Masele afunguka sakata la pombe asema ' Mlevi yeyote akilewa anakosa ‘balance' ya nyuma

  Рет қаралды 214

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

8 күн бұрын

Mchekeshaji Chrispin Masele maarufu ‘Masele Chapombe’ amefunguka kuhusu yeye kuhusishwa kutumia vilevi kutokana na kuyumba pale anapoigiza ambapo amesema anaweza akanywa akijisikia.
Masele ambaye alifanya mahojiano maalumu na Mwananchi Digital amesema “Mimi siyo mlevi lakini ni binadamu naweza nikanywa nikijisikia sipo sana kwenye ulevi lakini napenda kukaa na watu wanaokunywa pombe kwa sababu maneno mengi yapo baa, watu wananiita baa wananinunulia, ili nisiwaangushe nawadanganya natumia dawa.
Amesema mwaka huu kuna mtu alimualika kwenye sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa mtoto wake ili akachekeshe lakini wale watu walidhani ni mlevi wakanunua kreti tatu za bia ambapo alibidi adanganye anatumia dawa.
“Mimi nimeingia kwa undani kujua pombe ni nini kabla ya kuigiza ulevi nilifanya ‘research’ kujua pombe ni nini nikapata mtaalamu mmoja akanielekeza akaniambia unapokunywa bia ‘alcohol’ yake inazunguka kwenda nyuma yaani mlevi yeyote wa bia huwa anakosa ‘balance’ ya nyuma, waangalie wengi wanadondoka kwa kukaa,”alisema.
“Mlevi wa pombe kali ‘alcohol’ inazunguka kwenda mbele hana ‘balance’ ya mbele, ndiyo maana wengi wana makovu usoni lakini mtu anayechanganya anakosa ‘balance’ zote ndiyo unakuta kashikiliwa au anabebwa kwa hiyo na mimi nikajua jinsi ya kuyumba kutokana na chupa ya pombe niliyoshika,” amesema.
Aidha mchekeshaji huyo ambaye kwa saa amerudi kwenye gemu baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu amesema familia na uuzwaji wa kazi zao kiholela ulifanya atulie kufanya kazi ya sanaa.

Пікірлер
Machinga adaiwa kuuawa kwenye ugomvi kilabu cha pombe
9:56
Mwananchi Digital
Рет қаралды 965
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 37 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 108 МЛН
Did Modi really kill black money in India? : Economic case study
27:40
Wafanyabiashara Holili wafunga barabara kushinikiza ushuru uondolewe
6:56
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 37 МЛН