Mwenyezimungu atujalia sisi waisilam wote dunia na ahera inshah ALLAH
@hamiduhenjewele5369 Жыл бұрын
Mashallah
@officialidrisadc8638 Жыл бұрын
Alahuma amin
@fatmaismail134 жыл бұрын
Mashallah barakallahu shekh tafadhal tunaomba darsa la kuhusu shia'a
@ibrahimwario31774 жыл бұрын
Masha Allah shukran kwa mafunzo mazuri Wlh shk Othman nakupenda sana kwa ajili ya Allah na naomba Allah usiku na mchana tukutane Janatul Firdos Insha Allah
@salamaramadhan26414 жыл бұрын
Ma shaa Allah nakupenda bure kwa kutufaidisha kwa mengi katika dini yetu
@karistkanuti27474 жыл бұрын
Nakupenda Sheikh kwa ajili ya Allah,Mimi n Muslim,mgen ktk uislam naomben mniunganishe ktk magroup y Wasap y uislam,nijifunze kuhusu Allah
@maotv88844 жыл бұрын
Allahu Akbar
@saeedsaeed73814 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Othman mawaidha mazuri sanaaa na kisa kizuri tumejifunza mambo mema lnshallah mungu akubariki emaan na furaha Ameen yarab..Ma Salam
@aishaaisha90944 жыл бұрын
Mashaalla nakupenda kwa ajili ya mwenyenzi mungu akupe umri mrefu
@muhammadahmedaliyyu38544 жыл бұрын
Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh/Shukran kwaukumbusho mzuri sana Allah Ghaz'wajallah ajalye tuwe wenye kuelezwa khayri nakuyipenda nakuifanyia kazi Awadhidishie Elmu na Umli mrefu wenye khayri na na afya nzuri barka! ALLAH awadhishie ufahamu ln shaa Allah Awajalye Khusnul khatima viongozi wetu waki dini Mwenyezi Zimungu adhidi kuwalinda na vyiote viovu nyuma yenu na mbere yenu awawekee Nuru ya khayri 🤲🤲🤲🌺
@ramadhanihatibu17144 жыл бұрын
Mashaallah
@salumkirumi55272 жыл бұрын
Masha Allah
@zubedatatu78523 жыл бұрын
Subhana Allah
@zuwenazuwena19282 жыл бұрын
Hakika nafulah sana sheh
@ashashaban64842 жыл бұрын
MASHALLAH.ALLAH.AKULIPE.KILA.LA KHERI
@nasrauwimana25594 жыл бұрын
Ma in sha a Allah sheikh othma Mungu aku jaliye akulinde apa dunia ni na watu wabaya akujaliye pepu yake in sha a Allah
@yusrakombo51234 жыл бұрын
ASAALAM ALAYKUM warahmatullah wabarakatuh yaaani kaka angu simu, iko video zako maaana nnnakupenda sanna kwa ajili ya Allah mpaka nnajiuliza ulisomaje mambo yooote haya wakati unasema wewe kwa ulitokea kwenye mkiristo ,sasa ulikuwa miaka.mingapi mpaka ukawa ivi mashaaallah ukahifadhi Qur-an tukufu yooote kwa kweli Alhamdulillah
@othmanmichael17794 жыл бұрын
Yusra Kombo shukran yusra
@aliidrisahmadhuvavaruu49183 жыл бұрын
mashallah mashaallah
@muhimpundunourah80214 жыл бұрын
mansha allah
@faizasaid82624 жыл бұрын
Mashallah shukuran
@salmakundi27172 жыл бұрын
MashaaAllah MashaaAllah MashaaAllah
@dinemohamed98422 жыл бұрын
Mashaallah nice shek
@jasminyiddysulaiman98074 жыл бұрын
Maashaallah Allah akujaalie umri mref inshallah
@fatmamombasa34304 жыл бұрын
Masha Allah ya shekh Allah akupe umri mrefu akuzidishie umri tawiil uzidi kutupa ilmu
@aliidrisahmad57973 жыл бұрын
aleyhi Alhamdulillahi Shekh Othman Micha
@muhammadahmedaliyyu38544 жыл бұрын
Alhamdulillahi RabilaAlamina shukran🌹 DARSA nzuri sana 🤝 🤝 🤝
@aliidrisaxmad8563 жыл бұрын
Assalam alykum
@aliidrisaxmad8563 жыл бұрын
52710094
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
MashaAllah hadithi nzur sana
@HABIBULLAH-nd9ft4 жыл бұрын
Maasha allah sheikh wetu
@kajoakother60414 жыл бұрын
mashallaa ustazi nakupenda kwajiri aallaa
@saidindagijimana5244 жыл бұрын
Mashalla allah bark shekh wetu tunakupenda
@shafiiboragamashafiigama78692 жыл бұрын
Vizur
@ashuramihayo25764 жыл бұрын
Mashllaah Mungu akuzishie heri
@fatumaramadhanmashaallahal99664 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah tabaraka llahu shukran wajazaka llahu heri Allahu akbar kabira shukran shehe wetu Lakin hii miujiza ni ya kweli mm nilipatwa na kisa mm mwenyewe nikajishangaa nilikua na mimba miezi tisa nikalala saa nane usiku nikahisi vibaya nikasoma ayatul kursi basi baada ya hapo nikazimia nilipoamka nilijua nimelala usiku na kuamka usubuhi kumbe nililala siku nne ambayo ni jumamosi usiku nikaamka juma nne saa nane mchana ya subhana Allah alhamdhulilah daktari akaja akaniletea mtoto namuliza daktari mtoto wanani daktari akanijibu kwani mtoto wako yuko wapi fatuma nikapiga tumbo kofi kwa nguvu nikahisi maumivi makali sana kuangalia tumbo niko na bendeji nikashtuka namuliza mamaangu kwani vp anijibu chukua mtoto ni stori ndefu ntakuelezea ukipowa nikajibu sawa mama nikachukua mtoto alhamdhulilah nilifanyiwa oppression kumbe presha ilinipanda usiku nikazimia nakuamka baada ya siku nne Allahu akbar nashukuru mwanangu yupo mzima sahii ana miaka 16 alhamdhulilah kumbuka visa vya mitume singano za kale nivyakuzingatia sana kwani ni ukweli kutoka kwa mwenye zimungu subhana wataala shukran
@abibumubaraka52494 жыл бұрын
Barakala
@neemafatu78854 жыл бұрын
Allah akbar
@osmanmohamed96522 жыл бұрын
May Allah protect you to eye of devil
@kajoakother60414 жыл бұрын
mungu akupandishe daraja zaidi yahapo uripo
@jumakhamis2264 жыл бұрын
JAZAKA ALLAH KHAYRAA SHEKH OTHUMANI
@aliidrisaxmad8563 жыл бұрын
Assalam alykum 52710094
@aliidrisaxmad8563 жыл бұрын
Assalam alykum 52710094
@abdallahmustapha71254 жыл бұрын
noma sana thank you jajalal
@neemafelister95842 жыл бұрын
ISA MASIAH NDIYE NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE AMINA
@asedtembo47424 жыл бұрын
Shukran kwa darsa lenye tauhid
@nooras64044 жыл бұрын
Asante shekhe kwa darsa
@Zainab-gs4mz2 жыл бұрын
😄😄💖 mashallah
@kimnajim87244 жыл бұрын
Manshaallah ila inshaallah 2naomba mwendelezo wake pia make 2kopa1 sana
@samanthaali8734 жыл бұрын
Masha Allah shukran Sheikh wetu kwa Nasaa nzur🌹
@nurudinehamimu56584 жыл бұрын
Alla akuripe kila rakheri,
@officialidrisadc8638 Жыл бұрын
Asalamwalk waykumsalam waramatuhla wabarakatuh
@musalumbi84902 жыл бұрын
Assalamu alaykum Sheikh Uthman. Sheikh mko na darsa za Quran, Lugha na masomo ya dini kwa ujumla. Natamani sana kusoma kupitia mkono wako inshaa Allah. Mimi nko Kenya.
@mira-gq3qg4 жыл бұрын
Allah akulipe pepo
@zainabualfsrsi37874 жыл бұрын
Mashallah kisakizuri
@aminajamal12024 жыл бұрын
Asc .maashaallah Allah ukupe maisha marefu
@aliidrisahmad57973 жыл бұрын
Assalam Aleykum warahmatullahi wabarakatuh
@faizasaid82624 жыл бұрын
Kurogwa sitatizo tatizo kua yeye karoga hilo ndo tatizo ila wenzetu wako kuzalilisha tu bila kufikiria
@aliidrisahmadhuvavaruu49183 жыл бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi
@omarimasanga4 жыл бұрын
Allah akuzidishie
@omarimasanga4 жыл бұрын
Shekhe ungesema tu aluchojibu Ukasha kwa maswahaba wenzie
@muhimpundunourah80214 жыл бұрын
mwenyezimungu anauwezo kwaukweli
@khamisoothman52943 жыл бұрын
Yaani bin adamu ni hatari hata hapa kwenye video watu wamegawika makundi kuna wale wame dislike video 28 .... Hawa nao mahasidi wenye roho chafu. Allah atuepushe nao mahasidi na husda zao
@rashidbusanya71664 жыл бұрын
Haya ni masomo yaliyo sahaulika ktk jamii yetu ya kiislaam kuna watu hawakuwahi kuskia hicho kisa cha issa kwanzia wazaliwe
@kakulekagheni5164 жыл бұрын
Nashukuru kwa somo lako lakini kwa nini uifanye salute of satan? Mimi ni Guy toka Goma DRC
@faizasaid82624 жыл бұрын
😂😂
@muhimpundunourah80214 жыл бұрын
kwa nini haikuwa dini wa uwislam tuu duniani basi uwislam uwemo aina nyingi za dini ila zote ziwe source ya islam?nakwanini haikuwa wakristu tuuuu duniani?nathani sisi sote mungu ni moja,hata iwe kwa jina la yesu au mwislam,Allah atatizama matendo yetu
@ababukarlinus9355 Жыл бұрын
Hicho kitu hakipo ndugu yangu dini ni Moja tu ni uislamu na Mungu ni Mmoja tu. Allah s.w.t ukifa si muislamu motoni milele kama huamini subili ufe ndiyo utajua utatamani kuludi duniani nafasi hiyo hutoipata. Kama wajinga wanavyosema nani alikwenda akaludi akatwambia ya huko. Huko ukienda huludi .