Mimi nimeota naogelea lakin sio baharin Yani Bahar kubwa sijui ni wapi pale na maji hayakuwa ni mengi sana
@user-pt4uf3he7d7 күн бұрын
Ostzaz mm nililala naota usiku nipo usingizin ila naota Kuna watu wabaya wamekuja ila nawafukuza nikiwa nimelala natukana ama mda mwingine najua noonge kialabu wakat sijasoma
@VickKulekana-si1ib10 ай бұрын
Mimi juzi juzi nimeota naogelea
@VickKulekana-si1ib10 ай бұрын
Mtihani
@marynamachanja1836 Жыл бұрын
Sasa mimi nauliza niliota nikiogelea kichali chali lakini kwenye maji machafu inamanisha nini?
@kadeejakadeeja19299 ай бұрын
Mim nimeota niko naogelea baharini bahari imetuliy kish niko na mtoto mgongoni
@UmmyMgawe-pj1zb Жыл бұрын
Unapoota unaoga baharini kisha unapomaliza kuoga unataka kutoka unakuta wenzio wamekukimbia ila unaogopa kutoka unaona simba wapo pembeni wawili kulia wawili kushoto unabaki ktk maji Mara unaona gari ndogo inakuja unaomba msaada lkn na wao wanaona simba wanakuacha Ina maana gn
@user-pt4uf3he7d7 күн бұрын
Pila nililala nikiota nachota maj.ama.navuka mto basi aikai sk tatu msiba unatokea ndugu au mtu wakalubu ama julani.inamaana Gani ostaz
@VickKulekana-si1ib10 ай бұрын
Halafu sikuwa peke yangu niliota naogekea nipo na watu
@VickKulekana-si1ib10 ай бұрын
Ndio Inatakiwa qfanyiwa duwa shekhe duww kwani unasomaga Bei gani na unapatikana wapi
@user-pt4uf3he7d7 күн бұрын
Tatu naota nipo naoga njee nikiwa mwenyewe gafla watu wamejaa najua Sina chakujiifazia mala nastuka
@user-wx6qb3fh3m5 ай бұрын
nimeota naogerea na huo mto ninao oga uko nyumbani kwetu
@user-ck3ii9im7l6 ай бұрын
Ukiota upo kwenye maji na unachukua udhu na tena maji yanachumvi maana yake ni nn
@issakhalid8512 Жыл бұрын
Nini tafsiri ya ndoto ukiwa unaota unapanda mlima kabla hujafika kileleni unaporomoka na kudondoka chini .kisha unarejelea tena.?
@nyumbayatibanadua737 Жыл бұрын
Kupabda mlima kunajulisha kufanikiwa katika maisha yako, lakini inapokuja nukita ya kutofika kileleni na ukaporomoka, hiyo hujulisha kusha mafanikio yako.