MZEE AMUUMBUA 'HAKIMU' MBELE YA WAZIRI "ALIPEWA LAKI TANO NA MOLLEL"

  Рет қаралды 473,501

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 226
@edwardwairimu6717
@edwardwairimu6717 4 жыл бұрын
I like how our tanzania neighbor are doing things,hapa kenya watu wauwawa juu ya hizi kesi za ardhi nkt
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 жыл бұрын
Huyo kapewa laki tano. Gonga like ya babu
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 4 жыл бұрын
Hebuuu msaidieni mzee wa watu...Lukuvi usijisahau kalia kiti vizuri hicho usijione umefika ukaanza kudharau babu wa watu
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 жыл бұрын
Mzee wetu alihitaji maneno na sauti ya upole. Mzee ni mzee tu japo ni baba wa mwenzako.
@fabianayubu6738
@fabianayubu6738 2 жыл бұрын
Anafika mbari na kumwambia tutakushauri namna ya kukata rufaa
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 2 жыл бұрын
eti umeskia we bwana
@jeremiahzacharia7655
@jeremiahzacharia7655 2 жыл бұрын
Mh. Waziri siku hizi asahidii kabisa wananchi zaidi ya kutumia sauti kali, Kwa wenye shida
@raymonadsaliboko3068
@raymonadsaliboko3068 2 жыл бұрын
Nakukubali sana sana ofisi za ardhi hakuna foleni Mungu akupe wepesi
@nafaelirubango2904
@nafaelirubango2904 4 жыл бұрын
Life is go tunakufa tunzaliwa tuwe na rispecti na anteion na wazee wetu bless
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 4 жыл бұрын
Lukuvi Namkubali ila Kwa Hapa Mmmmh Kwanza Kaongea Kwa Ukali Mno Wakati Akimuuliza yule Mzee. Kana Kwamba Amekerwa Kabla Na Yule Babu.
@abdallahmakombo3866
@abdallahmakombo3866 4 жыл бұрын
Hujui tu hizo kesi noouuma Sana!! Kesi ya 1965 na maamuzi yalipita halafu mtu anaanzisha kila kiongozi mpya akija!!!
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 2 жыл бұрын
Yaani mimi nampendaga yule kiongozi anaitwa Ally happy bwana anazungumzaga vizuri Sana na wananchi
@fabianayubu6738
@fabianayubu6738 2 жыл бұрын
Kabisa yan nakupongeza sana kwa point yako na huo ndio ukwer
@salehsuleiman8519
@salehsuleiman8519 2 жыл бұрын
Kabisa yan aliy happy yupo vzr lkn huyu lukuvi limekaa kama dikteta ya jeuri hatar
@yasinishekallahakusaidi8766
@yasinishekallahakusaidi8766 4 жыл бұрын
Binafsi nimeshikwa na fadhaa kweli kwa huyu lukuvi maana anaonekana sio mtoto Ila kiburi kimemjaa na majivuno
@nusulaally6379
@nusulaally6379 4 жыл бұрын
Jmn tuwaheshimun wakubwa ht km kipto chao kidogo
@shayopaterini8678
@shayopaterini8678 4 жыл бұрын
Nidhamu kdgo kwa wazee wetu inahitajika ndio waliotuzaaa jaman wao hawakusoma ila wametusimesha cc sasa usiwe unamwuliza maswali ambayo hajui hata mchoro ni nn
@nessmwambogolo2545
@nessmwambogolo2545 4 жыл бұрын
Kweli umenena eti aje na makaratasi atayatoa wapi ya mwaka 61 no fear
@shehemnazi127
@shehemnazi127 4 жыл бұрын
Ila tuwe na eshima maana Ni maisha tu,unapokea kwa mkono wa kushoto.
@asayubeejr1199
@asayubeejr1199 4 жыл бұрын
Shehe Mnazi kweli bro yani cheo ni kitu kibaya sana
@shehemnazi127
@shehemnazi127 4 жыл бұрын
@@asayubeejr1199 umeona broo lakini sote Ni wa mungu .
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 жыл бұрын
Kabisa anaonyesha dharau sana Lukuvi.
@wachapakazimedia4353
@wachapakazimedia4353 4 жыл бұрын
Mimi huwa nasemaga rais magufuli Hana wasaidizi anafanya kazi mwenyewe huyu waziri ajamuuliza hata huyo Jamaa kuusu laki 5 hawa mawaziri wangekuwa Kama JPM nawaambia TZ ingekuwa Kama ulaya na hawafanyi kazi Kwa Moyo Kama JPM huyu waziri sijamuelewa kabisa mungu mpe maisha malefu JPM.
@allyasia3662
@allyasia3662 4 жыл бұрын
Watu wengine wanatia hasira huyu sio wazur kabisa Bali anajijali yy na tumbo lake wallah
@florampewa8085
@florampewa8085 2 жыл бұрын
Wanabebana tu,na waziri anahusika,si umesikia Kuna barua moleli alipata kwa waziri!ni uonevu tu,nchi Hii,mtetezi alikuwa marehemu magufuli pekee,na alisema,tutamkumbuka kwa mema,mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,hapo Leo mtu laki Yani ingemtokea puani
@feristerkumbuka1837
@feristerkumbuka1837 4 жыл бұрын
Jaman tusaidien wanyonge
@muddysangaraza7963
@muddysangaraza7963 2 жыл бұрын
Hapooo mzee kashaaumiaa yaaniii katapeliwaa yaaniii hanaa chakee
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 жыл бұрын
Huna adabu ata kidogo shenzi kabisa huyo sawa na baba yko cheo ni dhamana2 umeni kwanza sura mbaya km mgali wa juzi
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 4 жыл бұрын
Ardhi inamrorongo sana,yaani mzee amekaa Hapo tangu 1962 lakini leo hii anakuja kupoteza kila kitu hata kuachiwa tu ekari 1 inashindikana dah!duniani upo uonevu mkubwa sana ila Mungu atakuja kulipa kila chozi la mtu anayelia kwa sababu ya unyonge.
@raphaeldayos9188
@raphaeldayos9188 2 жыл бұрын
Waziri lukuvi kiongozi mzuri lakini kauli zake na jinsi anavopokea kero za watu anawaharas watu hususan wazee
@elianifaaluka4790
@elianifaaluka4790 2 жыл бұрын
Mungu watete watanzania wasio na vyeo na watetezi mzee Mungu atakusaidia wanajua huna kumbukumbu kwa sababu ya wenye fedha
@aminaosman3315
@aminaosman3315 2 ай бұрын
,wanaopokea hongo kudhulumu wañyonge mungu anawaona
@ramadhanitoba7621
@ramadhanitoba7621 4 жыл бұрын
mwananchi wa kawaida ukimuuliza mambo ya michoro ya ardhi unakosea yeye anachofahamu ni kwamba ni shamba lake analima hapo toka kitambo... uje kukuta hata hajui kama kulikua na mpango wa mradi wa maji.
@elizabethmose6436
@elizabethmose6436 4 жыл бұрын
Huyu waziri anadharau inamaana huyo mzee kama aliwauzia halmashauri asingeweza kudai kwa mara nyingine anashindwa kumsaidia babu
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 жыл бұрын
Safi Sana lukuvi ,alipataje Ardhi,iyo ndio hoja
@yahayamaulanaworldwide6036
@yahayamaulanaworldwide6036 3 жыл бұрын
Kirukuvi kinadharau sana mbav sana tenahufai kushika mamlaka yoyote kwataifa letu kwakua mnapeana vyeo bilahivyo hukupaswa kupewa nafas yoyote
@julianarobert9815
@julianarobert9815 4 жыл бұрын
Huyu waziri atumbuliwe anadharau sana pia hana hekima 😏
@archbordygodfrey7770
@archbordygodfrey7770 4 жыл бұрын
Juliana Robert kweli
@julianarobert9815
@julianarobert9815 4 жыл бұрын
@@phillipmbuligwe6033 upo sahihi, nilichokizungumzia mimi ni waziri kuwa na hekima na busara pindi anapotatua shida za wananchi
@dawiamussa5787
@dawiamussa5787 4 жыл бұрын
Ī
@samirashariph5856
@samirashariph5856 4 жыл бұрын
huyu waziri ni bure kbc amuachiee hii kaz wengin
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 4 жыл бұрын
Muheshimiwa. Wanamdhulum hu yo babu msaidiye mzee
@ndogoroedson9438
@ndogoroedson9438 2 жыл бұрын
Mh wazir hiyo 2005 ndyo watu walikuwa wanazurumiwa Sana viwanja ndyo miaka ambayo mwenyeye pesa aliweza kumfanya kumfanya chochote asiyepesa Hali hiyo ilidumu mpaka 2015 kabla ya mzalendo kuingia na kugeuza kitabu na Sasa baada ya mzalendo kuondoka, mambo yameanza kurudi hususa ni Kijiji Cha kapunga mwekezaji kaanza kuchukua ardhi ambayo Magufuli alishairudisha kwa wananchi na viongozi wa wilaya wanabariki kwa kuwa wao ni wanufaika wa migogoro hiyo! Hekta 5500 alizouziwa na serikal Sasa zimeenda mpaka Kijiji jirani Cha Iyala huu ni uonevu mkubwa sana!
@zubeidaomary1331
@zubeidaomary1331 2 жыл бұрын
Tumemkumbuka kweli baba yetu hayati magufuli aliongea na sisi kwa upole na unyenyekev umtu hadi unapata uhuru na amani anapota malalamiko yako kwake pumzika kwa amani baba yetu
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@feyzungu633
@feyzungu633 2 жыл бұрын
Nyinyi werekali ardhi yote ni yakwenu siyo ya mungu tuoneeni tu ivyo ivyo mungu yupo hakuna mwanzo usokua na mwisho
@jeremymakokha4797
@jeremymakokha4797 4 жыл бұрын
RC Hapi ...nawish ungekuwa hapa
@feisalomar-hr3hq
@feisalomar-hr3hq 3 ай бұрын
Tanzania maskini ndo tunao nyanyasika ila ipo sku mungu atatuokowa
@martinesizya234
@martinesizya234 2 жыл бұрын
Namkumbuka jpm, hapo huyo mzee angepata haki yk kama kweli alikuwa nayo, lkn kwa waziri anavyoonyesha hana adabu kwa wazee naona mwenye nacho ataendelea kuwa nacho, na asiye nacho atanyang'anywa hata kidogo alichonacho!!
@gilbertluwe8161
@gilbertluwe8161 4 жыл бұрын
Jamani jamani mzee wa watu hapo angekua raisi amgepata haki yaki mara moja. Mawaziri kweli mnafanyaje hivyo
@stumay-wx9rp
@stumay-wx9rp 2 жыл бұрын
Kauli ya waziri inakera ss hapo anasuluhish nn nayeye ndowalewale wakupew laki tano mtu unafokey watu kweli huy mzee ni wakumfokey subuhannah llah daah watu hawaangalii kesho yao
@danielfrank873
@danielfrank873 4 жыл бұрын
Hapa raisi atutafutie waziri mwingine , huyu atufai au mnaonaje waungwana , mana hiyo keshokutwa mtakutana maofisin mtamdhulumu tyu mzee wa watu . waziri hatuna hapa
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
hapana huyu wazir anajitahid kwa maoni yangu
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 3 жыл бұрын
Kweli haki ipo mbinguni tu. Ina maana waziri hajui kwamba selikari ilikuwa inapima na kuchukua maeneo bila kuwafidishia wananchi?
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 4 жыл бұрын
Huyu baba nimemchukia ghafla msyuuuuu
@muftiachuu6676
@muftiachuu6676 4 жыл бұрын
Kisa kudai haki yake?
@daudisalumu2725
@daudisalumu2725 4 жыл бұрын
Duuh eti wazir anapokea karatasi kwa mkono wa kushoto hii dharau Sana, Tz kuna raisi2 ila walioko chini yke hakuna ki2
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 4 жыл бұрын
Kweli kabisa Kaka
@nsiamassawe3075
@nsiamassawe3075 4 жыл бұрын
Mhe. Rais ni mfano mwema. Akiwa anaongea Na wazee kama Hawa huwa anatumia lugha ya unyenyekevu sana. Sasa unapomuhoji Kwa ukali unamtisha na unamvuruga. Ameshakuambia hajui kusoma, unamuliza michoro ataijuaje! Uwe na hekima.
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Mh! Waziri hasomi mwenyewe!!!!!
@adikitweve7090
@adikitweve7090 4 жыл бұрын
Thanks
@mashamstaphajuma7741
@mashamstaphajuma7741 2 жыл бұрын
m ziki mpiy
@celestialedward6123
@celestialedward6123 4 жыл бұрын
Waziri hekima 0
@paschalearbert3630
@paschalearbert3630 4 жыл бұрын
Jamani uyu jamaa mbona anatharau sana
@fabianayubu6738
@fabianayubu6738 2 жыл бұрын
Hajaanza Leo na simkubari sio Siri
@mako331
@mako331 4 жыл бұрын
Lukuvi kuwa na sauti ya upole kidogo wasaidie watu hawa wameonewa sana
@mukhsinsalum4677
@mukhsinsalum4677 4 жыл бұрын
wazir unapokea karatas kwa mkono wa kushoto mtu kakupa kwa mkono wa kulia daaaaaaaaaaa......
@zechariahhizza7755
@zechariahhizza7755 4 жыл бұрын
Dooh!!
@klaragreen7999
@klaragreen7999 4 жыл бұрын
Hapo angekuwa majaliwa. Wangeisoma no
@mamachris6811
@mamachris6811 4 жыл бұрын
Hivyo vitambi vya rushwa lazma vipukutike Hii awamu nyingine bhana !!!!!
@ebenezery12sarakikya85
@ebenezery12sarakikya85 4 жыл бұрын
Daah nikweli asee
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 4 жыл бұрын
Sasa walibadilisha matumizi ya Ardhi pawe mradi wa maji kisha mradi wa maji ukashindikana wakampa mtu mwingine hapo kuna kitu Mh Waziri masaidie huyu mzee. Kwa nini hawakumrudishia mazee akamuuzia anayemtaka kuna kitu hapo.
@jamali0017
@jamali0017 4 жыл бұрын
Waziri,na huyo molini sijui wote Ni viazi huezi chukua shamba la mzee na kumuuliza maswali ya kijinga Kama hayo kisa hakusoma srupid
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 2 жыл бұрын
Mana umiy msaidie huyu Babu samia mfanyien hisan msada Anasema hajui chochote maskin Dhulma vile ni mzee
@stamilimsabaha3882
@stamilimsabaha3882 4 жыл бұрын
Sasa heka zote 6hata kama ni mradi wa serikali kwann wasimlipe fidia wanyonge tunaonewa sana magufuli aje atumbue majipu huku
@leontaylor6011
@leontaylor6011 3 жыл бұрын
A tip: you can watch movies at flixzone. Been using it for watching a lot of movies recently.
@chadlanden3764
@chadlanden3764 3 жыл бұрын
@Leon Taylor Yup, been using flixzone for months myself :D
@yaelmilo70
@yaelmilo70 3 жыл бұрын
@Leon Taylor yea, I have been using Flixzone for since november myself :)
@dakotastephen5273
@dakotastephen5273 3 жыл бұрын
@Leon Taylor Yup, been watching on flixzone for since november myself :D
@aishamkomwa6125
@aishamkomwa6125 4 жыл бұрын
Hapo hekma.hakuna babu anatia.huruma
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Huyo waziri Hamna kitu
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 4 жыл бұрын
Iffah Bahet Ndiyo Mawaziri tulionao kwa sasa
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 4 жыл бұрын
Huyo mzee hawezi kukurupuka tu kudai haki yake
@jeannetteholbrook6958
@jeannetteholbrook6958 4 жыл бұрын
Kweli bro
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 4 жыл бұрын
Enzi hizo na miaka hiyo kalatasi zinatoka wapi au Mnataka kumuumiza zaidi jamani daah umaskini mbaya sana hata baba yangu amezurumiwa eneo kama hivi
@amribudi7870
@amribudi7870 4 жыл бұрын
Iwapo mmeshindwa kutumia eneo ni busara kuwarudishia wenyewe mliowanyang'anya.
@rehemajuma2202
@rehemajuma2202 2 жыл бұрын
Dah!
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 жыл бұрын
Ai masikini inaskitisha mzee kusimama hivi ati anadai haki yake nawakati hata kama ardhi sio yake angepewa bure kwakua ni mzee? Dhambi jamani v
@solomonmbuna7229
@solomonmbuna7229 2 жыл бұрын
Lukuvi Safi KABISA itafute haki ipo wapi .asanteeee.
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 2 жыл бұрын
Hiyo nienzi za hayati jpm sasa kimyaaa kanakwamba Shelia hazipo nawanyonge hawaonewi
@abdiabdi4299
@abdiabdi4299 2 жыл бұрын
Dhuluma ardhi imezidi Lukuvi pangua wote
@doricajosiah1075
@doricajosiah1075 3 жыл бұрын
Kwanza huyo wazili hananizam anaongea na mzee kakaa bila hata aibu rais mwenyewe anaongea nawatu kwanizam
@sammycharomwalili6728
@sammycharomwalili6728 2 жыл бұрын
Kuzulumu wazeee hii ni lana kubwa
@yasinishekallahakusaidi8766
@yasinishekallahakusaidi8766 4 жыл бұрын
Dharau kubwa jamani mbona kiongozi umekua hivi
@austinegona1415
@austinegona1415 4 жыл бұрын
Huyu jamaa anayeongea hana hekma na wazee
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 жыл бұрын
Austine Gona kweli kabisa
@evaristerelias7373
@evaristerelias7373 4 жыл бұрын
dah waziri amezngua hapa,kwanza sikia jaman hata anavoongea,huyo ni mzee jaman
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 4 жыл бұрын
Imekuwa Kam ule mchezo akija baba ntakusemea
@theroots2743
@theroots2743 4 жыл бұрын
Lukuvi hawezi kumsaidia huyo mzee ni muislam na lukuvi hawapendi madhehebu ya dini hio
@salmahamoud6134
@salmahamoud6134 4 жыл бұрын
Jamani mm nimezulimiwa ardhi tanga raskazoni na waziri a najuwaa nimezulimiwa na tonii tangaa akini hakufanya lolotee Leo hii nashaa ngaa anasaidiya wenginee
@MohamedAli-ho5fq
@MohamedAli-ho5fq 2 жыл бұрын
Uyu lukuvi anadharauv Sana Anazani atakuwa wazari mile That is wrong bro lukuvi
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 2 жыл бұрын
Ally happy ñdo mzur sn kuhusu Kutetea
@nuurinkluge7584
@nuurinkluge7584 4 жыл бұрын
Ohoo🤔😥
@modestermrogosho4219
@modestermrogosho4219 4 жыл бұрын
Masikini tunanyanyaswaaa lais tuangalie wanyongeee
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 4 жыл бұрын
Uyu lukuvi hiz dharau na kiburi amezitoa wapi? Mbona anaonesha dharau sana. Mmeona alivokabidhi iyo sijui hukumu. Dah. Au yupo pale kwashingo upande?
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 жыл бұрын
Steven msaaada. Msaada. yani km vile yy hajui kusoma mpk ampe mtu sio haki kabisa
@poulvevo4315
@poulvevo4315 4 жыл бұрын
mtakoma mwaka huu wapenda rushwa
@chrismbut4990
@chrismbut4990 2 жыл бұрын
Huu uwajibikaji ndio tunaoutaka ss sio kukimbilia marekani.
@ayoubchacha9090
@ayoubchacha9090 4 жыл бұрын
Waziri lukuvi nakuamini lakini Leo ziro sana, 84 ya nn? Babu apewe haki yake
@polycarpmicky4151
@polycarpmicky4151 3 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/i72SqNOhsMXUZ2w.html kwa heshima kubwa Karibu utazame wimbo huu neem ya tosha tunaomba USUBSCRIBE ASANTE
@fatmaone1152
@fatmaone1152 4 жыл бұрын
Huyu waziru anarau sn huyo baba kama mzee wako hajui hata kuongea na wakubwa kisa yeye waziri basi dunia yake kwann hamuigi rais wetu anavyo nyenyekea wanyonge
@amoneliakunda6978
@amoneliakunda6978 4 жыл бұрын
Tujifunze kutenga hisia zetu na kuitafuta kweli. Waziri yuko sawa maana hawezi tegemea maelezo ya MZEE tu na kutoa maamuzi, kama kiongozi lazima ajiridhishe so ngoja tumsubiri Mollel na vielelezo vyake
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 4 жыл бұрын
Amon Eliakunda sasa ndiyo aongeee kwa ukali aelewe huyo ni mzee kama Baba ake eti mbona Mheshimiwa Raisi yupo simple sana kuliko hata hao baadhi ya viongozi Duh
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 жыл бұрын
ishu ni jins anavyopiga na huyo mzee nikama anaongea na mtt wake
@merinaibrahimnampendayukov7007
@merinaibrahimnampendayukov7007 4 жыл бұрын
Angekuwa Rais au Majariwa mwafaka ungepatikana hapohap, lakin kwa hapo Hadi huruma kwa huyo mzee.!
@leonardmayunganyamfanka9623
@leonardmayunganyamfanka9623 2 жыл бұрын
Mzee naona km kunataka kuingia kautapel apo zimesha anza michoro kwaukal Nina shaka
@elesiaelia5280
@elesiaelia5280 4 жыл бұрын
Haki yake apewe
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 жыл бұрын
Jaman hzi dhuluma had lin
@amoneliakunda6978
@amoneliakunda6978 4 жыл бұрын
Sasa ukisema umpe haki MZEE tu bila kusikiliza upande Wa pili utakuwa hutendi haki. Lazima usikilize pande zote na ndo utoe maamuzi
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 2 жыл бұрын
Anamdhurumiwa Tu Babu
@auntdorah9141
@auntdorah9141 4 жыл бұрын
Sijaelewa!!!
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 2 жыл бұрын
Huyo anajibu vile ameona we umeregea
@kagamedimaria4787
@kagamedimaria4787 4 жыл бұрын
Tanzania kuna shida kweli
@ashamganga6636
@ashamganga6636 4 жыл бұрын
Mm kwa upande wangu sipendi huyu wazili anavyomjibu mzee huyu
@abdallahmakombo3866
@abdallahmakombo3866 4 жыл бұрын
Wee ungemjibu VP?
@raymondkaswaga8334
@raymondkaswaga8334 4 жыл бұрын
umejitokeza kueleza mzee kakuumbua.....ungetulia tu na ww
@manbanshaban9253
@manbanshaban9253 4 жыл бұрын
Huyu waziri ana madharau..
@halimarashidi5856
@halimarashidi5856 2 жыл бұрын
Sana tena ana adabu anarusha barua kwa dharau
@rajabukazi3153
@rajabukazi3153 2 жыл бұрын
Hayo madalaka yenu yasiwe fimbo kwawezenu. Huwezi kumtwanga maswali makali kama ayooooo. Hiyo mihaka halihe pata kiwanja mzee wewe hata shule umemaliza
@samuelmanunu1543
@samuelmanunu1543 4 жыл бұрын
Mmmmmmh, waziri think twice utapeli ni mwingi sana na mbaya wananchi walio wengi hawajui mambo ya sheria kama huyo Mzee na michoro wapi na wapi! Nyie wasomi ndiyo muwe zaidi kuelekeza na kuchunguza kama magufuli tunakukubali lukuvi but raia wapunguzie pressure hawajui nenda nao taratibu kaka matapeli yamejaa kuliko watenda haki ukitaka kuamini mfano mzuri kule Iringa Kwa mh ally Hapi anavyoyabana majitu ya ovyo kabsa ni utapeli tu watu wanaonewa anawasaidia sana huyu mh mungu ambariki sana kaka Hapi!
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 4 жыл бұрын
Hapo kilichofanyika ni baada ya kuliona hilo eneo walibadilisha matumizi ya ardhi haraka haraka na vikao vikakaa madiwani wanaitwa fasta wanapewa posho yao bila kujua eneo ni pa nani. Huyu ningelikuwa karibu naye nampa nauli anenda kwenye vyombo vya habari anaunguruma Magu angemsikia tu.
@winifridaeliasi4221
@winifridaeliasi4221 2 жыл бұрын
Lukuvi fanya kazi kama magufuli kumbuka fadhila huyo mzee apewe haki yake na umesikia kuna rushwa
@allyally7422
@allyally7422 4 жыл бұрын
Waziri anazarau sana anaipokea ile karatasi kwa mkono wa wa kushoto hii dharau sana
@gedionmario9009
@gedionmario9009 4 жыл бұрын
Kiboko Yao magufuli hawawengine Hiz kaz hawa ziwezi
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 4 жыл бұрын
Kweli kabsa
@mydearothman9693
@mydearothman9693 4 жыл бұрын
Mi nimeshadhulumiwa kwa njia hizo hizo
@salamasefu9434
@salamasefu9434 4 жыл бұрын
Sikh zote haki ya MTU aipotei umeula wa chuya
@salehkippy8232
@salehkippy8232 4 жыл бұрын
Huyu lukuvi anajibu short? Hajui kuongea
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 жыл бұрын
Rais mtarajiwa
@popekatalango9409
@popekatalango9409 4 жыл бұрын
Waziri anamuita mzee 'we bwana ' wakata hata rais huwa anawaita wazee. Acha dharau We Muhehe
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 2 жыл бұрын
Serikal ilimzulum
@sylvestercharles3585
@sylvestercharles3585 4 жыл бұрын
Duh... Nyie viongozi vijana muwe na adabu mnapokuwa mnahojiana na wazee, hao ni baba zenu viburi vyenu vya cheo muwe mnaviweka pembeni. Duh ... You young leaders be polite as you interview the elders, these are your fathers so it's very better to show respect to them.
@mamamanka1310
@mamamanka1310 2 жыл бұрын
Kuweni na Woga Mungu hapendi dhuruma Malipo Duniani
@clementinamsakwa3802
@clementinamsakwa3802 4 жыл бұрын
Mzee yupo sawa
@catherineshirima3906
@catherineshirima3906 4 жыл бұрын
Apewe haki yake
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 4 жыл бұрын
TENA HALAFU KAMRUSHIA
@emmanuelyusufu6568
@emmanuelyusufu6568 4 жыл бұрын
Jamani
@emmanuelyusufu6568
@emmanuelyusufu6568 4 жыл бұрын
Msaidien uyo mzee ajui ata kusoma
@clementinamsakwa3802
@clementinamsakwa3802 4 жыл бұрын
yaani hapo waziri nae anamrusha huyo Mzee hapo hakuna kitakachofanyika wanatafuta Kiki tu front page kwenye magazeti
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 28 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 20 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
MAGUFULI - "JANUARY MAKAMBA ALINITUKANA, KANIOMBA MSAMAHA, NIMEMSAMEHE"
3:24
Kasheshe Mkoani Iringa, Mama anadai Jeshi la Polisi
10:39
Millard Ayo
Рет қаралды 193 М.
MENGI KIBARABARA AZUA NOMA IRINGA/ MWANAMKE ANA WANAUME WATATU
12:29
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 28 МЛН