Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri MAMA YAKE HAJI MANARA AZUNGUMZIA NDOA YA MWANAE KUOA MKE YANGA/AMSHUSHUA NUGAZ #BonaTV #Exclusive
Пікірлер: 76
@hamidahamdun36463 жыл бұрын
Mama manara na mama wa mashabiki wote wasimba, mama mzuri, mama mwenye busara zake. Tunakupenda wana simba sababu kaka manara ni dam dam na simba
@khaulatmohammed37653 жыл бұрын
Mama saut yake nzur ma sha allah
@blandinamnyinga83183 жыл бұрын
I wish all mother's to live long life by the grace of God,I lost mine in 1994,now am a mother of 3 but still whenever I remember my mom,tears flows down on my cheek's it hurts so much😭😭😭😭😭😭
@severinemabirika22493 жыл бұрын
Be strong ,your mom left you in agony but look how God has given you joy...mother of 3 !! What a blessing and allow me to guess ,one of your kids has been named after your mom's name ,if that's so then your mom still lives amongst you not in physical form but spiritually...and if God hasn't blessed with a she-baby ,one day God will and don't forget to name her after your mom's name ....stay blessed and pray for your beloved mom
@blandinamnyinga83183 жыл бұрын
@@severinemabirika2249 thanks. indeed among my 3 kids I only have 1girl,my last born,she 8 at class 3,she doesn't have my mom's name because I married a Musilim husband her name is ILHAM also I gave her a Christian name FARAJA but she has that look,from hair to toe she took everything frm her granmaa and each time I look at her I feel so,so blessed.
@aminanamoyo833 жыл бұрын
Mashallah mama manara umependeza sana ❤🇹🇿🇨🇭
@omaryabdala64943 жыл бұрын
Mnyonge mnyongeni lekin haki yake mpeni mom manara una busara mno jmn na ume damshi
@jimmycroud10273 жыл бұрын
Inshallah mama yetu mungu akubalik kwa busara zako mama🙏
@ashamaganga82153 жыл бұрын
Mama umependeza mashaallah kumbe Kaka kakulanda weyeeeeee
@azzamahamdu70393 жыл бұрын
Mashalaah Mama mwenye busara zake
@mariamstephano58923 жыл бұрын
Hongera mama unaheshima sana
@alshabje71853 жыл бұрын
Mama Haji hongera mama usijali kutukanwa uko msemo ukisa mtii wenye matunda daima hupopolewa kaza moyo wewe ni mama 👍🤲🙌♥️💋💐
@darumod52663 жыл бұрын
Uko vizur mama
@moodychanday92203 жыл бұрын
Kuwa na Mama raha 😢😢 namlilia wa kwangu. R. I. P 😢😢
@blandinamnyinga83183 жыл бұрын
tuko wengi😭😭😭😭
@uwangabechantal7203 жыл бұрын
Pore sana mung akutie nguvu
@sophicatesalim97573 жыл бұрын
Mungu awarehemu mama zetu
@uwangabechantal7203 жыл бұрын
@@sophicatesalim9757 pore sana tuzidi kuaombea wapumuzike salma mung anamakusudi yake tusimuraum
@sidratybinkhamis28373 жыл бұрын
Kumuombea dua ndio jambo jema zai
@asmahanyally32253 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@bintimohamed26463 жыл бұрын
MASHAALAH 💖💕💓💗💞💝❣💟💙💚💛💜💥💌
@darumod52663 жыл бұрын
Shukrani mama
@aliabass93923 жыл бұрын
Hongera sana mama Yaji manara
@joycemmbaga81823 жыл бұрын
Umedamshi sana
@NR-ll4sr3 жыл бұрын
Mama hongera
@rithakuyala99513 жыл бұрын
Mashallah mama
@baimarrajahbuayan62373 жыл бұрын
Mashallah
@rahemaally2743 жыл бұрын
Kweli kabisa dada yangu waambie ukweli matusi yanauma sana
@aishahemedi78693 жыл бұрын
Mashaallah mama
@naimaseif76153 жыл бұрын
MASHAALLAH
@radhiaoman24543 жыл бұрын
Mama ni mrembo sana
@zainabhakizimana69903 жыл бұрын
No 1
@zukrabuethi50683 жыл бұрын
Njia rahisi na salama ya ASILIA kumaliza tatizo la kiba100. - Kama wewe ni kijana au baba na umekuwa na changamoto ya kiba100, na umesha tumia vitu vingi kumaliza changamoto hii bila mafanikio, basi ninahabali njema kwako 🤩 - Hii sio changamoto inayo weza kutatuliwa hospital bali unahitaji kutambua chanzo cha tatizo hili kwako, kama ni la kuzaliwa nalo au limetokana na mabadiliko ya mwenendo wa maisha yako. - Kama lakuzaliwa nalo jibu ni kuwa unahitaji pacha wako kufurahia tendo, kama sio unahitaji kutambua aina ya vyakula na kutumia kisha kufanya zoezi la kuboresha msuli wako na kwa muda wa siku 15 mpaka 60 ukizingatia unamaliza tatizo hili. - kama wewe upo na changamoto hii, basi usisite kuwasiliana nami WhatsApp au sms ama kwa kupiga simu, kisha nami nitakupa tiba kamili na ya asilia isio na madhara baadae kumaliza changamoto hii. - Mawasoliano yetu Number- 0659982160.
@darpmchome35383 жыл бұрын
Kupewa jenzi sio ndio kuhama chama mama kama we unavyo ipenda Simba hata mkwe wako naye anaipenda Yanga
@khadijanajath74173 жыл бұрын
Maashallaah mama wa khajj...
@idrissaothman56923 жыл бұрын
Nakupenda mama
@mzalendowaasili17272 жыл бұрын
Sasa itakuwaje ndoa hapo tena
@cleopakamanga78893 жыл бұрын
Haa
@malelabmalela50163 жыл бұрын
Hongera sana mama
@hatibusozi6223 жыл бұрын
Mama mkazamwanao abaki yanga msimshawishi kua simba mtakua hamkumtendea hak
@gracerosi61793 жыл бұрын
Jaman manara kumbe mamaake manara nimdogo iv unahak yakulinga
@ibrahimalbusaidy81363 жыл бұрын
Nice beautiful mum
@pilirwambo34183 жыл бұрын
Mama mpole wallai
@tatuamidu403 жыл бұрын
Kumbe haji anafanana na mama ake
@zuuzuundotterz40323 жыл бұрын
😂
@zainabcherobon3 жыл бұрын
Mama amepambwa na nani jamani ungekuja nkakupamba vizuri.
@sarahgaula22203 жыл бұрын
Make up nyingi
@zenamadhan25173 жыл бұрын
Mama mrembo
@stevemwakisimba59863 жыл бұрын
Kweli mama ni mrembo hilo halina ubishi pamoja na umri wake anaita mbaya!!
@dorislema18143 жыл бұрын
mama kapga makeup uzee wote kwisha
@ayshakayeko20433 жыл бұрын
Hahahaaaa umeonaee mpaka macho yamekuwa madogo
@ashamagembe80893 жыл бұрын
Umekosea kubandika kope mpenzi mama yake hajji
@jimmycroud10273 жыл бұрын
Wew inakuusu nn achen ushamba bhana wa utopolo wenu
@jimmycroud10273 жыл бұрын
@@ashamagembe8089 ww unantuletea utopolo
@ashamagembe80893 жыл бұрын
@@jimmycroud1027 👍
@shangwekamando25993 жыл бұрын
Kweli Kama zinamkosesha raha
@jimmycroud10273 жыл бұрын
@@shangwekamando2599 ww znakuusu nn c uweke na ww nyie ndo wale wale
@severinemabirika22493 жыл бұрын
Mnafundisha nn watoto? Mwandishi; mama heshima yako? Mama; marahaba Nn maana yake?
@kisesamwilima69523 жыл бұрын
Kwa kweli hata mimi sielewi, najaribu kupuuzia ila yanakera, hii 'heshima yako' imetokea wapi?
@shangwekamando25993 жыл бұрын
@@kisesamwilima6952 mi mwenyewe siwaelewi Haya mapimbi
@rahmaadam99573 жыл бұрын
@@shangwekamando2599 labda kaona mama ni mdogo sana
@salmaomary9793 жыл бұрын
Siipend iyo kauli et heshima yako
@zukrabuethi50683 жыл бұрын
IFAHAMU PID na tiba zake -haya ni maambukiz I ktk via vya uzazi -ni ugonjwa hatar unao wapata wanawake DALILI ZAKE 1.Kuwashwa sehem za siri 2.kutokwa na uchaf uken 3.kutokwa na harufu mbaya uken 4. Maumiv makal I chin ya kitovu. 5.uke kuwa lain 6.maumiv wakati wa tendo 7.kutokwa na majimaji uken 8.maumivu wakati wa kukojoa. 9.homa, uchovu.,kizunguzungu MADHARA YAKE ugumba, Kansa ya shingo ya kizazi na aibu TIBA ZAKE Watsapp/piga 0659982160
@mendoramasaki35673 жыл бұрын
Safi sana mama
@thabitmohamed87443 жыл бұрын
Muambie uyo mwanao nae aache kutukana watu nae atatukanwa tuu
@jimmycroud10273 жыл бұрын
Wew acha upimbi ww lin manara alimtukana mtu muctuletee uchiz wetu umu kwenye shuuli yetu
@baimarrajahbuayan62373 жыл бұрын
Ovyoooooo, kakutukana Lin unataka kik boya weee
@fettymkiny56803 жыл бұрын
Inatakiwa ujifunze kupitia hii shereh ..kila kitu wamegaramia yanga ...kwamba mpira sio ugomvi ni utani ...na ajira yake n kuwakera yanga na kuiongelea simba
@fettymkiny56803 жыл бұрын
@Simon Charles iyo roporopo ndo iliyomsaidia ad akaajiriwa kuwa msemaji jitahid naww kuropoka unaweza fkiliwa ata kuwa mc wa familia yako