MAMA HUYU ANATESEKA SANA RC MAKONDA ASHINDWA KUJIZUWIYA AMWAGA MACHOZI HAZARANI MGONJWA WA PUMU

  Рет қаралды 61,680

Adil TV

Adil TV

Ай бұрын

#AdilTV

Пікірлер: 95
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Ай бұрын
Mambo kama haya hata mahakama muda mwingine ni usumbufu tu anahitajika KIONGOZI jasirii na mwadilifu ndio suluhisho kuu Hongera sana makonda Kwa kazi nzuri
@pancraskazimoto3028
@pancraskazimoto3028 Ай бұрын
Mh mkuu wa mkowa umebeba moyo wa imani kubwa MUNGU akubariki sanaaa.
@latinustumsime7351
@latinustumsime7351 Ай бұрын
Kaka chapa kaz una andaliwa kuwa rais wa kesho mungu akupe maisha marefu kaka
@mamasalhat
@mamasalhat Ай бұрын
Makonda mungu akusimamie naona kabisa una fata nyayo ya marehemu kipenzi chetu magufuli❤
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Ай бұрын
Sina namna nzuri ya kusema, ila ninaamini kwamba Mungu anakuona Makonda, Akubariki , akupe wepesi kwa Kila hatua.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
Ameen
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 Ай бұрын
Unawasaidia sana kwa kweli. MUNGU akubariki sana.
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui Ай бұрын
Rais Rais Rais Rais unaona anachofanya Mwanao Makonda? Mpe cheo kikubwa atutumikie vizuri.
@Visiongospelchoir
@Visiongospelchoir Ай бұрын
Makonda Mungu akulinde ww siyo mtu wakawaida ww ndi mtu wa mungu
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 Ай бұрын
Nadhan makonda ata akifa Leo Kwa mungu moja Kwa moja @ yaan dah mungu akupe nguvu makonda
@BoisDonkoil-rk8lr
@BoisDonkoil-rk8lr Ай бұрын
Mungu ampe uzima kwaajili ya taifa na familia yake ya kesho
@3Dee_51
@3Dee_51 Ай бұрын
Imagine hii nchi iwe na makonda kumi
@KennethMgona-jy4vc
@KennethMgona-jy4vc Ай бұрын
Mambo yange kua levo
@user-hi9ze6xm8u
@user-hi9ze6xm8u Ай бұрын
Makonda Mtu wa Maana Sana Mungu Akulinde
@PAMA3542
@PAMA3542 Ай бұрын
Makoda mungu akusaidie daima akupe furaha daima na maamuzi ya busara zaidi
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
T M U Mungu azidi kukulinda wewe na wanasheria wako na kila anayekuunga mkono.. Namuomba Mungu Zab 35 ikawe upande wako kwa jina la Yesu.
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Ай бұрын
Eeeh Makonda kaziunayo komaa munguyuponawewe nasisi tutakuombea kwamungu akulinde zidiyaMaadui
@AishaAlly-ob7vd
@AishaAlly-ob7vd Ай бұрын
Hakika kazi unayofanya nikbwa Sanaa Mungu akusimamie
@weshanrose7899
@weshanrose7899 Ай бұрын
Hei, Mheshmiwa makonda, nakutolea kofia kwa kazi nzuri unafanya.👏👏👏👏. I wish we had leaders like you.
@hawakiza6067
@hawakiza6067 Ай бұрын
Makonda Mwenyezi Mungu akujalie Upate Nuru ya kuwa muislam ❤
@elibaricksadock9562
@elibaricksadock9562 Ай бұрын
Khaaaa wee chizi kweli
@AnamariaMahenge
@AnamariaMahenge Ай бұрын
😂😂😂😂
@edisonemmanuel-
@edisonemmanuel- Ай бұрын
Kwa kweli mh makonda sijuhi niseme nini kwako ila tu MUNGU akulinde ni nani angesimama namna hii kuyasikiliza matatizo ya wananchi hakika umeteuliwa na mungu.. na atakulinda daima
@georgeascona5457
@georgeascona5457 Ай бұрын
natamani sana uwe rais siku moja au uwe mkuu wa mikoa yote unafanya kazi nzuri sana
@Smallkitale
@Smallkitale Ай бұрын
Kenya must copy this
@IbrahimHaruna-ef7tj
@IbrahimHaruna-ef7tj Ай бұрын
Mungu akubariki sana mkuu wa mkoa wa arusha
@paulowilliam3319
@paulowilliam3319 Ай бұрын
hakika makonda unasikiliza wanyonge mungu akupe miaka mia zaid
@frankemmanuel5239
@frankemmanuel5239 Ай бұрын
Kiongoz wangu Bora kabisa
@VeronicaMsenga
@VeronicaMsenga Ай бұрын
Ila kama kote kuna udhurumaji ARUSHA shkamoooo
@Smallkitale
@Smallkitale Ай бұрын
This man is great and God will bless you more
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 Ай бұрын
Mh Makonda we ni Zawadi Kwa Watanzania. Mungu akubariki sana.
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 Ай бұрын
Kwa jinsi unavyosaidia wanyonge Kiongozi upewe Nchi baada ya Mh Raisi mama Samia...
@MashakaSamuel-zv4sr
@MashakaSamuel-zv4sr Ай бұрын
Mungu akutunze daima
@CAGGethsemaneCenter
@CAGGethsemaneCenter Ай бұрын
Mungu akupe wepesi wa kazi
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Ай бұрын
Saa uponyaji ni sasa❤ Mungu azidi kukuinuaaaa
@TheopistaAloyce-ht8kr
@TheopistaAloyce-ht8kr 27 күн бұрын
Tisha sana makonda MUNGU aenselee kukupigania
@VERONICALAIZER-vt3ui
@VERONICALAIZER-vt3ui Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu mh
@OleLucas
@OleLucas Ай бұрын
Mungu awasaidie watanzania
@annazacharianmko4657
@annazacharianmko4657 Ай бұрын
Mungu akulinde mheshimiwa makonda
@toyimwamedi6460
@toyimwamedi6460 Ай бұрын
Jamani .makonda serekali imuhongeze mshahara ahendeleye kazi nzuri
@emeldamodest7039
@emeldamodest7039 Ай бұрын
Hongera sana mkuu wa mkoa wa arusha
@mamasalhat
@mamasalhat Ай бұрын
Allah Akbar Tanzania yetu ck hizi watu wamejawa na roho mbaya uwenevu mwingi ukatili mwingi yaani imebadilika mno
@ChiefHeke
@ChiefHeke Ай бұрын
Nikitizama clip za makonda nimeona nakungundua,kuwa watanzania wengi wanashida sabab viongozi wengi wamewapa visogo wananchi ,hii niabu kwa nchi yetu,..vijana wasomi wa nchi hii mnatuangusha sana...
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Ай бұрын
Allah akulipe brother tungekapa kiongozi kama wewe kwetu burundi tungefurai kabisa
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub Ай бұрын
Haya yote ni matokeo ya uozo wa serikali,viongozi hawawajibiki ndo maana kelo ni nyingi sana
@FATUMAPASKAL
@FATUMAPASKAL Ай бұрын
Mwenyezmung akufanyie weprs
@jalinachilala8465
@jalinachilala8465 Ай бұрын
Napenda wamburu wanavyoongea huwa wananivutia sana❤❤❤
@Smallkitale
@Smallkitale Ай бұрын
Because people are safer and we have leaders
@jabirshomar8247
@jabirshomar8247 Ай бұрын
MUNGU AKUONGOZE NA AKULINDE SANA
@eliyalaiza6768
@eliyalaiza6768 Ай бұрын
Huyu jamaa anapambana sna maungu azidi kumpigania
@AlexanderKibona-os2bt
@AlexanderKibona-os2bt Ай бұрын
Mungu anafanya kaz sio makaniasani tu km tulivozoea
@JosephAlex-pm7rp
@JosephAlex-pm7rp Ай бұрын
Safi sana P M
@monicamichael-sr4kx
@monicamichael-sr4kx Ай бұрын
jamani mungu akutetee makonda
@georgematola2447
@georgematola2447 Ай бұрын
MAKONDA UTABARIKIWA HADI USHANGAE, MUNGU AZIDI KUKUPA ULINZI ZAIDI
@dayana5513story
@dayana5513story Ай бұрын
Hakika Mungu nimwema
@israelimarco6465
@israelimarco6465 Ай бұрын
najikuta nalia hivi watumishi na wanasiasa mbona naona mkimuiga
@kellykawageme3273
@kellykawageme3273 Ай бұрын
Pole dada kwa matatizo makubwa
@user-kl8jy1ij2i
@user-kl8jy1ij2i Ай бұрын
Capa kazi Wakuongwa waongeye pumba Muzehe Makonda.MUNGU akurinde.uishi myaka myingi Kiongozi.
@OmanOman-lt8se
@OmanOman-lt8se Ай бұрын
Makonda nikama magufuri haki
@JosephatBonifasi
@JosephatBonifasi Ай бұрын
Mimi"hapanajiskiaaman"wakalewalisema"avumae"baharin"kumbewengiwaapo"munguakulinde"unafanyamaajabu"
@majaliwamwamengo8604
@majaliwamwamengo8604 Ай бұрын
MUNGU AKULINDE MAKONDA KWA MOYO HUO NAJUA NI MUNGU AMEKUTUMA
@chandarotv7649
@chandarotv7649 Ай бұрын
Chapa kazi kiongozi kazi Yako ni njema sana ,ww ni Mchungaji mwema
@user-lm5fu5tu5z
@user-lm5fu5tu5z Ай бұрын
Ndio maana magufuli alikuwa kesi zingine anaziamua hapohapo hakuna Cha mahakama Wala nini
@rosesilio9008
@rosesilio9008 Ай бұрын
Jamani nimeamini raisi wa nnchi hana shida ila hawa wa chini ndo wanaotunyanyasa
@user-eb3sr5wi5v
@user-eb3sr5wi5v Ай бұрын
Kujieleza ni elimu sanaaa
@majaliwamwamengo8604
@majaliwamwamengo8604 Ай бұрын
Rais wa wanyonge Mungu awe nawe katika Kila jambo
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 Ай бұрын
Makonda mtu wa maana kabisa anajua.
@MagrethEmmanuel-qn4ud
@MagrethEmmanuel-qn4ud Ай бұрын
Jamani kabila langu niwabishi na tunapenda kesi yakusumbua watu 😮😮
@Elizansyenge
@Elizansyenge Ай бұрын
Ajali ya singida
@israelimarco6465
@israelimarco6465 Ай бұрын
makonda Mungu awe mtetezi wako kama utapata muda wa kusoma sms yangu nikutie moyo kwamba Kila ulichokianzisha Mungu awe mfariji
@kulwankuba2785
@kulwankuba2785 Ай бұрын
Hivi hizi mahakama uwa wanasaidia watu vipi?si Bora mahakama zitolewe zote wabaki wa kuu wa mikoa kutuhudumia.
@scollantandu2350
@scollantandu2350 Ай бұрын
😢😢😢😢😢
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt Ай бұрын
Alafuu unakutalijitu linamchikia makonda nazanilitakuwa ni lishetanizee
@janethngowi1058
@janethngowi1058 Ай бұрын
Mmmmh!
@devothaignatius5256
@devothaignatius5256 Ай бұрын
Wewe mama mbn uelewi umepewa nafasi umejieleza unaulizwa swali unaongea mengine dah nimejikta namuulumia makonda mpaka ameshindwa aseme nn?
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Ай бұрын
Mpeni maji kidogo
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri Ай бұрын
Mackini 😢😢
@user-gn8ny8yw3u
@user-gn8ny8yw3u Ай бұрын
Rais wetu ajae
@FridaMmari
@FridaMmari Ай бұрын
Anaendaga Tanga kufanya nini? mwambieni Haki ya mtu haithulumiwi kichawi
@ZuhuraRajab-vw9eb
@ZuhuraRajab-vw9eb Ай бұрын
Uyu jamaa naomba agombe urais atatisha balah atakuwa kama magu ase
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 Ай бұрын
Makonda chapa KAZI
@DominikiKristiani
@DominikiKristiani Ай бұрын
mawazili wako na v8
@babuuosama8752
@babuuosama8752 Ай бұрын
BAADA YA MIAKA KUMI YA MAMA SAMIA " WATANZANIA PINGA KURA YAKO MAKONDA RAIS NA SLAA MAKAMU WA RAIS AMA MTUNDU LISU NA HALIMA MUDEE ....... ? VOTE 🗳 NOW "
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
MAHAKAMA ZETU MTU ATAPELEKEWA SAMANSI YA MAHAKAMA VIPI WAKATI JALADA ALIJAFIKA MAHAKAMANI 😂
@yassinm69
@yassinm69 Ай бұрын
Majaji ndo wapumbavu tena washenzi kweli kweli
@mauaabasi591
@mauaabasi591 Ай бұрын
😂Mheshimiwa.mkonta.ulikua.wapi.tumesha.uminzwa.sanana.watu.marafi.na.mali.zawatu.wasahau.kama.mungu.anawaona.kweli.tunamshulu.munguo.kutuletea.kiongozi.mwenye.hour.na.mungu.
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 Ай бұрын
Jamaa anachoka sana
@DAVID-hc1ov
@DAVID-hc1ov Ай бұрын
🤣🤣🤣
@mammukaratu2084
@mammukaratu2084 Ай бұрын
Chama tawala NDIO kinaunda serikal, the head of state Toka chama tawala NDIO anateua MAJAJI....mkuu WA mkoa mteule WA Rais......Who to blame who to praise !! Inabidi tujitafute sana
@gloryshayo9966
@gloryshayo9966 Ай бұрын
Yaani Hadi watu waelewe hapoo ni shughuli
@collincarlos7433
@collincarlos7433 Ай бұрын
Mchngj wa badae hyu
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 Ай бұрын
Mkiambiwa selekari ya CCM imeshindwa kuongoza
@petromgaya1746
@petromgaya1746 Ай бұрын
Imeshindwa nn nyie vijana wenye bongo za mavi ndio mnaongea ujinga embu kakojoe ulale 😅🚮
@user-hd5bg8qw1b
@user-hd5bg8qw1b Ай бұрын
HATA HIVYO VYA MA UNAVYOVITAKA NDIIO WALEWALE BORA NA C CM KAZI INA ONEKANA.HAO WANATUKANA TU
@Ernestlaiza
@Ernestlaiza Ай бұрын
​@@petromgaya1746nikweli
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 9 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 11 МЛН
MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA
11:59
BABA YANGU KIPOFU Full episode /22/ #love
38:39
BabaJoan
Рет қаралды 160 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН