Masanja unajua Kaka ila unachukiwa Sana na baadhi ya watu ila siyo lazima kila mtu akupende lazima uchague upande mmoja Kama binadamu Godbless you.
@Omega_Kitwika3 жыл бұрын
Kama umemuona rowasa apigi makofi gonga like
@marympemba18293 жыл бұрын
Umesema kweli masanja. Kazi ni mzuri imefanywa na rais magufuli Na uongozi wake. Hongera ccm👏🏾👏🏾🙏🙏
@goodlucklinus1413 жыл бұрын
Kazi nzuri masanja Big up👍👍👍
@andulilemwakihabha20483 жыл бұрын
Mungu mbariki raisi wetu mpendwa John Pombe Joseph Magufuri Jembe mchapa kazi hapa Kazi tu
@cosmasdaud90883 жыл бұрын
Kweli Masanja Wapige kazi
@Fabulousmom5093 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😍😍 Masanja you kill me JPM oyeeee
@salmaathuman91563 жыл бұрын
Jamani hizi skuna za masanja 😂😂😂😂🤣🤣🤣haki nimecheka
@addanovatus19063 жыл бұрын
Amefanya kampeni ya pekee yake, Mungu yupo anampeleka wangu vingine na sisi tunachekelea tu jmn, siku moja atakuwa mtu flani, tutakuwa tunatoa historia
@kinotasontravel38833 жыл бұрын
Sana tena kampeni za mwaka huu watanzania wote wameziona live
@abdalahfarida20743 жыл бұрын
Wasanii acheni kuligawa Taifa kulirudisha pamoja ni kazi ngumu sana. Uchaguzi umeisha vijembe vinatoka wapi kama sio kutaka kujengea Watanzania tabia ya kulipiza visasi.
@rahmaramadhan97733 жыл бұрын
Makofi kwake masanja mkandamizaji👏👏👏👏👏👏👏👏😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘 Hongera Sana kutunoa ✔️✔️✔️
@ahmedkhatibu53873 жыл бұрын
Hahahaaaaa,,,,,safi sana,,,kazi nzuri
@dennischeyo13023 жыл бұрын
Green City Mbeya tumefanya yetu hatutaki mchezomchezo sisi tulimpeleka wenyew bunge akaenda kukimbia vikao tumempiga chini wenyewe saiz akasimamie hotel yake kule mlima Roreza 😂😂 bungeni atapasikia tu
@blandinamnyinga83183 жыл бұрын
""no retreat no surrender"" pigo la ngapi hilo???😂😂😂😂
@jacksonmzee16613 жыл бұрын
Ana hotel Roleza,wewe unayemponda una nini? Zaidi ya kumiliki matunguri ya kuloga binadamu wenzio
@dennischeyo13023 жыл бұрын
Nina nyumba uyole nsalaga,mapogolo chunya, kyela Serengeti na kikota ileje harafu nina heka 15 kimbereke chunya
@shibilitimedia33123 жыл бұрын
@@dennischeyo1302 umekomesha
@saimonmanyerezi71693 жыл бұрын
@@jacksonmzee1661 pole naona povu,subiri next time umcjague
@jacksonherment17223 жыл бұрын
Tuchange Katina utuongoze miaka mingi raise wetu mzalendo umefanya mengi mungu akulinde baba wantaifa let umetutoa mdomoni mwa nyangumi wabahanini
@yahyamkone56013 жыл бұрын
Masanja umetisha Sana mzee baba
@henryndosi11143 жыл бұрын
MAGUFULI BABA LAO 🇹🇿 kwa maendeleo ya Watanzania
@temkezatv43813 жыл бұрын
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
@rozadelialweve93063 жыл бұрын
jembe letu mpambanaji wetu mitano tena unastahili pongezi rais wangu kipenzi changu
@norbertlilungulu50183 жыл бұрын
Masanja bhana ana kipaji huyu jamaa
@eliarichard92183 жыл бұрын
Kijana Massanja nili kuona kwenye kamera zangu za kiroho endelea kupigania tz.
@irmgardsamia18273 жыл бұрын
Masanja🙌🏼🙌🏼🔥
@kingwatabata42303 жыл бұрын
Masanja kama masanjaa👏👏😂
@bensonmgaya56933 жыл бұрын
Kama sichekagi Ila nimecheka Leo mbavu zangu mie ubarikiwe kwa kuniongezea sku za kuishi
@edgarkataiwa22023 жыл бұрын
Good work
@bernardoleonard73313 жыл бұрын
Sawa masanja..
@kinotasontravel38833 жыл бұрын
Safi sana Masanja
@cvanoedward30933 жыл бұрын
Masanja unakipaji kweli kweli.
@presseg.63623 жыл бұрын
Masanja wewe ni Wa pekee katika nchi yetu, piga kazi
@mariambeautysonghuseni95493 жыл бұрын
big up masanja
@bernardmkama40573 жыл бұрын
Jipendekeze,utateuliwa
@nasibujunior53513 жыл бұрын
Kinaitwa rosa
@thamu31333 жыл бұрын
😂😂😂😂 leo nmecheka kwel masanja
@justusgration86953 жыл бұрын
Hongera Sana
@joanmassawe87543 жыл бұрын
Masanja unaakili za ziada mambo yo te na maneno yote yanatoka kichwani bila kusoma mahali kweli nimekubali hujaribu ila unaweza
@razackkambi59033 жыл бұрын
Masanja
@tulizosteven31933 жыл бұрын
Uyu naye anatafuta kuteuliwa haeleweki mchungaji au mwigizaji saiz kila mtu anachumia tumbo lake