#MadeinTanzania

  Рет қаралды 174,289

Xtreme Media

Xtreme Media

4 жыл бұрын

Hapa hapa katika Tanzania yetu, kuna kiwanda kinachotoa suluhisho la kuondoa ugumu wa kujenga na kutumia rasilimali nyingi katika ujenzi. Teknolojia ya Mega Panel, inayotumia Maboya kutengeneza nyumba kama hizi na unaambiwa kuta zake hudumu kwa miaka 85-100.
⠀⠀
Usikose kufuatilia Made in Tz Show katika Clouds TV
Kila Jumatano saa 2:30 Usiku:
Kila Jumapili saa 9:30 Alasiri (Marudio)
SUBSCRIBE CHANNEL HII KUPATA INFOS ZAIDI!!!

Пікірлер: 472
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 3 жыл бұрын
Guys I real appreciate you. Na nimependa. Mjenzi mtarajiwa natamani sana kuwapata. Nawapataje
@montanaprime
@montanaprime 3 жыл бұрын
Tanzania tupo vizuri sikuhizi. Naipenda sana nchi yangu.
@johanesjofrey2105
@johanesjofrey2105 3 жыл бұрын
Viwanda km hivi viwe ving Tanzania ili hata sisi vijana tuweze kufikia malengo yetu. Kazi nzuri
@sofiakhan9706
@sofiakhan9706 3 жыл бұрын
We are in speed 20% now keep road clear ahead Tanzania coming by 80% ahead so welcome to Tanzania friends let's boost us more
@dewaweshawakening9977
@dewaweshawakening9977 3 жыл бұрын
Very Educative and informative stuff thank you and keep up the amazing work
@harounali9057
@harounali9057 3 жыл бұрын
Nchi za Wenzetu zilizo endelea kwa kuwa nchi zao ni za baridi wana tumia hayo mloita maboya au wall panels kuweka kati kati baina ya block wall na bricks wall hizo panel huwekwa kati kati kuzuwia baridi. Nawapongeza wa Tanzania 🇹🇿 kwa kazi nzuri 👍
@user-gv3si2mv3l
@user-gv3si2mv3l 11 ай бұрын
Saudia wanaeka mbao alaf inapakwa rangi huwez jua mpaka ugonge
@officialyohanamalisa1873
@officialyohanamalisa1873 6 ай бұрын
Salute kwa hawa jamaa. I wish ningewafahamu mapema, tatizo hamujitangazi mnakaa ndani kama utumbo, use media to advertise. Mbona mko vizuri aisee. 🙌🙌🙌
@barakarobert9516
@barakarobert9516 3 жыл бұрын
Ukiona mambo kama haya unajickia kifuraha furani moyoni" ww ni mzalendo" unauzalendo na nchi yako
@ramazaniekenya8312
@ramazaniekenya8312 3 жыл бұрын
Waaah it so amazing, nataka kujuwa wanauzaje nyummba moja , naitaji bei kwaaraka
@JK-bi2jl
@JK-bi2jl 3 жыл бұрын
Beautiful. Made in Africa. I admire African innovation. From Nairobi Kenya.
@picsandvidstv1348
@picsandvidstv1348 3 жыл бұрын
This isn’t African invention my dear. They built these in Australia also, sold at a higher cost then in less than 10years they started leaking. Do some research before buying these kind of houses.
@rumeyswairshad8308
@rumeyswairshad8308 3 жыл бұрын
Mashaa Allah Zavutia kweli ,, zikiwa gharama yke iko nafuu kuliko za kawaida afdhali kujenge ii jmni
@iammarwa
@iammarwa 3 жыл бұрын
i would love to show the AFRICAN Diaspora THIS, Invite me.
@Moses_Mash
@Moses_Mash 3 жыл бұрын
Great editing $ narration, thumbs up mister
@yusufhassan5
@yusufhassan5 4 жыл бұрын
Old is gold ! Matofali is the best...... haya Material za kisasa , Moto ukiwaka hapo , nyumba yote ni kwisha !
@jacksonmawole4029
@jacksonmawole4029 3 жыл бұрын
Kiwanda chao kimetengenezwa na tofali zetu za mchanga
@khalidgugu4964
@khalidgugu4964 3 жыл бұрын
@@jacksonmawole4029 haaaaa
@yusufhassan5
@yusufhassan5 3 жыл бұрын
@@jacksonmawole4029 kweli 😂😂.
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
@@jacksonmawole4029 🤣🤣🤣🤣🤣
@hallin9561
@hallin9561 3 жыл бұрын
Nje unapiga plasta ndio maana wameweka wire mesh
@rickkariuki4523
@rickkariuki4523 3 жыл бұрын
from Kenya proud of Tanzania
@sarahwamboko2041
@sarahwamboko2041 3 жыл бұрын
Ziko kenya kirio project ilianza 7yrs ago in kenya
@mannabu9333
@mannabu9333 3 жыл бұрын
@@sarahwamboko2041 alie kuuliza nan
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 3 жыл бұрын
@@sarahwamboko2041 umeulizwa
@marianakapeller4699
@marianakapeller4699 3 жыл бұрын
@@mannabu9333 ha ha ha...
@kamanda007
@kamanda007 3 жыл бұрын
Safi sana, na kwa taarifa tuu kwa wasojua nchi nyingi sana duniani zilizoendelea Kama USA or Canada waliacha kabisa kutumia matofali kujenga nyumba, Ni msingi tuu ndio wanatumia cement, huu Ni uwekezaji mzuri sana and big up to mtangazaji na mwekezaji
@aminapazi3694
@aminapazi3694 3 жыл бұрын
kamanda007 ishu ni imara? Achana nambo ya Europe au Marekani, labda wao wanafanya hivyo kwa vile wana uhaba wa rasilimali ya mchanga je
@mansooralmahruqi885
@mansooralmahruqi885 3 жыл бұрын
USA ama canada waliacha kutumia tofali sababu ya baridi.
@Mpakauseme
@Mpakauseme 9 ай бұрын
Haujui sababu unalabwajika tu
@kamanda007
@kamanda007 9 ай бұрын
@@Mpakauseme baridi na gharama mbuzi wewe, matofali sio lazima, kuna material mbadala maelfu za kujenga nyumba imara na zinazodumu, mmelala sana washamba nyie
@mariamayenga5867
@mariamayenga5867 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana nimependa .. kweli Tanzania tuko juu
@gmstv2043
@gmstv2043 3 жыл бұрын
That's an old technology innovated by Chinese
@muritujamlick5534
@muritujamlick5534 2 жыл бұрын
Thank you so much for this show. An eye opener
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 3 жыл бұрын
Masha Allah kazi nzuri sana nimeipenda ❤
@jeanboscomunyarurembo3490
@jeanboscomunyarurembo3490 3 жыл бұрын
Asante kutuwonyesha hii tekinlogia ya kipekee Tanzania
@upendoirenmattoke9860
@upendoirenmattoke9860 4 жыл бұрын
Good journalism, great presentation Sasali👌🏽👍🏽
@nalotayecamara5423
@nalotayecamara5423 3 жыл бұрын
I really appreciate your video thanks u 😘 brother
@davidmagundu2285
@davidmagundu2285 3 жыл бұрын
Interesting!
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 3 жыл бұрын
Du miezi sita kazi nzuri, basi nikiwaajiri kwa nyumba moja watamaliza sîku 7
@HustlaDY
@HustlaDY 3 жыл бұрын
Beautiful design
@geoffreymwangi6627
@geoffreymwangi6627 3 жыл бұрын
Hapo sawa mko Wa-Tz.
@geoffreymwangi6627
@geoffreymwangi6627 3 жыл бұрын
Tafadhali mtupe namba ya simu Nyinyi Megapanel.
@Diana-cn6cf
@Diana-cn6cf 3 жыл бұрын
Kazi nzuri... Tanzania inaweza
@Watema23
@Watema23 3 жыл бұрын
Nyumba nyingi hapa USA zinajengwa na materials kama hizo..na zina dumu miaka mingi sana. Nilikuwa natafuta kampuni kama hizi kwakuwa ni njengea nyumba kwa materials hiyo.
@maddproff
@maddproff 3 жыл бұрын
Wow !
@jj4chizel
@jj4chizel 3 жыл бұрын
From 🇺🇬🇺🇬🇺🇬... Nice
@yohanahbyzehomba1352
@yohanahbyzehomba1352 3 жыл бұрын
Amaizing
@abdulpeter7460
@abdulpeter7460 3 жыл бұрын
God bless Tanzania
@nathanjunior7694
@nathanjunior7694 3 жыл бұрын
Good video presentation
@mohamnedsalum2150
@mohamnedsalum2150 3 жыл бұрын
Tecnologia nzuri
@dulabori9922
@dulabori9922 3 жыл бұрын
Kazi mzuri hongereni wasi wasi wangu ubora wa ukuta mtu akipiga nyundo si anakuwa ndani moja kwa moja
@gideon_maina
@gideon_maina 3 жыл бұрын
Impressive. I hope this technology gets adopted quickly in Kenya to reduce the high construction costs.
@picsandvidstv1348
@picsandvidstv1348 3 жыл бұрын
These houses are useless my dear, better save and build a durable houses. Hizi ni kama zile nyumba za makuti. With heavy rains they will start leaking!
@robertmuiga5255
@robertmuiga5255 3 жыл бұрын
Visit KOTO in mlolongo,NHS in katani,they have been using this technology
@djumoja
@djumoja 3 жыл бұрын
Build an earth home instead
@eliasnavytanga
@eliasnavytanga 2 жыл бұрын
@@picsandvidstv1348 Garbage. We don't need a concrete houses in East Africa. Zanzibar stone town is the evidence. The whole town is clay and stone walls.
@hhabusinesspro
@hhabusinesspro 3 жыл бұрын
Does anybody know where these are houses are built in dar-es-salaam?
@gracenestory9384
@gracenestory9384 4 жыл бұрын
Nice or a nice 💙💙💙💙
@owlbig
@owlbig 3 жыл бұрын
Nice interview ❤️🇧🇮
@danielmuchi8196
@danielmuchi8196 3 жыл бұрын
Impressive
@mamahustru
@mamahustru 3 жыл бұрын
Sasa mbona kiwanda chenyewe hawakujenga kutumia hizo panels, lakini wametumia tofali ?
@samkariuki9424
@samkariuki9424 3 жыл бұрын
Mfinyanzi hulia gaeni
@mukra44
@mukra44 3 жыл бұрын
Wamekodi eneo hawajajenga hicho kiwanda
@gilbertcfc2959
@gilbertcfc2959 3 жыл бұрын
mara nyingi wenye viwanda huwa wanakodi ma godown na sio kujenga wao.
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
Labda kwa sababu ulianza ujenzi wa kiwanda ndio wakapata kutengeneza hivyo vifaa vya ujenzi.
@samniza1763
@samniza1763 3 жыл бұрын
Tatizo hayo makabati yapo juu sana. Itabidi niwapigie picha makabati ya kwangu jikoni ili niwaonyeshe wakati wa kunijengea ya kwangu.
@MegaAlexison
@MegaAlexison 3 жыл бұрын
Hii sasa naona marekani ndani ya africa big up my africa ninaswali unaweza jenga nyumba hizi burundi that’s my question
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 3 жыл бұрын
Sasa hapo mungu atunusuru na panya tu basi lakini mambo mazuri Kazi nzuri Alhamdulillahi maishaallah
@karimhamisi4627
@karimhamisi4627 3 жыл бұрын
Kumbe zile nyumba tunazoziona kwenye movie star emekimbia na kupiga ukuta anatokea njee ndio hizi
@mohamedmaulidi5319
@mohamedmaulidi5319 3 жыл бұрын
hahahaaas
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@worldcuisine9102
@worldcuisine9102 3 жыл бұрын
😄
@fatmaali4794
@fatmaali4794 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@maigathomas2353
@maigathomas2353 3 жыл бұрын
Mko vizuri et
@rithersospeterkati2303
@rithersospeterkati2303 3 жыл бұрын
Mmm Amen Tanzania.
@jayaron218
@jayaron218 3 жыл бұрын
Ujenzi wa marekani ,,izo nyumba waga zinakawiya sana adi miaka 150
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 3 жыл бұрын
Yaaa nimekubali
@kimstvonline6411
@kimstvonline6411 3 жыл бұрын
Nilikuwa nasubiri sana hii technology
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 3 жыл бұрын
Safi sana tz tunaweza hata wao walianza kama hivyo Leo hiii wapo kwenye atrantis,discovery na ma air buss Leo hivyo ipo siku kunamtanza nia atajitoa ufahamu atabuni machine ya kuyeyusha.
@thelistener8357
@thelistener8357 3 жыл бұрын
Wow. Nice
@xtreme-media
@xtreme-media 3 жыл бұрын
Thank you! Cheers!
@bunukhalifa7074
@bunukhalifa7074 3 жыл бұрын
Do you have a branch in Kenya
@sudiyahya9276
@sudiyahya9276 3 жыл бұрын
Goood job
@noelmgulusi6707
@noelmgulusi6707 4 жыл бұрын
Ili iwe rahisi kuelewa ukuta wa 20 by 20 utagarimu pesa ngapi kwa kutumia Mega panel ukilinganisha na kwa tofali ni ngapi
@crissxavery2887
@crissxavery2887 3 жыл бұрын
Yaani ww jamaaa umeng'ang'a na scandal moja wakati huu ujenzi upo kila mahali, ivi ujenzi wa matofali huna skendo, au maghorofa ya magufuli umesahau, embu punguza kuwakatisha watu tamaa, mghorofa kibao ya tofali yanamatatizo.
@crissxavery2887
@crissxavery2887 3 жыл бұрын
@simply pash ...
@merymichael5513
@merymichael5513 3 жыл бұрын
Cjaelewa
@ritchiexanti9587
@ritchiexanti9587 3 жыл бұрын
Nimegundua wengi wanaoponda hii tech ni wale ambao washagharamika mihela kibao kujengea tofali halaf leo hii wanaona kuwa kuna namna nyingine ambayo ni very cheap bas wanaumia kinyama🤣🤣🤣
@Catherineflorian1997
@Catherineflorian1997 3 жыл бұрын
🤣🤣
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 3 жыл бұрын
Hongera sana Katikaujenzi mpya wa kisasa simba kutoka uholenza
@bsrabbitfarm
@bsrabbitfarm 3 жыл бұрын
Gharama za ujenzi zipoje kwa nyumba ya vyumba 3 au 4?
@victoriamabele7671
@victoriamabele7671 4 жыл бұрын
Naomba na. ya simu kwa mawasiliano na mlipo.
@napendamuzikiilovemusic5840
@napendamuzikiilovemusic5840 4 жыл бұрын
Nice one
@barakamponda914
@barakamponda914 3 жыл бұрын
Arusha tunakuhitaji raja namba ya simu
@josephshayo5493
@josephshayo5493 Ай бұрын
Nilikua na swali. Sawa natumia Material nyumba idumu miaka 100 but matofali nyumba inadumu like forever. Sio kwamba tofali zitabaki kuwa bora. Coz miaka 100 ni two to three generation.
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 3 жыл бұрын
Naombeni kuwa ambassador wenu kanda ya ziwa. I am serious na nina hakika tutafanya kazi. How can I get you
@noelkaaya2433
@noelkaaya2433 3 жыл бұрын
tofali bado ni bora zaidi
@yohanaernest8552
@yohanaernest8552 3 жыл бұрын
Inapendeza
@agreyaloyce432
@agreyaloyce432 3 жыл бұрын
Information zao inakuwaje
@kingj9606
@kingj9606 3 жыл бұрын
Mbona hamsemi contacts zenu, au mtu akihitaji hii huduma mnapatikana kwa mtandao au connections gani?
@keagleeagle821
@keagleeagle821 3 жыл бұрын
Mngeweka kwenye discription box kujua tunawapata wapi
@jumakaswelele3143
@jumakaswelele3143 3 жыл бұрын
Unafanya kazi kubwa Sana kutujuza vitu ambavyo tunavuona ila hatujuwi niwapi vyapatikana ila mzee big Sam ivyo viatuvyako mzee baba nimaalum kwaajili ya viwandani maana kila maali uwendako nikiatu ichoicho ha ha ha ha
@afyayangutv6015
@afyayangutv6015 3 жыл бұрын
Bei gan nyumba
@denisjrmgulambwa1866
@denisjrmgulambwa1866 3 жыл бұрын
Je nikiasi gani hutumika kukamilisha nyumba nzima...na material yao wanauzaje? Gharama za chini ni kiasi gani kwa ujenzi wa hzo nyumba?
@priscalameck8700
@priscalameck8700 4 жыл бұрын
Je imara kweli
@partnersah8802
@partnersah8802 3 жыл бұрын
Hizi ndo za kwenye movie zile mtu akipiga ngumi ukuta unavunjika
@vinuthagangadharan4171
@vinuthagangadharan4171 3 жыл бұрын
Uzuri mimi nimeshuhudia huo ujenzi ni mzuri sana wanasema pia hazina joto
@ritchiexanti9587
@ritchiexanti9587 3 жыл бұрын
@@vinuthagangadharan4171 nimegundua wengi wanaoponda hii tech ni wale ambao washagharamika mihela kibao kujengea tofali halaf leo hii wanaona kuwa kuna namna nyingine ambayo ni very cheap bas wanaumia kinyama🤣🤣🤣
@zaharahasan1912
@zaharahasan1912 3 жыл бұрын
Watoto wakikuwa watabomoa kwa miaka hiyo zitakuwa za kizaman .Watajenga za kwao za kisasa kwa mda huo
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 3 жыл бұрын
Nimekubalii wazeeubunifu mzuri
@mimifineliving2022
@mimifineliving2022 3 жыл бұрын
Kama ni bora kuliko tofali mbona msingi ni was matofali?
@mrfix6596
@mrfix6596 3 жыл бұрын
Tofali ndiyo mpango, wangeweka maboya ingeruka hiyo😂😂😂
@frankfromtanzania
@frankfromtanzania 3 жыл бұрын
Swali lako nmelikubali
@muciomi
@muciomi 3 жыл бұрын
Maboya hayana ugumu wa kutosha kushikilia uzito wa nyumba (compressive strength) na unyevunyevu wa ardhi wakati wa mvua utadhoofisha msingi wa maboya. Maboya kwenye msingi yanatumika tu kama heat and sound insulator.
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 жыл бұрын
Ndio ubora unapojia...... matofali ndo msingi na juu kunaboreshwa
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 жыл бұрын
@@mrfix6596 🤣🤣🤣🤣🤣
@thelistener8357
@thelistener8357 3 жыл бұрын
Rahisi lakni hamujaongelea bei
@joels.orinda6352
@joels.orinda6352 Жыл бұрын
Eti kwa technology hii kujenga nyumba ya vyumba 4 ni cost how much hivi
@MegaAlexison
@MegaAlexison 3 жыл бұрын
Ilala
@elibarikijustine4546
@elibarikijustine4546 3 жыл бұрын
How about columns?!
@abellmawio8694
@abellmawio8694 2 жыл бұрын
Na je interloçk zinawez3kana nà kupàtikàna?
@ubahamisi431
@ubahamisi431 29 күн бұрын
Hongereni kazi nzuri ,vp mtu akiwa nje ya tz?
@wiljoe22
@wiljoe22 3 жыл бұрын
Nimejaribu kupata namna ya kuwaapata wanakiwanda hiki bila kupata jawabu. Jamani msitulet down. twazitaka contacts haraka
@BenCheck-jx9lo
@BenCheck-jx9lo 3 жыл бұрын
Naona yanfaa kwenye partitioning
@billysquad488
@billysquad488 3 жыл бұрын
Kiwanda yenyewe haijajengwa na maboya yenyewe mumetumia matofali
@caseyjason-ws3fr
@caseyjason-ws3fr 3 жыл бұрын
Tunawapataje jamani Mbona hamna contact information Kaka yangu alikua anataka nyumba
@mishmishy8937
@mishmishy8937 3 жыл бұрын
How much would the same 5bedroomed house cost?
@edwinismail9401
@edwinismail9401 2 ай бұрын
sasa website yao ipo wapi
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Habari nzuri Ila kama kweli mtangazaji alikuwa na Nia ya kufanya Marketing ya huruma zao mwanzo Mwisho hakuna mawasiliano shida nini? Na ukisoma comments wadau wanauliza mawasiliano lakini kimyaa
@movieindustry9253
@movieindustry9253 3 жыл бұрын
Hata jamaaa wanapatikanaje boss
@xtreme-media
@xtreme-media 3 жыл бұрын
Asante kwa kufuatilia Made in Tanzania, mawasiliano Mr. Jonathan 0653 592322. Endelea kufuatilia fursa mbali mbali kwenye #MadeinTanzani.
@calvinjoseph
@calvinjoseph 3 жыл бұрын
Me nataka kujenga nyumba kama hii
@bahatimwangoka649
@bahatimwangoka649 3 жыл бұрын
Alafu wao wamejenga kiwanda kwa tofari za block hahaha
@Youstechltd
@Youstechltd 3 жыл бұрын
tunaomba jua kwanza cost plan yake ipo na upatikanaji wa mafundi wenye uwezo wakujenga tumia hayo material nao upoje.
@sultanhamad4924
@sultanhamad4924 3 жыл бұрын
Usiombe Moto ushike hapo
@confredsangija1796
@confredsangija1796 6 ай бұрын
hapa tutatoa pongezi kwa tanzania na viwanda,pongezi sana sana.shida mawasiliano ya simu au vyovyote hakuna,shida yetu sasa ni namna ya kuisambaza hii tecnolojia ili kila mtu aifahamu na aweze kufanya huu ujenzi ndio itakuwa mtiani.yaan baada ya hapa iiiitakuwa kmya kuwapata ni kama kuutafuta mkojo wa kuku. je wameishia hapo tu? ngoja tuone
@samiramohammed9758
@samiramohammed9758 2 жыл бұрын
Habari zenu naitaji namba ya simu tafadhali
@lucasmsuluza1529
@lucasmsuluza1529 3 жыл бұрын
Inaendo vip vibration?
@dominicklema1835
@dominicklema1835 Жыл бұрын
Naitaji kujua zaidi kuhusu I program
@rashid3175
@rashid3175 3 жыл бұрын
Namba zenu
@mohamedzahor1957
@mohamedzahor1957 3 жыл бұрын
Tuna hitaji namba zao kwa mawasiliano zaidi
@bunukhalifa7074
@bunukhalifa7074 3 жыл бұрын
Where can we find them in Kenya? Nimependa uvumbuzi wao pengine kuna nambari ya simu
@maryodrwebandiza2056
@maryodrwebandiza2056 3 жыл бұрын
Njoo Tanzania mkoa wa dar es salaam wilaya ya ilala
@peterdarlington6599
@peterdarlington6599 5 ай бұрын
In terms of durability, block houses generally tend to be more durable than panel houses. Block houses are typically constructed using materials like concrete, brick, or stone, which offer strong resistance to weathering, impacts, and other environmental factors. Panel houses, on the other hand, are often made of materials like wood, steel, or composite panels, which may not provide the same level of durability as solid masonry construction.
UJENZI KWA TEKNOLOJIA YA HYDRAFORM UNAVYOPUNGUZA GHARAMA
27:50
Shirika la Nyumba la Taifa
Рет қаралды 34 М.
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 12 МЛН
THEY WANTED TO TAKE ALL HIS GOODIES 🍫🥤🍟😂
00:17
OKUNJATA
Рет қаралды 18 МЛН
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
SwahiliUnits
Рет қаралды 12 М.
EPS technology house construction | RAPIDCON | #house #construction #india | Call: 7709770080
5:59
RAPIDCON 3D EPS CONSTRUCTION TECHNOLOGY | INDIA
Рет қаралды 107 М.
Мой инст: denkiselef. Как забрать телефон через экран.
0:54
Самый дорогой кабель Apple
0:37
Romancev768
Рет қаралды 178 М.
Собери ПК и Получи 10,000₽
1:00
build monsters
Рет қаралды 2,2 МЛН
Simple maintenance. #leddisplay #ledscreen #ledwall #ledmodule #ledinstallation
0:19
LED Screen Factory-EagerLED
Рет қаралды 23 МЛН