Masoud age 60 plus in good health, mind and spirit
@napster2558Ай бұрын
50s bhna😂
@mkabengafamily2 ай бұрын
Nakubali kp
@andrewkilave35322 ай бұрын
point kubwa
@stevencharles-di9ycАй бұрын
safi sanana
@ramamabrok25232 ай бұрын
😳👑🏆
@SuleAmber-lw2tx2 ай бұрын
Crown Media naona kbs Alikiba anataka awadhihirishie waBongo kwamba pesa haina makelele
@user-qo5it1uc9m2 ай бұрын
Nimekubali kiba mnyamwez sana
@Legends_Interviews2 ай бұрын
Asante
@saidimwanyiro5147Ай бұрын
Mwenye clouds ndio mwenye crown na ndio mwenye wasafi km ulikuwa hujui
@SalumSaidy-ir3wlАй бұрын
Usiseme ndio mwenyew wasafi sema pia anahisa wasafi kila mtu kaweka pesa yake pale
@Zeanbo1234-pn8tg2 ай бұрын
3:29
@j4gtechsolution8092 ай бұрын
Tengeneza mazingira ya kupata fedha nyingi pale ulipo ,
@paulalphonce5848Ай бұрын
Moja ya point kubwa sana ameongea Masoud.
@deogratiusprosper47962 ай бұрын
Yuko kwenye ubaloz wa mabati lkn maswali ni nje kbs haya ndo mapungufu ya waandishi wetu kuna shida mahali kwenye taaluma
@ahz6907Ай бұрын
Kuna udhaifu sana😂
@jackmabirangacharles93982 ай бұрын
Hapo kwenye Kampuni ya kutengeneza Magari Hilo neno Bora Ungeliacha Maana nakumbuka mpaka Bunge lilipewa hiyo taarifa kwamba wewe huna Kampuni ya kutengeneza Magari na Mbaya zaidi wakawa wanalalamika kwamba hata Mgeni wa Heshima Waziri Mkuu mlimlisha matango pori hakuna Kiwanda Cha Magari
@Legends_Interviews2 ай бұрын
😅😅😅😅
@jessebiseko3302 ай бұрын
Kafungue wewe basi, watu wengine bana. Hizi ngozi nyeusi laana tupu. Kwanini usifurahie mafanikio ya mwenzako na kumtia moyo badala yake unakua wa kwanza kuleta negatives. Ndo maana watanzania tunaonekana watu wa hovyo mno huko duniani. We endelea kuweka negatives mwenzako ndoto zake zinaenda kutimia.
@cyliruta50212 ай бұрын
@@jessebiseko330roho mbaya zinatusumbua yaani sijui ni nini aiseee😢
@yassinuddi2 ай бұрын
This Burning Hatred ya kiasi hiki ni hatari sana. Mwenyezi Mungu akanusuru akuondole hii hali. Ujifunze kuappreciate na kutia moyo watu wanaojaribu na kufanya jambo.
@deejeydaev2 ай бұрын
Somo kwa kitenge
@aloycemabula86492 ай бұрын
Sungura motors
@Zeanbo1234-pn8tg2 ай бұрын
Ilajaman. Wabongo. Matango. Pori tenaa 😅😅
@Legends_Interviews2 ай бұрын
Kampuni ya magari 😂😂😂iko wapi
@kasangagregory57472 ай бұрын
Hiki kichwa cha habari na maelezo mbona kama sijaelewa
@kalelaonlinetv2 ай бұрын
karibu crowns fm karibu sana kwetu
@peteremmanuelymatwimatwiem32582 ай бұрын
😅😅😅😅😅Unakichaaa wew
@kalelaonlinetv2 ай бұрын
ndio nnacho kilo moja unakitaka?
@peteremmanuelymatwimatwiem32582 ай бұрын
@@kalelaonlinetv 🤣🤣🤣🤣🫰
@martinisadru98992 ай бұрын
Hayo magari yako wapi?, au ulitulisha matango pori.
@joshuasamson96182 ай бұрын
Fm crowns 👑 itawasoba wandishi mahiri wajuzi makini wote Fm crowns 👑
@archilleuswilson43592 ай бұрын
Huyu haendi crown
@ananiamwatebela31592 ай бұрын
Sio mda itafilisika
@joshuasamson96182 ай бұрын
@@ananiamwatebela3159 Hawezi kufilisika inafanya kazi kote ulimwenguni takuja kusema hiyo media crowns 👑 fm itazifunika taasisi zote za radio 📻 tz mwandishi mkubwa Salmu kikeke huongopi Kule upande wa pili BABA LEVO AMEFUNGUA RADIO 📻 YAKE MAMBO MOTO
@yohanadavid80552 ай бұрын
Radio ya Salim kikeke
@Legends_Interviews2 ай бұрын
Uongo
@victorguapo7827Ай бұрын
Una uhakika??? Yan redio ya kiba imeanza kuzungumziwa miaka minne nyuma
@jumaibrahim9773Ай бұрын
Akiacha kutangaza,, crown anaenda kuwa dereva au
@user-hx7tr5iw8p2 ай бұрын
Tango pori ni wewe zuzu unayeperusha bendera ya taifa mchongo badala ya kupeperusha ya nchi yako. Ongera masud hii italeta faida kwa taifa.mungu akufanyie wepesi.
@piusbitta5224Ай бұрын
Hivi Barbra Hassani yuko wapi siku hizi?
@conganyoyo31952 ай бұрын
KP cars, fahari hubwa kwa Watanzania
@josephlorri4312 ай бұрын
Salim Kikeke naye tumo crown / shareholder
@victorguapo7827Ай бұрын
Una uhakika???
@josephlorri431Ай бұрын
@@victorguapo7827 tetesi
@user-qq2vn4pk7z2 ай бұрын
😂😂😂😂
@annalubango98992 ай бұрын
Sasa mbona k p hajajibu vibaya why mwijaku kapanick hivyo??
@vanessastafford6426Ай бұрын
Kabisa
@ahz6907Ай бұрын
Mwijaku ni mwehu yule mzee wa kiki😂
@PopTiger-br2nh2 ай бұрын
Duh alikiba ela zipo sema tu alikuwa ajionyeshi kama ana ela sasa siatawabeba wote hapo clouds
@ShabanMainde2 ай бұрын
😂😂😂😂 acga awabebee
@CatherineKabelege-te3yoАй бұрын
Uyu kaka mstarabu alafu ana akili
@1961nungwiАй бұрын
Waandishi muwe mnawasaidia Wananchi, watazamaji wenu. Kiwanda cha magari ni msururu wa viwanda vingi. Kama hivyo viwanda vingi havipo, cha magari hakitakuwepo. Kwa hiyo muwe makini zaidi.
@MkhayaSogadari2 ай бұрын
Africa akuna anayetengeneza gari
@rajabdibwa64152 ай бұрын
Huyo mwijaku Sawa na lokole Tu🤣🤣
@temekepamoja27572 ай бұрын
Kumbe anauza sembe
@elinamilyatuu73372 ай бұрын
We unasubiri nn?
@njoroboihastla2 ай бұрын
Kwanin Crown Media isitengeneze vijana wake wapiya??? Kama wasafii walivyo watengeneza mchaga og na Mo town sanya na wengine kina b,levo Kina Momo Ipo based sana nakuchukua majina makubwa kwenye media kibwa!!!!
@user-zl6hg9so6s2 ай бұрын
Muachie baba levo ambae hana hela ndio atengeneze vijana wapya kwenye Midia yake wenye pesa wacha wachukue Watu wakubwa wanao julikana😜