MAWAZO NINAYOWAWAZIA NINYI

  Рет қаралды 830,793

RAJO PRODUCTIONS

RAJO PRODUCTIONS

4 жыл бұрын

Marafiki wanapokutana na kujikuta wanapenda kufanya jambo fulani huleta furaha zaidi. Ilikuwa furaha sana kukutana sisi wanne (Ray Ufunguo wa RAJO Productions), (Tumaini Swai wa RAJO Productions), (Fabian Mushobozi wa Holy Trinity Studios) na rafiki yetu mpendwa Lawrence Kameja.Kwa pamoja tukagundua yafaa kumwimbia Mungu kwa wasaa tuliokuwa nao. Nasi tukafanya hivyo kama marafiki. Hili sio kundi au kikundi rasmi cha waimbaji, bali ni marafiki tunaopenda kumwimbia Mungu. Tunawakaribisha kusikiliza na kutazama wimbo huu uliotungwa naye John Mgandu+ mnamo mwaka 1995. Wimbo wenye maneno matamu ya kumtukuza Mungu.Tunaposikiliza na kutazama,
Tunamshukuru rafiki yetu Kelvin Boniface Bongole kwa kufanya sting music arrangement. Mungu aendelee ku mimina neema katika maisha yetu, neema za Mungu zikawe katika maisha yetu.#miminaneema #bwanaunibadili #kwayakatoliki #manenomatamu #rajoproductions #holytrinitystudios

Пікірлер: 507
@josephlugembe2930
@josephlugembe2930 3 жыл бұрын
Umri wa nyimbo ilipotungwa (1995) ni umri wa mtu mkubwa kabisa kwa sasa lakini wameutendea haki kama unakubaliana na mimi like hii comment
@fitinajacky740
@fitinajacky740 3 жыл бұрын
Iiiiiiiiiiiiijjjijjjjjjjjijjj
@fitinajacky740
@fitinajacky740 3 жыл бұрын
im
@fitinajacky740
@fitinajacky740 3 жыл бұрын
Mmmmmj
@fitinajacky740
@fitinajacky740 3 жыл бұрын
Ijmmi
@fitinajacky740
@fitinajacky740 3 жыл бұрын
Mijjk
@dennisharry-tx8ig
@dennisharry-tx8ig Жыл бұрын
This is the song that got me in touch with gospel music from Kenya. Melodious voices from all the four guys.Keep it up brothers in Christ
@MariaYusuf1
@MariaYusuf1 3 жыл бұрын
Good voices kaka zangu ongera
@veronicamakoye4102
@veronicamakoye4102 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sana,kila siku nausikiliza. Big up,kazi iendelee.
@jamesfesto1178
@jamesfesto1178 3 жыл бұрын
Kweli nmeipenda hii mmbarikiwe Sana ndugu
@fransisoroni9903
@fransisoroni9903 3 жыл бұрын
Safi sana dah yaaaaani mmenikosha sana
@consolatandinda8887
@consolatandinda8887 11 ай бұрын
For I know the plans I have for you,” declares the Lord, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future." This verse comes from Jeremiah 29:11 awww ❤🎉 this song is sooo nice 👍 I just find myself here almost all the time
@franciscambatha9353
@franciscambatha9353 Жыл бұрын
Wherever you are John Mgandu Mungu akupumzishe kwa amani..your songs still hit since 1995 up-to-date
@simonsebastian9477
@simonsebastian9477 3 жыл бұрын
Hongereni sana walimu
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Huu wimbo sichoki kuuskiliza,kaka zangu mmeimba powa kweli ujumbe ndousiseme.mngekuwa hamjaowa ningeomba Mungu mpk aniskilize mojawapo anioe
@josephlango5591
@josephlango5591 3 жыл бұрын
Omba nawe utapata
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
@@josephlango5591 Amina
@user-xl2px6mh6d
@user-xl2px6mh6d 4 ай бұрын
Natamani niwe Africa namimi nijiunge Nanyi sababu nyimbo zenu ni nzuri sana zinatia mtu moyo
@aviaarchard5856
@aviaarchard5856 3 жыл бұрын
Wimbo wenye kuniweka katika tafakari ya upendo wa Mungu kwa kwetu. Mbarikiwe sana
@solomonmenda6848
@solomonmenda6848 3 жыл бұрын
Napenda kweli mungu anatuwazia mema
@sharonsimon2861
@sharonsimon2861 2 жыл бұрын
good job guys may GOD CONTINUE blessing ur talents
@lauramushi3299
@lauramushi3299 Жыл бұрын
Bravo RAJO'S PRODUCTION👏
@anesiasalvatory7327
@anesiasalvatory7327 3 жыл бұрын
Mungu awabariki
@brysonnyembele5481
@brysonnyembele5481 3 жыл бұрын
Kazi nzur sana , lakn tujiulize ss vp nyimbo zetu tunazozitunga baada ya miaka 20 au 30 zitakuwa na ubora kama za hawa wazee wetu wa enzi ,nimpongeze bwana mmoja abaitwa shaneri komba ,nyimbo zake zitadumu kama za mzee mgandu , pia R I P mwalimu sasita naye alikuwa bora sana
@noeliacharles7123
@noeliacharles7123 4 жыл бұрын
This song makes me feel like I have no worry in Jesus since his plans for us are those of peace... 🙏🙏🙏
@neemalyakurwa9844
@neemalyakurwa9844 4 жыл бұрын
Bwana asema mawazo ninayowawazia nyinyi ni mawazo ya Amanii Wala co ya mabaya.....❣️ Akiiii sichokii kusikilaliza hii nyimbo munguh awabariki vijana wa yesu
@magrethmosha9626
@magrethmosha9626 3 жыл бұрын
Nice song guys 🙏🙏
@angelistashayo8925
@angelistashayo8925 3 жыл бұрын
Mko vizuri hongereni kwa mziki mzuri
@eliseindakidemi7159
@eliseindakidemi7159 3 жыл бұрын
Maorganist ...safi sana
@mercymwende361
@mercymwende361 2 жыл бұрын
Wow😍baraka
@graphphoto705
@graphphoto705 3 жыл бұрын
Nawapenda sana tumtukuze mungu daima amiinaa
@levinadotto4147
@levinadotto4147 3 жыл бұрын
Congratulations brothers
@Rafaeljay76.
@Rafaeljay76. 3 жыл бұрын
Mabogo in action congrats,injili isonge mbele...fid vibes 👌🔥
@vorstermatengumuzebe7795
@vorstermatengumuzebe7795 2 жыл бұрын
Rajo productions
@floraelias6458
@floraelias6458 3 жыл бұрын
Wooh mungu awabariki sana uinjilishaji mwema
@user-tv8ts3lt8c
@user-tv8ts3lt8c 9 ай бұрын
I like how ray ufunguo anavyoimba mungu ambariki kwa kweli❤❤❤❤❤
@rajopro
@rajopro 9 ай бұрын
Be blessed.
@user-tv8ts3lt8c
@user-tv8ts3lt8c 9 ай бұрын
Naipenda katoriki zaid kupitia ray ufunguo imbaaa jamooon mpaka uzeekee I wish nkuoneee .
@josphatnzioki1789
@josphatnzioki1789 2 жыл бұрын
Tunarekodi.......hahaha ....akhi napenda kazi yenu
@consolattagabriel255
@consolattagabriel255 4 жыл бұрын
Naomba tubarikini kwa wimbo mwingine tafadhali
@rahabumkama8954
@rahabumkama8954 4 жыл бұрын
Hongeren sana watumishi
@guygerardmaindo6678
@guygerardmaindo6678 2 жыл бұрын
Depuis Kinshasa que j'ai écouté cette belle mélodie. Que Dieu vous bénisse abondamment.
@wakykundy6016
@wakykundy6016 3 жыл бұрын
Big up sanaaaa
@marthanjeri9227
@marthanjeri9227 3 жыл бұрын
I like the song hongera wanachoir
@rachelsimon4275
@rachelsimon4275 3 жыл бұрын
Wow, wow, wow, wow Mapendo,,,,,,, sichoki kuskiliza huu wimbo,,, mbarikiwe sana, ongezen na zingine na nawashaur muwe na Albam yenu kabisaaa,, keeep it guy's Kristo,,,,,,,
@janeakailokopu9829
@janeakailokopu9829 3 жыл бұрын
nawapenda na sauti zenu kweli mnanipa motisha ya kuishi maisha kikatoliki.mungu awe pamoja nanyi ndugu zangu
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 3 жыл бұрын
Asnteni sana,nimebarikiwa mno
@noelinasaru1496
@noelinasaru1496 Жыл бұрын
Walimu wetu hongereni sana kwa wimbo mzuri
@nelsonkyaruzi1482
@nelsonkyaruzi1482 4 жыл бұрын
Aliye imba shairi kamtendea haki mtunzi. Itz very fantastic
@globalcitizentv7467
@globalcitizentv7467 3 жыл бұрын
Congratulations!!
@panyamadaniel9064
@panyamadaniel9064 10 ай бұрын
Wimbo mzuri Sana kwa sisi wakatoliki
@angelmalavanu9723
@angelmalavanu9723 3 жыл бұрын
Safi Sana kaka zangu
@hildaqorro2225
@hildaqorro2225 4 жыл бұрын
Sauti ya kwanza na ya pili zimenikosha ... kiitikio na mashairi ni balaaaaa ...mko vizuri ... ****nami nitawarudisha.....👌👌 Ila mtu ukishapenda wimbo utapenda kila kitu aiseee ...
@kwayayamtaloisgonzaga-kiga60
@kwayayamtaloisgonzaga-kiga60 4 жыл бұрын
Karibuni kutazama Wimbo: NEEMA YATOSHA kupitia link hii kutoka KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI bila kusahau kusubscribe kzfaq.info/get/bejne/i72SqNOhsMXUZ2w.html
@delvineondari9204
@delvineondari9204 2 жыл бұрын
Kazi nzuri mnayoifanya kueneza injili may God bless you abundantly.
@remnantkikiwa3488
@remnantkikiwa3488 4 жыл бұрын
Tam sana. Mbarikiwe wapendwa
@lawrencesilas3050
@lawrencesilas3050 4 жыл бұрын
Amina sana mate wng
@angiegathoni1620
@angiegathoni1620 3 жыл бұрын
Wow! Simply incredible. Please give us more of this. My heart is touched,blessed,and eyes teary. Jesus i love you,thank you for loving me so much each second of my life!
@merryngowi6607
@merryngowi6607 3 жыл бұрын
Kweli bwana anatuwazia mawazo mema hivyo tumkimbilie yeye Amina
@gabrielchelehani5119
@gabrielchelehani5119 4 жыл бұрын
Hogeleni sana kwa kuzingatia maadili babu j
@ibel4lf
@ibel4lf 3 жыл бұрын
Wimbo wa katikati misa ya kumuaga ya Mazishi Magufuli
@stephenmathenge9723
@stephenmathenge9723 Ай бұрын
Hongera sana choir🎉🎉
@phillipmbuligwe7946
@phillipmbuligwe7946 Жыл бұрын
Hongera sana Mwl Tumaini Swai, Lawrence, na rafiki zenu. Mungu Amewajalia talanta kubwa. Endelea kuitumia kumwimbia Yeye.
@anatoriacronery3487
@anatoriacronery3487 4 жыл бұрын
Hakika sichoki kusikiliza huu wimbo barikiwa sana
@mariethamkulo1983
@mariethamkulo1983 4 жыл бұрын
Daaaaa nimejikuta nikifurahia hongereni Sana mpo vzr
@joymo2799
@joymo2799 3 жыл бұрын
Nice song still here on July 13 2021 Nabarikiwa sanaa
@elizabethemmanuel4167
@elizabethemmanuel4167 Жыл бұрын
Wimbo niupendao unao nitia faraja amani pindi ninapokuwa na huzuni mbarikiwe sana
@antoniaproty6808
@antoniaproty6808 3 жыл бұрын
Ooooow nimeipenda sana jamani. Mungu awabariki kaka zangu.
@bundesco
@bundesco 3 жыл бұрын
Hongereni sana
@julianamanimo7850
@julianamanimo7850 4 жыл бұрын
Mawazo ninayowawazia ni mawazo ya amani, asante Muumbaji wetu kwa vipaji vya vijana hawa
@siscosamson3960
@siscosamson3960 3 жыл бұрын
Tunashukulu sana warim wetu kwa kutuijilisha kwa wimbo huo( bwana asema uliotungwa na baba waimani John mgandu, mungu ailaze loho yake mahari pema/ na mwanga wa milele amuangazie apumzike kwa Amani/ Amina.
@lawrencesilas3050
@lawrencesilas3050 3 жыл бұрын
Amina
@tibetswai104
@tibetswai104 4 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua rajoprodaction naitwa aleluya kutoka kibosho umbwe parokia ya umbwe naomba mtoe albam mpo vizuri. Izosauti kama mapdre au mafrater hivi au mashemasi
@tibetswai104
@tibetswai104 4 жыл бұрын
Rajoproduction nawafutiliaga sana ni Mimi Tibeti au Aleluya kutoka kibosho umbwe kombo sokoni ( parokia ya utukufu wamsalaba ubwe ) 0652528673 napenda sana kwaya mungu awabariki
@eddiendungi1571
@eddiendungi1571 3 жыл бұрын
Greetings in the Lord from Kinshasa, DR Congo. Sounds like male angels singing!!! Formidable!!!
@josephinegravasiano8614
@josephinegravasiano8614 3 жыл бұрын
Proud to be a Catholic
@selinakedmon8461
@selinakedmon8461 3 жыл бұрын
Nice song GOD bless u
@monicahmutuku5829
@monicahmutuku5829 3 жыл бұрын
Wow. Sauti zuri. Mungu awabariki na awalinde. Mawazo Bwana awatuwazia ni ya Amani. Swahi nakumbuka ukitufunza huku Kenya miaka Mingi. Barikiweni Sana.
@brendamoraa6400
@brendamoraa6400 Жыл бұрын
Indeed atatuzikiliza may good loybless you people yaani mnanibariki Wacha tu
@angiegathoni1620
@angiegathoni1620 2 жыл бұрын
A year later and am still in love with this song. It reminds me that a year ago, i was battling mental health/depression, but Jesus made my story beautiful. Thank you for always reminding me how Jesus has better plans for me everyday despite being a sinner. I still love you guys.
@rajopro
@rajopro 2 жыл бұрын
Be Blessed Angie
@symphrosawilliam8737
@symphrosawilliam8737 Жыл бұрын
@@rajopro mw
@symphrosawilliam8737
@symphrosawilliam8737 Жыл бұрын
@@rajopro mw
@happytairo5143
@happytairo5143 4 жыл бұрын
Miaka mingi kwenu ili mzidi kufanya kazi yake zaidi na zaidi Mungu awabariki sana
@noelinasaru1496
@noelinasaru1496 Жыл бұрын
Walimu wetu hongereni sana
@jonhsonmsofe9904
@jonhsonmsofe9904 2 жыл бұрын
Nimependa hio tokarajo
@arnoldlaurentfuraha7301
@arnoldlaurentfuraha7301 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana... Hongera sana Rajo Production kwa ubunifu katika kueneza neno la Mungu kwa njia ya uimbaji... Talanta tulizopewa zinapotumika Mungu anahimidiwa na wanadamu tunapata baraka... Keep it up Mwl. Ray Ufunguo👏🏿👏🏿👏🏿
@rajopro
@rajopro 4 жыл бұрын
Asante sana Arnold
@magrethlaurent2856
@magrethlaurent2856 4 жыл бұрын
Mbarikiwe sana mmeimba vizuri,,, Mungu awazidishie nimeipenda
@SirJames065
@SirJames065 4 жыл бұрын
Huu wimbo hainotoki kwa kichwa. .
@lawrencesilas3050
@lawrencesilas3050 4 жыл бұрын
Ubarikiwe zaid ndugu yng
@claudemushimanja469
@claudemushimanja469 3 жыл бұрын
Ndugu zangu, kweli mumenibariki kabisa. Mungu baba yetu awakumbuke kupitia kipaji hiki. Claude / Bukavu-DRC
@mercykagichu
@mercykagichu 3 жыл бұрын
Angelic voices!!!! Sichoki kamwe kuuskiza wimbo huu mzuri sana,,,,, twapenda uimbaji wenu kwa sana na siku moja yaani mimi hutamani niwaskize mkiimba kwa karibu👏👏hongera nduguzanguni watanzania
@lawrencesilas3050
@lawrencesilas3050 3 жыл бұрын
Usijal soon tutaku invite
@mercykagichu
@mercykagichu 3 жыл бұрын
@@lawrencesilas3050 Mwaliko huo naungoja kwa sana......Lakini itabidi kwanza nijifunze kiswahili sanifu 😅 Mwendelee kumshukuru Mungu kwa nyimbo na sauti nzuri......Mungu awazidishie baraka zake
@lawrencesilas3050
@lawrencesilas3050 3 жыл бұрын
Usijal shall teach you proper swahil
@meresinantibakakazi1722
@meresinantibakakazi1722 3 жыл бұрын
Asaenteni sana kwa kuimba vizuri.kibondo tumewakubari
@mwitamichael9087
@mwitamichael9087 4 жыл бұрын
Hongereni vijana kwa wimbo mzuri
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 4 жыл бұрын
Raju best production
@chrispinesamwel2660
@chrispinesamwel2660 3 жыл бұрын
SALUTE!!!!!
@belindananjala8844
@belindananjala8844 3 жыл бұрын
This is my best bible verse Jeremiah 29;11 ever,God bless you all I like it, it always rings in my mind like an alarm Mob love ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🥰🥰🥰🥰
@lawrencesilas3050
@lawrencesilas3050 2 жыл бұрын
Be blessed my dear sister
@victoriasiay4218
@victoriasiay4218 Жыл бұрын
Huu wimbo haichoshi kuutazama
@charlesmartine3467
@charlesmartine3467 3 жыл бұрын
Very attractive
@mwalimuaudi8844
@mwalimuaudi8844 4 жыл бұрын
Wow! Nimebarikiwa sana. Utunzi huu unavutia sana. Mola na Awazidishie maarifa katika kumtumikia.🎶🎶🎼🎼🎹🎹😍🤗🤩😘
@fransiscabernard1070
@fransiscabernard1070 4 жыл бұрын
Pongezi Mungu awazidishie neema ya kibali🤞
@bujunebusanya3966
@bujunebusanya3966 4 жыл бұрын
Mungu azidi kuwatumia tupate kazi zingine nzurii zaidi. Kuimba ni raha sana. Hongereni sanaa
@rajopro
@rajopro 4 жыл бұрын
Asante sana Bujune
@zawadishiga1123
@zawadishiga1123 4 жыл бұрын
Hongereeeeni sanaaaaa....mbarikiweeee...viva Roman Catholic church
@sr.donathanyiramanagerard9782
@sr.donathanyiramanagerard9782 3 жыл бұрын
Nafarijika sana kila nisikilizapo huu wimbo. Asanteni sana sana ndugu katika Kristu kwa kutuinjilisha. Mungu awabariki.
@naomibenjamini2088
@naomibenjamini2088 3 жыл бұрын
Miss u sr Donatha miaka 11 tangu nikuone. Nakutakia kila jema ktk utume wako. Milima haikutani binadamu hukutana ipo siku tutaonana our Champika
@sr.donathanyiramanagerard9782
@sr.donathanyiramanagerard9782 3 жыл бұрын
@@naomibenjamini2088 Asante sana.
@basilmponzi291
@basilmponzi291 4 жыл бұрын
Laurence Kameja hongera Sana kwa Sauti nzuri ya kwanza ubarikiwe Sana wote
@lawrencesilas3050
@lawrencesilas3050 4 жыл бұрын
Amina bro Mungu ni mwema
@gloriasakwari9815
@gloriasakwari9815 Жыл бұрын
Asanteni Mbarikiwe waimbaji na Rajo production
@mapendoimani2462
@mapendoimani2462 4 жыл бұрын
Hongereni Mapacha wanne Utulivu 100% na ujumbe safi actually its in good memory of our lenged Composers
@olivambala3086
@olivambala3086 4 жыл бұрын
Hongereni Mungu amesikia kilio chetu cha ugonjwa wa corona
@eliasdilandasafisananapend9427
@eliasdilandasafisananapend9427 2 жыл бұрын
Nawafurahia sana na uimbaji wenu
@chrispinesamwel2660
@chrispinesamwel2660 3 жыл бұрын
Great!
@amosgerald7763
@amosgerald7763 4 жыл бұрын
Mbalikiwe
@justineamanyisye7675
@justineamanyisye7675 4 жыл бұрын
Hakika Mungu awatumie ktk viwango na viwango,nimetafakar maneno mazito
@maliaannann1572
@maliaannann1572 4 жыл бұрын
Hongera Rajo Production.... Mens mko vzr
@beatusidama6233
@beatusidama6233 4 жыл бұрын
Binafsi ninashangazwa na hizo thumbs down 2. Loh! Wimbo sio tu umewasilishwa vizuri bali uimbaji uko bora sana na roho ya uinjilishaji inatia uhai kwa wote waitazamao hii video. Msikate tamaa RAJO!
@rajopro
@rajopro 4 жыл бұрын
Neno kama hili la nguvu kutoka kwa mtu kama wewe linatia moyo sana kaka. Tunamshukuru Mungu.
@csato9415
@csato9415 4 жыл бұрын
Hao watu wa 👎 huwa wapo tu. Hongereni kwa wimbo mzuri.
@mwalimujerrymathew9403
@mwalimujerrymathew9403 4 жыл бұрын
Kuna wale hawaelewi 👍na ile nyingine.. Wimbo mtamu, kazi safi
@beatricemalisa6984
@beatricemalisa6984 4 жыл бұрын
@@rajopro jitahudini muweke translation ya kiingereza itapendeza kwa wale hawajui kiswahili kuelewa na kuinjilishwa...na hao ndio wanaodislike video maana hawaelewi kinachoongelewa
@theresiakaruhanga1169
@theresiakaruhanga1169 4 жыл бұрын
@@csato9415 na hupaswi kuwalaumu maana uwezo wao wa kufikiri uko hivyo, la muhim ni kuwaombea
@godblessmvula6627
@godblessmvula6627 4 жыл бұрын
kazi njema sana ,,Mungu awabariki,, nimekuwa among first ten viewers of this song
@dicksonthewira6388
@dicksonthewira6388 4 жыл бұрын
Daa hongereni sana kwa kazi nzuri yenye ubunifu mzuri
@godisonindunguru6090
@godisonindunguru6090 3 жыл бұрын
Godisoni toka nyasa kingerikiti litindo .mko vizur
ASANTE YESU
6:06
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 7 МЛН
ASHUKURIWE MWENYEZI
3:08
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 2,3 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
MAWAZO NINAYOWAWAZIA NINYI   J  MGANDU ( Official Video HD )
5:53
The Galaxy Pro
Рет қаралды 407 М.
MANENO MATAMU_Kwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria_Unga Limited - Arusha
7:53
MBINGU ZILIFANYIKA_Kwaya ya Mt.Agustino_Manundu Korogwe
4:55
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 2,2 МЛН
NI KWA NEEMA(Official Video)- Kwaya ya Mt.Secilia Makuburi DSM
10:03
Mt. Secilia Makuburi
Рет қаралды 1 МЛН
CATHOLIC MUSIC MIX
3:28:08
Positive Sounds
Рет қаралды 3,5 МЛН
TUNAPASWA KUSHUKURU
5:50
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 8 МЛН
JAMAL & GANJA, ИРИНА КАЙРАТОВНА & КАЙРАТ НУРТАС - TUN (LYRIC VIDEO)
3:41
ИРИНА КАЙРАТОВНА
Рет қаралды 1,3 МЛН
Nurmuhammed Jaqyp  - Nasini el donya (cover)
2:57
Nurmuhammed Jaqyp
Рет қаралды 743 М.
Umar Keyn - Ever 2024
3:10
Umar Keyn Music
Рет қаралды 304 М.
Taxi
3:06
Sadraddin - Topic
Рет қаралды 281 М.
Sevinch Ismoilova - Ustozlar qo'shiqlaridan popuri (Xorazmcha)
6:15
Sevinch Ismoilova
Рет қаралды 1,3 МЛН
Aq Koilek
2:51
Algyt - Topic
Рет қаралды 186 М.