No video

Mahojiano kamili ya Tundu Lissu na Zuhura Yunus

  Рет қаралды 868,492

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Пікірлер: 665
@hafidhiathumani9156
@hafidhiathumani9156 5 жыл бұрын
Rais wangu 2020,kama unamkubali lissu gonga like hapa
@amanistephano5208
@amanistephano5208 5 жыл бұрын
Hafidhi Athumani rais ni magufuli had 2025 na hapo atatawal mwingin ila sio lusu na ukawa. ccm mbele kwa mbele
@hafidhiathumani9156
@hafidhiathumani9156 5 жыл бұрын
@@amanistephano5208 2020 utakua umepotea kama utaweka ndio kwa ccm
@gracetitus9963
@gracetitus9963 5 жыл бұрын
Hafidhi wewe una kura moja tu. Good luck kama hiyo kura moja itampa urais.
@jenifakalinga6819
@jenifakalinga6819 5 жыл бұрын
Huyu jamaa hana spirit ya uongozi. Anaonekana amejaa chuki na visasi.
@hafidhiathumani9156
@hafidhiathumani9156 5 жыл бұрын
@@jenifakalinga6819 wala sio chuki na visasi anaongea ukweli mtupu jenifa
@mirajilugoda7091
@mirajilugoda7091 5 жыл бұрын
Wakwanza mwenyewe gonga likes kwa mzee Lissu kama unamkubali
@ismailnkumbi9864
@ismailnkumbi9864 5 жыл бұрын
Miraji Selemani
@ashambwana1941
@ashambwana1941 5 жыл бұрын
nchi,kafu
@lucaspaul7308
@lucaspaul7308 5 жыл бұрын
this man is too brilliant..saluti sana
@neemasanga416
@neemasanga416 5 жыл бұрын
dada wewe ni mtangazaji haswaaa! mungu akubariki sana.
@reganzawadi4965
@reganzawadi4965 5 жыл бұрын
Akili kubwa, wakili msomi, karibu sana Tanzania.
@fredymushy9674
@fredymushy9674 5 жыл бұрын
Lisu unaishi kwenye mioyo ya watanzani walio wengi
@markosamuel6490
@markosamuel6490 5 жыл бұрын
List Yangu ya wabunge ninao wakubali Mimi binafsi bila kujari chama chochote top ten : (1) freeman mbowe (2)zitto Zuberi kabwe (3)Peter msigwa (4)Livingston lusinde (5)Hussein bashed (6)Abdlallah ulega (7)Nape Nauye (8)Esther bulaya (9) waziri Wa katiba na sheria Palamagamba kabudi (10)Goodluck mlinga
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Wewe kivuruge unatumiwa sasa ni marehemu Rais wetu magufuli wewe kila kitu unamshutumu kila kitu afanyacho cha maendeleo ulikuwa unampiga vita s
@clementdiyay1544
@clementdiyay1544 4 жыл бұрын
Tundu Lisu your a good example to other politicians in Tanzania actually I appreciate you.
@eliasayasini1466
@eliasayasini1466 5 жыл бұрын
Kusema ukweli niliahidi kuto piga kula tena ila Lissu ndio mtu peke ambae naimani nae kwenye siasa
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 5 жыл бұрын
Kama mimi tu nliahid kutopga ten ila jamaa ntampgia
@lutherking3666
@lutherking3666 5 жыл бұрын
Sure
@gorgonusshayo920
@gorgonusshayo920 5 жыл бұрын
Eliasa Yasini . mpaka nmesisimuka. Umeongea.
@foztz2249
@foztz2249 5 жыл бұрын
Nakuunga mkono
@ayubuyusuph6388
@ayubuyusuph6388 5 жыл бұрын
Ww haunaakili kabisa unauchungu nanchi pekeyako?
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 5 жыл бұрын
Upinge usipinge,mheshimiwa Lissu ana akili sana,anajua kuijenga hoja,maswali ya muandishi ya kimtego,ila mzee lissu anaakili kupambanua....kama unayetizama una akili timamu.....pambanua alivyosema fulani amefanya uzuri kwa kuwa mtu pekee anayetunza haki za binadamu,mtazamaji pambanua vizuri
@gracetitus9963
@gracetitus9963 5 жыл бұрын
Machas utajuwaje Lissu Ana akiri ukiwa wewe mwenyewe huna?
@noelymlimbila1170
@noelymlimbila1170 5 жыл бұрын
Fact
@sir_ENOCKMACHA
@sir_ENOCKMACHA 5 жыл бұрын
@@gracetitus9963 wewe una matatizo ya akili,karibu kwenye mti
@mohamedramadhani4189
@mohamedramadhani4189 5 жыл бұрын
MACHAS OFFICIAL SITE u are right
@shabannyankuli8807
@shabannyankuli8807 5 жыл бұрын
grace titus i like it grace titus
@shebybrown9071
@shebybrown9071 5 жыл бұрын
weeeeeee atininiiiii......raisi 2020 nimmojatuu magufuli please like kwa magufuli ........
@anitaprincess4290
@anitaprincess4290 5 жыл бұрын
Mwenyez mungu akulinde na hao watu wasio julikana 2020 kura yangu Unayo tayar Tanzania ya sasa ni yawatu wasio julikana mauaji ya kutisha utekaji wa watu dah mungu inusuru Tanzania
@aurora2010ist
@aurora2010ist 5 жыл бұрын
Kweli kaka, hakika huwezi jua thamani ya kitu hadi ukikose, hatukujua thamani ya uhuru, sasa tunaijua barabara.
@shaibuhamisi8715
@shaibuhamisi8715 5 жыл бұрын
asante da zuhura kwa interview nzuri..
@babazizu1255
@babazizu1255 5 жыл бұрын
Ccter anamuuliza maswali ya mantk Sana na lissu anajibu ipasavyo Ahsnte Sana Lissu
@brunomhagama1880
@brunomhagama1880 5 жыл бұрын
yale maswali magum sana ukiangalia zuhura kama anaegemea sana sehem moja iv ila lissu yuko very bright kujib na wala hapanik
@rajabkisebengo9406
@rajabkisebengo9406 3 жыл бұрын
@@babazizu1255 ipo mijitu inasema anaulizwa kingine anajibu kingine wakat wenye akili timamu wameona alivyofanya vya maana ni ivyo sasa hata wana habari wenyewe wanaogopa kumuuliza maswali mkulu sababu hafikiki japo yupo karibu tu
@labannigaluss335
@labannigaluss335 5 жыл бұрын
pole sana tund urais kagombe singida
@charleserasto9991
@charleserasto9991 5 жыл бұрын
labanni galuss pole sana
@hadijasalum2056
@hadijasalum2056 5 жыл бұрын
@@charleserasto9991 huko singida kumshinda kakimbia seuze Tz?
@tanunewstz
@tanunewstz 5 жыл бұрын
Wapinzani hawana la kuwambia watanzania wamebaki kubwabwaja tu kwakua wasionekane wakiwa kimya pia lissu nadhani ndie mbunge asiejielewa kuliko wabunge ote ni mpuuzi tu hawezi kua mtu asieona maendeleo anayoyaleta JPM th president of TANZANIANS
@ibrahimwerejuma4816
@ibrahimwerejuma4816 5 жыл бұрын
Hapa kazi tu
@yunusabdulwallace3801
@yunusabdulwallace3801 5 жыл бұрын
Lissu mjinga sana.ataka kila linalofanywa kuchunguza tukio lake lisemwe hadharani? Anatumiwa na wazungu huyu watanzania tuwe makini.
@Nyanda506
@Nyanda506 2 ай бұрын
Tudu upo sahihi sana kaka..Mungu yupo na wewe daima
@naseebalmas5913
@naseebalmas5913 5 жыл бұрын
Utasubiri sana, wapiga kura halali tunasongesha gurudumu na hatutumiwi na wamataifa.
@alquinmadoro6090
@alquinmadoro6090 5 жыл бұрын
Welcome back home Tundu lissu
@edwardlutema8800
@edwardlutema8800 5 жыл бұрын
Lazima niwe mkweli ili niwe huru siasa za tundu lisu nazichukia sana pale anaposema Tanzania Tususiwe,Tunyimwe misaada,Tuzomewe wewe ni msaliti wa nchi yetu mama Tanzania hautufai
@saidbanga
@saidbanga 5 жыл бұрын
Kuna Elimu ya maneno na Elimu ya Vitendo watu wengi tunashindwa kutofautisha wasomi tulionao wanatumia vichwa vywao na elimu zao katika vitendo au maneno..!! Wapo ambao wakiongea wanajua kupanga hoja na utapenda lakini vitendo zero na wapo ambao hawajui kuongea ila ukimpa atende kwa kutumia elimu yake utapenda..!! Tanzania Watanzania...!! Kila mtu anafalsafa yake katika maisha huwezi taka falsafa zako wewe wengine wazikubali hata uwe mwema kiasi gani watu watakupinga tu... ikiwa mitume ilipingwa Mwenyezi Mungu Mwenyewe watu wanampinga Vipi mimi nawewe...?
@gipsonjaphet861
@gipsonjaphet861 5 жыл бұрын
Kwa kweli BBC uko good
@joojombi4054
@joojombi4054 5 жыл бұрын
Umeulizwa mazury aliyo yafanya mpk sasa unajibu pumba. Hata humuogopi mungu aisee. Pole saana
@emanuelthomas2379
@emanuelthomas2379 5 жыл бұрын
Huna Sera Ikungi imekuchoka wewe unaleta maneno... Au tukupe maendeleo ya Ikungi??
@abdulswamad2859
@abdulswamad2859 5 жыл бұрын
good very good lisu ukosawa ulicho kizungumza.
@nellystermutta6372
@nellystermutta6372 5 жыл бұрын
.
@samsonngakama8765
@samsonngakama8765 4 жыл бұрын
Mungu humlinda mtu muovu ili mtu mwema anapo balikiwa abaki akijionea kwa macho, lysu si wa kwanza kuwa mgumu wa nafsi toka enzi mungu aliwafanya watu kama hawa wawepo ili Taifa litambue mtu wa Mungu kwa wakati wake, sasa ni zama za JPM, lysu tulizana kabisa, wazoee mitume wengine sio kwa mtume huyu mteule wa Taifa letu.
@barakambisa96
@barakambisa96 5 жыл бұрын
2020 president to be,thumbs up who Appreciate
@sweetbahati
@sweetbahati 5 жыл бұрын
Mh Lissu is my president 2020...God bless you sir
@brightonshakila6406
@brightonshakila6406 5 жыл бұрын
Hahaaaahaaaaah
@nazarethkaanani545
@nazarethkaanani545 5 жыл бұрын
Zuhura yunus hongera sana mama unaijua kaz yako una uliza swali ya msingi sana alafu namuona msomi ana potea kabisa kwenye point. Narudia tena ita chukua miaka 100 CCM kutawala coz wapinzani wake Bado hawajielewi nini wanacho kitafuta
@halimamshana860
@halimamshana860 5 жыл бұрын
Fact!!!!
@salehkhamis343
@salehkhamis343 5 жыл бұрын
Akili zako zimekaa sehem ya hajakubwaa
@africatanzaniatours
@africatanzaniatours 4 жыл бұрын
@@salehkhamis343mavi kweli wewe
@pascalijacobo7327
@pascalijacobo7327 4 жыл бұрын
G
@pascalijacobo7327
@pascalijacobo7327 4 жыл бұрын
K
@evansm8802
@evansm8802 5 жыл бұрын
I respect this lawyer
@princebaissa2506
@princebaissa2506 5 жыл бұрын
ufai kuwa raisi bola mwenyekiti wa singida vijijini
@issazakaria9704
@issazakaria9704 4 жыл бұрын
Good sana Zuhura Yunusu wewe ni international journalist nakukubari sana mama
@nicolausjoseph3670
@nicolausjoseph3670 5 жыл бұрын
Saf sana mh lisu karb tz ila kuwa makini
@fadhilmwami1478
@fadhilmwami1478 5 жыл бұрын
Napenda kazi zenu bbc..mko vzuri..Ila nina maoni kwenye picha zaidi.. Overshoulder na medium close up ni chaguzi chache sana kwa picha..kungekua na long shot..close up ya mtangazaji wakati anasikiliza na close up ya source pia wakat anasikiliza ingependeza zaidi..
@emmanueltesha5612
@emmanueltesha5612 5 жыл бұрын
Kila rais anaepita nakumaliza mda wake akija mwengine mnasema bora aliyepita.uhuru waliulilia lybia nakusema ghadafi hafai lakin tazama Leo lybia Vita Kila Leo.hatukatai katiba Ila mkubali kile ninachofanywa
@ahmedjaluu939
@ahmedjaluu939 5 жыл бұрын
Emmanuel teshx a
@rashidtwaha7699
@rashidtwaha7699 5 жыл бұрын
Nashangaa waTZ limbuken wanaomuunga mkono huyu mtu dunian hakuna nchi yenye amani na uhuru kama tz...ndio HAPA KAZI TU Mwenzio kaja na hamasa kua watz tusilalie maskio tupije kazi
@muhajiryayub7406
@muhajiryayub7406 5 жыл бұрын
Wahenga walisema akili nyingi zinaondoa maalifa, Mheshimiwa Lisu ukipata nafasi nyingine yataje mengi uliosema Rais Magufuli ameyafanya na sio malalamiko
@davidchesco52
@davidchesco52 5 жыл бұрын
MUHAJIRY AYUB daaaah kweli yan akili imezid maarifa yamekimbia
@edisonmjema2620
@edisonmjema2620 4 жыл бұрын
Yanayo fanyika siyo hisani mzee nikodi zetu
@gervasyemba440
@gervasyemba440 5 жыл бұрын
Kati ya watu ambao wanaiharibu jamii ni wasomi ambao fani zao huzigeuza kuwa mtaji. Watanzania hawahitaji hayi Lissu wanataka maendeleo kiuchumi, kumbuka freedom na economy ukivitumia vibaya utakuta haviendani. Nyumbani ukiwa na uhuru wa kila mtu afanye atakavyo utazalisha wezi, vibaka, changudua, wazembe, walalamikaji n.k Mataifa mengi yaliyoendelea yalitenganisha uhuru na uchumi. Hata marekani yenyewe HAKI ZA BINADAMU mdomoni kiutendaji hapana kitu. Wamarekani milioni 400 wanaamuliwa nani awe rais na watu 538 tu. Wanajua asilimia kubwa uhuru huharibu mind za watu na kuzalisha non profitable generation. Tundu lissu tunahitaji economic strategies kulinasua taifa letu sio hayo unayoyasema ambayo walioyaanzisha hawayaamini pia. Ufaransa kaweka ndani waandamanaji hajui haki za binadamu????
@rashidiasantemwalimngandil4890
@rashidiasantemwalimngandil4890 5 жыл бұрын
Gervas Yemba safi sana nimekuelewa
@tisamokebule302
@tisamokebule302 4 жыл бұрын
Tukae chini tujitafakali kama nchi naiona chuki zaidi baina ya viongozi na baina ya wana siasa faida za chuki ni maumivu au kutesana uone mfano Wa Tundulisu Mungu atusaidie Watanzania
@bonifacebenny2733
@bonifacebenny2733 5 жыл бұрын
Maswali mazuri sana ya Zuhura Yunus ila hujajibu hata moja... ungejibu vyema ungejiweka kwenye nafasi nzuri sana ya kuaminika ila sasa umepiga propaganda hadi mwandishi amebakia kukushangaa tu...
@jamessadala3365
@jamessadala3365 5 жыл бұрын
Boniface Benny akili xenu mpaka ujikwae ndo ufikili kamaanisha nn koo ni vigum xana kwaakili ako kumwelewa
@estheregito4498
@estheregito4498 5 жыл бұрын
Wakati mwingine kumuelewa ndo inakuwa tabu
@ramadeguzman8695
@ramadeguzman8695 5 жыл бұрын
Tundu lissu utashinda urais 2020 mungu yupo pamoja na wewe
@muhammadsalim7936
@muhammadsalim7936 4 жыл бұрын
Ndoto hizo
@elinazasendoro9951
@elinazasendoro9951 5 жыл бұрын
You are born to be a leader the next president tz 2020
@yonattwo5083
@yonattwo5083 5 жыл бұрын
Mimi kura yangu lazima nikupe umeacha hata Mwanangu nimemuita Tundu Lisu maana niliona kimuita Lisu haitaleta maana
@yusuphhalili2106
@yusuphhalili2106 5 жыл бұрын
Tundu lissu anacho kisema nichakweli kabisa mungu amjaalie tundu lissu
@florajoseph3550
@florajoseph3550 5 жыл бұрын
pipoooooz walioko humu jamani Lissu 2020👣
@laurencekipamet2042
@laurencekipamet2042 4 жыл бұрын
Lissu 2020
@rajabkisebengo9406
@rajabkisebengo9406 3 жыл бұрын
Power Lisu 2020
@fredinarndmashauri1500
@fredinarndmashauri1500 5 жыл бұрын
Unanena hekima nzito sana. Mungu akulinde ndoto zako zitimie juu ya taifa hili. Uhuru ni kitu cha thamani.
@florafilbert9817
@florafilbert9817 5 жыл бұрын
Magufuli is the best
@aridiyahya8049
@aridiyahya8049 5 жыл бұрын
Sisi raia tuko free na tunafanya kazi. Labda wanasiasa hawako free tena na propaganda zao. Ufree tulionao unatutosha ukizidi hapo basi ni uharibifu. Hata mwizi akiiba anataka awe free asikamatwe. Hata mtu akitukana au akapiga anataka awe free.
@barick
@barick 5 жыл бұрын
Unafaa kua Raisi wetu Mungu yu mwema tuko pamoja sana
@ayoubmogassa8754
@ayoubmogassa8754 5 жыл бұрын
kwani lin aliwawai kusema yeye ni mungu?lissu kama vile ana mambo yake binafsi na mkuu wa nchi
@Felix72282
@Felix72282 5 жыл бұрын
Utasubiri sana. Urais utausikia redioni
@agnessnkugwe615
@agnessnkugwe615 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwa uhai wa Lisu
@nyandaboyagayaa2964
@nyandaboyagayaa2964 5 жыл бұрын
Welcome LISSU nwanaharakati wa Tz na Africa..MUNGU akusaidie my Future Presdent
@nguzomudy9085
@nguzomudy9085 5 жыл бұрын
lisu pole sana kwa kushambuliwa na risasi nanazidi kukuombea dua uzidi kuimarika naamini ipo siku utatutumikia watanzania wote ukiwa ndio rahisi mpenda haki na msema kweli
@yusuphmohammad1385
@yusuphmohammad1385 5 жыл бұрын
Brother we njoo tu upumzike huku rais ni mmoja tu magu 2025 Hatuimbi wimbo mwengine... Ni heri ya alieanza na matokeo tunayaona kuliko mpya atakae anza na sifuri
@gracegrace6200
@gracegrace6200 4 жыл бұрын
Dakitari wangu, lugha ya Mobutu Seseko. Kaa huko huko, hatukuhitaji Tanzania. Rais MAGUFULI ana jukumu la kuangalia maisha ya Watanzania millioni 55 Tundu Lissu sio mmojawapo.
@kasimugullum5862
@kasimugullum5862 5 жыл бұрын
Karibusana tanzania, tunakutakia kheri nyingi
@m.amanitv8534
@m.amanitv8534 5 жыл бұрын
Mwenye Akili finyu kama ya Tundu Lisu Like hapa
@josephinekicheleri860
@josephinekicheleri860 3 жыл бұрын
Kwa kweli lissu maswali unayoiliza yanakusuta. Wew uwezi kuongoz nchi hii gombea iraisi ubergiji wazungu wakuchague.ona jinsi maswali yalivyokuelemea ....umeshindwq kujibu .
@nicholaschalle8288
@nicholaschalle8288 5 жыл бұрын
Lissu Umetikisa Mti ambao alikuwa nyoka juu yake, na amedondoka na kuchanika tumbo,
@alexanderhassan3747
@alexanderhassan3747 5 жыл бұрын
Nguvu zakuzunguka ulaya unapata, lakini nguvu za kuja Tanzania Huna!!!??
@brysonnicholaus5369
@brysonnicholaus5369 5 жыл бұрын
Huna jipya
@johngibson3089
@johngibson3089 Жыл бұрын
Asante Lissu
@chaggaboy8413
@chaggaboy8413 5 жыл бұрын
karibu kamanda wetu lisu
@jozuerwetabula4039
@jozuerwetabula4039 5 жыл бұрын
naiona libya tz kwa mbaliiiiiii mungu tusaidie cc.
@eddynyaki5539
@eddynyaki5539 5 жыл бұрын
Magufuli mpaka 2025
@bilalimursali7618
@bilalimursali7618 4 жыл бұрын
Haswaaa
@tanunewstz
@tanunewstz 5 жыл бұрын
Jamaa anahic kama kakosewa kuzaliwa TANZANIA wapinzani tumewanywesha dawa yao sasa wamekua waropokaji CCM na DR JPM OYEEEE
@jafarinapinda5985
@jafarinapinda5985 5 жыл бұрын
Mungu akubark kk angu kwa ndoto zko
@benjaminwerema8758
@benjaminwerema8758 5 жыл бұрын
Tundu umefeli kwakila kitu bora ungeachana nahayo mambo ufanye kilimo naufugaji
@musabombo6798
@musabombo6798 5 жыл бұрын
your presdent of the republick of Tz love you lissu
@ngalawekikohingalawekikohi4768
@ngalawekikohingalawekikohi4768 5 жыл бұрын
Good
@jafetzmwacha1503
@jafetzmwacha1503 5 жыл бұрын
2020--oyeee Lisu oyeeeeeh piople 🏁
@semanasitv8303
@semanasitv8303 5 жыл бұрын
kura 2020 kwako ✌✌✌
@petermakungu5400
@petermakungu5400 5 жыл бұрын
Huyu jamaa akili yake sasa hivi sawa na chid Benz maana anaulizwa kingine anajibu kingine
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 3 жыл бұрын
@@petermakungu5400 😂😂😂😂😂😂 hata tungempa nchi angetuuza
@hamisimgama8682
@hamisimgama8682 5 жыл бұрын
Njaatu inakusimbua wee pumzika ,hufai kuwa rais hunasifa hata robo.
@husenihamza2392
@husenihamza2392 5 жыл бұрын
Hamisi M Gama hafai kabisa
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 4 жыл бұрын
Huyu ni msomi na anafaa kuiongoza nchi
@florafilbert9817
@florafilbert9817 5 жыл бұрын
Tundulisu abaki huko asituchafuliee nchi na siasa zake chafuu anajizungumziaga yeye tuu
@bahatevagre933
@bahatevagre933 4 жыл бұрын
Godbless you Lissu ,ww ni MTU ulieteuliwa na Mungu
@abelyjastin9424
@abelyjastin9424 5 жыл бұрын
Penda sana Lissu Rudi Tanzania Muujiza unaoishi,
@josephnchunga1247
@josephnchunga1247 2 жыл бұрын
Huyo jamaa ukimsikia majibu yake anaonekana ukimpa nchi anaweza kudhalau kila mtu.
@godisgreat1845
@godisgreat1845 5 жыл бұрын
Tanzania bado haijawa na mahitaji ya kuwa na raisi kama wewe tidhaibiwa sana na wewe uko hapa papa baki huko huko kwa unowakuwadia mwehu wewe ukiea raisi wewe mimi najiua kabla hujaapishwa
@Mcsceo
@Mcsceo 5 жыл бұрын
Unadeserve 2020 nitakupigia kura mzee
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 жыл бұрын
Hii ni miaka miwili iliyopita. Sasa Zuhura Yunusi yuko Ikulu. Tundu Lissu bado anaota Ubeligiji. Atangoja sana.
@amanimathias109
@amanimathias109 5 жыл бұрын
Amna kitu unajua unapindisha maneno tu urais gombea ukouko unapotibiwa manes wakupe kura
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 жыл бұрын
Amani Mathias endelea kutapatapa kama kawaida yenu
@leopoldmwesa6968
@leopoldmwesa6968 5 жыл бұрын
Nyie mnaokula bure ipo cku itawajeukia ndomana unaongea ivyo kama umekunywa maji ya bonde la muhimbili
@mathiusthomas3074
@mathiusthomas3074 5 жыл бұрын
Kisimi chako
@leopoldmwesa6968
@leopoldmwesa6968 5 жыл бұрын
@@mathiusthomas3074 ✌✌✌
@leopoldmwesa6968
@leopoldmwesa6968 5 жыл бұрын
Inamanisha maji ya bonde la muhimbili ndio unayokunywa
@hamishasan7737
@hamishasan7737 5 жыл бұрын
Huyu jamaa sioni anatusaidia nn anaongeaga mambo yanayomuhusu mwenyewe
@florafilbert9817
@florafilbert9817 5 жыл бұрын
Kabisaaaa
@mgallason...5686
@mgallason...5686 4 жыл бұрын
Mbinafsi akumbuke hao wabelgiji wameifanyeje DRC na walimfanyaje Patrice Lumumba.
@talibsaid8081
@talibsaid8081 3 жыл бұрын
Yaani huyu jamaa hampendi Magufuli kwa sababu zake yaani hakuoona hata jambo zuri moja
@mkemia_magege5816
@mkemia_magege5816 5 жыл бұрын
Nani anakula Katiba!? Nani atakula Sera!? Nani atakula misingi ya katiba!? Wewe Lisu acha maneno mengi ya kulialia tunaenda vizuri tu na Uhuru tunaona na Kazi twapiga siye! Usitafute kick za kisiasa kupitia Magufuli wewe Komaa na Matibabu kwanza Mungu akujaliye utembee mwenyewe kurudi nyumbani uje kufanyakazi kwa maendeleo ya Taifa na familia yako
@ibrahimkherry6817
@ibrahimkherry6817 5 жыл бұрын
nakukubali tundulisu
@juliskifanyi4379
@juliskifanyi4379 5 жыл бұрын
We fala sana lissu yupo juu
@aronshivoo9442
@aronshivoo9442 5 жыл бұрын
kwa akili ulizo nazo lissu ni vyema kama ungeshirikiana na raisi wetu magufuli kwa pamoja ili tuijenge nchi,mambo mengine hujileta mbeleni.Kuikashfu serikali wakati uchumi wetu wenyewe bado mdogo,mi naona kama ni kujisahau TULIJENGE TAIFA MKUU
@josephmolle
@josephmolle 5 жыл бұрын
Mungu ni bariki
@nessa4899
@nessa4899 5 жыл бұрын
Tundu lisu anaeleza ukweli kabisa sijui kwanini watu hamuelewi kwamba shida ni system ya Tanzania lazima ibadirishwe.
@hadijasalum2056
@hadijasalum2056 5 жыл бұрын
Ukimuelewa ww na nyumbu wenzako inatosha
@eliankya3272
@eliankya3272 5 жыл бұрын
Imeonyesha wazi kuwa waponzani awana tena sera ukiniuliza uhuru unaodaiwa aupo mpaka nashindwa kuwaeliwa ama uhuru wa kuiba hela za uma
@mathiusthomas3074
@mathiusthomas3074 5 жыл бұрын
Inahitaji uwe na shule ndio utaelewa lisu ameongea kitu gani uo uhuru wa kuiba hera za uma kawaulize wakuli ma wa korosho
@deolekule1691
@deolekule1691 5 жыл бұрын
Kwa kuwa wewe mbumbumbu na kilaza huwezi kujua uhuru anaoongelea lissu.hata uhuru wa kutoa mawazo ni uhuru,hata uhuru wa kuchagua viongozi tunaowataka ni uhuru,hata kumkosoa kiongozi pia ni uhuru au unataka mtu agungwe pingu ndio ujue hayupo huru? Mawazo yako yakifungiwa gerezani ni mbaya kuliko kiwiliwili chako kikiwa ndani.
@dennisnjonanje62
@dennisnjonanje62 5 жыл бұрын
@@mathiusthomas3074 tuambie wewe uliyesoma, Uhuru gani mnaoutaka?
@dennisnjonanje62
@dennisnjonanje62 5 жыл бұрын
@@deolekule1691 kuna mawazo na kashifa, wapinzani wamejaa kashifa na si mawazo
@amanistephano5208
@amanistephano5208 5 жыл бұрын
Deo Lekule maranying wapinzan wamejaa jazba na criticizm wala sio critics. ndo maan had leo mmeshindw kutawal. koz hamn mbinu na sera za kutosha. subirin had 2050 ndo mtapata akili. tuachen tutawale
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
Lissu bana, eti hakuna uchunguzi wakati huyo dereva tu ambaye ni mtuhumiwa nambari moja mmemficha wenyewe, kimsingi ninyi mnajua kilichotokea..... Unataka tu kuchafua serikali yetu ambayo iko kazini kuleta maendeleo
@pesangwasalim5258
@pesangwasalim5258 3 жыл бұрын
Kweli huyu alipata bora elimu😁😁😁 yaani anaongea pumba tupu
@ramadhanirashid7798
@ramadhanirashid7798 5 жыл бұрын
Tanzania hakuna mapambano upumbavu mtupu hufai hata kuwa mwenyekiti
@haibreus2005
@haibreus2005 5 жыл бұрын
Maku www
@undulealipipi4706
@undulealipipi4706 5 жыл бұрын
Endelea kutumika akili mkuu, wanaotumia nguvu hawakuwezi hata kidogo. Walijua utakufa lakini Mungu anajua lini akuchukue lakini sio mwanadam. Uzima wako unawachanganya mana wanatetemeka sabu utawashindatu.
@khalidkhan8389
@khalidkhan8389 5 жыл бұрын
Nice video
@meshackelias2893
@meshackelias2893 5 жыл бұрын
the role mode of tanzanian
@ommymziray3064
@ommymziray3064 5 жыл бұрын
Magufuli ndo raisi wangu kafanya Mambo makubwa kwa Sasa Tz nimoja Kat ya nch5 Africa inayopandisha uchumi kwa kasi
@salummmessi7988
@salummmessi7988 4 жыл бұрын
Inatosha ss ni mda wa mabadiko wacha watuuwe tundu lisu president
@isaacmafole2136
@isaacmafole2136 5 жыл бұрын
Umepata kula yangu 2020 mh. Tundu lisu
@denisikichuyakichuya8627
@denisikichuyakichuya8627 5 жыл бұрын
Sawa Kiongozi
@johnkirenga2915
@johnkirenga2915 5 жыл бұрын
Lissu uwe mwangalifu. Waandishi wengine hutumika na state. Maswali yao ni propaganda
@zaharanijuma6410
@zaharanijuma6410 5 жыл бұрын
Mbona unazungumzia haki za binadam hasa nadhani unatetea ushoga
@barakamollel2109
@barakamollel2109 5 жыл бұрын
Watanzania wamemuona Mungu kupitia Lisu..wametambua Mungu sio mtu ila ni Top wa yote,,Ashukuriwe Mungu muweza wa kila kitu
@linusmagezi8398
@linusmagezi8398 4 жыл бұрын
Siwezi kukupa kura yangu Magufuli anatosha
@jaziyujumarajabu8097
@jaziyujumarajabu8097 5 жыл бұрын
Tungeona Uhuru wa wananchi wa Singida kwanza. Lisu huwezi kusema chochote kwa sasa!
@poatv3898
@poatv3898 5 жыл бұрын
Akili zako kazichunguze
@binswamadumkumbwa6686
@binswamadumkumbwa6686 5 жыл бұрын
kwani Uhuru wa wananchi wa singida uko chini ya lisu au uko chini ya serikali iliyoshika dola?au umeambiwa kua wananchi wasingida pekee hawana Uhuru ,Huyo lisu hakuwa huru mpaka kupigwa risasi ataweza kuleta Uhuru unaouhitaji KWA hoja yako.
@laurencekipamet2042
@laurencekipamet2042 4 жыл бұрын
@@binswamadumkumbwa6686 we unaongea nn jmn?
Mahojiano kamili na Balozi Masilingi na Mbunge Tundu Lissu
8:42
VOA Swahili
Рет қаралды 397 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 77 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 16 МЛН
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 27 МЛН
Lissu alivyogoma kutoka Mahakamani ili asikamatwe na Polisi Dodoma
11:07
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,5 МЛН
Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version
1:17:26
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
Hotuba ya Mwalimu Nyerere kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma 1995
14:17
Joseph Mabima
Рет қаралды 3,6 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 77 МЛН