No video

"MAGUFULI HAKUNIELEWA KUHUSU COVID 19" ASKOFU RUWA'ICHI AFUNGUKA MSIMAMO WAKE WA COVID 19

  Рет қаралды 16,517

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

2 ай бұрын

Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

Пікірлер: 74
@charlesphilipo3533
@charlesphilipo3533 2 ай бұрын
Alikuelewa sana ndiyo maana alikuambia mtangulize Mungu ,,kipi hukuelewa ndugu ????
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 2 ай бұрын
Askofu Rwaichi Ni Mtu Aliyetoa Mchango Mkubwa sana Kwa Tanzania, Kanisa Katolic na Hasa Kielimu ni Mtu Msomi Ajabu, Mnyenyekevu Mwenye Uelewa Wa Kimataifa, Mwenye Kuinua Wengine Lakini Asiyependa Mzaha, Kuyumbishwa au Kutishshwa.
@mathiasmichael9915
@mathiasmichael9915 2 ай бұрын
Rest in eternal Peace our lovely President JPM you had the third eye.. That only few people have
@yohanafortunatus3368
@yohanafortunatus3368 2 ай бұрын
Wewe ndio hukumuelewa magufuri na genge lako,sisi watanzania tulimuelewa sana mpaka kesho kutwa, hiyo unayoongea leo ilikuwa misimamo ya magufuri,misimamo yako ilikuwa kufunga makanisa,kufungia watu ndani,kutuchanja kama kuku,rip JPM
@onesmoakwilini7197
@onesmoakwilini7197 2 ай бұрын
HOJA HEWA
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 ай бұрын
MMM itoshe kusema Asante Mungu wetu kwakutuletea jpm mtu aliyekubali kutumia maarifa Yake Yoote kwaajili yetu sisi tusieweza kumrudishia mm mtu akimtaja magufuli kwa ndivyo sivyo naumia
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 2 ай бұрын
Ilaumu COVID brother ndiyo ilifanya mambo yake
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 ай бұрын
@@rockcitynative9985 codid au parapa Ganda tu kufanya ubaya kwa wengine kujificha kwenye kivuli cha covid
@maduhueddy5076
@maduhueddy5076 2 ай бұрын
@@rockcitynative9985 acha ufala wewe Magufuli hakufaa sabab ya covid…. Mipango yake juu ya udharimu na watu wajinga ndie imemgharim basi…. Alishasema vita aliyoingia ilikua kubwa sisi tulio soma Zanzibar tulishaelewaaa mapema sana
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 2 ай бұрын
Asante Baba Askofu Simamia unachokiamini
@bensonelisa3225
@bensonelisa3225 2 ай бұрын
Jibu n mmoja wengi wa... n mabalozi wa itikadi zaki mangharibi kwenye nchi zetu hz
@themessengertz1237
@themessengertz1237 2 ай бұрын
Yesu angeComment hapa nahisi Angecomment neno gumu sana basi tu. 2032 Hakuna Shetani atavuka.
@amosmerama3680
@amosmerama3680 2 ай бұрын
Uzuri wa viongozi wetu wa kanisa katoriki kwanza ni wasomi,wapo integrated saana, hawana njaa za kipuuzi, I'm proud to be catholic member ❤❤
@melkiadeskalisto3721
@melkiadeskalisto3721 2 ай бұрын
Nao pia Wana makandokando yakutojua ku reason
@mkurangacnajemasabatochane4626
@mkurangacnajemasabatochane4626 2 ай бұрын
Mlimpinga Sana magufuli ,, Kwa maagizo ya shetani pope Francis kutoka roman Italy Leo marekani wamepata madhara ya chanjo mbona hamsemi ,, ????
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 2 ай бұрын
watasema nini wakati niwao waleta iyo covid-19 pia wao ao wakatoliki ndio wamemua mwamba wa afrika zama zake doctor magufuli!
@mkudembeteni4075
@mkudembeteni4075 2 ай бұрын
Baba Askos tuna kutumainia sana kama tunatarajia mwezi ujao tuwabarikie watoto wetu kwenye kukomunika simamia hilo kwanza baba
@user-eq9pw6cu5e
@user-eq9pw6cu5e 2 ай бұрын
Magufuli alikuwa na Imani kuliko hao viongozi wa dini alimwamini Muumba wake alijua kama Mungu ameumba atashindwaje kuponya, alionyesha ulimwengu kuwa yuko Mungu huko zilikotoka chanjo walikufa sana Marekani, Italy. Na viongozi wengi walimuchukia kwa kauli za viongozi wa dini walimchukia, Sisi kama wanachi na taifa Magufuli ndiye aliongoza watu Wake kiroho na kimwili ninyi mlikuwa kinyume na Mungu na Neno Lake.
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 ай бұрын
Kweli aisee
@deogratiasmashimbi2281
@deogratiasmashimbi2281 2 ай бұрын
Imani haipaswi kukufanya uwe mjinga. Imani haiwezi kukufanya uamini kwamba hata ukila sumu, hutakufa. Ni ujinga!
@BasilMocha-mi6mx
@BasilMocha-mi6mx 2 ай бұрын
Idealism imekukolea kweli, ww tumeambiwa huu ugonjwa ni wa virus ujikinge hivi alafu unaleta mzaha, ukifa useme ni mipango wa Mungu. Acheni kumtwisha Mungu mapungufu yenu.
@nicholouskabambo2688
@nicholouskabambo2688 2 ай бұрын
​@@deogratiasmashimbi2281soma Marko 16:17-18. Moja ya ujinga tulionao ni kudhani Kuna mambo Mungu anaweza na Kuna mengine hawezi. Na ujinga mwingine ni pale mtu mmoja anapojiona mwerevu na kuwaona wengine wajinga
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 2 ай бұрын
​@@deogratiasmashimbi2281Bangi zinakusumbua
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 2 ай бұрын
Tare 17 March 2021 ndio nilikuja kuamini kama Corona ilikuwepo na ilikuwa inaua.
@wilehardmaro3381
@wilehardmaro3381 2 ай бұрын
Dah hapa hapana.
@amosafrica2350
@amosafrica2350 2 ай бұрын
Wakati mwingine siyo lazima kuongea ndugu viongozi. Pumzika kwa amani JPM
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 2 ай бұрын
Leo hii watu hawafi una uwezo wa kuzuia kifo hubirini ufalme wa MUNGU sasa hiyo covid 19 iko wapi.
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 2 ай бұрын
Covid iliisha baada ya vita vya Ukrain
@byont33-11
@byont33-11 2 ай бұрын
Ameanza kupoteza wito na kuwa mdunia
@greysonmatogo4662
@greysonmatogo4662 2 ай бұрын
Hongera kwa utume baba askofu, wenye akili kubwa kama wewe nchi hii hamfiki kumi, ndo maana sio rahisi kukuelewa kama ambavyo Kristo hakueleweka kwa wengi na akasema yeye ni jiwe na kujikwaa na wote waliojikwaa kwake jiwe hilo limewaangukia na kuwasagasaga.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 ай бұрын
Mimi. Hata Sasa namtegemea Mungu na hata milele Imani ya magufuli inaishi ndani yangu tutaungana kwa mengine lkn kuhusu njia alizo tumia jpm kuhusu corona ni sahihi kwa wanadamu
@stephanomsuya9414
@stephanomsuya9414 2 ай бұрын
Siku ya kufa ikifika hata Chanjo haizuii kifo, wapo waliochanja na walifariki JPM was 100% right kwenye msimamo wake.
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 2 ай бұрын
Nakuuunga mkono
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
JPM tunakukumbuka daima kwa misimamo yako
@yonalazaro6632
@yonalazaro6632 2 ай бұрын
Hiyo ndio sehemu pekee nilipoona haukua na msukumo wa kiimani
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 2 ай бұрын
Hapo ndo uliukosa u kadinali
@nevisao3182
@nevisao3182 2 ай бұрын
Kwani ukasinali unatolewaje? Au magufuli ndo alimwambia pope asimchague kuwa cardinali😂😂
@melkiadeskalisto3721
@melkiadeskalisto3721 2 ай бұрын
Hawa jamaa walifaulu mitihani ya theology.... Askofu hana usahii wowote ktk hili na Magu alimzid maono .
@George-jz3jg
@George-jz3jg 2 ай бұрын
Kuna unachojikomba bishop ruachi kwa samia hayo mawazo ya watu waendelee na kazi zao ilikuwa uamuzi wa jpm leo wewe unageuza kuwa lilikuwa wazo la kwako wewe ivi mzee kama wewe na askofu kabisa unageuzaje maono ya mtu mwingine kuwa na maono yako wewe.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Huyu nae kashaanza ukupe na anachojikomba atakupa
@josehmark
@josehmark 2 ай бұрын
Hujamwelewa
@yohanafortunatus3368
@yohanafortunatus3368 2 ай бұрын
Upo sahihi mkuu 🙏
@paulbaharia410
@paulbaharia410 2 ай бұрын
Sasa huo ugonjwa uko wapi?
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 2 ай бұрын
Si ulipita?
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 2 ай бұрын
Mungu hashindwi RIP JPM
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 2 ай бұрын
NAFIKIRI WEWE NDO HUKUMWELEWA NA ULIMCHUKIA SANA .YEYE KWA COVID HAKWENDA NA UPEPO WA WENGI ALIWATIA WATU NGUVU NA KUCHANJA HAKUWAOKOA WENGI HATA KIDOGO
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 2 ай бұрын
Chadema
@byont33-11
@byont33-11 2 ай бұрын
Nadhiri ya UFUKARA imesha potea miongoni mwao
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 2 ай бұрын
Kuna watu wanatumia coment hizi kutangaza ujinga wao Sasa wewe na ujinga wako unaweza kuoji juu ya maasikofu na uelewa wao maasikofu na mapadli ni wasomi wa kiwango Cha juu kuliko maraisi unaowajua wewe tz awa elimu za kunjunga feki ni wasomi kweri na niwalimu wazili ila wewe kwa upumbavu na kukisa elim unabwabwaja
@maduhueddy5076
@maduhueddy5076 2 ай бұрын
Acha upimbiiii wewe , wangekua na akili wasingekubali agizo la Mungu la kuzaa na kuish na familia zao… kutokuoa hao jamaa ni utatatibu tu wamejiwekea na sio agizo la Mungu… Magufuli alikua ni PhD holder pimbi wewe tena ya science… hao maaskofu na mapadri hamna imani hapo
@peterkanja4765
@peterkanja4765 2 ай бұрын
Na thesis yake ikawa haipatikani hadi mipango ilipofanywa.?
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 2 ай бұрын
Use your brain
@maduhueddy5076
@maduhueddy5076 2 ай бұрын
@@peterkanja4765 hauwez pewa phd na chuo kikubwa Kama udsm bila published paper… alipokua akiitetea wapo waliomuona 2007 pale …. Sasa Kama haikuako si ujinga wa chuo kutoa cheti na alitunukiwa na Rais kikwete kwa wakat huo
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 2 ай бұрын
Huyu jamaa kama ni mchaga bas lazima,bas hatushangai kupingana na jpm ,,,wachaga kakikund flan hv ambacho kanaujinga ujinga mwing
@onesmoakwilini7197
@onesmoakwilini7197 2 ай бұрын
Tope kichwani
@alexanderkumbusho416
@alexanderkumbusho416 2 ай бұрын
We ndiyeee mjingaa
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot 2 ай бұрын
Shoo,,rwaich cjui ruach,,,na wengne weng wachaga wachaga,,,maguful aligusa maslah yao kimsing wamezoea kuish kwa wiz,utapel,,so kagusa maslah yao wakaanza kuteteana
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 2 ай бұрын
Bhana acha kurudisha mambo nyuma!..km umepewa fungu lako usituletee chanjo zako,..chanja mwenyewe!..sisi hatuchanji!..tunatumia tiba asili zetu,..acha ujinga kumtaja Magufuli asiyeweza kujitetea sasa hivi!..madili yenu nawazungu hatutataki chanja mwenyewe!
@BasilMocha-mi6mx
@BasilMocha-mi6mx 2 ай бұрын
Kwani amekwambia ukachanje? Yeye ametoa ufafanunuzi kwa kile alichoamini
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Ache kumtaja JPM ajisemee mwenyewe kwani lazima amtaje uncle
@peterkanja4765
@peterkanja4765 2 ай бұрын
Amemtaja kulingana na swali aliloulizwa asingeulizwa hivyo asinge mtaja na kwanini huyaki atajwe kwa huyo askofu yeye magufuli alikuwa kondoo wake tu na si zaidi ya hapo akiyaka kuwa mbuzi atarekebishwa ipasavyo
@peterkanja4765
@peterkanja4765 2 ай бұрын
Magufuli alikuwa Rais lakini kwenye anga za huyo askofu magufuli ni kondoo tu akila mahindi ya watu , kugonga wenzie lazima arekebishwe. Mariam unacoment usicho kijua na udini umekujaa .
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 2 ай бұрын
Huyu cyo askofu ni mamluki tu wala hawana lolote! Mbona ww hukufa? Hii mizee mingine bhana sasa uaskofu wako ni upi kama huwezi kumtumaini Mungu?
@albertjames6845
@albertjames6845 2 ай бұрын
Wewe dawa za hospitali unamezaga za nini si umtumainie Mungu tu inatosha?
@petermbuja3783
@petermbuja3783 2 ай бұрын
Maghufuli alikuwa sahihi na Mungu Akuhurumie wewe
@juliusbedda4405
@juliusbedda4405 2 ай бұрын
Kumtukana Askofu, ni hatua ya mwisho kabisa ktk kufuzu kuwa mtoto wa shetani. I hope you may be one day! All the best
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 2 ай бұрын
Askofu anasema tutumue talanta za mwenyez mungu Anashauri tahazar mhimu sana kwenye maisha ya mwanadamu Ila pia tujue ufahamu wa maskofu kuelimu na kiroho upo juu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Ruaechi ni MUNGU? Sio yeye slojingatangata kuhusu tamko la papa au ni mwingine, mwenzie aliweka wazi kuliko abariki ndoa za jinsia Moja atabariki jiwe likajengeee, ache propaganda
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 12 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 28 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 23 МЛН
Hali ya Askofu Ruwa'ichi aliyelazwa MOI yazidi kuimarika
1:09
What Makes Great Salespeople Great
24:16
BrooksGroup
Рет қаралды 432 М.
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН