MAMA MZAZI WA HAJI MANARA ATOBOA SIRI HII NI NDOA YA TANO/MKE MKUBWA ANA MAUMIVU NIMEONGEA NAYE

  Рет қаралды 52,720

Bona Tv

Bona Tv

Жыл бұрын

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
MAMA MZAZI WA HAJI MANARA ATOBOA SIRI HII NI NDOA YA TANO/MKE MKUBWA ANA MAUMIVU NIMEONGEA NAYE
#Bonatv #Exclusive

Пікірлер: 122
@najuf8021
@najuf8021 Жыл бұрын
Kwakua nimzazi tu Lakin mama hapendezwi natabia ya semaji
@gracesage989
@gracesage989 Жыл бұрын
wewe ni mama mwema sana umeongea vizuri.❤
@ayshajeffa7343
@ayshajeffa7343 Жыл бұрын
Sanaaaa
@aminakunja277
@aminakunja277 Жыл бұрын
Mama kaongea vizuri sana
@ayshajeffa7343
@ayshajeffa7343 Жыл бұрын
Sana huyo mwanawe hajielewi kilaxiku aowa
@yunislemnge5558
@yunislemnge5558 Жыл бұрын
Mama uko.vizuri una huruma sana
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Жыл бұрын
Mama Hana furaha kabisa
@lwanjiedna5233
@lwanjiedna5233 Жыл бұрын
Mama mzuri na busara zake🙏
@jestinamagembe2125
@jestinamagembe2125 Жыл бұрын
Mama point sanaa
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Жыл бұрын
Mama kachemka mahudiano na rushaina hayatakuwa mazuri unaumia mbona yule wa kwanza hukuumia
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Uyo Ruby atulie yy si alifurahia adi Nahiida yakamshinda atulie dawa imuingie ao ndo wanaume bwana alijua anapendwa 😂😂😂
@ummuadam2423
@ummuadam2423 Жыл бұрын
Yani hyu mama Ana wakati mgumu Sana bas tu Hana jinsi mwanae kuowa kuowa tu ila wakwe wakishirikiana vzr mamkwe atapata presha
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 Жыл бұрын
Sijakuelewa my dear wasema wakwe wakishirikiana vizury mkwe Atapata presh kivipi?
@ummuadam2423
@ummuadam2423 Жыл бұрын
@@swaumdodoma7591 hujanielewa kvp mwaya
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 Жыл бұрын
@@ummuadam2423 😁😁😁kwanini mama mkwe apate presha wakwe zake wakielewana?
@ummuadam2423
@ummuadam2423 Жыл бұрын
@@swaumdodoma7591 akipendelea mtoto wake, alaf inakera kuowa owa unakuta mtu Ana give up in short aombe Sana wasielewane ila wakielewana mama atakua kwenye kikaango 😂yani chuki zote atalemezwa mama mkwe
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 Жыл бұрын
@@ummuadam2423 mhhh makubwa
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 Жыл бұрын
Uke wenza ni maumivu hasa ukiwa mke mkubwa.
@jabirkombo5483
@jabirkombo5483 Жыл бұрын
Polee
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 Жыл бұрын
@@jabirkombo5483 Wameipokea kwa walioletewa wake wenza.
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
Uwe mkubwa halafu umehangaika na mwenzio mmechuma halafu kajitu kanakuja tu kuzila kanataka na urithi
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 Жыл бұрын
Tatizo kujikubali wengi wao mme akiongeza mke wanajisusa wanapunguza mapenzi wakidhani mme kamchoka ndomaana kaoa kumbe basi tu kaoa kwatamaa sasa ukijisusa si ndounampa chansi ahamie kwa bi mdogo?
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 Жыл бұрын
Maskini mama Hana furaha ila afanyaje tuu
@yusrasalum
@yusrasalum Жыл бұрын
Acha tu hana jinsi ndio mwanae
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 Жыл бұрын
Mama kaongea point
@munatwalib2808
@munatwalib2808 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akukinge na shari za hasad
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 Жыл бұрын
Maskin mama mwenye maadili na huruma
@KADALAtv255
@KADALAtv255 Жыл бұрын
Haaaa! Kumbe mnaumiaga! nilidhani ninyi wenzetu mmejaliwa kwa kuwa ni imani nilifikiri mnafurahia tu. Mama umesema vema.🌹🌹🌹🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@anthonycharles1551
@anthonycharles1551 Жыл бұрын
😂😂
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
hakuna mty anafurahia hususani wanawake
@latifaomary
@latifaomary Жыл бұрын
Mjinga ww iman ikukae ww mwanaume kama nakutosheleza unaleta mke mwingne wa nn shwAin
@KADALAtv255
@KADALAtv255 Жыл бұрын
@@latifaomary Nadhani huu ujumbe sio wangu ila kama umenijibu mimi basi ni hivi wajinga ndio waliwao hakuna mke anaeweza kuvumilia mitala bana mume anauma aisee. Muulize dr mwaka na manara ndio utaelewa ni ukandamizaji tu wa mwanamke. Sishawishiki.
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 5 ай бұрын
Hapo siimani wala nini niuhalisia kwamume kuumiza mana hata mke watume mamaetu aisha alikua nawivu kwa mumewee nayeyee ndi mke wamtume tutuaacha sie😅
@esterkomba4072
@esterkomba4072 Жыл бұрын
Mama haji ninakupongeza kauri yako umeongea vizuri sana.
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Жыл бұрын
Mama kaenda tu atafanyaje maskin lkn yupo hoves 😂
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Haji acha kumtia ubayani Mama yako kwa wake zako punguza tamaa ndugu. Hutoweza wazuri wanazaliwa kila siku ,alafu ukumbuke wengine wanataka jina na fedha sio mapenzi ya dhati wanakutumia tu
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 Жыл бұрын
Haji hana mke ndio huyu tu hata huyo wanaosema mke mkubwa hakuna pia alikua hana mke sisi watoto wa kariakoo wenzie tunajua hawezi kukaa na mke kwa sababu ya mfumo wake wa maisha abadilike kaka yetu ili asitiwe hila na jamii ya wanawake haji hana mke ndio kwanza huyo
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
@@matataoneproduction5355 mmh! Mama mzazi anasema ndoa ya tano na sasa ana wawili we unasema hana ndo huyu tu! Heeee hata wa mwaka huu mwanzoni tuliona sasa sijui unaongelea nini
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 Жыл бұрын
@@fatmazullu4933 sina maana hajawahi kuoa Nina maanisha ameshaachanao alibaki hana mke
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
@@matataoneproduction5355 Cha kwanza nachoweza kusema Haji huoa kwa kutumia fedha zake kumnunua mwanamke au mwanamke kumtaka kwa kumtumia. Huoa kwa kukurupuka bila kuchunguza je mwanamke amempenda kweli?.Ukitanguliza fedha kwa mwanamke lazima atakubali fedha lakini sio mwenye fedha na ndichobkinachotokea kwa Haji hachunguzi tabia za mwanamke anafuata sana pia uzuri wa nje.Ndio maana wakiishi hawawezani pia na yeye ana hila ya kujivunia hela kuwa anaweza pata mwengine abadilike sio sifa anachikifanya.Asitangulize fedha na avae kiatu saizi yake ,maana hata huyu mke sioni penzi naona matumizi ya fedha ngoja tusubiri
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 Жыл бұрын
@@leokamil6284 kweli iyo ndo changamoto Mungu awasaidie lakini
@happycarloss6726
@happycarloss6726 Жыл бұрын
Mshauri mwanao hafanyi vizuri na yeye ana mtoto wa Kike
@KADALAtv255
@KADALAtv255 Жыл бұрын
Anadhalilisha wanawake angekuwa anadumu nao sawa but anaoa anawabwaga anatafuta malaika au? Hii haileti picha nzuri kwa jamii🌹🌹🌹🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 Жыл бұрын
Dini inaruhusu
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
@@ahmadbadawi9664 hakuna dini inaruhusu kuonja oja mungu mwenyewe anachukia wanaume kma manara hakuna wislam wa hivyo
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 Жыл бұрын
@@heyumi2340 kweli Dada heyumi dini hairuhusu kuonja onja,tuwaachie wenyewe na familia yao pengine kuna mambo yamejificha.
@heyumi2340
@heyumi2340 Жыл бұрын
@@ahmadbadawi9664 mwenyewe anaona sifa na kusema dini inaruhusu angekuwa anaujua dini angekuwa na adabu ya kuowa
@cngeze
@cngeze Жыл бұрын
Haji anashida shida nyingi
@ayshajeffa7343
@ayshajeffa7343 Жыл бұрын
Umejibu vizur mama mwaaaaaaaaaah
@aminasebarua2886
@aminasebarua2886 Жыл бұрын
Mama mwema sana
@aminaomy8139
@aminaomy8139 Жыл бұрын
Allah atawa subraa Insha Allah na ukiwaangalia wote Ni wadogo na warembo bt mmhh uke wenza Ni uchunguu sanaa ... Hajj Manara mdogo wanguu sasa makinikaa uwabebee wakezo Kwa makinii usilemee upande mmojaa
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 Жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 Uchungu wanini na kila mtu anaishi kwake miye sioni tatizo la uke wenza mkijikubali tu na mkaelewana mdaisha kama kitu na dsdaye😁😁😁😁
@ashhabibu8330
@ashhabibu8330 Жыл бұрын
Huyu mama anaumia , Ila hana jinsi jamani,
@messiahfeatures3994
@messiahfeatures3994 Жыл бұрын
Amesema kwel huyu da Rehema
@asiamohd5516
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Mzazi kaongea vxr mashaallah.
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Anavyofanyia hao wanawake na watoto wake watafanyiwa hivyo hivyo
@rayyanbafagih7111
@rayyanbafagih7111 Жыл бұрын
Ameongea point sana huyu mama
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 Жыл бұрын
Mama hajafurahishwa na uzinzi wa semaji .. semaji ee kausha inatosha mwanangu
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Жыл бұрын
Amedeus acha ujinga Haji Ana uwezo wa kuoa hata wanne uzinzi unao ww pumbavu yy ameoa sio ww unaechepuka kila cku
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 Жыл бұрын
@@yunusimchala6569 yunusu we unamsapoti mwamba uwezo co dili Kama ni uwezo billgate angeoa ata wanawake Mia cz anauwezo lkn jamaa na uwezo wake wote anamke mmoja tu au we unamaanisha uwezo gan na Kama n huo uwezo unamaanisha ww umejuaje
@joharifarahani2739
@joharifarahani2739 Жыл бұрын
Sio uwezo wa pesa ndugu uwezo wakumiliki wke zaidi ya mmoja inamaana yeye ni mwanaume lijali me mmoja amtoshelezi kitandani ....ukijiona hivyo ruksa kuoa me mwingine ili akutimizie haja zko japo kuwa sisi wanawake tunaumia ila ndio hivyo tena sheria ina mruhusu tena hapo anapata swawabu kuliko kuzinzi nje....
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 Жыл бұрын
@@joharifarahani2739 okay but kuoa wanawake weng co kwamba ndo mtu hachepuk kuchepuka n tabia tu ya mtu xo kua na wake weng ndo kunapunguza hiyo huluka wapo watu wameoa mke mmoja na hawachepuki
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 Жыл бұрын
@@yunusimchala6569 😁😁😁😁😁😁ivi kumbe kuna watu hawajui ata maana ya uzinzi ni ninieee
@neemamwalyenga8080
@neemamwalyenga8080 Жыл бұрын
mama anaakili sana..nmempenda
@rabiamngazija6532
@rabiamngazija6532 Жыл бұрын
ALLAH akusimamie inshaallah uwe muadilifu kwa wote 🙏ila km mama umempata Allah ampe umri mrefu wenye afya
@ummySheikh72
@ummySheikh72 Жыл бұрын
Haji kweli ni dini imempa ruksa ila mmm! Mimempenda mama yake haji kwa maneno yake ya busara
@zakatshabani2645
@zakatshabani2645 Жыл бұрын
Nimekupenda bure wee mama🥰😘
@zainiamohd6234
@zainiamohd6234 Жыл бұрын
Duuu mama yangu pole sana unaumia sana ila kwa kuwa ni mtt wako huna jinsi sio siri inauma
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
WE MAMA WA MANARA UMSHAURI MTOTO WAKE HIYO SIYO SIFA ANA WATOTO WA KIKE NA YEYE ATAFANYIWA HIVYO KWA WATTO WAKE HAPO ANAWAPA ADHABU WATOTO WAKE.
@joharifarahani2739
@joharifarahani2739 Жыл бұрын
Ww sheria ya dini inamruhusu utakuta mwanaume mwingine yupo vizuri kwenye mambo ya ndani na wanawke wengine awawezi kumudu ill yeye anataka kumpa mume kwa mwezi mara moja ....utakuta kaolewa na mume lijali yeye anauwezo wakukuta na mkewe kila siku kuliko kumtesa sheria ina mruhusu kuoa mke mwingine tena hapo anapata swawabu kuliko kuzini nje....ni ngumu ila ndio hivyo tena
@emmymgonto4110
@emmymgonto4110 Жыл бұрын
Nimempenda mama
@orestamsigwa7037
@orestamsigwa7037 Жыл бұрын
Mama uko vizuri
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Жыл бұрын
Nice
@claudia1500
@claudia1500 Жыл бұрын
Mama nimekupenda
@biubwasuleiman2983
@biubwasuleiman2983 Жыл бұрын
Rubi nimempenda sana mashallah
@joycesichone1175
@joycesichone1175 Жыл бұрын
Haji una mama mwenyew busara,muombe mungu akutunzie.
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Жыл бұрын
🥰
@biubwasuleiman2983
@biubwasuleiman2983 Жыл бұрын
Mama mzanzibari mbona lafdhi nzuri
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Жыл бұрын
Mma mzuriiii
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Mama hajapenda Hii tabia Ya mwanae kuoaoa basi tu hana namna
@biubwasuleiman2983
@biubwasuleiman2983 Жыл бұрын
Mama mrembo mashallah maridadi honhera mama
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Жыл бұрын
Wazazi wa Bugatti wanajua kuangaishwa na ndoa zakila siku😂😂😂
@winfridantandu2870
@winfridantandu2870 Жыл бұрын
😂😂😂 jmn niache bc😂😂
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@maryamsaid3297
@maryamsaid3297 Жыл бұрын
mama anabusara zakutosha
@MaaneML
@MaaneML Жыл бұрын
Mama mwema, mwenye Busara, mwenye kujali, mwenye upendo kwa wakwe zake, mama anaumia na wakwe zake. Binafsi sijawahi kukutana na mama wa Aina hii. Kweli Haji Manara ni mwanao Ila sasa amezidi Tabia za kuumiza Wanawake. Yaani hata kama dini inaruhusu lakini ndugu zangu kushirikiana penzi inaumaaaaaa. Uishi miaka mingi tele mama Haji.
@WasomiOnline
@WasomiOnline Жыл бұрын
Mama muungwana sana
@deejulesdonatha4107
@deejulesdonatha4107 Жыл бұрын
Uyu mama anajielewa sana na ana utu
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Жыл бұрын
Mama Ana hekima. Sn jmn uyu ila hj kwann unapenda kuowa owa naww kaa
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Жыл бұрын
Hawezi huyo Kuna vitu anavikosa sema hamvijui Tu
@user-rz1pc1be7x
@user-rz1pc1be7x Жыл бұрын
Pesa yaongea mabibi wame zaidi 5 huyo amezidi
@skylanduniversalenterprise1374
@skylanduniversalenterprise1374 Жыл бұрын
Hizi Video mnachukua na cm or image mbovu
@neemaraphael764
@neemaraphael764 Жыл бұрын
Yaani mama mkwe umenifurahisha umeongea ukweli jamani inauma uke mwenza usiombe
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 Жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 Kinachouma apo kitu gani khery nijue tuko wawili kuliko niwe peke angu kisha mme wangu awe anazini
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 Жыл бұрын
Ataoa mpaka siyo anakufa.
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 Жыл бұрын
Anaumia nini Sasa kwani ana achwa???
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
Mama ungegoma kwenda kwa harus ingekuaje?kwan mwanao inampelekesha tamaa.lkn HAKUNA WANAFIKI KA MAMAWAKWE KTK HII DUNIA.afu wanafatia MIJIWIFIII🤔
@omarihamadumetishasanalava4725
@omarihamadumetishasanalava4725 Жыл бұрын
Vixuri
@abdulkarimnassor284
@abdulkarimnassor284 Жыл бұрын
Mwamba kiboko,mi unaniangusha sehemu moja tu ilitakiwa hadi sasa hivi uwe na timu yako sub unao haya tafuta first eleven sasa hivi
@elizabethmajaliwa5189
@elizabethmajaliwa5189 Жыл бұрын
Inaonekana huyu aliyepita alimpenda ,huyu sidhani
@elizaeliza4369
@elizaeliza4369 Жыл бұрын
mama.ana akili timamu.huyu
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Жыл бұрын
Lazima umie mtu we ndowa miez mi 4 tu u amuolea Mke wapili
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
Sasa kama fukara kapata unategemea nini ni kubadilisha papuchi tu
@christinasilungwe3543
@christinasilungwe3543 Жыл бұрын
Mama nimempenda bureee. Wachache sana mamamkwe waivi jamanii.Mungu akutunze mama
@sabrinamwampiki6456
@sabrinamwampiki6456 Жыл бұрын
Kwa mke Sande Manara amepata100%
@aminaomary5567
@aminaomary5567 5 ай бұрын
Hayo maneno MAMA Haji,kuoa lila siku na kuacha si nzuri
@rahmaswale1671
@rahmaswale1671 Жыл бұрын
Mama una busara sana
ONA TAMBO ZA HAJI MANARA AKIWA NA DIAMOND, BABA LEVO NA MWIJAKU
0:35
WHO LAUGHS LAST LAUGHS BEST 😎 #comedy
00:18
HaHaWhat
Рет қаралды 20 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 99 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,6 МЛН
JUMA LOKOLE AFICHUA SIRI YA HARMONIZE KUTOKA NA MKE WA MANARA
10:11
RAHA YA UKE WENZA NI KUSHINDANA KWA TUNGO
18:53
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
Didiya hume wo chidiya dila do na 🦜🦜 #shorts #comedy 😜
0:34
Sikha shorts and vlogs
Рет қаралды 57 МЛН
Tom and Jerry (mud) wait for end 🔚😂
0:39
Nemi Shorts
Рет қаралды 9 МЛН
si tenge menyamar jadi polisi farel #shorts #viral
0:19
Keluarga Hakiki chanel
Рет қаралды 9 МЛН
Поймал редкий кадр🤨
0:22
FERMACHI
Рет қаралды 5 МЛН
Обезьяне пересадили голову??? #факты
0:31
Время знаний
Рет қаралды 1,4 МЛН
Попалась за конфету 🍭🙃
0:20
НЕБО - СПОРТ И РАЗВЛЕЧЕНИЯ
Рет қаралды 4,6 МЛН