KIPINDI MAALUM CHA RAIS DKT. MAGUFULI NCHINI AFRIKA KUSINI ,NAMIBIA NA ZIMBABWE MEI 2019
Пікірлер: 34
@henrickchambilo48065 жыл бұрын
Best president in world
@josephsureeliajosephmion9997 Жыл бұрын
RIP comred JPM itatuchukua miaka mingine kumpata kiongozi ainayake maana alisema ipo siku tutamkumbuka nasasa tunamkumbuka tukiwa mayatima pumzika kwaamani Kaka dunia badoinasikitika.
@wailesdeus37645 жыл бұрын
Safi sana rais wetu
@ababuumwana51025 жыл бұрын
Love u My President Tanzania yetu Taifa letu Amani yetu Maendeleo mbeleee JPM Unatosha miaka 40
@audifasmassera12895 жыл бұрын
Kabisa kabisa, umenena vyema.
@emmanuelmasito5 жыл бұрын
Ahsante sana Ikulu kwa hii.
@SuperKibwana5 жыл бұрын
Asante sana kwa juhudi zenu za kutuhabarisha. Mungu ibariki Tanzania na Viongozi wake, Mungu ibariki Afrika.
@thamu31335 жыл бұрын
Kumbe tanzania tulikuwa hatuna urafki na majiran zetu,Magu Mungu akupe uzma baba kwa kutuunganisha had marais wanafurah sana
@abcswahilii33225 жыл бұрын
Rais bora kabisa afrika...
@masagapaul50395 жыл бұрын
Rais wa Africa. Hongera sana Rais wetu mpendwa, Asante SADC
@peterniboye34625 жыл бұрын
We are proud with our President...
@grediuce70395 жыл бұрын
Ahsante sana Rais wetu
@mswanawamswana31295 жыл бұрын
Mmefanya vzr kutupatia ufupisho huu wa ziara za mkuu wa nchi yetu tukufu ya Tanzania
@athumanomary14385 жыл бұрын
Asante san mwenyez MUNGU kwa upendo wako mkubwa kwa viongozi wetu ewe mwenyez MUNGU mkuu
@tozzaalexandar49055 жыл бұрын
Safii magu upo vyema mkuu
@freddymello32275 жыл бұрын
Uwanja umelipuka kwa ndelemo na vifijo jinsi wanavyomkubali Simba wa Tanzania!!!nimepapenda hapo alipoingia uwanjani tuu.imenisaidia kuhakiki mawazo yangu kuwa J.P.M ndiye raisi bora barani Africa na anakubalika ndani na nje ya nchi. Asante sana kwa clip nzuri!!
@yusufuheri65243 ай бұрын
Mashaalah
@lomnyakijohn86725 жыл бұрын
Kweli huyu mzee wetu mungu ampe afya na nguvu na miaka tele
@romeoromeo41255 жыл бұрын
Ahsanteni, ila mjitahidi kutuwekea mapema, mda unakuwa mkubwa. Au mpaka tulalamike kwa JPM atumbue kitengo cha mawasiliano!!!
@kadirdhulfiqaar78209 ай бұрын
😢😢Endelea kupumzika kwa amani
@henricokanogu22235 жыл бұрын
Magufuli Oyeeeeee
@mokhimji5 жыл бұрын
1:21 - JMK nudged JPM "Oya Chuma, Waage basi na Ishara wakuone mpole kidogo" hahaha
@tituskidava21695 жыл бұрын
🤝
@erickpascal22495 жыл бұрын
Rais ambae natamani akae madarakani mpaka mwisho wa uhai wake ni DR Joseph John Pombe Magufuri ! Kwa sababu kadha wa kadha !
@audifasmassera12895 жыл бұрын
Kabisa kabisa, maneno matupu hayashibishi, mpendwa sana rais wetu amelitambua hilo kwake Ni VITENDO zaidi, wazo lako ni zuri sana.
@erickpascal22495 жыл бұрын
@@audifasmassera1289 sawa ndugu yangu ! Tumuombee Rais wetu anafanya Kazi kubwa sana sana ! Mimi namuunga mkono kwa jitihada zake kwa 100% kabsa , mifumo mingi na uendeshaji wa taifa letu umerudi kuwa katika muundo wenye kuleta maendeleo ya Nchi yetu na sisi wana Nchi ! CCM HOYEEEEE
@flowinkilangira15455 жыл бұрын
😂😂 naona wazee zilipigwa mpka za akina Less wanyika hukohuko kwa mnangangwa???
@geneouscravery3428 Жыл бұрын
Ok
@samuelndalahwa34235 жыл бұрын
Misheni maalum ya kutangaza soko LA ajira ya Ualimu wa Kiswahili hongera Mwl Magufuli
@anthonymaganjo16465 жыл бұрын
The guy doesn't know English.Poor Magufuli.Lowassa oiyee
@audifasmassera12895 жыл бұрын
@@anthonymaganjo1646 hao wanaojua English wamefanya nini cha mfano?
@audifasmassera12895 жыл бұрын
@@anthonymaganjo1646 kwa nionavyo mimi, kinachotakiwa ni uwezo wa KUONGOZA si lugha.