MAGUFULI Atikisa CHATO, MAFURIKO ya AJABU, MAELFU ya WATU Wajitokeza KUMPOKEA!

  Рет қаралды 204,815

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

MAGUFULI Atikisa CHATO, MAFURIKO ya AJABU, MAELFU ya WATU Wajitokeza KUMPOKEA!
MGOMBEA Urais wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli, amewasili wilayani Chato kuendelea na mikutano ya kampeni za chama chake na kupokelewa kwa shangwe na wananchi wa wilaya hiyo...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 346
@munasaidi614
@munasaidi614 3 жыл бұрын
Kama ww wampongeza raisi magufuli gonga like
@charlesjeremiah5557
@charlesjeremiah5557 3 жыл бұрын
Bigger up
@Wastara001
@Wastara001 3 жыл бұрын
Global hii ndiyo picha tunazohitaji. Kutuonesha nyomi. Big up Global.
@elizafumbuka8668
@elizafumbuka8668 3 жыл бұрын
Hadi nywele zinanisisimka duu
@munasaidi614
@munasaidi614 3 жыл бұрын
Mm mkenya katika maraisi wote duniani raisi magufuli ndie raisi namba moja kuongoza hongera magufuli
@semwenzimohamed7609
@semwenzimohamed7609 3 жыл бұрын
Asante jirani. Na sisi tunawapenda jirani zetu.
@kilyomasayi4098
@kilyomasayi4098 3 жыл бұрын
Hao niwatu au hakika magufuri ni chaguo la mungu chapa kazi baba
@tumainsfsn2787
@tumainsfsn2787 3 жыл бұрын
hongera sana magufuri
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 3 жыл бұрын
Tanzania needs this man badly. Magufuli has awaken every Tanzanian who has love for this great nation. Let us all together defend it.
@Wastara001
@Wastara001 3 жыл бұрын
Nyomi hii ilimtia baridi Tundu mpaka akaamua kukimbilia Zanzibar kutaka kuungana na ACT
@ramadhaniomary3081
@ramadhaniomary3081 3 жыл бұрын
Kweli chadema kiwewe
@edwardgwaspika4943
@edwardgwaspika4943 3 жыл бұрын
Kabisa ilibidi aende kisiwani kupigwa na upepo akili irudi..
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 3 жыл бұрын
Kuna mijitu itasema iliibiwa kura. Hata dalili hawazionagi sijui. Hongera wana Chato kwa mapokezi mazito kwa Mh. Rais wetu. Tunampenda.
@henrylugongo632
@henrylugongo632 3 жыл бұрын
Sana wao wanaona wameibiwa
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Kwani hujamsikia alianza kujihami mapema kuwa hatokubali matokeo.
@agnessmwendwa7542
@agnessmwendwa7542 3 жыл бұрын
@@henrylugongo632 sijui akili zao zikoje
@agnessmwendwa7542
@agnessmwendwa7542 3 жыл бұрын
@@onesmojustice2348 atajiju kibaraka wa mabeberu uyo anaropoka tu
@henrylugongo632
@henrylugongo632 3 жыл бұрын
@@agnessmwendwa7542 WAP wanataka kuchukua nchi kwa nguvu au hiyari
@neemaleghela6653
@neemaleghela6653 3 жыл бұрын
Remind you hayo ni mapokezi tuuu, Viva Magufuli
@allymamlo252
@allymamlo252 3 жыл бұрын
Mee we ndo rais wangu naona siambiwi we ndo kiongozi wangu sisikii sion mungine we ndo jembe langu Tena we si babalao ila lao lao kwa kina mama unajina lako sikina baba unajinalako
@nicholausmgaya9839
@nicholausmgaya9839 3 жыл бұрын
Vivaaaaa....
@madamloveness7274
@madamloveness7274 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwa kutupa huyu JPM Maana hata wakati wa corona alikutegemea wewe🙏🏽🙏🏽🙏🏽 Huwa nafikiria hivi Hawa wapinzani walivyosema lockdown sahizi tungekuwa tunakufa njaa.
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 3 жыл бұрын
Walikuwa wanaandaa migogoro kwamba serikali inakataa uchaguzi wakati wao waelesema tukae ndani ila kwenye uchaguzi wangeanza kusema serikali iangalie namna ya kufanya uchaguzi kwa kukuwa ni jambo la kikatiba, maana wao wa nawaza manufaa yao na kila wanacho kinalenga manufaa yao tu,kama huamini kwani walichukua posho halafu hawakuenda kwenye vikao? Je ofisi zao zilifungwa ili kuwanusu wafanya kazi wao dhidi ya corona? Ni kwanini tatizo la corona wakaliunganisha na siasa? Kwanini mchongo wa Corona uliponyea mtu akasema amevamiwa na watu wakamkanyaga mguu?
@nuruontv6541
@nuruontv6541 3 жыл бұрын
Huyu Mtu katuletea Mungu.Twakuomba baba Mungu wetu zidi kumlinda
@mangegervas9651
@mangegervas9651 3 жыл бұрын
Amina
@babusadala5732
@babusadala5732 3 жыл бұрын
Mjomba katisha sanaaaa
@eastcuisines124
@eastcuisines124 3 жыл бұрын
viva jpm viva
@brigitamakoha9941
@brigitamakoha9941 3 жыл бұрын
M mkenya ila namsapot magufuli
@bahatidamiani561
@bahatidamiani561 3 жыл бұрын
Safi. Sana , hapendwi na mafisadi tu lakini raia wema tunampenda
@brigitamakoha9941
@brigitamakoha9941 3 жыл бұрын
@@bahatidamiani561 🙏🙏🙏🙏
@mangegervas9651
@mangegervas9651 3 жыл бұрын
Ahsante mkenya wewe mungu akubariki. Karbu Tanzania
@markoyohana5900
@markoyohana5900 3 жыл бұрын
Hujielewi siyo kosa lako
@brigitamakoha9941
@brigitamakoha9941 3 жыл бұрын
@@markoyohana5900 kapimwe akili kwanza ndio uje ukiwa timamu
@bernardinaa7565
@bernardinaa7565 3 жыл бұрын
Mungu anatupenda Tanzania katupatia Magufuri 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ndilanhaboniphace9407
@ndilanhaboniphace9407 3 жыл бұрын
Sijawahi ona watu wengi kama hawa
@leonardchatanda3408
@leonardchatanda3408 3 жыл бұрын
Chato wamevunja rekodi
@ndilanhaboniphace9407
@ndilanhaboniphace9407 3 жыл бұрын
@@leonardchatanda3408 man uko wap saiv me nko Tanga
@robertterry8909
@robertterry8909 3 жыл бұрын
Magufuli baba lao
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 жыл бұрын
Magufuli hoyee Rais wetu, Mwenyezi Mungu akujalie umalize Awamu yako, Aamiin.
@leonardchatanda3408
@leonardchatanda3408 3 жыл бұрын
Nani kama Magufuli?
@ericklucas7196
@ericklucas7196 3 жыл бұрын
Picha nazoziona nilijua kwa vile chato wanachagua CCM mara zote itakuwa kama ulaya k
@ericklucas7196
@ericklucas7196 3 жыл бұрын
Tusidanganyane nimeona kwa magufuli kumbe hatatunduma ni kama ulaya
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 жыл бұрын
Huyu ndiye Rais John Pombe Joseph Magufuli safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Sanaaaaaaa.....
@marianamontoedi2333
@marianamontoedi2333 3 жыл бұрын
Chagua maendeleo tokomeza umaskin chagua Magufuli chagua ccm
@andreamndeme1539
@andreamndeme1539 3 жыл бұрын
A
@aboubakarykipingu3362
@aboubakarykipingu3362 3 жыл бұрын
Moto
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 жыл бұрын
Karibu nyumbani daddy!
@alexmihayo5723
@alexmihayo5723 3 жыл бұрын
Mcheza kwao.....!!!😷
@sarahmgaya9936
@sarahmgaya9936 3 жыл бұрын
Asante Mungu kutupatia rais tunae mpenda tunaomba umwongoze amalize uongozi wake salama akiwa naafya njema.
@happykimaya2762
@happykimaya2762 3 жыл бұрын
Amina 🙏🙏
@jacklinembwambo4706
@jacklinembwambo4706 3 жыл бұрын
Amen!!
@saidimdoe365
@saidimdoe365 3 жыл бұрын
Gonga like kama kula za CCM✔ 💯
@gibsonntamamilo490
@gibsonntamamilo490 3 жыл бұрын
Utalisikia lijitu limekomaa labisa Tundu Lisu aliibiwa kura 2020. Kafie mbele.
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 tushawazoea kwasafari hii hawakutakiwa kusimamisha mgombea urais kwani ata aliyelala anajua Magufuli anatosha kwasasa.
@naijockokambinga5136
@naijockokambinga5136 7 ай бұрын
💪💪💪💪
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 жыл бұрын
Ccm Hoyee chama lao, Magufuli Baba lao,Tanzania nchi yao.
@opqsweetbert9598
@opqsweetbert9598 3 жыл бұрын
JPM ni shidaaaaaah
@danielmoses2244
@danielmoses2244 3 жыл бұрын
Hao walo-dislike hii video ni WACHAWI .... na WATAWEWESEKA SANA ....... CHATO MMETISHA yaani hii ni MOTO FAYA
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 3 жыл бұрын
Kabisaaaaaaaa.
@vickyadrian1503
@vickyadrian1503 3 жыл бұрын
Jembe toka chatoooooooo
@alexmihayo5723
@alexmihayo5723 3 жыл бұрын
Skupingi😘
@wallaceigeoge7515
@wallaceigeoge7515 3 жыл бұрын
Lisu akagombee ubirigiji sio tz
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 3 жыл бұрын
ISHI MUDA MREFU MZEE BABA JPM
@neemasamwel7900
@neemasamwel7900 3 жыл бұрын
Jpm utabaki juuuu juuuuuuuu zaidi
@agnessmwendwa7542
@agnessmwendwa7542 3 жыл бұрын
Soma iyooo
@josephwilbert3356
@josephwilbert3356 3 жыл бұрын
Hawakosagi maneno, watasema kwamba hao sio watu
@mushifred3065
@mushifred3065 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@happykimaya2762
@happykimaya2762 3 жыл бұрын
😁😁😁
@mgoledaudi6051
@mgoledaudi6051 3 жыл бұрын
Kweli kabisaa watasema wametoka Uganda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
@isayantanga613
@isayantanga613 3 жыл бұрын
😂😂😂
@justinpeter7040
@justinpeter7040 3 жыл бұрын
Mwenye nchiyake🔥🔥🔥sasa kuna takataka zilizotumwa na wazungu zitasema zimeibiwa kula mbona mtanyonywa macho mamae zenu
@hendryprosper9950
@hendryprosper9950 3 жыл бұрын
Kama una amin mangufuli atapita 2020 nakuwa rais wetu mpaka 25 gonga like plz
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 3 жыл бұрын
MAGU BABA LAO 💪💪💪💪
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 3 жыл бұрын
Hapo ndipo alipozaliwa kioo cha dunia nzima Chato oyeeee mtenda haki, anatumia vyema kodi za wa Tanzania kwa kujenga nchi.
@goldenphiri6084
@goldenphiri6084 3 жыл бұрын
I salut makuful golden from zambia
@robertterry8909
@robertterry8909 3 жыл бұрын
Nyie mnao sema watu wanasombwa kabla ya kampeni magufuli huwa anafanya ziara za mikoa mbali mbali na huwa anapata mapokezi makubwa sana
@KUTOKA-ep2fk
@KUTOKA-ep2fk 3 жыл бұрын
Hilo nyomi sasa utadhani utitiri afu kabutra ingine hapa anakuja kututukana watanzania fyuuuuu! Atakayemchagua lisu si labda ni kichaa tu......
@magembecharles4842
@magembecharles4842 3 жыл бұрын
Nom jp
@mariamuseifu3065
@mariamuseifu3065 3 жыл бұрын
Tunakupenda sana Rais wetu🙏🙏
@zainabuhassan3036
@zainabuhassan3036 3 жыл бұрын
Ccm oyeeeeeeeeeee
@FXSAFARI
@FXSAFARI 3 жыл бұрын
Naona Global TV mmeshalipia drones zenu 😁 hizi ndo video tulizo zitaka tuoneshe kila Kona ya nyomi
@malcomg1004
@malcomg1004 3 жыл бұрын
Au sio bna?
@fatmapanaguiton9783
@fatmapanaguiton9783 3 жыл бұрын
Siamini macho yangu wanalakusema hao chato hoyeeee ccm hoyeeee
@emmanuelreuben5014
@emmanuelreuben5014 3 жыл бұрын
Hatari Sana,hii ni 🔥
@reubendick4033
@reubendick4033 3 жыл бұрын
Magufuri oyeeeeeee
@leonardchatanda3408
@leonardchatanda3408 3 жыл бұрын
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
@amoscharz5606
@amoscharz5606 3 жыл бұрын
God bless jpm
@dionizimzee2660
@dionizimzee2660 3 жыл бұрын
Mungu asimame na rais wetu kwenye mchakato wa kampeini hii,viongozi wa dini tunamuombea
@mjuba
@mjuba 3 жыл бұрын
Ni Magufuli Tena Bado tunakuhitaji rahisi wetu🇹🇿💪
@aliabeid6226
@aliabeid6226 3 жыл бұрын
Halafu mtu anasema Magufuli anatengeza kwao tu hali hii hata mimi nawatwngezea wanachotaka waneonesha Surport ya hali ya juu
@stevenfabian2208
@stevenfabian2208 3 жыл бұрын
Mcheza kwao hutunzwaaa
@hdmtanzania2617
@hdmtanzania2617 3 жыл бұрын
JPM Ng'araaa
@happykimaya2762
@happykimaya2762 3 жыл бұрын
Wapeni salaam,wapen salaam. Faru Joni hupo?👌
@malcomg1004
@malcomg1004 3 жыл бұрын
😂😂eti faru john
@asosamwanilwa9099
@asosamwanilwa9099 3 жыл бұрын
I love Magufuli I love TANZANIA NAKUPENDA SANA RAIS WANGU MAGUFULI piga kazi Magufuli
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 3 жыл бұрын
Mungu wangu ule upande mwingine sijui kama wanapumua jamani watalazwa presha mweeee chato mmefanya vyema kabisa kumpokea rais wetu kwa kishindo hivyo mwaka huu kura za magu zinatosha upande huo hamna ubishi kwingine tutajazia tu huo ndo ukweli wa Mungu jina la Yesu libatikiwe sana
@magaumasiaga3120
@magaumasiaga3120 3 жыл бұрын
Ntawashangaa wanachato kura ya chadema ikipatikana huko wakati mkuu wa inchi anatoka nyumbani
@philipomregi7833
@philipomregi7833 3 жыл бұрын
Mmmh so kwa utitiri huooo
@elishamwenga1474
@elishamwenga1474 3 жыл бұрын
Waoooooooo!!!!
@wigiberthimutahaba3859
@wigiberthimutahaba3859 3 жыл бұрын
Mmmmmh
@rashidmalilo3657
@rashidmalilo3657 3 жыл бұрын
Hii ni kufuru watu lukuki haijawahi tokea
@Omega_Kitwika
@Omega_Kitwika 3 жыл бұрын
Amaizing
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 жыл бұрын
Nakupenda Rais na uchapaka kazi wako wewe ni mzalendo wa kwanza Tanzanian
@elibarikielikana1824
@elibarikielikana1824 3 жыл бұрын
Hio nyimbo ni funga kazi kaaa sielew ila ni motoooooo maguu oyeeeeee
@asteriamwashiuya7135
@asteriamwashiuya7135 3 жыл бұрын
magu bablaooo
@adammwangatwa9914
@adammwangatwa9914 3 жыл бұрын
Mmm gari zote za ccm dah sawa bhna
@ramadhanikasim7485
@ramadhanikasim7485 3 жыл бұрын
Ao watu atar
@juliascherehani2330
@juliascherehani2330 3 жыл бұрын
duh
@felistamaembe4895
@felistamaembe4895 3 жыл бұрын
Mwaka huu kazi ni moja tu kampeni za uchaguzi hakuna kulima wala kwenda makazini.
@htvtanzania3483
@htvtanzania3483 3 жыл бұрын
Magufu tole gutongwaa
@ayshakayeko2043
@ayshakayeko2043 3 жыл бұрын
Saaaaaaana nkoi
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 3 жыл бұрын
Sisi wa uberigiji tukomcoment wapi?
@samsonmweta5040
@samsonmweta5040 3 жыл бұрын
Huku kwa mabeberu 😀
@upendotarimo9324
@upendotarimo9324 3 жыл бұрын
@@samsonmweta5040 ha ha haaaa
@martinemaganga2546
@martinemaganga2546 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mangegervas9651
@mangegervas9651 3 жыл бұрын
Ubalgiji
@mangegervas9651
@mangegervas9651 3 жыл бұрын
Ubalgiji
@sararashid5150
@sararashid5150 3 жыл бұрын
Nakupend magufuli kula ni yako kwangu
@yusufuvea5311
@yusufuvea5311 3 жыл бұрын
Upinzani endeleeni kulala mikatu kwenye campeni zenu,,, Rais Magufuli uyooooooo anapepea
@asiahamza807
@asiahamza807 3 жыл бұрын
Ng'araaaa Baba Ng'araaaa
@leonardchatanda3408
@leonardchatanda3408 3 жыл бұрын
J.P. M namba one
@hamisimussa2228
@hamisimussa2228 3 жыл бұрын
Wanaposema watu wameletwa na Maroli waangalie mafuriko ya watu uko nyuma kabla ya Kampeni wakizuia barabara. Mbna hayo Maroli hatuyaoni Hta wakipost kama 2015 wamekata pumxi Magu kapata Kibali toka mbinguni
@mako331
@mako331 3 жыл бұрын
I’m glad that Magufuli was born here, he has brought back the respect of Tanzania around the world. Piga kazi Baba
@nichorausrichard3469
@nichorausrichard3469 3 жыл бұрын
Raha Sana JPM 💪💪💪🔥🔥🔥🙏👏👏👏
@michaelmalima2833
@michaelmalima2833 3 жыл бұрын
ETI WANASOMBA WATU WAPINZANI HAWANA SERA
@edwardgwaspika4943
@edwardgwaspika4943 3 жыл бұрын
Yeah, Mr. President deserves this beautiful singing thanks so much keep it honorable president..
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 3 жыл бұрын
Sasa hapo kwa wasukuma Lisu ataweza kuja hapo kweli kuomba kura? Jasho litamtoka afike hapo kama atapata mtu hata mmoja labda aje nao watu duuh wasukuma safiiiii chagulaga Magufuli 🤣🤣🤣
@estermathias8354
@estermathias8354 3 жыл бұрын
Woyoooooo at kwao hawampendi majibu kwa vitendo tu
@presseg.6362
@presseg.6362 3 жыл бұрын
Nani hapendwi Jamani
@estermathias8354
@estermathias8354 3 жыл бұрын
@@presseg.6362 walikua wanasema kwao hawampend maguful ndo nasema jibu wamelipata
@mosesmussa3669
@mosesmussa3669 3 жыл бұрын
Asantee JPM
@timothalex3249
@timothalex3249 3 жыл бұрын
Sante wanachato mmetenda haki sana 👋👋👋👋👋👋
@elizafumbuka8668
@elizafumbuka8668 3 жыл бұрын
Mnajua kulea Mwana wenu wanachato safi sana
@addelineantony3622
@addelineantony3622 3 жыл бұрын
Mtu kwao na nyimbo ya kinyumbani wamemwuimbia
@paulswai7050
@paulswai7050 3 жыл бұрын
Sina chakusema magu kiboko ya lisu,Magu Oyeeeeeeeeeeeee
@theprogrammer3351
@theprogrammer3351 3 жыл бұрын
Mm nimeipenda hiyo nyimbo tu... Kidumu chama tawala....
@olivabosco4880
@olivabosco4880 3 жыл бұрын
Pita baba pita tu twakupenda sana mnooooooooo
@salmasaid6862
@salmasaid6862 3 жыл бұрын
Home is home lazima wafurahi raisi kutoka kwao mpeni heshima mwaya wa nyumbani huyo
@jacklinejosam3713
@jacklinejosam3713 Жыл бұрын
Kama nimapenzi ya Mungu uongoze muda mfupi theni uondoke sawa, Ila kama uliondoshwa kwahila zawatu wachache wenye tamaa watalipa machozi yetu watanzania
@graceandrew5540
@graceandrew5540 3 жыл бұрын
Ooyoooooooo nmemic kwetu jomon, wasukuma tulinigembeeeeeee magufur tukachagulagiiiiiiiiiiii
@mankialema6490
@mankialema6490 3 жыл бұрын
Charity begins at home Safi sana wanachato Hadi Raha JPM mungu akulinde
@mangegervas9651
@mangegervas9651 3 жыл бұрын
Saafii mno
@jullipusoe7838
@jullipusoe7838 3 жыл бұрын
I love you Mr President .. Asante kwa yote Unayoyafanya hapa nchini kwetu Tanzania ... Mungu Akulinde Baba yetu
@hafidhjuma1364
@hafidhjuma1364 3 жыл бұрын
Wewe ni raisi WA wananchi mungu akulinde tunaomba mikutano WA mwisho uje kuufanyia huku dar ili na Sisi tukuoneshe upendo wetu
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 3 жыл бұрын
Ninaona au naota??? Hawa watu au sisimizi????? Du!!! Kweli kuna watu wanaupepo na watu aiseee..
@manenojoseph1473
@manenojoseph1473 3 жыл бұрын
Kula yangu ya 1 kwa magufuli mungu mpe afya njema aongoze daima
@bundalahamza8902
@bundalahamza8902 3 жыл бұрын
Hii nyimbo naipenda japo sielewi
@hamissuche6576
@hamissuche6576 2 жыл бұрын
Your regime will never ever fade away from our hearts,.. RIP my HERO from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@luizakiluwa2953
@luizakiluwa2953 3 жыл бұрын
Hawa watu duuu Kama siafu alafu wanasema tumeibiwa kula hapo chato atii mtu mguu hapo sikia mwimbo uwo
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 3 жыл бұрын
Hatari sanaaaaaa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
Ni moja ya kampeni zilizodorora mwaka huu!!!
@lydiapeter9381
@lydiapeter9381 3 жыл бұрын
Hongereni Sana watu wa chato
@flexinemussa3470
@flexinemussa3470 3 жыл бұрын
Hapa Ni Katoro-Buselesele huwa Kuna Nyomi la watu Hatari...Ukisikia Geita mji wa biashara ndo hapa..
@nehemiasanka3088
@nehemiasanka3088 Жыл бұрын
Cm mbele kwa mbele
@eischerschwederm7876
@eischerschwederm7876 3 жыл бұрын
Nice song
@mapesamale3379
@mapesamale3379 3 жыл бұрын
Mwaka huu kiboko 🤜🤛🤝👍💪
@cosmaskyando1174
@cosmaskyando1174 3 жыл бұрын
Noma sana aisee
@wardajoseph6909
@wardajoseph6909 3 жыл бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu akujalie ushindi
@omarihussein6945
@omarihussein6945 3 жыл бұрын
Hao nao wameletwa na Mallory? Huu ni moto mwingine hata kuuuota huwezi
@aminahhamadi6214
@aminahhamadi6214 3 жыл бұрын
Aaaaa! Ni Wafanyakazi Wametolewa Kwa Amri Makazini hasa WALIMU NA WANAFUNZI WAJE WAMPOKEE MHESHIMIWA RAISI KWANI BADO NI RAISI PAMOJA NA KUWA ANAGOMBEA.
@neemaleghela6653
@neemaleghela6653 3 жыл бұрын
@@aminahhamadi6214 hata kama wafanyakazi wilaya moja haiwezi kuwa na wafanyakazi wote hao jamani kwahiyo wanafunzi wamesafirishwa wilaya nzima?
@jinaali4370
@jinaali4370 3 жыл бұрын
@@aminahhamadi6214 hivo waajiriwa ndo wanawingi Kama huu? Kusingekuwa na shira ya walimu na madaktari basi! Ukweli unauma ivo!!!
@aminahhamadi6214
@aminahhamadi6214 3 жыл бұрын
@@jinaali4370 Umenielewa nusu nusu hujanielewa Jiongeze utanielewa Kamili. SIKUFICHI KINACHONIUMA SIO NYOMI LA HAPO ILA NI HILI MUME WANGU ANADAI MILIONI 25 NSSF. ALIACHISHWA KAZI BAADA YA KAMPUNI ALIOKUWA AKIFANYA KAZI KUACHA KUTOA HUDUMA,(ILIFUNGWA) TOKA MWAKA JANA. KAFATILIA PESA ZAKE AKAAMBIWA MPAKA USTAAFU. TUTAKUPA ELFU HAMSINI KILA MWEZI KIASI CHA MIEZI SITA. HANA MPANGO WA KUAJIRIWA TENA (KWANI AJIRA NI NGUMU KUPATIKANA) ANAMPANGO WA KUFANYA BIASHARA, MTAJI WANAO NSSF. TUNASHINDWA KIKIDHI MAHITAJI YA KIFAMILIA KWA SABABU TU NSSF IMESHINDWA KUTULIPA KWA SHERIA MBOVU ZA KUMKANDAMIZI MNYONGE. MFANO KAMA ANAMIAKA 35, MPAKA AJE AFIKISHE MIAKA 60, 65 YA KUSTAAFU NI LEO? PANA MIAKA MINGAPI HAPO? JE ANAMKATABA NA MUNGU KWAMBA ATAISHI MIAKA MINGAPI? AMEVUJA JASHO KUTAFUTA PESA LEO ANAAMBIWA MPAKA USTAAFU. NASHINDWA PESA ZA NSSF ZILIPELEKWA WAPI HADI WAKAAMUA KUTUNGA SHERIA YA KUMKANDAMIZA MTEJA WAO.
@husnabruno2584
@husnabruno2584 3 жыл бұрын
Halafu utasikia ooo Tanzania korona IPO wanaficha kwa nyomi hii tungekwisha , Mungu anasikia maombi piga kelele kwa Magufuli wake weeeewe
@josephnchunga1247
@josephnchunga1247 3 жыл бұрын
Jpm safiiiii kura zote kwa jpm
@zakaliamohammed7331
@zakaliamohammed7331 3 жыл бұрын
Nyehunge mungu
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 3 жыл бұрын
Duh kwel mtu kwao jmn
DKT MAGUFULI AKIWA  CHATO
5:07
barmedastv
Рет қаралды 13 М.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 43 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 38 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 18 МЛН
WIMBO WA TOT PLUS BAND WAMLIZA MAMA JANETH MAGUFULI
7:14
LONGA TV
Рет қаралды 927 М.
NYIMBO YA KISUKUMA YAMPAGAWISHA JPM, WABUNGE, MADIWANI SIMIYU
4:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 257 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 380 М.
LIVE : RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AKIWA NJIANI KURUDI DAR ES SALAAM
5:25
GODFREY STEVEN - SI TUPO ( Official Audio Lyrics )
3:47
Godfrey Steven
Рет қаралды 4,3 М.
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA KAIMU RPC RUKWA/ "ANAKIBURI....."
8:13
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 43 МЛН