Makonda wangu tunakupenda komesha rushwa kagame wa Rwanda kakomesha rushwa Sana hamna mchezo ukimpa mtu rushwa anaenda kukushitaki hapo hapo unakomolewa Allah akuhifadhi kijana wetu tunakupenda Una khofu ya Mungu
@user-ot6qh5zn5xАй бұрын
Eee mwenyezi naomba umpe makonda afya njema na maisha marefu,ninapomsikiliza huyu mkuu wa mkoa wa Arusha napata matumaini makubwa sana kuwa mean Arusha.anatandika wezi kwelikweli
@jedidahbintidaudi8241Ай бұрын
Makonda amepania ARusha iwe kama Geneva ya ukweli..
@user-po5nz9ls6uАй бұрын
Hicho kikosi kazi Cha takukuru kianzie Kijiji Cha baraka .kata ya esilalei
@JanePaulkimaro-uo8llАй бұрын
Amen
@johnsonjackson6581Ай бұрын
Rushwa Ni adui wa haki, walioko serekalini wanatumika kuficha Majambazi, wananchi tunapoteza haki zetu bila msaada, kama swala la huyu mtu aitwae Moja kuanzia uagize akamatwe hakuna kilicho endelea mpaka sasa, Bado hakuna haki Arusha hii
@joycmsokile9220Ай бұрын
Ni kweli Kuna vijana wengi wasomi hawana ajira
@EmmmaTemboАй бұрын
Huu jama siokupenda kwake kukaa kwenye kiti hicho bali ni Mungu tu aliyetaka watanzania nyie mnabahati
@liverpoolfootballclub9985Ай бұрын
Hapa ni kujibu mapigo tu.
@user-tm5ls1ml6dАй бұрын
wapambanie muheshimiwa wapate.haki zao
@kilogreekachananawatuwasio4054Ай бұрын
WEWE UMEKUBALIKA NA MAMA SAMIA PAMOJA NA VIONGOZI WA DINI ZOTE HAO WENGINE SUPANA MITANDAO HUYO MKUBWA PIGA SUPANA MAKUFULI JUNIOR 😂😂😂😂
@HussainMaula-wr5coАй бұрын
Eeeeeee Arusha mtanizeeesha
@EmmanuelNdahya-ud5njАй бұрын
Acheni usenge wa kurudia rudia taarifa kutafuta viws