Hakika yupo Mungu sina lugha ya kumshukuru amenitendea muujiza wa namna ya pekee wakati wa ombi nimepona tatizo liliolokuiwa linanisumbua.
@bridgitkola5341 Жыл бұрын
Nakataa kwa maisha yangu KUWA mtu WA kidini Bali nageuka na KUWA mtu WA kikristo, this message is so strong I have never met such a gospel be blessed Mch David Mbaga 😇😇😇😇🙏🙏🙏we love your teaching as one brother in christ from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@christerkilamlilo70134 жыл бұрын
Asante Baba Mchungaji nimefunguliwa maumivu ya miguu kwa kuangalia mahubiri kwa njia ya simu. Natamani kati ya watoto wangu angalau mmoja wapo awe mtumishi wa Mungu kama wewe. Hakika nabatikiwa sana
@selfaakinyi5124 жыл бұрын
Umkumbuke Dada yangu eewe mungu wangu katika ndoa yake , asante baba yangu. From Qatar be blessed pastor
@evoski34 жыл бұрын
Hi Selfa, do you attend Qatar SDA church service? I'm in Qatar myself so I thought I would ask since you are also in Qatar. Obviously now our services are through Zoom due to the virus pandemic. Happy Sabbath.
@jessikaakinyi84453 жыл бұрын
Ameeeeen pastor Mungu anatujali sana watoto wake kuna mama alikwenda kuvunja muwa kwenye shamba la mother in law wake kumbe shamba lilikuwa limekingwa na dawa za kiganga malaika wakamzuia kweli siyo machale yetu ni Mungu be blessed pastor from Nairobi Kenya
@yohanakitinde81134 жыл бұрын
Kuna magumu nilikua nayapitia kazin kwangu, lakin sabato moja pastor uliendesha maombi pale dodoma kati, Mungu alitenda, uliamuru tuandike kwenye karatasi, nilimuandika supervisor wang, baada ya muda wa siku kadhaa alirudishwa nchini kwao. Na mambo mpaka sasa ni shwari. Hakika Mungu kazini
@hondenisonmagufulinyabaro39234 жыл бұрын
Amina!! Mimi pia natumai niponyoke minyororo ya shetani kazini ka ww! Nipate sabato niabudu!
@simonochola72264 жыл бұрын
Asante BWANA WANGU ATUKUZWE ..MI Nicolas kiboye
@priscajonas19783 жыл бұрын
Aminaa Aminaa MUNGU ni mwema
@asuminmussa25053 жыл бұрын
Hedalu
@asuminmussa25053 жыл бұрын
Hedalu
@samwelojwang30434 жыл бұрын
Unanibariki nikiwa Nairobi Kenya ubarikiwe sana mchungaji
@marymachete91523 жыл бұрын
Amen amen
@mainepraygod31424 жыл бұрын
Nashukuru Mungu nimeona Muujiza katika maisha yangu siku ya leo baada ya kulisikia somo hili....hakika Mungu anataka mtu mwenye IMANI juu yake, tuamini MUNGU anashughulika na sisi
@mussayebete89194 жыл бұрын
Pastor Mungu mkuu mm nimesikia hili somo leo lakini Mungu kaniponya nilikuwa na maumivu mbavuni na kifua ila yameisha hakika Mungu ni mwenye kuhimidiwa milele
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
Wow!! Amen
@emaesthermuchiri79954 жыл бұрын
Hallelujah pastor...napenda vile,.unavyo chambua biblia,.maana hapo kila mtu.,anakuelewa hallelujah
@waridayangadamu1743 жыл бұрын
Amina david mmbaga naitwa christina nipo mwanza magu nilikuwa na shida ya magoti yamepona ,mimi nimesikiliza leo 19 november 2020 mungu akuzidishie amen
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Wow!! Mungu akubariki saaana
@waridayangadamu1743 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga ameeeen
@shukranjulius59103 жыл бұрын
Amina barikiwa zaidi pastor nabarikiwa nikiwa Oman Muscat jina la bwana lihimidiwe 🙏
@eddahnyongesa11194 жыл бұрын
Napenda sana mahubiri yako mungu akubariki sana pastor mmbaga uzidi kuhubiri neno la mungu
@marcellyimo2833 жыл бұрын
hii ni madhabahu Mungu anahitaji nijifunze kwako naelewa na kufunguliwa sanaa.barikiwa najiunganisha na Imani yako nami nitaipata Imani kuu kama yakool
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Amen
@MaryWilson-vg2mm3 жыл бұрын
Wewe ni zaid ya mwalimu,mungu aendelee kukutia nguvu
@rosemutinda30764 жыл бұрын
Mahubiri ya pastor David ni kama shule. Najifunzanga mapya kwa kila somo.. Sikuwa najua malaika wana kazi tofauti nimejua Leo.. Mungu akubariki
@kishai62843 жыл бұрын
kama watu tungerudia rudia kuangalia hili somo Hakika mengi yangetendeka katika dunia hii. Woga, Hofu na wasiwasi katika maisha vingeisha. Pr.Mmbaga barikiwa mno.
@dilurai42043 жыл бұрын
Amen Ubarikiwe Pastor unapotubariki na Maombi Mungu azidi kukupa nguvu na kibali.
@upendobaina21713 ай бұрын
Nabarikiwa Sana na mafundisho yako mch Mungu akuzidishie siku za kuishi Ili nawale wanaokuwa wasikie habar njema unazotufundisha. AMEN
@janetkistaojanetkistao90804 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi naamini mwanangu amepona kwa jina la yesu
@marrymwashinga21703 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji kwa mahubili mazuri,hakika yanatusogeza karibu na mungu.
@josephmatunda11094 жыл бұрын
Am really blessed by your sermons , they give me hope .
@calvinmusa85054 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri na mafundisho yako makuu. Mungu aendelee kukubariki mtu wa Mungu. Niko na Ombi la kipekee. Naendelea kufuata haya mahubiri na naamini Mungu atatenda makuu. Nitarudi kuja kushuhudia. Amina!
@calvinmusa85059 ай бұрын
Mungu alijibu hili ombi. Mungu aendelee kukubariki
@violetmageto71344 жыл бұрын
Pastor hili somo limeniguza mnoo hadi machozi yamenitoka ubarikiwe Sana na Mungu azidi kukuvunulia makuu
@hondenisonmagufulinyabaro39234 жыл бұрын
Igo Bono! Mungu Ni mwema kwetu
@angel-y4 жыл бұрын
Amen. I have been blessed very much, God bless you too Pastor more so for your selfless giving.
@bayroneboniphace2893 жыл бұрын
Nakuxhukur mchungaji maan somo hili limekuw Kama mwalim kwangu
@Mapenzi26356 ай бұрын
Umefanya Mungu aniongezee Imani na Roho Mtakatifu kuniongezea Karama za Roho. Wengi wamepona kwa huduma yangu toka nianze kukusikiliza. Namtukuza Mungu kwa ajili Yako.
@shishshikoh49794 жыл бұрын
Pastor, nimekuwa naumwa na Koo vibaya Sana...lakini baada tu ya maombi nimesikia maumivu yametoweka....sijui nishukuru vipi...nalia tu ..ubarikiwe sana
@madamanney4 жыл бұрын
Amen
@timothywaritu47624 жыл бұрын
Pole Sana jitaidi kutoa sadaka ya shukrani
@evenajoseph34154 жыл бұрын
Ameen
@angellajoseph19644 жыл бұрын
amen pastor namwamini mungu atanisaidia kwa kila jambo lijalo mbele yangu na kuniponya na kuniepushia kabisa magonjwa yote balikiwa sana mtumishi wa mungu
@janejoseph90094 жыл бұрын
pastor kila siku unanifanya niwe nachungulia KZfaq kuangalia kama tayari umeweka somo hakika ww ni best pastor mahubiri ni mazuri mno unaaina ya ufundishaji ambao ni wachungaji wachache ambao wanao
@magynzioka11224 жыл бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU umeninjenga kwa imani imani ni kila kitu imani ni uti wa mwanadam nakubuka mtoto wangu alisumbuliwa na mafupa yakimuhuma anankucha mikono na mingu watu walisema amerongwa wengi wakisema ana majini wengine wakisema ameambukizwa uo ungonjwa na rafiki yake mtoto mwezake nikimpeleka sipitali na picha kupingwa hakua na ungonjwa ila akihaza iyo shida analia kwa uchungu na kumbuka siku moja walim wali mshanga na kuniambia hawajawai ona mtoto kama yeye akiwa na ungonjwa kama uo ni mchukue mtoto nikae nae hadii hapone mimi sikuwai amini mwanangu ni mngonjwa hata kama nilimuona na watu kushuhudia na kushawishiwa niede kwa wanganga mimi sikuwai amani ungonjwa wa mtoto wangu naka mblili na mtoto wangu umuona mwaka mara moja kwa um ali niliko wa kanzi mchungani nilimuombea mwanagu kwa imani saii amepona kabisa wale walio nishudia ungonjwa wake wa hajabu wananishuhudia uponaji juu yake kwa imani mwangu alipona na nilikua mbali maombi na imani hakika ndio sila yetu🙏🙏🙏🙏
@happymasisi15304 жыл бұрын
Nabarikiwa saana na mahubiri yako barikiwa saana
@davidmisiwa46224 жыл бұрын
Nabarikiwa sana mahubiri haya
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
AMEN
@billionairetz2564 жыл бұрын
Natamani siku moja ufundishe somo la Zaka maana naona hatufanyi sawa sawa na Biblia
@davidmisiwa46224 жыл бұрын
@@billionairetz256 mbona Alisha fundisha sana, ukiwa ni mfuatiliaji Wa kila somo analo post somo LA zaka na sadaka alisha fundisha,,
@davidmisiwa46224 жыл бұрын
@@billionairetz256 mbona Alisha fundisha sana, ukiwa ni mfuatiliaji Wa kila somo analo post somo LA zaka na sadaka alisha fundisha,,
@joyceomolo87494 жыл бұрын
Masomo haya yanabariki sana. Mungu aendelee kukutumia kutubariki
@richardndikumana79383 жыл бұрын
Amen,asante sana mchunganji nimebarikiwa MUNGU awenanyi
@esthernashipai Жыл бұрын
Neno la Mungu kila siku Lina ujumbe mpya....Barikiwa mtumishi,so blessed 🙏
@mariammagawi41663 жыл бұрын
Pastor unanibariki Sana Mungu wambinguni aendelee kutupingani naomba umuombee binti was Dadangu ambae anasumbu nanguvu za giza anadaikwamba anafuatwa na wachawi usiku wakatimwingine anasikia halufu ya damu
@omankadara64189 ай бұрын
Ameer pasita kwa mafundisho manzur ubarikiwe sana
@HolloKibishi-nt5ui5 ай бұрын
Me piah naamini Bwana ameniponya kwa zababu najiskia mwili uko salama kabisa Mungu jina lako lihidimiwe mille na nipone daima
@josephinesanita4904Ай бұрын
😂😂😂😂😂 wazungu walifanya Ile kitu, nabarikiwa sana na mahubiri haya mungu akubariki sana pastor David
@pheobejacob60093 жыл бұрын
nashukuru sana nabarikiwa nikiwa taveta kenya
@AzAz-sy6zp4 ай бұрын
Aminaa ubarikiwe san mtumishi kwa mafundisho
@donaldmwahalende48414 жыл бұрын
Pastor wewe nakupenda Sana unanibariki Sana
@gwamakamsyanogwamakamsyani78463 жыл бұрын
Asanteeeh paster mafundisho yako vizuri
@raelbosibori7131 Жыл бұрын
Thank pastor umeniinua kiroho mungu akubariki nilikuwa na changamoto mingi kubitia mahubiri tv niko salama nashukuru mungu sana be blessed
@emmanuelpaulo27724 жыл бұрын
Muchungaji barikiwa sana masomo yako yananibsriki sana
Umenisaidia sana nikiwa Rwanda Mungu akubariki sana
@lucciepuccietuccie30284 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wamungu
@ernestissack91034 жыл бұрын
Ameen
@GesainaNyamisegere-ff4ok Жыл бұрын
Nimebarikiwa mtumishi wa mungu,samahani naomba mungu akupe kibari siku Moja ufike mara
@dericsonkeya62343 жыл бұрын
Mchungaji nabarikiwa sanaa mungu mwenyewe akujalie baraka na hakufunulie makuu bwanawe nabarikiwa sanaa kutoka kenya Nairobi
@mariamujackson52233 жыл бұрын
Ubarikiwe mbaga
@sheilaombongi80864 жыл бұрын
Asante umenigusha sana kwamahubiri yaleo Barikiwa sana pastor, ninaomba niwenaimani naombanga nipate pesa ninunue ata viti katika kanisa langu sijapata Kwai mani nitapata Amina
@hondenisonmagufulinyabaro39234 жыл бұрын
Ekiababa kwa imani utapata
@bettygesare5948 Жыл бұрын
God bless you all pr Mmbaga thanks plz pray for me to be healed at back
@rhinakiza4 жыл бұрын
I am glad to stop here wonderful preaching pastor God bless you❤
@mgassazefrini85114 жыл бұрын
Mungu amubariki Sana na Ni vyema tukutane makao ya milele maana mafunzo yako yanatujenga kirohoo
@jacksonprojestus3974 жыл бұрын
Because of your humility, God's words are settled in your mind
@asmitacatering86603 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu.
@princessmunii25304 жыл бұрын
You are so genius pastor nimekombolewa mimi
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
NI KWA NEEMA TU!! 🙌
@evancemwakyusa26172 жыл бұрын
Mchungaji Ubarikiwe kwa mafundisho. Ni mlemavu carpal yangu imekatika nahitaji kupata Mpya sina 900000= kwa imani nitapata ingawa Sina Kati.
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Uko wapi
@rehemahanti58002 жыл бұрын
Ameen ..biblia inatosha jaman mambo ya mafuta ya upako ....tuwaachie wenye UKIRO.. Yaani upungufu wa kinga rohoni.
@jessikaakinyi84453 жыл бұрын
Ni kweli pastor hata Mimi alininyamazia kimya baadaye ndipo anajibu
@jeniyamo744 жыл бұрын
Nakuelewa sana Pr Mwenyezi aendelee kukubariki
@steliakyteisiehello60964 жыл бұрын
Amen Amen Amen baba Barikiwa sana
@jameslushinge Жыл бұрын
Bwana akubariki saana mtumishi
@evelynmachora38482 жыл бұрын
Haya!!!sikujua malaika Wana kazi tofautitofauti,barikiwa pastor
@user-hy9hh1zg4y4 ай бұрын
I appreciate you pastor...be blessed
@mkatitheeventplanner65944 жыл бұрын
Naitwa Amina kutoka kahama nahitaji msaada wako sana pastor David Mmbaga nilikuwa Rc nimebahatika kuijua sabato miezi mitatu sasa I need a serious help pastor mungu akuongoze 0762252388 0654153855
@lightnessshayo17833 жыл бұрын
Hongera sanaaa
@witnessfredrick555 Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki Mchungaji
@michaelassam57894 жыл бұрын
Pastor nakuomba mwisho wa mafundisho haya, sehemu ya mbaraka wa maombi uwepo tunabarikiwa na kufunguliwa sana...
@claudinebatamuriza78044 жыл бұрын
Amen 🙏 God bless you pastor
@marymachete91523 жыл бұрын
Asenta kwa mafundishi apostle amen
@emmanuelmbwambo65713 жыл бұрын
Pastor mm nimevumbua dhahabu,tumeng'ang'ania live sana kumbe hazina ya kutosha ipo nyakati zilizopita.🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
@nice4really5033 жыл бұрын
💌💌
@mn94844 жыл бұрын
Amina ni vizuri kurudia Masomo maana najifunza kila siku kitu kipya. Mungu awabariki wote mnaotazama somo hili Amina.
@mkamakusaga57854 жыл бұрын
M
@mamalevinalevina58202 жыл бұрын
Barikiwa sana pasta unanifungua
@abigaelwamuyu57592 жыл бұрын
You have blessed my family
@barakaungenge9394 жыл бұрын
Hakika barikiwa
@francisyandu1256 Жыл бұрын
Am really appreciate you from your preach that's truth 🙏🙏🙏
@danielnshokano7693 Жыл бұрын
Mcungaji minafataka mahubiri yako huwa na barikiwa sana kwahiyo MUNGU naazidi kulinda
@georgemerere60974 жыл бұрын
Mch Mungu akubaliki sanaaaaaaaaa
@mashaelieazer61204 жыл бұрын
PR, mungu akuriki kwa kutubariki,kunibariki
@RosetteFessa2 ай бұрын
Pasteur ubarikiwe
@miraclegospel3527 Жыл бұрын
God bless you for sucher wonder full sermon Amen
@edwardmarro9784 жыл бұрын
Mibaraka ninayopata kupitia mahubiri tv hakika ni mkono wa BWANA pekee
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
AMEN
@bossladyjv3828 Жыл бұрын
Naomba roho ya ukimwi iondoke kwangu kwa jina la Yesu kristo
@mtanzaniahalisimungunimwem6734 жыл бұрын
Pastor Asante kwa mafundisho mazr. Naomba nikuulize je wewe uliwahi kuita Moto angalao cheche tuu. Motoooo
@frolamaginga12874 жыл бұрын
Pasta ubarikiwa sana
@hondenisonmagufulinyabaro39234 жыл бұрын
Kwa imani baba mzazi atapona,,,,,,ndoa yangu ina matatizo was divorced nikao tena,,sijui ndilo suluhu?? Later mother to my child anaitaji turudiane!! Nashindwa sasa!!! Naomba Mungu anionyeshe
@aumamadina710010 күн бұрын
Nimepona pastor Asante Asante sana 🙏
@MK-bg8jp3 жыл бұрын
You are blessed pastor.
@jacklineathoo96673 жыл бұрын
Amen amen mtumishi wa Mungu
@moiseesrael18493 жыл бұрын
Nasema asante kwa somo hili( limekuwa baraka kwangu) yaani hapana bahati katika kazi ya Mungu( ni malaika ndio wanatumika!!
@mlishohadija69236 ай бұрын
Be blessed mtumishi
@gelitemahimbo60764 жыл бұрын
Nabarikiwa sana
@thomaselvis-mg7sr Жыл бұрын
Unanibariki sana mchungaji
@chungwasingers2 жыл бұрын
Pastor Mungu azidi kukutumia sana katika kazi yake kupitia haya masomo nimekuwa jasiriii wa imani siku hadi siku jina la Bwana litukuzwe na ninaomba imani kama yako mara3
@odettemaman Жыл бұрын
Pasta naomba musaanda wa maombi ili mungu anisamehe naaniponye ma gongwa.
@JohnNdunya Жыл бұрын
God bless u man of God
@hapynestitus93693 жыл бұрын
Mchungaji naomba niweke kwenye maombi mme wangu awe msabato siku moja asimame na kumkiri bwana na mwokozi wake na ndoa yangu naomba uniombee
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
MUNGU AJIFUNUE KWAKE AMJUE KRISTO NA KUWA MFUASI WA KRISTO