MASWALI NA MAJIBU KUHUSU JINA LA UBATIZO

  Рет қаралды 3,000

BIBLIA NURU YA DUNIA

BIBLIA NURU YA DUNIA

13 күн бұрын

MASWALI NA MAJIBU KUHUSU JINA LA UBATIZO

Пікірлер: 26
@HappyAlbatross-yx2dc
@HappyAlbatross-yx2dc 10 күн бұрын
Neema ya mungu naiwe nanyi, kwa jina la Bwana wetu yesu kristo
@thomsimon7881
@thomsimon7881 11 күн бұрын
Mambo ya Mungu changamoto sana, imani ikiishamuingia mtu kuicha inahitaji maongozi ya roho wa Mungu vinginevyo ni kupotea kabisa
@johnmuemawambua6019
@johnmuemawambua6019 11 күн бұрын
Wacha niseme wazi, kwamba mwalimu onyango ameweza kueleza wazi juu ya mamlaka au jina, Kwa yeyote aliyetaka ukweli amepata bila shaka!! Kupitia maandiko na hio hoja, ya ubatizo nimefaidika Kwa hakika.
@user-zp5oo9gf1r
@user-zp5oo9gf1r 11 күн бұрын
Hata mimi,,onyango kajibu vzuri sanaa tena kutumia biblia tu bc
@mlowegb4097
@mlowegb4097 11 күн бұрын
Bwana Yesu Asifiwe Wana na Binti wa Mungu.......! Kilicho bakia katika Usahihi wa Injili ya Mwalim Ndacha ni... Ubatizo kwa Jina la Bwana Yesu.... Na Ubatizo katika maji ya Asili( Kusanyiko la maji mengi Safi lisilo fanywa kwa Mikono ya Binadamu) Haya Mawili wakiyakubali... Injili yao hakika itakuwa ni Injili ya Wokovu.
@mlowegb4097
@mlowegb4097 11 күн бұрын
Lakini wakibatiza kwa Jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.... Na katika visima vilivyo fanywa kwa Mikono ya Wanadamu.... Bado Injili yao itakuwa na Mapungufu.
@KelvinKachikulu
@KelvinKachikulu 4 күн бұрын
Mwalim ndach fundisha na mda yakuusu nyimbo ambazo znapaswa kuimbwa kanisan
@DanielMucee-hn9tm
@DanielMucee-hn9tm 11 күн бұрын
Huyo mama a naongea ukweli. Tubuni tafadhali
@reachglobal9939
@reachglobal9939 11 күн бұрын
Nmecheka huyo mtumish toka mwanza analalamika alafu kumbe hajui Biblia anasema kubatiza kwa jina la Yesu anafurahisha
@emmanuelmafuru4549
@emmanuelmafuru4549 11 күн бұрын
usicheke mjoli acha kukebei aisee hapa ni kupotea au kuokolewa usijitumainie kwa kucheka mwenzio w ewe unajihesabia haki ?
@johnmuemawambua6019
@johnmuemawambua6019 11 күн бұрын
Nashuku wewe hakuna kitu inaweza kumuelewa!
@reachglobal9939
@reachglobal9939 11 күн бұрын
Miaka 63 ukitoa 30 inabaki33 unasoma Biblia kimwili na kuwa na miaimamo isyo na kweli ni hatar
@user-zp5oo9gf1r
@user-zp5oo9gf1r 11 күн бұрын
​@@reachglobal9939mzee anafurahishaa😂😂
@SaimoniLion
@SaimoniLion 10 күн бұрын
Biblia anaichambua kama maji fuatilia masimo aliyoelekeza hapo
@user-ru4cy1ob8k
@user-ru4cy1ob8k 10 күн бұрын
Mimi nataka kubatizwa lakini kwa sahii niko Qatar kikazi God willing narudi disemba hii, na naishi Mombasa, Shanzu. Jeeee, mko na kanisa maeneo ya Shanzu, utange, majaoni au Bamburi????
@ChrisMakokha-cy2cu
@ChrisMakokha-cy2cu 11 күн бұрын
Kutaja jina moja haipingi mathayo 28:19
@richardchimba3800
@richardchimba3800 5 күн бұрын
Mjadala mtamu
@user-xm4eg6km7m
@user-xm4eg6km7m 11 күн бұрын
Yeremia 23:6 Jina la Yesu ni Tabia yake {His NAME shall be called LORD OUR RIGHTEOUSNESS, by having his name (righteousness) we baptize in the name of the Father, Son and the Holy Spirit.
@ChrisMakokha-cy2cu
@ChrisMakokha-cy2cu 11 күн бұрын
Ni majina au ni jina linatajwa?
@joephmaukilo
@joephmaukilo 11 күн бұрын
Kwa mujibu wamatendo 2:38_41 watu 3000 walibatizwa kwajina la Bwana Yesu Kristo lakini waliobatizwa kwajina la Baba Mwana Na Roho mtakatifu hatuoni hata mmoja labda wasomi wa Biblia leo watuonyeshe.
@user-eu8jz4jl3u
@user-eu8jz4jl3u 11 күн бұрын
Mitambo yenu jamn inasumbua
@ChrisMakokha-cy2cu
@ChrisMakokha-cy2cu 11 күн бұрын
Hapa kwa mada mumetegea sana vitabu za white mbona biblia isiseme? Jina ni moja tu katika ubatizo.
@SaimoniLion
@SaimoniLion 11 күн бұрын
Ubatizo ni kuaksi kufa kwa Bwana Yesu warumi 6:2-3-4 sasa tukibatiza kwa jina la Baba mwana na roho Baba alikufa? Je Roho alikufa je Roho si Baba mwenyewe? Yesu ndiye aliyekufa ufunuo 2:17 Rumi 8:34 Marko 15:37
@ChrisMakokha-cy2cu
@ChrisMakokha-cy2cu 11 күн бұрын
Ubatizo ni kwa jina la Yesu(JINA MOJA)
@reachglobal9939
@reachglobal9939 11 күн бұрын
Leo mzee kakutana na kweli yote
@dennischirchir8002
@dennischirchir8002 5 күн бұрын
Ndugu onyango ,nmekuskiza vyema kwa hii mada,mengi nakubaliana nawe ila kwa ubatizo,,,,mitume kwa kubatiza kwa jina la yesu, je haikuwapasa???mpona wakataa ya mitume na kubali mathayo 28:18-19?? Onyango ni vyema sote tukubali na. Kuenenda jinsi ilivyo katika maandiko,sio kwa tafsiri isiyo katika biblia ama kwa mwongozo WA BIIBLIA , Nko na HAKIKA ewe WAELEWA maana na ishara ya ubatizo ,je kwa jina la bwana na la mwana na la roho,yamaanisha aje ?na kwa jina la. Yesu yamaanisha aje?
MJADALA KATI YA MCH NDACHA NA MCH MWAKEMWA TANZANIA
1:33:33
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 15 М.
JE YESU ALIKUFA???
1:38:58
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 16 М.
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 28 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 11 МЛН
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 9 МЛН
USHUHUDA WA ASKOFU ELIBARIKI SUMBE ALIVYOOKOLEWA NA MUNGU
24:01
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 26 М.
wajibiwa maswali yao
32:11
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 51 М.
🔴 LIVE: Israel War On Gaza Children | UNSC Moot | DAWN News English
3:16:07
🔴 LIVE: UNSC Debates Palestine Crisis | DAWN News English
2:11:04
DawnNews English
Рет қаралды 3,9 М.
🔴 LIVE: UN Press Briefing On Gaza | DAWN News English
1:37:48
DawnNews English
Рет қаралды 762
MANABI WA UOGO BY NDACHA (KASARANI DAY 5)
2:07:08
WARNING OF LAST DAYS
Рет қаралды 8 М.
ALLAH SIO MUNGU WA WAKRISTO: MCH NDACHA
19:09
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 3,6 М.
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 28 МЛН