HII SIO MMOJA NDIYE TU AFAHAMU! INAPENDEZA WOTE WAJUE SAYANSI HII
Пікірлер: 90
@longheesanga71822 жыл бұрын
Asante Sana pastor mungu Akubariki sana kama Umeniona nashukuru sana kwa masomo mazuri👏👏👍
@peterkerenge92072 жыл бұрын
Pr,kweli roho wa bwana ananena,na mimi nimeandaa somo la ndoa kidgo na nilikuwa naenda post week hi,alaf nakutana na ichi,kana kwamba Mungu anataka niongezea kitu au nirekebisha kitu
@rhinakiza2 жыл бұрын
nafurahi kusikia massage hizi za wana ndoa kabwa sija olewa Asante Mungu unao Mpango mzuri kwa ajili ya maisha yangu ya ndoa hapo badae🙏🙏 thank you so much pastor
@obedimunguachiza8434 Жыл бұрын
Asante sana baba ujumbe umefika kwwnye udongo mzuri barikiwe sana 🙏
@yuyungoteya17312 жыл бұрын
Nakuelewa sana pastor Mungu azidi kukupa hekima na mafundisho zaidi ili tupone
@rebeccasamuel35632 жыл бұрын
Nampenda San mtumishi wa mungu barikiwa saaan
@annamndambi15662 жыл бұрын
pasta mmbaga shikamooo naomba hili somo ulitoe kwenye mikutano nazani litatusaidia sana
@enithanelson84182 жыл бұрын
Asantee pastor kwa somo zuri Mungu wambingun atupatie hekima na maalifa wanandoa maana badala yafuraha imekuwa ni karaha kweny ndoa
@didashmessi25282 жыл бұрын
pastor umenipunga sana yaani wewe unajua,mm niko hivo nikiitwa tu mpuuzi naunganisha yote naongeaaaa, naliaaaa, lkn umenipatia suluhisho 😢 asante
@matthieuisse15712 жыл бұрын
Aksanti pastor
@sarahbosibori64322 жыл бұрын
Barikiwa sana pr. Ukweli mtupu huo
@nadinekatungu69872 жыл бұрын
Asante mchungaji fundisho hili limenisaidia kabisa umeongelea yalio Nikita kabisa lakini nimeona yakurekebisha ni Nadine. Toka RDC/goma
@leawamukota92172 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri pastor
@annamunuo79842 жыл бұрын
Upo vizuri sanah.. karama ya ualimu unaitumia vyemaah be blessed more
@lebonbasimise68146 ай бұрын
Jambo mchungaji nilitaka uliza kama kuna masikilizano ajili ya kupana Riba ni makosa ni Basimise Lebon kutoka Congo uvira
@jaredmayaka29932 жыл бұрын
Amen pastor ubarikiwe
@jeremiaisowe44432 жыл бұрын
Daaah!!! Mchungaji unajua sanaaaaa. Mungu wambinguni akutunze
@teddyalex45922 жыл бұрын
Mungu akubariki zaidi ya Sana,Sijawahi kupoteza muda ninapokusikiliza
@official_.swash_.2 жыл бұрын
Pastor mungu akuinue juu juu zaidi mafundisho yanaingia sana
@graciousmtaita64532 жыл бұрын
Asante pastor ubarikiwe kwa somo
@estheroppi76642 жыл бұрын
Barikiwa sn PR. For the powerful message. Blessed be though 2U
@mazemlejr98322 жыл бұрын
Barikiwa Pr. kwa masomo yenye kujenga familia zetu
@damarisangasa97572 жыл бұрын
Thank you so much pastor for the nice teachings.
@t7zkc5tpxgim282 жыл бұрын
Mungu akubariki sana pastor
@leawamukota92172 жыл бұрын
Amen wacha mungu atusaidie tu
@fatumasika9519 Жыл бұрын
Baba, nashikuru kwa mafundisho mazuri. Sasa ikiwa mume haongei, namna gani mutapanda na kushuka kwenye wimbi ? Nakufata kutoka Congo DRC
@MN-hi8ll2 жыл бұрын
Mchungaji Mungu akubariki
@suysoni2 жыл бұрын
You've spoken well Pastor. Very Practical.
@juliansowani11762 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana mtumishi wa Mungu
@gladysramadhan40082 жыл бұрын
Ukweli kabisaa pastor mungu akubariki sana.
@neemasaidisaid17912 жыл бұрын
Nimepata kitu kikubwa mno hapa.
@matthieuisse15712 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@maureenkemei92542 жыл бұрын
Asante mch
@neemasaidisaid17912 жыл бұрын
Thanks.barikiwa sana
@jeanettegloria62442 жыл бұрын
Hahah barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@trophywilson72112 жыл бұрын
Basi wanaume wanaotuudhi tukiwa tunanyonyesha wanaharibu watoto wetu,Nashukuru Mtumishi najifunza mengi japo naona nilishapoteza vingi na sina hamu hata ya kuvirudisha nyuma ili nianze acha nisonge mbele tu
@doricengonyani33352 жыл бұрын
K0i
@silvesterryaga73652 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa somo zuri.
@elimelickmbaka51332 жыл бұрын
Mungu atukuzwe
@eveliusrespicius68592 жыл бұрын
thank you God bless you
@enockmogaka80412 жыл бұрын
Nice advice
@MN-hi8ll2 жыл бұрын
Hiyo pending inaumiza sana…. Miaka…. .
@ritterswalehe29792 жыл бұрын
Umeongea ukweli, Mungu akubariki sana
@goodnews.gracious2 жыл бұрын
Pr. Ningekuomba uje siku moja kenya
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Mungu akipenda nitakuja
@tricewilly50212 жыл бұрын
Hahaha well said my Pastor,,👏👏👏💪
@salomedavid3312 жыл бұрын
Well and nice pr
@marrykajange2162 жыл бұрын
Barikiwa sana ujumbe mzuri
@gloryjesus43082 жыл бұрын
Mi ni mchungaji Umenena vyema saaana
@MN-hi8ll2 жыл бұрын
Ndiyo maneno yameshikana na vitu vingi!!
@mariathomas23332 жыл бұрын
Be blessed
@brunomirambi87922 жыл бұрын
SIPENDI KUNYWEA CHAI KWENYE HIKI KIKOMBE CHENYE PENGO SIKIA MWANAMKE ULINUNUA????Hahahahahahaaaaa
@MN-hi8ll2 жыл бұрын
Ulimi ni muhimu!!! Kweli
@nicholaskiragu27972 жыл бұрын
Very true..
@patrickmunishi22772 жыл бұрын
MTANI MIMI HUA NAKUELEWA SANA MUNGU AKUBARIKI SANA
@fastonngatulile66282 жыл бұрын
Ubarikiwe
@MN-hi8ll2 жыл бұрын
Ndiyo…. Kunyamaza kwa mabishano
@lusajomwaipopo50422 жыл бұрын
Safi sana
@gracekatani36692 жыл бұрын
Somo zuri sanaaa
@trophywilson72112 жыл бұрын
Mtumishi yaani Ndoa kweli ngumu mno
@Uzima-Tv2 жыл бұрын
Ujumbe mzuri
@yasintamagavilo19962 жыл бұрын
Nataman baba Kelvin angeona somo hili 😌😌
@trophywilson72112 жыл бұрын
Mfowardie kwenye simu yake mpendwa
@shegashega24212 жыл бұрын
MUNGU akutunze kabisa.
@billionairetz2562 жыл бұрын
Hayo maji vp Pr ,hapo kibiashara tayari ni tangazo kubwa hahahaha
@onesmoelias85092 жыл бұрын
Matangazo kiaje wewe tumia akil kufikilia umeshawahi kuhubil Apo anatumia nguvu Sana lazma apate maji ili koo lisikauke
@mosesmolel53912 жыл бұрын
Ubarikiwe
@mosesmolel53912 жыл бұрын
Maubiri yanafundisha xana
@trophywilson72112 жыл бұрын
@@onesmoelias8509 asinyweee??
@joycejumaa71812 жыл бұрын
Amen!mafundishi matamu sana
@mosesmanyama17732 жыл бұрын
Pr ntakupataje nahitaji maombi yako ninashida sanaa
@ziadaziada16132 жыл бұрын
Kwahiyo hapo ndo talawanda?
@MN-hi8ll2 жыл бұрын
Powerful message
@puritychogoro2 жыл бұрын
Somo nzuri Pastor Mmbaga,we love you
@jairossimchimba91972 жыл бұрын
Nimejifunza Sana kupitia SoMo hili
@goodnews.gracious2 жыл бұрын
Aki nitunie nambari yako ya simu
@MN-hi8ll2 жыл бұрын
Yapo!!!
@filorammbaga57102 жыл бұрын
Pr. David hbri za mbakweni mtumishi,barikiwa Sana kwa mahubiri.
@sarajoseph21312 жыл бұрын
Ila wanaume bhana 🤣🤣,,aa,,,
@trophywilson72112 жыл бұрын
huyo mwandishi wa kichwa cha habari aliishia darasa la 3 au ?
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@trophywilson72112 жыл бұрын
Testesterone wow hormone ya kiume hiyo
@brunomirambi87922 жыл бұрын
Mshenzi anazaa hahahahaha
@trophywilson72112 жыл бұрын
Wana makusudi tui
@brunomirambi87922 жыл бұрын
@@trophywilson7211 UKIWA NA MKE HASIRA TAFUTA SHIMO LA FUTI 100 UZIKE ARDHINI HAFU UFUKIE. KWENYE HII NYANJA ROHO WA SHETAN YUKO ANATESA WANA NDOA KWELI TUJITAHIDI KUKUA KIROHO KUGUNDUA SHETANI AMETEGA WAPI MTEGO WAKE
@christinaevaristo55102 жыл бұрын
Paster ahsante kwa SoMo Ila bado changamoto zipo nying kwenye ndoa yaan Mungu atusaidie