MAKAMU WA RAIS,MAASKOFU NA WAAMINI WALIVYOMPOKEA KARDINALI RUGAMBWA AKIWASILI NCHINI,SHANGWEEE...

  Рет қаралды 20,239

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

10 ай бұрын

Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

Пікірлер: 21
@fulgencerugaimukamu-vn3wp
@fulgencerugaimukamu-vn3wp 10 ай бұрын
Mungu akubariki kardinari Rugambwa , hongera mnooooo
@kenanmalindisa6430
@kenanmalindisa6430 10 ай бұрын
Proud catholic 🙏
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 10 ай бұрын
Asante Mungu kwa mema yote kwa kutupatia kiongozi wa kutuimarisha kiroho hapa duniani
@MariaMakoye-ct5wx
@MariaMakoye-ct5wx 10 ай бұрын
Asante Mungu
@fortunatamango8441
@fortunatamango8441 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana Baba Rugambwa katika Utume wako!
@marierobert42
@marierobert42 10 ай бұрын
Mungu akubariki Baba
@arnoldkagaruki5277
@arnoldkagaruki5277 10 ай бұрын
Namuombea mema katika utumishi wake huu wa Kardinali. Pia hongera kwa walioimba huu wimbo wa kumpongeza.
@linuskaseha8940
@linuskaseha8940 10 ай бұрын
Nabarikiwa nawe na nakuombea utumishi mwema
@thomasmogoi2551
@thomasmogoi2551 10 ай бұрын
Hongera sana
@nkambapunguja1519
@nkambapunguja1519 10 ай бұрын
Hongera baba cardinal 🙏🙏
@championtop2
@championtop2 10 ай бұрын
Nice🎉
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 10 ай бұрын
Amina
@innocentcleophace8583
@innocentcleophace8583 10 ай бұрын
Safiiii kabisaaaa
@vpangani1036
@vpangani1036 10 ай бұрын
Mungu akubariki katika utume wa roho mtakatifu udumu katika kweli na haki mbele za mwenyezi mungu amina
@jovinusjulius9840
@jovinusjulius9840 10 ай бұрын
Huo wimbo imeimba kwaya gani? Nimeupenda.
@mchumi_thecatalystofeconom7889
@mchumi_thecatalystofeconom7889 10 ай бұрын
Kwaya ya Mt Don Bosco Kimanga-KMD KIMANGA. KARIBU SANA NA SHUKRANI SANA
@hellensimon990
@hellensimon990 10 ай бұрын
Kwaya Ya Mtakatifu Donbosco Kimanga . Wimbo unaitwa Shangwe tu . Uko KZfaq unaweza unatafuta ni mzuri sana
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 10 ай бұрын
​@@hellensimon990 Saaaaaafi kabisa. Wameimba vizuri sana.
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 10 ай бұрын
Lukuvi hustahili kubusu pete ya Kardinali Iringa wanakufahamu siyo msafi.
@phillipmbuligwe6033
@phillipmbuligwe6033 10 ай бұрын
Je, wewe ni msafi? Wote tuna dhambi. Jiepushe na kuona kibanzi kwenye jisho la mwenzio na kusahau gogo ndani ya jicho lako
@herimallya3385
@herimallya3385 10 ай бұрын
Anahukumu tuu
TOP 12 SHULE ZA KANISA KATOLIKI ZILIZOFANYA VIZURI MATOKEO YA FROM 6 2024
8:11
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 9 М.
MAWAZO NINAYOWAWAZIA NINYI
5:38
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 831 М.
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,2 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 45 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Maandamano ya nane nane, waandamaji wamejitokeza miji tofauti
8:55
KTN News Kenya
Рет қаралды 10 М.
Police surround Jimi Wanjigi’s Muthaiga home
7:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 31 М.
"UMETAKASWA,UKO NA KUNDI"-MAANDAMANO UASKOFU MOSHI
6:49
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 410 М.
Darassa -  I don't Care (Official Dance Video)
2:51
Darassa
Рет қаралды 1,9 МЛН
Msondo Ngoma Band Ndugu Hatuelewani Official Video
9:02
Africha Entertainment
Рет қаралды 439 М.
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,2 МЛН