No video

MAKONDA AMPIGIA MAGOTI MABEYO, BASHE AMNONG'ONEZA MAKONDA

  Рет қаралды 160,512

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 182
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 6 ай бұрын
UKIMUONA MABEYO, UMEMUONA MAGUFULI
@africanbashor3420
@africanbashor3420 6 ай бұрын
Underated comment
@tycoon9540
@tycoon9540 6 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde sana Komredi Makonda Pokea salamu nyingi sana kutoka mtaani kwetu
@kalolontungo8476
@kalolontungo8476 6 ай бұрын
I love Bashe. He is my hero
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf 6 ай бұрын
Makonda nakuelewa sana wewe nikamanda mchapa kazi rais wetu ujae
@Duanny-jm8fr
@Duanny-jm8fr 6 ай бұрын
MAISHA MAREFUUUU KWA UNYENYEKEVU WAKO MHESHIMIWA MAKONDA💯🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 6 ай бұрын
Ebu mshauri huyo Mwenezi wenu ajifunze jinsi ya kuvaa sehemu zingine zisizokua za mambo ya ki chama. Yaani amechafua hayo mazishi kwa hayo macazi yake! Kwanini hajifunzi? Kila siku anachafua shughuli za watu. Mazishi ya Zelothe Steven alikua amevaa hivyo hivyo wajari asikimia 95% ya watu walikua wakitoa heshima zao za mwisho kwa mavazi nadhifu kama suti nakadhalika! Ni kwamba hajui dress code kwenye mazishi makubwa kama ya Lowassa ingekua ipi? Naamini kabisa ana suti nzuri tu! Why so casually dressed to such a State affair of farewell to such a leader? This is disgusting 😡
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 6 ай бұрын
Makonda ni mnyenyekevu na hii yote ni malez Bora Kwa wazazi walio mlea big up comred makonda mungu akuzidishie hekma na busara na azid kukupandosha darja insha Allah.
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 6 ай бұрын
SO MUCH LOVE ISHI MILELE BRO HUNA BAYA
@neemanziku5403
@neemanziku5403 6 ай бұрын
Makonda Mungu akupe kibali Zaid Kila sehem in Jesus name🙏🙏
@MadilishaSimon-sb9kk
@MadilishaSimon-sb9kk 6 ай бұрын
Amen
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 6 ай бұрын
Amen Amen UBARIKIWE
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 6 ай бұрын
Amen
@noelngereja8971
@noelngereja8971 6 ай бұрын
Big up sku zote ukikutana na wakuu ni vyema kujishusha
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u 6 ай бұрын
BASHE JEMBE langu Saanaa! Hakuna Waziri kama BASHE Rafiki Yangu namkubali sana
@kelvin7ithuiumwasamaki987
@kelvin7ithuiumwasamaki987 6 ай бұрын
Mobeyo mwambaaaaaa
@lordsm.k-db3wy
@lordsm.k-db3wy 6 ай бұрын
Mungu umulinde makonda.
@abdallaahabdallaahibrahim6719
@abdallaahabdallaahibrahim6719 6 ай бұрын
Hongera sana bashe nakupenda sana kwa juhud na ubunifu wako Allah akulinde
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u 6 ай бұрын
HAPO NCHI IMETIMIA bado MIMI TU💪💪🇹🇿 NAONA VIONGOZI WAkuu wa NCHI wote Wako Hapo, BADO MIMI TU NCHI ITIMIE🇹🇿🇹🇿💪💪
@tukuyutours2457
@tukuyutours2457 6 ай бұрын
Mungu ampe maisha marefu
@atutweve4160
@atutweve4160 6 ай бұрын
MZALENDO WA CHAMA NA NCHI MAKONDA
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 6 ай бұрын
Mabeyo komando ❤
@BoscoDominick-uf6ih
@BoscoDominick-uf6ih 6 ай бұрын
Much respect makonda. Keep up the good work
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 6 ай бұрын
Ebu mshauri huyo Mwenezi wenu ajifunze jinsi ya kuvaa sehemu zingine zisizokua za mambo ya ki chama. Yaani amechafua hayo mazishi kwa hayo macazi yake! Kwanini hajifunzi? Kila siku anachafua shughuli za watu. Mazishi ya Zelothe Steven alikua amevaa hivyo hivyo wajari asikimia 95% ya watu walikua wakitoa heshima zao za mwisho kwa mavazi nadhifu kama suti nakadhalika! Ni kwamba hajui dress code kwenye mazishi makubwa kama ya Lowassa ingekua ipi? Naamini kabisa ana suti nzuri tu! Why so casually dressed to such a State affair of farewell to such a leader? This is disgusting 😡
@emanuelwilliam8834
@emanuelwilliam8834 6 ай бұрын
Makonda hongera kwa unyenyekuvu nimfano mzuri kwa viongozi
@janethjonas1700
@janethjonas1700 6 ай бұрын
Humbled...God bless you Makonda
@malandojohn1528
@malandojohn1528 6 ай бұрын
Iam just smiling, i love my country,i love my leaders, Mungu ibariki Tanzania,dumisha amani.😊
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 ай бұрын
Hii adabu iwepo na mitaani vijana hawana adabu kwa wakubwa kabisa kama wamejizaa tu. Bigup makonda safi sana. Iyo inatoka moyoni.
@bugybuster5788
@bugybuster5788 6 ай бұрын
Hawana adab na ela hawana
@chai_r
@chai_r 6 ай бұрын
God is watching…
@frankkimaro1354
@frankkimaro1354 29 күн бұрын
Mungu akulinde mh
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 6 ай бұрын
Mungu ambarik Makonda siku zote niko kukuangaliaa macho 2. Huyu kaka na atafika zaid ya alipo ilaa tu nifikishieni Salam Unene unamyima aman na utulivu ilo tu bc ..
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 6 ай бұрын
Makonda Mungu azidi kukulinda...Mungu azidi kukutangulia...unatutetea sana wanyonge na wajane tuliodhulumiwa haki zetu mchana kweupe... Tunatendwa na wale watu tuliwaamini na kudhani wangetulinda.😭🙏
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 6 ай бұрын
Ajabu watu wanapendaa jizi, fisadi, dhulumati, tekaji, killer! Duh, wa TZ IPO KAZI. Shida hapa NI umbumbumbu! Elimu ni muhimu, nendeni hata MEMKWA BASI!!
@msafiripascal2757
@msafiripascal2757 6 ай бұрын
makonda mnyenyekevu sana pokeya baraka toka kwamungu
@hamadgwebe2100
@hamadgwebe2100 6 ай бұрын
My future president
@zachariahariohay359
@zachariahariohay359 6 ай бұрын
Great makonda
@broka_genius3615
@broka_genius3615 6 ай бұрын
Prezda
@WAKRISTOKANISALAMUNGU
@WAKRISTOKANISALAMUNGU 6 ай бұрын
Kwakweli mtu anaemtukana makonda hajitambui kabisa, makonda wangu Mungu akutuze, wewe pekee ndiye mtetezi wa wanyonge. Nikisikia jina makonda roho inafurahi moyoni.
@edwincain849
@edwincain849 6 ай бұрын
NAKUOMBEA SANA Mh Makonda nakufatilia Sanaa tangu mkuu wa wilaya ya kinondoni huna baya Japo wanajaribu kukuchafua lakini tupo pamoja na wewe MUNGU AKUWEKE ,AKUTUNZE KWA AJIRI YETU..!tunakuombea Sanaa🙏🙏
@devisshirima6780
@devisshirima6780 6 ай бұрын
Nakutabiria Makonda ninamuomba Mungu uwe Rais ajaye unayo roho ya Baba wa wanyonge Hayati Magufuli
@boazyisraeltv4099
@boazyisraeltv4099 3 ай бұрын
May God grants you dally
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 6 ай бұрын
Makonda anaroho ya Chuma yaani viongozi walivyokaa alafu kunawenye wanampenda alafu kuna wanafiki alafu kuna wengine wanamuchikia sanaah na wameka kwenye kiti kimoja alafu Chuma anawapita kirahisi tu na anacheka nao wote 😂😂😂 kweli Makonda ni kiboko yao
@nyandajr
@nyandajr 6 ай бұрын
Makonda ❤❤❤❤
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 6 ай бұрын
Makonda kwa asili anaadabu,na anaheshimu Mtui,au watu,Mungu akujaaliye safari yako yakujali chama chetu,piga kazi watanzania wako nyuma yako
@yasiniSwedi-qg5oc
@yasiniSwedi-qg5oc 6 ай бұрын
Nampenda Sana mabeyo na makonda na jpm hayati kijazi polepole bashiluali kakulwa saimoni silo viongozi nisio lizikanao kwautendajiwaowakazi ni 1makamba 2nchemba 3makala4umi mwalim masauni 6makame mbalaw nawengineowengi akiwemo aliekuwawazili wamambo yannje mwanama wkwanza
@boazyisraeltv4099
@boazyisraeltv4099 3 ай бұрын
Kwenyee hii duniaa iliikufanikiwa nikuwana heshimaa(Mungu.wanadamu) tuu na kufanyaa kazii yako properly 😢, the secret of success
@peterkanza2207
@peterkanza2207 5 ай бұрын
Kuna mshua kawaweka sawa Bashe na makonda,kawaambia fanyeni kazi ninyi bado vijana,msichukiane na kurushiana vijembe.
@marianmartin7483
@marianmartin7483 6 ай бұрын
Bashe, safi sana. Pia Makonda uko sawa. Sio kama wale wanasema tukishindwa kuishi TZ tukaishi B.
@user-gy1tr2hc7e
@user-gy1tr2hc7e 6 ай бұрын
Kweli ndani ya Mabeyo namuona Hayati Magufuli : kila lilo njema viongozi wetu Mungu awatangulie
@GodfreySteven-cv9bd
@GodfreySteven-cv9bd 6 ай бұрын
Nime furahi sana unyenyekevu wa hali ya juu kwa mh paul makonda
@user-jn2qj5wf6c
@user-jn2qj5wf6c 6 ай бұрын
Mh PM katibu muenez salut
@herimallya3385
@herimallya3385 6 ай бұрын
Great honor
@Lashymreal96
@Lashymreal96 6 ай бұрын
Makonda anapenda attention sana
@AnthonySindabaha-de3xb
@AnthonySindabaha-de3xb 3 ай бұрын
Stupid
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 6 ай бұрын
🙏👏❤
@user-ns9jn7dk4s
@user-ns9jn7dk4s 6 ай бұрын
makonda i can see Tanzania in your hands
@user-wj2ec2nw3n
@user-wj2ec2nw3n 6 ай бұрын
Muachen makonda rais ajaye🙏
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 6 ай бұрын
Wamepatanishwa kiainaaa
@bugybuster5788
@bugybuster5788 6 ай бұрын
Daah makonda mrith wa magufuli
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 3 ай бұрын
Kiki mbaya sana
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 6 ай бұрын
Huyu jamaa anajua kucheza na akili za wa tz😂😂😂 ndani anawaumiza nje anawaonyesha drama bas wa tz roho nyeupeee😂😂😂😂😂
@bobjulieoneheartband
@bobjulieoneheartband 5 ай бұрын
Asee Millard the background music imenifanya nijue kuna msiba flani ama kitu cha kuhuzunishaaaa so work on that mkuu soundtrack huendana na tukio ama video inahusu ninii...... Thanks 🙏
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 6 ай бұрын
Mwamba anajua hao n baba zake wazee wake
@user-le9pf1sw4v
@user-le9pf1sw4v 6 ай бұрын
🎉makonda ❤❤
@faustineIT
@faustineIT 6 ай бұрын
KAZI NZURI MH MAKONDA
@jameshagwe3063
@jameshagwe3063 6 ай бұрын
Maigizo kama bongo movie
@johnmwandu2116
@johnmwandu2116 6 ай бұрын
VIONGOZI WANGU PENDWA NA WENYE HOFU YA MUNGU(MABEYO&MAKONDA) WAMEKUTANA HALAFU WOTE WALIKUWA MAJEMBE YA MWAMBA (MZEE MAGU)
@user-qf3py6nx5b
@user-qf3py6nx5b 6 ай бұрын
Muheshimiwa paul makonda naomba utusemee huyo waziri wa maji. Kwanini maji ni shida hivi jiji la dsm. ? Hlf tunawapigia cm wafanyakazi wa dawasa wanatujibu zalau eti maji kwa sasa tusahau. Na cc watz weng ni wanyonge tunaomba utusaidie hili. Hatuna pa kushitakia
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 6 ай бұрын
Makonda ni msanii tu
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 6 ай бұрын
Sijawahi kuacha kusema Makonda anafaa toka nimjue katika uongozi na bado namkubali sana. Vijana wa kitanzania bila adabu hufiki popote badilikeni acheni matusi mitandaoni kwa kuwatukana viongozi wenu ndio ambao wanaangaika kukuwekeeni mazingira mzuri japo changamoto nyingi mno.
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 3 ай бұрын
jamaaa anajuaa kuutafuta upepo cdf ndio kiti cha raisi
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 3 ай бұрын
ila nchi inahitaji maraisi wakiwa bado vijana
@ahadibuge5246
@ahadibuge5246 6 ай бұрын
The Govt... the Team is there.
@BarnabaChota-tw7ol
@BarnabaChota-tw7ol 6 ай бұрын
Dunia mapito
@shekhaahmed3961
@shekhaahmed3961 6 ай бұрын
Gentelman ❤
@stelasanga1121
@stelasanga1121 6 ай бұрын
Makonda❤❤❤❤❤
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 6 ай бұрын
Allah mlinde HUYU mjawako
@saulostephen197
@saulostephen197 6 ай бұрын
hiyo ala ni ya ukweli, jina la wimbo na mwimbaji tafadhari
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 6 ай бұрын
Ukiona unaongozwa vibaya inabidi ujiongoze Huwezi kwenda kukaa bila kuwasalimia wale waliosababisha ufike ulipo huyu ndo Makonda sasa
@danielshauri6390
@danielshauri6390 6 ай бұрын
Makonda ni kiongozi bora sana
@J4UPro
@J4UPro 6 ай бұрын
Hakuna ubaya
@user-fd2lm5uz8v
@user-fd2lm5uz8v 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤ zote zako makonda,kiongozi wetu wanyonge
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 6 ай бұрын
Makonda hauna baya
@Mkombozi255
@Mkombozi255 6 ай бұрын
Huyu jamaa na drama zake mpaka msibani😮hivi sisiem kweli walikosa mtu,bora hata Steve nyerere😅
@benignatairo4722
@benignatairo4722 6 ай бұрын
We mgonjwa wa akili ukatibiwe mirembe
@davidpallangyo114
@davidpallangyo114 6 ай бұрын
Nabaki nashangaa tuu! Tafadhali wenye kufahamu Itifaki ya Nchi atuelimishe wale tusioifahamu. Hivi Katibu Mwenezi wa Chama Tawala na Waziri wa Serikali au Mkuu wa Majeshi ni nani anastahili kutangulia kwenye tukio lolote na kumpokea mwenzake!?
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 6 ай бұрын
Makonda Mungu akupe hekima hivyo hivyo
@allenelias2804
@allenelias2804 6 ай бұрын
Indeed Makonda you so submissive
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 6 ай бұрын
Sema huyu makonda Sometimes anaonyesha kama hazimo kichwani sifa nyingi alafu kujipendekeza kwa wale anao waponda mtu wa hivi kichwani hayupo sawa kabisa
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 6 ай бұрын
Makonda ni muuaji jambazi shetani anastahili kunyongwa
@jacksonkabaata6011
@jacksonkabaata6011 6 ай бұрын
Nenda kamnyonge! unajua sana kuhukumu kwakusikia eee? Save my comment huyo atakuja kuwa Rais au Waziri mkuu,,, nilichogundua jamaa anachukiwa sababu ananyota KUBWA sana ndio maana hata ww umekuja kumuangalia hapa 😂😂😂😂
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 6 ай бұрын
@@jacksonkabaata6011 Maviiii BASHITE ? Awe waziri mkuu, rais?? Pengine APEWE Uenyekiti WA UWT maana wanaomshangilia na kupiga vigeregeteb ni wamama maskini wanaoishi uswekeni. Wanahongeka kwa chumvi tu ya sh 500, halafu wanasota miaka mitano mingine!!
@erickmuli1030
@erickmuli1030 6 ай бұрын
Janja janja wa town makonda,ukizaliwa town tayar n fom 6! Wanyooshe mpaka wanyooke.
@dgt6303
@dgt6303 6 ай бұрын
Uchawa anauweza
@shirimabenedict5431
@shirimabenedict5431 6 ай бұрын
Duh
@BENCHARLES-ho2ws
@BENCHARLES-ho2ws 6 ай бұрын
mungu awatie nguvu
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 6 ай бұрын
povu ruksa makonda moja kwa moja urais
@brother_majesty
@brother_majesty 6 ай бұрын
Mwakyembe
@Princewaweru
@Princewaweru 6 ай бұрын
Makonda rais ajae
@giztony2009
@giztony2009 6 ай бұрын
Jitahidi kuficha ujinga wako urais cyo matak. Kila mtu anàyo
@musakihama7205
@musakihama7205 6 ай бұрын
​@@giztony2009acha kuleta ukuma kwenye maoni ya mtu.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 6 ай бұрын
Labda rais wa wapiga punyeto
@emmapaul1766
@emmapaul1766 6 ай бұрын
@@musakihama7205 ukuma unao wewe na wanaokufila kuma wewe
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 6 ай бұрын
Nyie wote achen ujinga angalieni kilichopoooh😊😊😊😊
@francismadirisha3511
@francismadirisha3511 5 ай бұрын
Makonda nakukubari
@aminashayo9263
@aminashayo9263 6 ай бұрын
Mhh hicho kibali cha Makonda sio cha kawaida ni kile kitokacho mbinguni moja kwa moja
@deoprosper556
@deoprosper556 6 ай бұрын
N Mungu pekee wa kupigiwa magoti c mwanadamu mwenzio huo ni unafiki tu anafanya na drama tu hata Magufuli mwenyewe alikuwa hataki watu wampigie magoti
@user-es2vs2wk6m
@user-es2vs2wk6m 6 ай бұрын
Ila kuheshimu mamlaka ya dunia ni shart kwasababu imewekwa na Mungu
@mgayamgaya
@mgayamgaya 6 ай бұрын
Mwigulu nmemsoma😊😅
@user-tx1yb3my3m
@user-tx1yb3my3m 6 ай бұрын
DH MAKONDA NI MNAFK SANA
@mingimingi5767
@mingimingi5767 6 ай бұрын
Makonda Rais ajae kwa jina la Yesu
@stelasanga1121
@stelasanga1121 6 ай бұрын
Ameni
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 6 ай бұрын
Aminaaa😂😂😂
@ammaherman3391
@ammaherman3391 6 ай бұрын
Hata ingekua mimi ningepiga goti kwa heshima ya huyo mwamba. (Mabeyo) mimi ni nani mbele yake maana kwa aliyoyafanya nchi hii bado mm ni kijana mdogo sana.
@franklinmziray9110
@franklinmziray9110 6 ай бұрын
😂 😂😂😂😂😂 kuwa uyaone
@Alihamdulil
@Alihamdulil 6 ай бұрын
Safi
@peterrichard9644
@peterrichard9644 6 ай бұрын
Makonda ana Neema inaitwa Favor huwezi angusha mtu mwenye hii kitu
@ngomenyikani8475
@ngomenyikani8475 6 ай бұрын
Wote matapel hao
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 6 ай бұрын
makonda hoye
@richardhosea8827
@richardhosea8827 6 ай бұрын
Bashe nimeona akirekebisha tisheti kwa nyuma kulia naona kamguu ka kuku
MADUDU YALIYOMNG'OA MAKONDA HAYA HAPA
8:27
Wasafi Media
Рет қаралды 84 М.
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
Makonda Akataa Kuomba Radhi Clouds Media Sababu Hizi Hapa
9:16
Global TV Online
Рет қаралды 176 М.