MAMBO YA KUZINGATIA KWENYE UJENZI WA BANDA LA KUKU

  Рет қаралды 25,568

AGALUS  TV

AGALUS TV

Күн бұрын

Jinsi ya kujenda banda la kuku wa kienyeji
#kuku
Jinsi ya kumfanya kuku atotoe kuku wengi • JINSI YA KUMFANYA KUKU...

Пікірлер: 62
@mahranrashma1745
@mahranrashma1745 2 жыл бұрын
Asante sana kwa video hii mkuu, hili banda floor yake ni wavu je nirahisi kusafisha ukizingatia liko juu au halichafuki?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hakuna kusafisha yaaani apo wewe ni kuweka chakuka na maji tu kinyesi kinaanguka chini ni kukusanya mbolea ya kuku tu na kupaki na kuuza mbolea tu🙏🙏
@mahranrashma1745
@mahranrashma1745 2 жыл бұрын
@@AGALUSTV asante
@hawathabiti3649
@hawathabiti3649 Жыл бұрын
Vifaranga wangu wadogo wanakufa sana baada ya kuanzia wiki ya kwanza wanaanza kupiga jafya na kupumua kwa shida sijui tatizo Ni Nini kwa apo hata nikiwapa tangawizi na baadh ya dawa zingne lakin bado
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Pole Sana ndugu apo ni mafua makali ukiona iyo Hali usiwape tiba asili zitachelewa kufanya Kaz. Kachukue dawa za mafua na kikohoz pia zingatia usafi wa Banda lako uku usikose vitamin kwenye maji Mara kwa mara
@edakiputa1108
@edakiputa1108 3 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Barikiwa sana🙌
@fattyy980
@fattyy980 2 жыл бұрын
Ningependa kuuliza.he naweza kufuga kuku was kienyeji ndani ya room
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Unaweza japo uwe kipindi fulani unafungulia nje
@twororeturimekijambere5491
@twororeturimekijambere5491 2 жыл бұрын
Asanteni sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa pia ndugu
@twororeturimekijambere5491
@twororeturimekijambere5491 2 жыл бұрын
Kweri nakushukuru
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa pia ✍️🙏🏿
@ezekieljohn6017
@ezekieljohn6017 2 жыл бұрын
Asanteee kk
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa sana
@emasilagomi2629
@emasilagomi2629 6 ай бұрын
Mm nataka kujenga banda lakuku wa kienyeji .nitaanza na kuku 100.sehemu sio kubwa nahitaji fundi.ili nijue kiasi gani nitatumia .nipo Dar maspaa ya kinondoni
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 ай бұрын
OK ngoja tuone uwezekano w fundi
@paschalmagubo6337
@paschalmagubo6337 3 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu nzuri, Mungu azidi kuwapa nguvu na afya njema ili mzidi kutuelimisha 🙏 Naomba kuuliza swali: Kuna madhara yoyote pale Kuku ndugu wanapo kuwa wamezaliana? Yaan jogoo kumpanda Mama yake au jogoo kumpanda dada yake.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Amina🙏 ila madhara yapo kama jogoo litatumika kwa muda mrefu. Yaani angalau miaka 2 ivi jogoo jitaidi ulibadili. 🙏
@paschalmagubo6337
@paschalmagubo6337 3 жыл бұрын
Asante sana sana🙏
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Pa1_🙏
@hasanimazila3407
@hasanimazila3407 Жыл бұрын
Naomba namba ya sim smo nmelipenda nataka nianze kufuga kwamfumo huu
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Karibu ktk ufugaji
@barakageoffrey4756
@barakageoffrey4756 2 жыл бұрын
Vifalanga wa siku moja mpaka mwezi wamenishinda kabisa wakifikisha mwezi wanaanza kufa sijui nakosea wapi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Pole ndugu lazima uwe unawapa Kinga Mapema na lishe bora. Vp somo LA uleaji vifaranga ulilipata?
@filipinadaud885
@filipinadaud885 7 ай бұрын
BANDA NI LIZURI NAOMBA NO YA CM YA FUNDI
@AGALUSTV
@AGALUSTV 7 ай бұрын
OK
@WaweruG
@WaweruG Жыл бұрын
Ni wapi pazuri pakujenga banda (Kienyenji) kwenye kifuri ( eg chini ya mti ) ama pahali wazi hakuna chochote
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
POPOTE pale cha msingi Mwanga wa jua uwe Unafika na hewa ya kutosha
@rosemwakyoma8371
@rosemwakyoma8371 Жыл бұрын
Naomba msaada vifaranga vyangu vya miezi 2 vimevamiwa na utitiri mnoo nawezaje kuwatibu
@AGALUSTV
@AGALUSTV Жыл бұрын
Apo Zipo dawa za dukani za Unga utweka bandani. Pia wanyeshe Maji ya vitunguu saumu yaan twanga na viweke kwa Maji wawe wanakunywa
@sumbulaadam1037
@sumbulaadam1037 2 жыл бұрын
1 Huuu utitir wa kuku una sababishwa na ninii ? 2 madhara gan yanayo patikana iwapo kiota cha kuku kipo chin kimegusa ardh ?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Utitiri ni wadudu tu wanazaliana popote. Madhara ya kiota ni unyevu, wadudu kuingia kwa u rahisi n. K
@abdallaali3515
@abdallaali3515 2 жыл бұрын
Aa ndugu yangu mm ilkuwa nauliza ni chakula gani ni bora kwa vifaranga ili waweze kukua kwa haraka
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Broiler stater
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Lazima uwenasemu ya kutosha.
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Hakika
@josiacharles2778
@josiacharles2778 5 ай бұрын
Vipi vipimo na idadi yakuku wangapi kwa chumba?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 ай бұрын
Utegemea, na aina ya kuku yaan wanyama Au mayai! Ni chotara AU kienyeji
@josiacharles2778
@josiacharles2778 5 ай бұрын
@@AGALUSTV kama ni wakienyeji inakuaje?
@felistashenjewele680
@felistashenjewele680 2 жыл бұрын
MWL MIMI NINAANZA KUFUGA KUKU WA KIENYEJI ILA CHANGAMOTO YANGU SINA ENEO KUBWA LA KUFUGIA NAHITAJI NINGEMPATA MMOJA WA KIJANA WAKO NIONANE NAE MOJA KWA MOJA ILI ANIELEKEZE NI JINSI GANI NAWEZA KUBORESHA BANDA LANGU KWA SABABU NI PADOGO NA NAPENDA KUFUGA
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Karibu tuwasiliane vp upo wapi
@emmamarijani6657
@emmamarijani6657 2 жыл бұрын
Nimepanda nahitaji fundi wa kujenga
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Upo wapi
@stevemayemba2483
@stevemayemba2483 2 жыл бұрын
Naombeni ramani yake
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ok Wasap +25565467484
@jamilamdoe8184
@jamilamdoe8184 3 жыл бұрын
Nashukulu kwa masomo yenu mbona manaishibna ndoto zangu
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu🙌🙏
@lothsandile3740
@lothsandile3740 2 жыл бұрын
Tiba asili ya kuku wa kienyeji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Tiba. ZOTE ZA asili Zipo kwenye video hii kzfaq.info/sun/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Tiba. ZOTE ZA asili Zipo kwenye video hii kzfaq.info/sun/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL
@mwayayatv7786
@mwayayatv7786 3 жыл бұрын
Naomba nije kukutembelea nipate elimu kwa kuona naweza kukupata maeneo ya mkoa upi
@mwayayatv7786
@mwayayatv7786 3 жыл бұрын
@@AGALUSTV Asante natakuja
@nadyaomary9884
@nadyaomary9884 2 жыл бұрын
Nimefurahi nanimelipenda banda
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Barikiwa🙌
@johnclement2665
@johnclement2665 2 жыл бұрын
Niko magu mwanza
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 жыл бұрын
Ok karibu
JINSI YA KUPATA PESA KWA HARAKA KWA KUKU WA ASILI/KIENYEJI TU
9:39
SHAMBALULU: UFUGAJI KUKU WA MAYAI KISASA.
28:07
ITV Tanzania
Рет қаралды 18 М.
Нашли чужие сети в озере..💁🏼‍♀️🕸️🎣
00:34
Connoisseur BLIND420
Рет қаралды 3,5 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 11 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 2,4 МЛН
DAWA YA KUKU WASIFE OVYO HII HAPA! USIFANYE KOSA!
8:26
THOM. KAVISHE GOSPEL TV.(TKG.TV.)
Рет қаралды 4,8 М.
FAIDA ZA BANDA BORA KWA KUKU
5:20
AGALUS TV
Рет қаралды 1,3 М.
TAFUTA MTAJI, TENGENEZA MTEGO WA FEDHA!
5:04
THOM. KAVISHE GOSPEL TV.(TKG.TV.)
Рет қаралды 2,6 М.
Jinsi  ya kupata kuku  wengi wa kienyeji
10:46
AGALUS TV
Рет қаралды 342 М.
JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU WA ASILI BILA MAMA YAO
19:45
AGALUS TV
Рет қаралды 127 М.
UFUGAJI WA KUKU:Mbinu za Ujenzi wa banda bora la kuku kwa gharama nafuu
5:21
BANDA LA KUKU WA KIENYEJI | CHOTARA
11:44
Changamkia Fursa
Рет қаралды 218 М.
Нашли чужие сети в озере..💁🏼‍♀️🕸️🎣
00:34
Connoisseur BLIND420
Рет қаралды 3,5 МЛН