 8 М.
#MadeinTanzania Jinsi ya Kutengeneza Viatu vya Ngozi
19:42
Xtreme Media
Рет қаралды 7 М.
Safari ya #MadeinTanzania kwa mwaka 2020
22:47
Xtreme Media
Рет қаралды 1,1 М.
Bluetooth connected successfully 💯💯
0:16
Blue ice Comedy
Рет қаралды 4,5 МЛН
Мой новый мега монитор!🤯
1:00
Корнеич
Рет қаралды 8 МЛН
На что способен ваш компьютер?
0:34
Запрещенный Гаджет для Авто с aliexpress 2
0:50
Тимур Сидельников
Рет қаралды 1,8 МЛН
how to make soler led bulb | How do you use a soldering iron first time?
1:00
Nk creative experiment
Рет қаралды 1,3 МЛН