HII NAMBA NI KWAAJILI YA MAOMBI NA SHUHUDA +255755932283
@Daud483 ай бұрын
Namba ya kuongea na pasta ni ipi maana Kuna mtu anahitaji kuongea na pasta kwa msaaada tusaidie no
@PendoOscar3 ай бұрын
Mm ninasumbuliwa na mawazo mabaya pamoja na fikra lakin mumgu ni mwema naendelea kupambana kwa maombi naitaji na nguvu zawengine ili nisonge mbole
@beatricemageka07083 ай бұрын
Bwana ni mwema,naomi mkumbuke mamangu Abigail ambaya afya yake imedhoofika vibaya kwa ugonjwa ambao haupo. Ikiwa kuna nguvu za giza zinachangia,zishindwe nakuharibiwa kwa jina la Yesu na mum aweze kurudi kumtumikia Mungu kwa choir. Naamini Mungu wetu ni mkuu amemponya. Amina
@BeatriceKingeli3 ай бұрын
Kupitia maombi ya pastor mmbaga mum ametembea hivyo ameongeswa siku kama Ezekia Amen
@user-gw9cs8km3o3 ай бұрын
Amen
@judithonsomu44722 ай бұрын
Asante mchungaji kwa neno, Mungu azidi kukupa hekima ya neno.
@feadamagessa8893 ай бұрын
Namshukuru Mungu sana katika maisha yangu, mtoto wangu wa mwisho amebatizwa yupo fomu six alikuwa anakusikiliza mafunzo haya unayoyatoa mara kwa mara, Mungu akusaidie sana
@Mapenzi26353 ай бұрын
Nakuomba afya njema na maisha marefu. God bless you Pastor Mmbaga
@zachariahonga3 ай бұрын
I now have a better understanding of that verse in John 15. Thank you pr., May God keep you humble always before Him
@anchillakagombola932 ай бұрын
Asante Mchungaji kwa neno.Nimebarikiwa sana.Najisikia furaha moyoni.Naendelea kusambaza neno la Mungu kwa familia yangu ili nao wakombolewe kiroho na kifikra.Hakika Mungu ni kila kitu kwa maisha na uzima wetu.Mungu akubariki uendelee kutufunulia maono ya Kristo .
@HappinessAhia-ey1lq8 күн бұрын
Amen pastor,Nabarikiwa Kila siku na Kila saa na mafundisho yako. Unaniimarisha sana kiroho. Kutoka hapa Washington USA bado naona Niko nyumbani hasa ninapokua nikisikiliza vipindi vyakom
@leonidasbzzojoyhatung31183 ай бұрын
❤❤somo la leo ni kwa ajili yangu kweliiii.sitokuwa mateka tena popote .barikiwa sana.
@user-jw2er4tt1r3 ай бұрын
Pr Mungu akubariki sana, kweli fungu hilo leo ndo nimelielewa nilidhani ninatupwa kumbe ninanyanyuliwa
@agnesmulati321929 күн бұрын
Nashukuru sana mtumishi kwa mafunzo ya uzima wa milele BWANA Yesu Kristo atukuzwe.
@DianaAlfred-nk4ug11 күн бұрын
Asante Pr nimekuelewa kumbe bado sijajua Mungu nahitaji kumjua zaidi ,umenifungua
@leontinebinlydi94593 ай бұрын
Mungu hakubariki mtumishi. Nimebarikiwa Na mafundisho yako👏
@user-zs4mb1oe9k3 ай бұрын
Amina mtumishi kweli nimeona mkono wa Bwana tangu nilipoanza kufuatilia mafunzo yako imani yangu imeimalika sifa zimrudie Abba wetu mbinguni, ninaamini atanivusha katika kiwango kingine maishani sifa na utukufu zimrudie yeye. Barikiwa sana mtumishi pamoja na familia yako. Nakufuatilia kutoka qatar.
@JosephMpangala-wd5mp3 ай бұрын
Pr ninashukuru sana kwa hubiri lako, kimenipa tumaini jipya, Mungu akubariki sana.
@marynasyieki37833 ай бұрын
Amen amen barikiwa Sana mchungaji Kwa Maelezo Mazuri nmeolewa maana y lifting and moving kutokakwa kitabu cha Yohana 4 5 6,May God bless you 🙌🙌🙏🙏🙏🙏
@AnnaMwailenge-hy3xg3 ай бұрын
Asante Sana kwamafundisho mazuri mungu akubariki Sana ,
@christinamdingi83733 ай бұрын
Pr. Mungu akubariki sana pamoja na Familia yako. Akulinde uingiapo na utokapo, fadhili zake ziambatane nawe, akupe neema katika dunia hii na maisha ya baadae.katika Jina la Yesu kristo amen amen.
@abigaelmwadena22623 ай бұрын
Mungu wangu nisadie nizdi kukujua katika maisha yangu na uniondolee kila mawazo mabaya🎉
@paulmmbaga62383 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia shambani mwake! Tunabarikiwa sana na mafundisho haya!
@geophylinekerubo84523 ай бұрын
Ninatamani kukaandani yake bwana hili ninuliwe ,nitengenezwe kwa utukufu wake . Pastor pray for me and family
@IsayaManasd3 ай бұрын
Usikate tamaa wakati ukifika mungu atakutumia
@rhinakiza3 ай бұрын
God bless you pastor with camera man for posting videos every time and make us to follow you guys 👏🏻👏🏻👏🏻🙏
@speciozakaloli3 ай бұрын
Shule kweli Asante mtumishi wa Mungu
@agnesmulati321929 күн бұрын
Noted man of God
@IbrahimNyanghura2 ай бұрын
Mchungaji Asante sana Kwa ujumbe mzuri umenigusa kabisa na nimepona
@everlynekaringa37902 ай бұрын
God bless you so much infact thro you now am anew creature in christ
@omankadara64183 ай бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe sana
@raheljose95243 ай бұрын
Bwana endelea kuniinua niweze kuzaa tunda la kiroho🙏🏼
@MamaSamu-ro8zj3 ай бұрын
Amen mch ,ila mch mi ninamatatizo kwenye ndoa angv
@danielmwakatumaakimu10503 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi.nimekuelews.
@rodahadhiambo36373 ай бұрын
God bless you so much pastor ,we are learning everyday ,I have grown so much I only thank God .
@ombenijuma49863 ай бұрын
Mie ni miongoni mwa watu ambao nilikuwa nalielewa tofauti hilo fungu ila leo nmelielewa MUNGU azidi kukubariki Pr. Mmbaga
Pr. Barikiwa sana na Mungu akupe haja ya moyo wako. Mwanangu Grace alianza kusumbuliwa na usingizi mzito wakati wa masomo. Kwasasa Yuko chuo lakini hiyo Hali inamfanya anatamani kuacha chuo aendelee mwaka ujao. Ni tangu dalasa la 5 hadi sasa
@EllenKihanda2 ай бұрын
Barikiea e mchungaji🙏🏿🙏🏿
@PhinaNGM3 ай бұрын
Kwa kweli nimepata kitu kupitia hili somo, Mungu anibariki Tu nitoke katika jaribu hili nililoingia mwenyewe Kwa ujinga wangu na sasa nimekuwa mateka Ila NEEMA ya Mungu itaniokoa.
@franciscamoshi76713 ай бұрын
Havache mtani wakwa Mungu akubariki sana.Unatuinjilisha vizuri sana Ni lazima tumepokea Yesu na kumcha na kumjua sana Yesu na kulishika neno lake moyoni.
@MeryKiangi-rp2zg3 ай бұрын
Tuombe mungu sana atuwezeshe hatuwezi peke yetu
@YonaMshimiАй бұрын
Amen
@HabyGeorge2 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@beatricenyiro59133 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa neno hili nimelielewa na nimejifunza mengi
@MeryKiangi-rp2zg3 ай бұрын
Kumbe tunda la roho ni la muhimu sana katika maisha ya ukristo ohh yes tusaidie
@TinahItinde2 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@SabatoSteven13 күн бұрын
Ubarikuwe sana
@user-kf9wh9jj6z3 ай бұрын
Pastor nimebarikiwa sana mungu aendelee kututia nguvu
@deborahtengan2073 ай бұрын
Amen Amen I'm blessed watching from middle East,
@christinamafuru47843 ай бұрын
Mungu akubariki pamoja na familia yako, masomo yako yamekuwa faraja kwangu yamekuwa yakinibariki sana naomba uniombee nipate mtoto,
@user-tg9zb6jp8z3 ай бұрын
Amène pasta asante kwamafundisho
@EllenKihanda2 ай бұрын
Nabarikiwa sana
@sylviesaidi57402 ай бұрын
Nimebarikiwa sn na ilisomo ubarikiwa sn pastor
@HabyGeorge2 ай бұрын
Asante sana mchungaji
@MeryKiangi-rp2zg3 ай бұрын
Mungu na akubariki pr mbaga kwa masomo haya
@mlishohadija69233 ай бұрын
Amen ubarikiwe Mtumishi kwa somo vizuri 🙏🙏
@NtaweAndre-lv9sb3 ай бұрын
Asante Mungu kwa majibu sahihi kupitia mtumishi wako
@user-ou4un3gs9d3 ай бұрын
Amina nimelielewa somo Mungu aendelee kuku bariki mchungaji
@user-kf3pq5ur1s3 ай бұрын
AMINA ASANTE SANA MTUMISHI KWA NENO HAKIKA UJUMBE MZURI UMENIFUNGUA KTK MAJARIBU.
@HildaOlomi3 ай бұрын
Nimekuelewa sana Paster, Hakika tunabarikiwa sana.
@rechaelnjeri32993 ай бұрын
Mungu nimwaminifu kila wakati nashukuru maana amenitedea kazini maishani kifamilia nashukuru Mungu sanaa amenitedea pia anaweza kutedea pia
@RoseMshana-mn9zm3 ай бұрын
Asante kwa somo ambalo linanipa amani moyoni
@user-be5zz3qg9q2 ай бұрын
Pr. ubarikiewe sana kwa somo zuri. by zephania muyinga
@MichaelKaingu-pf3vn3 ай бұрын
Hapo umesema pr nmekuelewa sio kutolewa ni kuinuliwa be blessed pr
@user-jn8th1tw8h3 ай бұрын
Pr nashukuru kwa somo nimebarikiwa sana naomba uniombee biashara. yangu niliweka wakfu sasa inazidi kupotea naitwa haward muyinga njombe
@MariamBusele3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji nawoote wamahubiri tv MUNGU awabariki 🙏🙏
@YuniceLameck3 ай бұрын
Kwakweli pr, nabalikiwa sana na mahubiri yako yananipa faraja barikiwa sana
@lucykihara46383 ай бұрын
Amina Mtumish.Being blessd nikiwa Nbi
@alonmusse47293 ай бұрын
Nabarikiwa sana.lakini naomba mchungaji niombee naumwa madonda ya tumbo yananisumbua sanaa
@veronicawilsonmbwambo10542 ай бұрын
Barikiwa
@jamesndanzi3 ай бұрын
kutoka Dododma...nimekuelewa vizuri mchungaji . barikiwa sana.
@user-ps7fy2oj7i3 ай бұрын
Mchùngaji Mungu akubariki sans tunabarikiwa kuroka Burundi tunabalikiwa sana
@tsongonadine3863 ай бұрын
Amena
@SalahChoya3 ай бұрын
Asanteni
@ElizabethMasambe3 ай бұрын
Nikumbuke kwenye maombi ninasumbuliwa na miguu pia nashukuru SoMo hili Lina nibariki asante mchungaji Kwa SoMo zuri
@ElizabethMasambe3 ай бұрын
Nimeomba Kwa ajili ya kuponywa miguu nimeamini nimeponywa Kwa jina la Bwana Amina😅
@shaniachanceline27513 ай бұрын
Amen, amen, amen mubarikiwe Sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ndetitave4663 ай бұрын
Amina nimekuelewa mungu akubaliki Leo ndo nimeelewa
@user-qw1wp7vc5i3 ай бұрын
Pr . Mimi ni Eunice from Kenya naomba uniombe nimevamiwa na nguvu za Giza mtoto wangu aliingia Kwa luminati naimetuanga for so long pr. naomba uniombe Kwa uchumi yangu imevamiwa ikiendatu kusimama kuna matukio inatokea na biashara inarudi from zero niombe MTU wa mungu nimekutafuta sana
@DismasPaulo3 ай бұрын
Nasema amein ktk Bwana
@mwambakibucheche11193 ай бұрын
Nimebarikiwa sana Mungu akubariki sana
@onditifam.11883 ай бұрын
Amen!!!🙏
@mussacharles53113 ай бұрын
Pr divd mmbaga, nisaidie mimi sitaki kuaguliwa ila mama angu analazimisha niaguliwe na wa ganga wa kienyeji.
@user-fg4ro8ts2o3 ай бұрын
Nashukulu mahubili mimi niko zambia naomba ya mbaga kunawagonjwa
@DotiFwihiro3 ай бұрын
Barikiwa Mtumishi,mafunzo yako yamenikuza sana kiroho
@user-ep9by3ui1v3 ай бұрын
🤔uimidiwe bwana wa majeshi 🙏🙏 nashukuru saana mtumishi wa mungu 👋